RICH MAVOKO Alivyompandisha ALIKIBA kucheza wimbo alioimba na DIAMOND
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2021
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
----------------------------------------------------------------------------------- - บันเทิง
Rich Mavoco amerudi mjini👏👏👏👏👏💪💪💪 sisi tunampenda.
Sasa je 😂😂😂😂😂😂😂 town kutamu
Nigga gat Chris Brown moves, respect him, waasani wachache sana wana uweza kuimba na kucheza kama anavyocheza
Konde Boy asante kwa ukweli uliongea uliofanya mpk Mavoko kuweza kuwekwa kwenye realgame! Big Up Mavoko🤎💜💜💜💜
Rich mavoko happy for you for joining kings music
Bingwa wa dance richi mavoko.....big up 🇴🇲🇹🇿
Mavoko you are the best. Thanks for uniting with the Only One King 🤴
🤝💖
Ibaki story took me through the worst break up. Much love Mavoko. The break dance🔥🔥🔥🔥
💔💔💔
Nakupenda Sana kaka angu 💖 sijuwi umekosea wapi kama ningejuwa nipo taari kupambana now ili uvume kama zamani😭😭😭😭😭
Kuna mtu kamdhulumu huyo muulize aliko toka ukitaka ukweli niulize nitakupa namba zahuyo mtu alie mtoa kisha kumpotezea baada ya kujiunga namondi amuone tu yataisha
Mi nimesikia tu “WAAASAAAFIIIII”
mungu anisameh kwel sion anachofanya apo jukwaan naskilza zangu tu nyimbo za wcb
Mavoko so good entertainer kings music 4life
We need Rich Mavoko to go back to his best 👏👏👏
He cant because he need someone to take his hand and move him from here to there, he is talented but lack ..,........!!!
Rich GOD TO bless you so much and have long life we support you too
Jamani rich ana njimbo nzuri sijui mbona amenyamaza , anavojuwa kucheza na kujiachia Hadi raha 🔥🔥🔥
Umeona eh bibz
Wame mroga
Tanzania dancer number oneeeeee,,, good melodian vocal voice
Much respect king kiba
Jamani Hadi Raha tu Sana mavoko mungu akusaidie na kigi🔥🔥🔥😅😅😅
Tulimmisss jamn mavok wetu tunampendaa😭😭😥💞🕊
God is there for you mavoko.....please God here our prayers now😭😭😭😭😭
Hiyo "here" ndo yakusikia? Au unadhan matumshi na maandishi ni sawa?
@@onesmobugimbi5099 🤣🤣🤣🤣🤣mrekebishe tu kwa njia zuri. may God hear her prayers. Janet uko sawa hata nafurahianga kuona mtz anaongea ama kuandika kingereza ju najua nchi yenyewe haina uzoefu.
@@japhethmbusyamwanaufufuona4646 Kama mtu ameandika kiswahil na kinaeleweka ni vema zaid kujibu kiswahil maana hizi lugha
Big up mavoko,,mshukuru harmonize kakutoa ktk mikono ya mond
Kamtoaje yaan
Mavoko alijotoa mwenyewe
The Best artist in My..🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Alikiba is the best and nobody can stop him 🔥
You are absolutely right!!!
No one can reach there,(untouchable).
Yebabaa!!!!
Yes
@@rahmarajab3688 Kwani amefika wapi kama si mwanza
@@rahmarajab3688 Mond ako Gambia hao wako mwanza 😂😂
@@rahmarajab3688 really? Without an international award!
Aliesikia ikifika kwa MOND WANAKATISHA TUJUANE
Sasa we ulitaka wafanyaje🤔🤔🤔
Not true
watashitakiwa kisheria ndio maana wanakata
Wasafiiii oyeeeeeeeeeh ana nyimbo nzuri zaidi alifanya wasafii ushauli acha mziki au muombe msamaa diamond platinum uludi maana uliko kuwa uko ni vikundi vya vikoba vimeungana ili washindane na benk ya wasafi
Ndugu Mteja Umejishindia Zawadi Nono Ya Kuchomwa Kidole Gumba Mkunduni Mwako 😎🖕🖕🖕🖕🖕
Huna akil ww huyo alikuwa juu kabla hta ajaja Wcb,lkn swal la kujiuliza hzo ngoma alizo fanya Wcb kaimba yy au kaimba Mond...?km kaimba yy jua yy ni mkal tu na ili ujue km yy ni mkal kaz ilio mpeleka Wcb unaijua..?
