MWANAJESHI FEKI KANASA KWA KAMANDA MUROTO, ATAPATA CHA MTEMAKUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 175

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 5 ปีที่แล้ว +32

    ana moyo sana na kazi za usalama mpeni ajira ya jeshi kisha mpelekeni sudan akasaidie kulinda amani

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว +22

    mm naamin hao wanatokan na jeshi mlilo nalo kutokana na ajira hamuwap kwa wakt

    • @japharykassim6371
      @japharykassim6371 5 ปีที่แล้ว +1

      Umeambiwa alikua jkt akafukuzwa kutokana na utovu wa nidham

    • @mgangaevarist9760
      @mgangaevarist9760 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwan jeshi. Ndo linatoa ajira? Laum serikali yako ya ccm

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว

    Asante san jeshi letu ra polisi kwa kazi nzuri mwenyez MUNGU awazidishie nguvu

  • @brayotv03
    @brayotv03 5 ปีที่แล้ว +21

    "Usifanye kazi ambazo hazikuhusu brother,tumeelewana?"😁

    • @paulbruno5349
      @paulbruno5349 5 ปีที่แล้ว

      Bright TV kweli kabisa huyuu jamaa asifanyee kazi ambayo haimuusu

    • @karimmnyachi8206
      @karimmnyachi8206 3 ปีที่แล้ว

      @@paulbruno5349 Bit

  • @stevenlugo8195
    @stevenlugo8195 5 ปีที่แล้ว +14

    Hayo yote Yanajili Baada ya Kukusanya watu na kuwapeleka Jkt Wakizani njia rahisi ya kupata ajira na hatimae kukatisha Malengo yao na kurudi mtaani kwa gazabu na kuanza maisha mapya..Msimuhukumu Mtu ikiwa Chanzo ni nyinyi jeshi la polisi kwa kuwapa mafunzo ya uwaskari vijana na kuwaacha Kwenye mataa..hata km amefanya kosa lakini nyinyi Ndio milio mpa ujasiri...

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +1

      JKT IPO CHINI YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA NA SIO POLISI WE BOYA! Halafu kwa ye yo te aliyejiunga na JKT amefundishwa wajibu wake wa kiulinzi na uzalendo kwa taifa. Hawezi fanya hivyo. Isitoshe. Aliyejiunga na JKT anayo nafasi ya kujiunga na JWTZ baadae.. hata kama hakupata nafasi ya kujiunga moja kwa moja. Na pia, baadhi ya kambi za JKT zinafundisha masomo ya sekondari na stadi za aina mbalimbali kama vile kilimo, ujenzi, useremala , umeme, mchundo, ufundi wa magari na mengineyo.. kwa hiyo aliyeenda JKT kama anayo nia ya kujiendelea nafasi za aina hiyo ziko nyingi.. We ni boya.. hujui kitu. Uliza uelimishwe!

    • @stevenlugo8195
      @stevenlugo8195 5 ปีที่แล้ว

      Boya ni baba yako na mama Yako walio kuzaa...nahisi hujielewi na hujui na unacho kiongea...kwani jkt wanaenda wanajeshi tu?Alafu pia nahisi una ishara za ushoga baridi..coz unamtukana Mtu usie mjuwa na unatukana sehemu Ambayo haistahili kutukana jeheshimu kuma Wewe...Jiheshimu sio ukurupuke tu pasipo na sababu za msingi...elimisha Watu but sio kutukana Watu bila Sababu...@Joseph Gomalo

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      @@stevenlugo8195 Yamekufika. JKT muelekeo wake ni jeshi la wananchi. Polisi wana chuo cha CCP Moshi.. we boya! Huyo boya mwenzio kavunja sheria kwa uboya wake kama ulivyo wewe! Sio sababu ya JKT! Ambayo hakumaliza kwa kufukuzwa.. lakini bado unailaumu JKT.. We boya wa kutupwa! Lmao! Ukiambiwa ukweli unawaza kuwa shoga? Una tofauti gani na huyo unayemsifia..? Uliza uelimishwe we BOYA ! Halafu boya hajizai. Inaanzia kwa maboya waanzilishi (babako na mamako) .. na boya huwaza ushoga anapoambiwa ukweli..! Jiangalie ama sivyo nitamwambia DUDUBAYA..! BOYA WE.. kwendraaah!

