Mungu endelea kumlinda sr Yunis aendelee kutuponya watu tuamini Mungu anaweza yote hakuna ugonjwa anaoshindwa Mungu maana yeye ni daktari wa ma daktari
Thank you God Almighty for your infinite creatity, you cannot be outdone in generosity. We adore you and thank you for your love for sinful humanity especially through victim souls of Children. Lord Bless all children Amen
Nashangaa na vile wameongea kuhusu uponyanji wa maji 😆ati uoge kabla ya saa nane au kabla kivuli chako hakijaanza kuonekana 🤔hadi nimeogopa sioni nguvu za mungu mahali hapo
@@paulmasansi1815 hatupingi neno la mwenyenzi mungu ukweli ni kwamba hata yesu mwenyewe alianza kuhubiri akiwa na umri wa miaka 4 sioni jambo kubwa kwa mtoto mdogo kuombea watu wanapona lakini kusema ukweli hii inaogopesha jameni
Siku za mwisho ni jina la yesu tu lenye kuponya huyo ni mpinga kristo anajaribu kuzuia jina la yesu amemtumia mtoto mbona harusi ya kana maliamu aliwambia watu wamsikilize yesu leo maliamu aje kwa mtoto watu wa Mungu acha kudanganywa huo ni uganga
Sasa hao watu wa kana walishindwaje kumface hyo Yesu direct halafu wakapitia kwa mama yake, , soma vzur Biblia Mungu ni wa utaratibu, , alafu pia kama wew unaamin Yesu n Mungu Bikira Mariam ataitwa mama wa nan? Je kat ya mama na mwana kuna uadui?
@@sidejomo5922 kitabu unachokiamini wew kinasema waliokufuru watawekwa chini ya wanafunzi wa Yesu mpka kiama ,sasa ikiwa ndivyo ,basi waliokufuru wakiwa chini ya wanafunz wa Yesu, Yesu atakua nan hapo?
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda NA unapotea dini ya kiislaam
Umeambiwa kwa Imani, aende huko Hospital wamekwambia wanataka hiyo Imani ya Uponyaji, asije kutana na challenge za Imani za watu na kuanzia kusema Serikali imeshindwa kuhudumia mpk wanawaleta watu wa Imani nyingine, kama Una Imani nenda mchukulie jilani, jamaa, ndugu , hayo Maji wapelekee huko Hospital kama wana Imani Pia wote watapokea Mujiza wa uponyaji, hapo Sasa ni swala la a.k.a Imani, (IMANI) bila kutia Shaka, na bila Shaka utapokea Mujiza wako kwa IMANI
Siamini maneno yako.Mitume waliponya kwa njia ya vivuli vyao,nguo zao na leso zao.Je,nao walitumia imani nyingine? Ishu ungesema kama mtu hamuamini Yesu na anaponya sawa.Lakini kama anaponya kwauwezo wa jina la Yesu, kwamafunuo ya Roho Mtakatifu namaongozo ya karama za maarifa na hekima.Hakuna ubaya wowote,ubaya utakuwa nao wewe usiye amini mafunuo ya Mungu wala sio Mungu na atoaye huduma.
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??Mwajilaani hivi, hivi mchana walai. Ni jambo gani Mungu hawezi kulitenda? Anaweza tumia jiwe likazungumza. Anaweza kumtuma bikra Maria, anaweza pia kukutumia wewe ama mtu yeyote yule. Ukisema huamini, basi nikama haumani Mungu ni mweza yote. Ata kama Maria akitajwa hupendi, tangia lini Bikra Maria akawa ni pepo????? Tafakari hayo.
Anahitaji kuombewa ana mapepo hakuna kitu kama hiki, roho hizi za babu Loliondo acha kabisa kumfuata Wanaotaka uponyaji omba kwa jina la Yesu si vinginevyo Matendo 4:12 hapana jina jingine tulilopewa sisi wanadamu tupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina la Yesu
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??? Mwajilaani hivi, hivi mchana walai.