Mnakatisha watu tamaa mkiamin muziki ni upande mmoja halaf hapo hapo mnataka muziki wetu ukue.....
@@NellyWaKidato chizi karogwa tena yani hili jamaa fala sana wcb ndio nn nyimbo za kwake mwenyewe zingekuwa za mwambino hapo sawa lkn mwambino alishirikishwa halafu eti wcb nyooo zake sadala kushnehi babuji kabakia na mjumba unabomoka wa makomandoo sawasawa kkaangu Nelly ulivyomchamba
Acha ujinga
The breakdance Rich was real🔥❤
Nimeona utofauti za nyimbo zako ukiwa wcb ndio zina vibe
kabsa saiv anaimba utopolo tu
@@dorislema1814 inawaumaaaaaaaa nyie
Rich kwenye stage ni moto mkubwa 🔥🔥🔥
King for life Nakupenda bure kakangu
ngoma za kipindi cha wcb ni hatare kwa kwel
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
@@sifatiiman ndio ukweli, saa hii Kuna tofauti
@@mutavijeniffer8895 🚮🚮🚮🚮🚮tofa
Kwakweli
Achen kuforce vitu nyie rich anajua kuimba sio kipindi cha wcb rich anaimba vzr toka muda na ngoma zake zote kali sasa utimu unawaumaaa kumuona rich yupo na kiba pumbavu zenu kabisaaa kwan mmesahau kila mnao wazinguaga waga wanaona kiba ni mtu nadhani mmeona ata ile kuku yenu ilikuwa inaongoza kwa kumtukana kiba kipindi kile leo anatafuta pc tu ili akae sawa acheni ushabiki wa kijinga nyie mashabiki wa wcb kwanza hamjui mziki
❤️❤️❤️❤️come back in the game Richie
He's so handsome kiba🥰
I'm so happy to see this...I lov you Rich♥️♥️♥️
mtoto wa mama richard on🔥🔥
Alikiba safi sana kwakumshika mkono rich mavoko kwel ww ni mfalme una baya King kiba
Amefanya vizuri sana hata mimi na mkubali ila amuambie ukweli amemdhulumu mtu alie mfikisha hapo nivizuri akampeleka wakamalizani bila hivyo mzimu utamludia
Mmenielewa mavoko mwenyewe anajua hata kama jamaa kanyamaza lakini mungu anaona
What is WCB.🔥🔥. Check the vibe when his wasafi songs play ✌✌✌💯💯💯💯
He is not only rich for vocals even dancing is rich 👌
Mbona nasikia sauti Za Mondi tu?? Safi kabisa💪💪💪
🚮🚮🚮🚮🚮
Lazima usikie kila time maana ndio bwana ako amekukaa moyoni... hata nyimbo y beyonce utahisi kaimba bwanako diamond
Gakojowe kisha inwe
Unwe
@@jumatingi2047 😂😂😂😂
Woow I love it 💕
Show me is a living hit song🎈📌💥🔥🔥
The breakdance was for me♥♥♥😍🔥
Alikiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mavoko anajua bana 👏👏👏👏👏👏
Kivua saa sita I love that part am Hastings otieno otieno chairman of the light kwambao self help group from Kenya Mary Christmas to the world and a happy new year 2022
All the hit songs ni time Akiwa wcb
Mavoko amejulikana ata before kujoin WCB, so stop lying.
