ALIKIBA alivyowaliza WAREMBO na Wimbo wake "UTU" Jukwaani MWANZA kwenye Only One King Tour
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2021
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Alikiba
Hiii ndio nyimbo Bora 2021 like Kama umekuli king👑🇹🇿
Mashaallah sauti wanimaliza alikiba wauwa kukimba kama usabiki wa kigi gongo liki💖🔥🔥
Hii ndio maana ya king watu waelewe wimbo naona watu tumeielewa vizuri mzuuuuuka
Mimi ni team konde ila jamaa mungu amembariki saut na jinsi yakuitumia anajua👏👏👏👏
Alikiba anaweza saaaaaaana music wa Africa, from DR CONGO
Usiwahi kusahau kusali king.Dua zako ndio zinakupigania,Allah is for you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Alikiba is the best and nobody can stop him 🔥
Hii nyimbo ni fire🔥🔥🔥🔥 Utu
Hatari Sana I believe on you Brother the only one Tanzania King of Bongo flevour
Duuuuuuuuh,halafu unakuta mtu mshenz mshenz ana mfananisha na taka taka za ajabu ajabu
Akitwa king watu hawajui maana ya mfalme hana makele king wafuas ndo wanajua mfalme wao yupo vip na awafanyia nn wafuas wake mim binafs kiba heshima zakutosha nakupa rick media shukran kwa burudan kusaport hii kitu
King kiba msanii mwenye sifa za ueledi wa kina...love ♥ King kiba...🇴🇲🇹🇿
Hiv mnawasikia Back vocals walivyo wa noma🔥🔥👑
Utu forever in my heart♥️
I would pay to see again the live performance of this song by King Kiba
Daah wimbo unanikosha sana kiba unajua kuimba balaa blue
Since this song released, there's no song pick up than this song in Tanzania.King is the King
TEAM KIBA RAHA SANA
Smoothy voice,riffs and runs,falseto,alto,vibrato,humblity,yn full of package
Yaani stage iko na utulivu hakuna kurushiwa maji siju watu wamwagiwe maji yaani ni muziki bila jasho pole pole taratibu kiustarabu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