    • @stevenlugo8195
      @stevenlugo8195 5 ปีที่แล้ว

      Kamuelimishe mama Yako na baba Yako fala Wewe mimi nahisi Wewe sio riziki kuma Wewe....Wewe mwenyewe Huna Mbele wala nyuma jielimishe Wewe kwanza Ndio uje kwangu mimi nahisi konk anakuhusu Wewe Joseph Gomalo jina lenyewe baya km ubongo wako usio jitambua

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      @@stevenlugo8195 Boya wee.. kwendraaah.. na ukome kuropoka. Uliza uelimishwe we boya! Ciao.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 5 ปีที่แล้ว +14

    Stress hiziii za kukosa kazi, kaona bora aji ajiri mwenyewe😂

  • @khamisame4732
    @khamisame4732 5 ปีที่แล้ว +1

    Honger kamanda ruto kwa kaz mzuri

  • @AmosiSulley
    @AmosiSulley 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera kamandaa kazi nzuri umefany

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzr wakomeshwe iyo tabia imezidi wakamatwe weka ndani itakua funzo kwa wengine...

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, mnakwama wapi vijana wa leo, Hatareee sana.

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      @@askofwadar9127 uwa nakosekana mbona, Sema tu nikiwa karibu na WI-FI ndio ugonjwa wangu kufutilia mambo ya home.

  • @imeldabamba3779
    @imeldabamba3779 5 ปีที่แล้ว +3

    Ayaaa 😱😱😱daaa huyu bwana atapata tabu sana,kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa coco.Kaingia ktk 18 za bwana Muroto,mzee sukuma ndani huyo anachezea jeshi😁😂

    • @eunicemboje8931
      @eunicemboje8931 5 ปีที่แล้ว

      Imelda Bamba Wambieni awataje na wenzake hayupo peke yake huyo,

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 5 ปีที่แล้ว +3

    Haaaaa huyu kijana mkizubaika atawashinda mbona anacofindence

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 5 ปีที่แล้ว +11

    tatizo ilo la serikali kuwapeleka watu unateseka jkt mwaka unaludishwa nyumbani kazi gn atafanya kama sio ujambazi bunduki mmemfundisha kushika lazima aingie mtani

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 5 ปีที่แล้ว

      Mdogo wa darasa sio mwaka voo ni miaka

    • @masakaupdate1488
      @masakaupdate1488 5 ปีที่แล้ว

      Abdulkareem Seif nimiaka ee bro sasa umeonaa miaka mtu anasota JKT afu mnakuja mfukuza ukosefu wa nizam wanategemea kitugani atafanya mbinu zote amefunzwa zakutumia bunduki daa serikali bna tuwachee wenyewe

    • @zuuothman9170
      @zuuothman9170 5 ปีที่แล้ว

      Kweli maneno yko

  • @fatumayahaya3896
    @fatumayahaya3896 3 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana jeshi polis mkowa wa dodoma Kwa kazin kubwa mnayo ifamyaa

  • @georgealoyce7280
    @georgealoyce7280 5 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri,kamata na wezi was vifaa vya magari Nyerere square

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 ปีที่แล้ว

    Murotoooo we mzee unawaotea sanaa jibwa hao

  • @samsonpeleka5275
    @samsonpeleka5275 3 ปีที่แล้ว

    Hamna aliye juu ya sheria Asanten jesh la police

  • @mommary2424
    @mommary2424 5 ปีที่แล้ว +7

    Hicho ni moja kati ya kishindo kile cha awamu ya 5,wengine tumerudishiwa wtt wamekaa JKT kambini miaka 3,uzoefu wote wanao,ajira hakuna mnadhani tutawapeleka wapi?mtawakama Sana na gereza litajaa hadi limwagike 😏

    • @happykimaya2762
      @happykimaya2762 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unaona vyema kutapeli? Mwambie naye akatapeli atakumbana na mkono wa sheria!