Siamini hayo. Kwanza anaposema mariya. Maroya alopomzaa yesu kazo yake ikaisjiya pale. Yesu alituambiya kama lolote tutaomba kw jina la yesu tutalipokeya. Ila si kwa jina yesu.
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??Mwajilaani hivi, hivi mchana walai. Ni jambo gani Mungu hawezi kulitenda? Anaweza tumia jiwe likazungumza. Ukisema huamini, basi nikama haumani Mungu ni mweza yote. Ata kama Maria akitajwa hupendi, Tangia lini Bikra Maria akawa ni pepo????? Tafakari hayo.
Ni inbox nikupe maandiko ya Biblia ufunguke macho ya kiroho ujue Mariya alikua chombo cha ibada, zaidi ya kuwa chombo cha uzazi tu. Utanishukuru baadaye.
Huyu ni Mungu Roho Mtakatifu ameamua kujidhihirisha kwa huyuMtoto ambaye hana dhambi moto ishara ya uwepo wa Roho Mtakatifu na sala ya BabaYetu ni sala kuu aliyotufundisha Yesu mwenyewe ina utimilifu wa maombi yote natukumbuke ni Neno la Mungu sala zote anazosali mtoto.
Mama Maria A meshiriki ukombozi wetu ukitaka kuanini kwa hali ya kawaida siku alipozaliwa Yesu Kitovu chake kilipokatwa Damu yaYesu Ilibaki kwenye mwili wa Mamayake nayamama yake kwenye Mwili wa Yesu hivyo ,Alipo mama Maria na Yesu Yupo kwaajili ya Hiyo Damu ya Yesu Amina.
Jamani Mungu ameamuwa kumtumia mtoto mdomo. Miujiza baada ya miujiza. Praise the Lord.
Rev.Fr.Cleofas thank you. God bless u.
Mwenyezi Mungu asfiwe,ninaomba baraka ,,uponyaji na ukombozi ...Ameen
Nguvu za mungu mtoto anatumiwa na mungu,,mungu aedelee kufanya kasi yake
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Amen
Forsure God's work is not easy to understand as people think...Bless u Abba Father.. Amen 🙏
Full of Gress kuwa na neema nyingi siyo mchezo ni uwepo wa Mungu popote alipo Mama wa yesu .Mama maria utuombee, Amina.
Mungu endelea kumlinda sr Yunis aendelee kutuponya watu tuamini Mungu anaweza yote hakuna ugonjwa anaoshindwa Mungu maana yeye ni daktari wa ma daktari
Miaka 2 na ishara y msalaba anajua kuipiga vzr Sana wakat wakubwa wazima hawajui kupiga ishara y msalaba
Only those who hv Faith will accept.... Blessed are those who are Humble... Amen.
Amen 🙏.Bless u Yunis..
Amen,, Mungu ambariki huyu mtoto
Amen, God s good all the time 🙏
Allah amuongowee Ampelke Ihidinasratwa mmstkmu.ktk njia iloonyoka.Amjuwe mtum nan na muumb 😍 wke nani.Ishaallh amn.
Mungu ambariki kama. Bwana alivyomwangiza
Mungu amubariki
Amen amen twaamini muunjisa wa mungu haya twaomba asidi kumwongosa katika uponyaji bwana ambariki amen,
Asante Mama maria KWa ajili ya mtoto Huyu tusali rozali
i believe naamini sana ni kazi ya Mama yetu mpendwa mama Maria, sifa za Mama zieenee milele
asante Mungu kumchagua Mtoto yunisi
Asante mama yetu mariy kwa kumchagua hunis awaponyeshe watu
Aisee mungu hushusha nguvu zake msipotarajia
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Amen
Watanzania ni geni hili ndo maana wengi mnakimbilia kusema kuwa Ana pepo ,Mungu ameamua na bado tutaona mambo makubwa zaidi .Imani ndio inakuponya
Mungu aendelee kumtunza hili nasi tuje hili nilete mwanangu,Alfred martin
Good afternoon Vincent Omondi from Kenya I need help and my family
kindly how can get the direction to the kid
Mungu ambariki mtoto
Mungu ambariki
Aya gani ambayo Mungu, yesu au Maria anasema atakaetokewa na Maria au yesu ndio amemuona katika ndoto amemuona kweli.
