Lissu alishawajibu sababu ya kufanya press nje ya makao makuu ya chama - ilikuwa uchaguzi wake mwenyewe ili kuongea kwa uhuru zaidi. Nyie wafitini mnakazania alinyimwa ukumbi. Huo ni uchochezi. Shame on you all!
Uongo uongo, mbona hakuna kitu kama Hicho? Sauti ya watu hamjui kuwa kuna watu wachonganishi? Neither ni waongo wazandiki. Mnapenda proganda sana za uchonganishi
Tuanze mapema kupiga kelele tusisubili mwezi wa saba
Mbona Mbowe and Co. haonekani hapa kwenye press ya Lissu?
Mm ningetaka kujua nini kifanyike
Watanganyika hatupebdani wanachotaka ni vyeo tu mtu akiambiwa ukweli unaanza kuona rangi zao.
Lissu alishawajibu sababu ya kufanya press nje ya makao makuu ya chama - ilikuwa uchaguzi wake mwenyewe ili kuongea kwa uhuru zaidi. Nyie wafitini mnakazania alinyimwa ukumbi. Huo ni uchochezi. Shame on you all!
Hawa CCM sio wakuwachekea ata kidogo ccm sio samiatu kuna watu nyuma yake
Watu hawana hofu ya Mungu tena
Badala ya kupigana na adui zetu wanaotuumiza mnaanza kuhumizana
Ile kamat maalum ndio ushujaa wa tamaa za madaraka.