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 5 ปีที่แล้ว

      JKT ni Uadilifu, Umoja na Mshikamano, kujitolea, Uzalendo, Nidhamu na Kupenda kazi. Huyo ni mhalifu kama wengine na JKT sio sababu ya uhalifu. Wangapi wamepita JKT na wamekuwa wafugaji wa mifugo -mbuzi na kondoo kwa wingi? pia wana mabwawa ya samaki?

    • @mommary2424
      @mommary2424 5 ปีที่แล้ว

      @@happykimaya2762acha siasa ww,Kama huna* za kusoma sms kausha,unadhani huyo aliwnza kutapeli leo?hadi amekamatwa na sare unadhani hakuna wahusika wengine yuko peke yake?unadhani ni mtandao mdg huo?don reply sms if u don understand well 🙄

    • @mommary2424
      @mommary2424 5 ปีที่แล้ว +1

      @@rewaatesh4877 sa unadhani wtt wote ni sawa?wengine wakirudi mitaani wanakua wahalifu kuliko huyo aliyekamatwa.kwanza ieleweke mtu wa kawaida hawezi kuitumia silaha na hawezi kuwa na ujasiri wa namna hiyo hadi kuvaa sare za jeshi na kutumia nafasi kwa ujasiri as if yuko kazini kihalali,hiyo ni cheni jamani huyo jamaa na wengi nyuma yake msifanye masihara kwa hilo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah Jeshi LA polisi kazkaz ongereni

  • @mariammichael9773
    @mariammichael9773 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtu anamaliza mafunzo ya Jkt akitegemea kwamba atapata ajila lkn matokeo yake mnawarudisha nyumbani bila hata kuangalia kuwa amehangaika na kila aina ya changamoto yakiwemo maumivu makali kwaajili ya mazoezi magumu aliyokuwa akiyapata huko, sasa wameona bora wawe wanajiajili wao wenyew. ....

    • @salestinengina294
      @salestinengina294 5 ปีที่แล้ว

      True said

    • @luperbukuku2659
      @luperbukuku2659 5 ปีที่แล้ว

      Kwa taratibu Za jkt sio ajira kuna mkataba unasain mwenyew

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      Alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Kwa kijana hodari JKT kwa utendaji kazi na mbinu za medani anayo nafasi kubwa ya kubakizwa jeshini. MImi mwenyewe niliambiwa na sergent wangu nibaki jeshini lakini nilipendelea kuendelea na masomo ya chuo..! Utovu wa nidhamu umemfanya awe mhalifu. Wacheni kuchanganya mambo. Maumivu ya mazoezi humfanya kijana kuwa jasiri wa kutoogopa kufanya kazi za kujipatia kipato. Kama hujaenda jeshini ulizwa ufahamishwe. isitoshe kuna nafasi nyingi za kujifunza kwa vitendo na kwa mwenye nia.. maafande wangweza hata kumpa recommenations za kujiunga na vyuo vya stadi baada ya mafunzo yake..! Acheni hizo. JKT ni mahala patamu sana na penye nafasi mbalimbali. huyo ni mhalifu. Na mpaka ufukuzwe JKT ni kwamba huyo ni jinga-sugu. Kijana aliyefuzu JKT ni jasiri akirudi uraiani kwani haogopi kazi.. Huyo hana nidhamu. kama alifukuzwa JKT basi hata maisha.. yamemfukuza! kama hujaenda jeshini uliza uelimishwe!