Bora mtoto amepatikana roryaaa nimefurahi sana
Mungu amsaidie
Amina
Jaman wanadamu tusome biblia na kuruhani tusipende kukubali kila kitu
Amen niajabu kweli
Wow mungu aendelee kumutumia
Huyu Ni Mungu Na Anatimiza Unabii Wake Kuwa Watoto Watahudumu
Please pray for me. Mother Mary to help me get citizenship and my niece to pass exams
English plz some of us want to follow
Thank you God Almighty for your infinite creatity, you cannot be outdone in generosity. We adore you and thank you for your love for sinful humanity especially through victim souls of Children. Lord Bless all children Amen
creativity
Mungu atukuzwe katika hili.
kutoka kenya mpaka hapo bukama n pesa ngapi ...? ama number zenu tafadhali🙏🙏🙏
Asante Mama umekuja Tanzania
Thanks God🙏
Sawa lakini tuwe makini sana na wakati huu
Mungu aendele kumbariki apate nguvu za maombi.
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Nguvu za mungu xinafanya kazi
Tumsifu.yesu kristor
Munguuyuppotuaminijamani
Imeandikwa acheni watt wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbingu ni wao.
Asante yesu
Kwa hiyo yesu basi hananafasi tena mungu anamtumia huyu mtto yesu hakueleweka jamani
Utawaweza hawa mana bee wa mkate wapo wengi
Mungu Ni mkuu sanaaaaa
Translate to english
Nashangaa na vile wameongea kuhusu uponyanji wa maji 😆ati uoge kabla ya saa nane au kabla kivuli chako hakijaanza kuonekana 🤔hadi nimeogopa sioni nguvu za mungu mahali hapo
Hapa ndo nlpoanzia Kaz hakika Mm mwenyewe cyaamini hay mamb ata kdog
@@paulmasansi1815 hatupingi neno la mwenyenzi mungu ukweli ni kwamba hata yesu mwenyewe alianza kuhubiri akiwa na umri wa miaka 4 sioni jambo kubwa kwa mtoto mdogo kuombea watu wanapona lakini kusema ukweli hii inaogopesha jameni
Siku za mwisho ni jina la yesu tu lenye kuponya huyo ni mpinga kristo anajaribu kuzuia jina la yesu amemtumia mtoto mbona harusi ya kana maliamu aliwambia watu wamsikilize yesu leo maliamu aje kwa mtoto watu wa Mungu acha kudanganywa huo ni uganga
Usilolijua nikama usiku wa Giza
Sasa hao watu wa kana walishindwaje kumface hyo Yesu direct halafu wakapitia kwa mama yake, , soma vzur Biblia Mungu ni wa utaratibu, , alafu pia kama wew unaamin Yesu n Mungu Bikira Mariam ataitwa mama wa nan? Je kat ya mama na mwana kuna uadui?
@@emmanuelandrew5650 yesu n MUNGu kumbe?!
@@emmanuelandrew5650 km yesu n mungu basi bikra Maria ataitwa mAma wa MUNGU
@@sidejomo5922 kitabu unachokiamini wew kinasema waliokufuru watawekwa chini ya wanafunzi wa Yesu mpka kiama ,sasa ikiwa ndivyo ,basi waliokufuru wakiwa chini ya wanafunz wa Yesu, Yesu atakua nan hapo?