Sasa we mwenyew wajiita harmonize then you are commenting here..hzo songs ameperform zote si amezitoa kama yuko wcb
@@mikemiles2269 sasa mbona hasikike siku hizi na akitaka ku sikiika lazima aimbe nyimbo alipokuwa huko
Acheni ushamba...king ni mmoja 2..KING KIBA💥💥💥
We miss u richy
Simbaaaa...It was lit kiba dancing to kokoro by rich mavoko ft simbaaa
Waooo mambo mazuli kbs🔥🔥🇹🇿🔥
Kaimba na Konde sio Mondi we chizi we
Tatizo hawajitambui uteam wa kipumbavu tu ulowajaa hajui ata nyimbo kashirikishwa nani yy anaropoka km kwanywa maji kinyesi ovyoooo fyuuuuu
𝐌𝐤𝐚𝐥𝐢𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐮 🔥🔥🔥🔥🔥
Music that made him be more and more awesome 😎 na kuwa mkali zaidi..
Alikiba kweli ww kaka wa WASANII wote Tz ishi vzr na wadogo zako kaka big up sana ww usiwape mikono
Oyooh! big up sana mavocco 👊👊
Mavoko is on 🔥🔥🔥
Ila Rich mavoko! Amekonda sanaaa🙄...lakini Sauti yake nzuri anajuwa kuimba! 👍👏😊
Atanenepaa tu soon 🤣🤣🤣🤣🤣
Luv uuuu mavoko unaweza kwakwel rud kwagame tunakutambua
All Mavoko's hit songs he did when he was in Wasafi..Nowadays his songs are not vibing at all..Any hit song ya mavoko utaskia Wasafi or sauti ya Diamond..
Sema nyota yake ndo ilizimwa na sadala ila huyu mwamba he is the bst than sadala
True
Sio kweli. Mavoko alitoa hit songs kabla hata hajajiunga wasafi.
Yooo check rich mavoko ft king kaka weeeeeh hit song
You are needed once again to return in a game for another power
Plutnumz is everywhere
Schaierzeeee
Big up sana.. reach mvco mnoma
So poa rich mavoko keep goin man
DIAMOND NI JINI Mcheki huyo Rich hit zake akiwepo WCB na sasa yupo wapi?sure music ni management nzuri. Kwa TZ WCB Wapo njema
Vocal 🙌
WCB.oyeeeeee💥💥💥
Nakubal sana bro
Ameuaa mno 🔥🔥🔥🤝
Twende mbelee turudii nyuma,hii show n motoo👑
Mavokoooooooooo😂😂😂💪👊😍😍😍😍
Vibe la kutosha yaani
Mavokoooo😍😍😍🔥🔥
Uko pw kabisaa kaka komaaa 🤞🤞🤞💯💯💯💯✨💥✨✨
Kiba uko vizuri. K
❤️❤️🔥🔥
Tz kingk spread love 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏿
Big up mkali
Mavoko
Bg up mavoko 👑👑👑
Sijapatana na comments za visokolokwinyo na vile napenda ubishi ama mmekubali king Ndio king
It was collaboration him and harmonize 🔥🔥
Kokoro ft diamond
Watch the whole video boss
Amka utajikojolea
Kwenye hiyo hiyo show pia alimchezesha kiba kokoro ya diamondi pamoja nae
@@AlekyzTheGreat55 yes it was.
Mondi chanachana tupa kule ss HV yp kiba wa bongo fleva oh g mavoko anajua bana kazaliwa nacho wachawi mtachina
Daaah! Bongo sihami show ya kiba anatred diamond
😜😜😜😁😁😁🦁💎 wataelewa tu, diamond ndo msanii hutrend kila siku bila hata matukio
Nc one
KING
Anajua kabla ya kwenda wcb huko lilikuwa pito lake asili haipotei like bikidude mziki wake utaishi miaka kenda.
much respect guy
Playback is very mav
True..
Asa cocoro Eeeeeeh Asa cocoro.
gud to see mavoko
Nice
Huyu jamaa adi kudance Ako🔥🔥🔥
Rich mavoco Hatariiiii
Just a vibe
mashaAllah mabruk
Nice. WCB iko kwa damu zenu though mnai....
Mavoko you are the best
Gud
Noma sana
😍 😍 😍
Mavoko💪💪 legend
Rich mavoko huuwa show vibaya sana
Fire
Inawezekana ulikubari kumpa mkono Diamond ndio maana husikiki saaana na unanyimbo nzuri kazia huko huko ka Mfalme utang'aa upyaaaa