    • @lazarojr8923
      @lazarojr8923 5 ปีที่แล้ว

      Kwani nani kakwambia ukienda jkt utapata ajira?! Watu wengine bwana

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 5 ปีที่แล้ว

      Lazaro Joseph Linda wew nae ndo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa na inaonyesha wazi wew nikiongozi mmojawapo ambao huwa mnawafanyia hivyo. . mtu mzima ovyooooo. .

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 ปีที่แล้ว

    Kijana ni mbunifu sana.tumia ubunifu huo kufanya kazi nyingine utafanikiwa

  • @gadsonmanchester475
    @gadsonmanchester475 5 ปีที่แล้ว +8

    Vijana wanapelekwa jkt halafu wanarudishwa nyumban
    Lazima ajiali mana alivyofunga tu hicho kiatu na hiyo picha ya jeshi na alivyo mkakamavu hiyo kazi ulinzi na usalama inamfaa

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      Ila kwanini awe tapeli, Kumbe kazi anaweza.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      @@saumuhassan6365 Hawajaenda JKT hao.. mpaka amefukuzwa huyo jamaa .. basi atakuwa ni bure..hasaidiki.. JKT sio rahisi kushindikana.. huyo jamaa anaonekana ana kiburi cha kipumbavu..! Atajifunza zaidi magereza..!

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh huyo mkaka alie jifanya polisi na doctar sura lake tu balaa

  • @kiki-ko8vi
    @kiki-ko8vi 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mvulana ana vyeo vingi jaman 😅😅😅😅

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +1

    Mpeni kazi ana kipaji huyo mwamba,na anaipenda Kaz ya jesh😊

  • @calvinismcharlz6519
    @calvinismcharlz6519 5 ปีที่แล้ว +3

    Dodoma siyo sehemu salama👀

  • @rosemarymsulwa203
    @rosemarymsulwa203 5 ปีที่แล้ว +3

    Hao ndiyo wale tigotigo wanao kamata watu hovyo mtaani na kuwanyanga Mali zao.

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 5 ปีที่แล้ว +4

    Boarguard umenenepa du!

  • @dominashirima873
    @dominashirima873 5 ปีที่แล้ว

    Haaaaa,so creative

  • @fabianmoses3105
    @fabianmoses3105 5 ปีที่แล้ว +3

    Xawa xawa msombe zao la kilimo primary school mbeya moja ma boy kamua mzee

  • @sheikhsharifmaduatz2871
    @sheikhsharifmaduatz2871 5 ปีที่แล้ว +1

    #Kama unaimani kuwa huyu muroto hii #anayofanya ni mchezo wa kupata #KIKI GONGA LIKEEEEE

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mi ndo nashanga wanapata wapi hizo sare jamani

  • @anethbudude72
    @anethbudude72 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyo MUSSA gereza kashalizoea hapo kwake kutwa wamejaa mateja

  • @hanujoseph8809
    @hanujoseph8809 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana kamanda,chapa kaz kwakwel unafaa

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni kinyonga anabadilikabadilika

  • @jumaipanda1884
    @jumaipanda1884 3 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆😆 Mwandishiiii Jezi au Uniform

  • @rajabeliud8137
    @rajabeliud8137 5 ปีที่แล้ว

    Siyo Mwana jeshi mue munatambua jwtz na pt

  • @johnpaul6523
    @johnpaul6523 5 ปีที่แล้ว

    Mpeni kazi

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว +3

    Kijana ana moyo kwel katumia fursa ya jkt

  • @mussakizingiti3552
    @mussakizingiti3552 5 ปีที่แล้ว +2

    sasa mkimuhukumu ndio mnamfundisha au mnatakiwa mumpe ajira mtu mwenyewe mnamuona mkakamavu kweli sasa si mumuajiri tu kabisa??