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda NA unapotea dini ya kiislaam
Amen
Bikira maria ana kibari cha kutokea watu bari tu malaika wa mungu uyo bikira maria ni shetani anawadanganya
Naomba simu zenu jamani Niko London. Naomba Uponyaji tafadhali sana
Ameeeeeen 🙏💓👏
Muguyukopamoja nahuyumutoto🙏🙏🙏
Amen
Naomba namba ya Baba take au mama yake aniombee Nina sukari na pressure Niko nje ya nchi tafadhali sana
Umeambiwa Kuna maji,,,we umemuona anamuombea nani Apo
They must send this kid to school to learn English so will be easy to communicate with others
You can also take an initiative to learn Kiswahili or use Google translator
Si aende hospital kama ana ponyesha kuna watu wagonjwa kibao hospital
Umeambiwa kwa Imani, aende huko Hospital wamekwambia wanataka hiyo Imani ya Uponyaji, asije kutana na challenge za Imani za watu na kuanzia kusema Serikali imeshindwa kuhudumia mpk wanawaleta watu wa Imani nyingine, kama Una Imani nenda mchukulie jilani, jamaa, ndugu , hayo Maji wapelekee huko Hospital kama wana Imani Pia wote watapokea Mujiza wa uponyaji, hapo Sasa ni swala la a.k.a Imani, (IMANI) bila kutia Shaka, na bila Shaka utapokea Mujiza wako kwa IMANI
Kama imani mbona alisema hadi watu wa imani nyengine waende, acheni kufuru hizo
Shetani yuko kazini tuwe makini sana hizi ni siku za mwisho
MUNGU atabaki kuwa Mungu hata tumzihaki atabaki kuwa Mungu basi imaniyako ifanyekazi
Hao watu wote wanastahili kupotea viboko ndio akili zao ziamuke Yani hawezi KUONA ni ushetani huo?
Hata wengine kwa koment wanafaa kichapo yani hawaoni ni uchawi
Hao ndo wengi zaidi
Mtu usipoamini uponyaji kupitia jina lipitalo kila jina , jina la YESU. Ukaamini kupitia maji na udongo hiyo ni imani nyingine.
Siamini maneno yako.Mitume waliponya kwa njia ya vivuli vyao,nguo zao na leso zao.Je,nao walitumia imani nyingine? Ishu ungesema kama mtu hamuamini Yesu na anaponya sawa.Lakini kama anaponya kwauwezo wa jina la Yesu, kwamafunuo ya Roho Mtakatifu namaongozo ya karama za maarifa na hekima.Hakuna ubaya wowote,ubaya utakuwa nao wewe usiye amini mafunuo ya Mungu wala sio Mungu na atoaye huduma.
Mmmh😳😳
Aliingiliwa na Jini huyo mtoto🤣🤣🤣🤣 poleni sana nyie vipofu
Atembezwe kenya Wale wasioweza fika Tanzania wakabarikiwe n wapate uponyaji
Wako wengine tuko.mbali zaidi ya Kenya
mimi siku nitafika kenya nitapumzika two days day three nitaenda mungu ni mwaminifu muhimu imani 💞🇰🇪🇪🇺
Nawesa kufika aje hapo
Umekuja tena Africa karibu nyumbani kwangu pia
Karibu Mama Maria
Nimefikapo naniimani nitapona
Mhuu jamani mzijaribu hizo roho huyo kweli simalkia wa mbingu kazi yake hufundisha watu uchawi nahuo moto siyo kweli jini narinari ila mnivumilie tuu
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??Mwajilaani hivi, hivi mchana walai. Ni jambo gani Mungu hawezi kulitenda? Anaweza tumia jiwe likazungumza. Anaweza kumtuma bikra Maria, anaweza pia kukutumia wewe ama mtu yeyote yule. Ukisema huamini, basi nikama haumani Mungu ni mweza yote. Ata kama Maria akitajwa hupendi, tangia lini Bikra Maria akawa ni pepo????? Tafakari hayo.
Naomba number ya mama plz or ya baba
Huu ndiyo muujiza wa halisi na wakweli kabisaa
MUNGU AMEONA AKITUMIA WAKUBWA AKINA MWAMPOSA MNAWASEMA SANA NA HAPO JE?