  • @jabe-tv
    @jabe-tv 5 ปีที่แล้ว

    Kijana mkakamavu, naona ana afya kweli. nimpambanaji

  • @linusleonard7432
    @linusleonard7432 5 ปีที่แล้ว +3

    Ameamua kujiajri sio mbaya

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 5 ปีที่แล้ว +1

    hahahahah.....Musa Alfani Pumbu ...majina yetu wabantu bhana .....

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว

    Dah yani kila kazi ina wenyewe km huhusiki na mchezo watakunasa tu

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 ปีที่แล้ว

    Huyo si mwanajeshi feki ni mwanajeshi halisi

  • @mundhirhemed6495
    @mundhirhemed6495 3 ปีที่แล้ว

    Me nashauri atakaepita JKT na kuhitimu mafunzo mafunzo yote ni bora aajiriwe tu akikosa jexh Tanapa au police bac Suma JKT sio kukosa kabisa

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 5 หลายเดือนก่อน

    Mpen ajir kijan uyo sio kumfifish kipaj awez kututmikia

  • @gsmligoonlinetv9787
    @gsmligoonlinetv9787 3 ปีที่แล้ว

    Polisi bwana mnachekesha kijana huyo kweli hamuwezi kumjua mtamjua mahakamani,,hii ndo tz bana nch inawalinzi wasiojuana

  • @USHINDIFARAJA
    @USHINDIFARAJA 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii bushiri

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 ปีที่แล้ว

    Hivi ujasiri wa kuvaa nguo za police uingie mtaani wanaupata wapi

  • @emmyjohn3192
    @emmyjohn3192 5 ปีที่แล้ว +3

    mnawaonea tu hizo jez kazitoa wapi kwan!!!

    • @mrnelly667
      @mrnelly667 3 ปีที่แล้ว

      Hpna wala haonewi watu wa hvyo wapo wengi san

  • @k461productionmtwara2
    @k461productionmtwara2 3 ปีที่แล้ว

    Afande minamkubali saana awaoneshetu live

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

    Weee jamani maabara zote na dispensary za ki binafsi zikaguliwe kwasababu huko ndio wata kimbilia wengi.

  • @gunjemakulile2808
    @gunjemakulile2808 5 ปีที่แล้ว

    Ahooo waendlee kushikwa tyuu kwanii wanachafua nchii

  • @johariswau5783
    @johariswau5783 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaa viongiz fek,jesh limeingiliwa na askar fek,watumish wa kiroho feki, tunaish kifek fek hii ndo Tanzania ya mjombaaaaaaà

  • @mahamudmhawi2731
    @mahamudmhawi2731 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sio mwanajeshi bhaaana badilisha kichwa cha habari pliz

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

    Haaa. Kazi ipo

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

    Kwani amejifanya polisi au mwanajeshi? Kichwa Cha habari kinasomeka MWANAJESHI FEKI lkn anaonekana ni polisifeki hata maelezo yako hivyo,Bora angeandika jeshi la polisi,

  • @mwanawatusalum5766
    @mwanawatusalum5766 2 ปีที่แล้ว

    Polic pongez kwenu

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu mtangazaji ni sare sio jezi .
    Jezi ni nguo za michezo .

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว

      Haha haha asee kiswahili wamezaliwa nacho lakini nishida

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว

      KACHERO SIMBA
      Ni shida .
      Sijui ni walimu au wanafunzi ???

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว

    Jomn eheee

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 3 ปีที่แล้ว

    Ila anatia huruma sema wangempeleka sudan huko au kongo akaendelee na kaz ya ulinzi ,kumbe alishafukuzwa khaaa

  • @learnselfdefense765
    @learnselfdefense765 5 ปีที่แล้ว +1

    Watapata tabu sana

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 5 ปีที่แล้ว

    Ooosh!!Utakiona cha mtemakuni

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo wanaibaga watoto wachanga!😱

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 3 ปีที่แล้ว

    No comment Vive la police tanzanienne.

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania bana !

  • @zulfaarimas2180
    @zulfaarimas2180 3 ปีที่แล้ว

    4

  • @Being_Hussein
    @Being_Hussein 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee anataka kupewa cheo tu maana kila siku dodoma tu... Anaongana ajitengezee juna hana lolote ataka magufuli ampandiahe cheo tu hana lolote na uso wake uloungua

  • @Mambathetraveller
    @Mambathetraveller 5 ปีที่แล้ว +1

    4:48 😂😂😂

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 5 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mutoro

  • @mishanyangassa9124
    @mishanyangassa9124 5 ปีที่แล้ว

    Sheria ichukue mkondo wake kwa huyo polisi feki

  • @naperiantv7297
    @naperiantv7297 5 ปีที่แล้ว

    Ayo ndo madhara ya kuwafunza vijana mafunzo ya uaskari na Kuto waajiri

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh 🤔🤔🤔

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 3 ปีที่แล้ว

    Na hiyo bustola gotini mbona munaiacha

  • @giterongabajuta1381
    @giterongabajuta1381 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmh hali ni mbay

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 5 ปีที่แล้ว +2

    😲😳😳

  • @therealashlove
    @therealashlove 5 ปีที่แล้ว +1

    Wakomeshwe hao watu

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 29 วันที่ผ่านมา

    mumpe aende depo kazi ya police

  • @innocentmakundi2690
    @innocentmakundi2690 5 ปีที่แล้ว +2

    Jes ya jeshi imepatikana wapi Kama police hawahusiki?

    • @mamakendrick9945
      @mamakendrick9945 3 ปีที่แล้ว

      Jezi za polis zinashonwa sio kama za jwtz

  • @MegaKarume
    @MegaKarume 4 ปีที่แล้ว

    Mamruki...watu hatari sana...

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ‘ sio jezi ni dare za polisi

  • @christianshoki2422
    @christianshoki2422 5 ปีที่แล้ว

    Jamann mloto

  • @alfanmkulile1237
    @alfanmkulile1237 5 ปีที่แล้ว

    Balaa

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 5 ปีที่แล้ว

    Season za kikorea zimemponza hyoo

  • @abdallahabubakar5410
    @abdallahabubakar5410 2 ปีที่แล้ว

    Huyo amekwisha

  • @keitamnyama7955
    @keitamnyama7955 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo akuna ajila

  • @magigealbinus3076
    @magigealbinus3076 5 ปีที่แล้ว

    Siku hizi NIDA wanaandikisha wapiga kura

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 5 ปีที่แล้ว

    Apewe ajira huyo soldier copy kakosa namna na analipenda jeshi kaamua kujiajiri !!

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 5 ปีที่แล้ว

    Nao ni ubunifu hahaaa

  • @marymajula5351
    @marymajula5351 3 ปีที่แล้ว

    kichwa cha habari ni upumbavu

  • @adelphinusbikonya8534
    @adelphinusbikonya8534 5 ปีที่แล้ว

    skendo za kutengeneza

  • @emmyjohn3192
    @emmyjohn3192 5 ปีที่แล้ว +2

    kumbe walikuwa waajil wamefukuzwa hata wewe utafukuzwa mwishowe lazima uwe tapel wewe mzee😏😏😏

  • @happymkenda9837
    @happymkenda9837 5 ปีที่แล้ว

    Bora mumajiri

  • @KasmBange
    @KasmBange หลายเดือนก่อน

    Mpigen had anye

  • @japhetcrispine5067
    @japhetcrispine5067 5 ปีที่แล้ว

    kazi ipo tz yetu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว

    Jela inamuhusu huyo hakuna namma

  • @salimhussain8382
    @salimhussain8382 5 ปีที่แล้ว

    Hii ni balaa

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว

    Waache tu wafanye cz mtu kasota jkt. Mwisho wasiku analudishwa nyumban...mnazan hapo nn kinafata

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      Kafukuzwa kwa kushindikana. hiyo ni dalili ya kuwa mhalifu..