Ana pepo kama babu wa Loliondo, acheni kumwinua shetani.
Unahakika au ulimuomba mungu akakufunulia kua anapepo????? Acha kujidai unajua sana
@@chrisophermazanza6499 pole zako, Yesu akufungue ufahamu wako🖐
Walidai ata Yesu mwenyewe alitumia pepo kufanya miujiza.....haujasema jambo geni.
mwinue wew km rahisi mbona hampingi ile chemichemi ya bikir maria ipo Italy? kasome historia utajua
Utawajua tu watu Wenye roho za korosho kama wewe acha kazi ienderee uritaka mungu akufunurie wewe acha roho mbaya wewe
Anahitaji kuombewa ana mapepo hakuna kitu kama hiki, roho hizi za babu Loliondo acha kabisa kumfuata
Wanaotaka uponyaji omba kwa jina la Yesu si vinginevyo Matendo 4:12 hapana jina jingine tulilopewa sisi wanadamu tupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina la Yesu
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??? Mwajilaani hivi, hivi mchana walai.
@@robertn2817 mtoto atakuwa nabii mkubwa
@@josephineamukumbi7622 Amina.
HUKUMJUA BIKIRA MARIA SASA SAA IMEFIKA ILI WEWE UKIYEPOTOSHWA KUHUSU MAMA HUYU UMFAHAMU
Mungu hakuongezee himani mama Maria endelea kuwa naye
AMEN 🙏🙏
We Agnes ulitaka uyafanye wewe hayo ndo uamini? Kama huna Imani hiyo acha wanaoamini waamini na wewe endelea na Imani yako!!
Kwer kama haamin aache roho za korosho mtoto anapata nguvu toka juu kwa baba muumba mbingu na ardhi
Mmmmmmh
MH KUNA HAJA KUMWULIZA MUNGU HAPO
Siamini hayo. Kwanza anaposema mariya. Maroya alopomzaa yesu kazo yake ikaisjiya pale. Yesu alituambiya kama lolote tutaomba kw jina la yesu tutalipokeya. Ila si kwa jina yesu.
Ujumbe mtoto huyu anao ni huu. "Toba, kufunga, maombi"( Repentance, fasting prayer) . Ni pepo gani kawa na ujumbe kama huu? Uliskia wapi??Mwajilaani hivi, hivi mchana walai. Ni jambo gani Mungu hawezi kulitenda? Anaweza tumia jiwe likazungumza. Ukisema huamini, basi nikama haumani Mungu ni mweza yote. Ata kama Maria akitajwa hupendi, Tangia lini Bikra Maria akawa ni pepo????? Tafakari hayo.
Ni inbox nikupe maandiko ya Biblia ufunguke macho ya kiroho ujue Mariya alikua chombo cha ibada, zaidi ya kuwa chombo cha uzazi tu. Utanishukuru baadaye.
Mfuasi wa MBOWE WEWE
Y
natami nije
Mmmmh
Huyu ni Mungu Roho Mtakatifu ameamua kujidhihirisha kwa huyuMtoto ambaye hana dhambi moto ishara ya uwepo wa Roho Mtakatifu na sala ya BabaYetu ni sala kuu aliyotufundisha Yesu mwenyewe ina utimilifu wa maombi yote natukumbuke ni Neno la Mungu sala zote anazosali mtoto.
Mama Maria A
meshiriki ukombozi wetu ukitaka kuanini kwa hali ya kawaida siku alipozaliwa Yesu Kitovu chake kilipokatwa Damu yaYesu Ilibaki kwenye mwili wa Mamayake nayamama yake kwenye Mwili wa Yesu hivyo ,Alipo mama Maria na Yesu Yupo kwaajili ya Hiyo Damu ya Yesu Amina.
Sio kipaji ni karama wewe mwandishi wa wapi wewe???
MUNGU WA MWAMPOSA NI YULE YULE.SEMENI NA HAPO SASA.
Amen
Mungu atukuzwe katika hili.
Mmmmh