Karibuni kutazama na kusikiliza Wimbo huu uitwao "Mpigie Mungu Kelele za shangwe" utunzi wake John Mgandu tuendeleapo na kipindi hiki cha ufufko wa Bwana wetu Yesu Kristo. Umeimbwa na kuletwa kwenu na Timu ya Khaki Media.
Mmmetisha, siyo Siri Sauti Zimetulia na zinatoa Sifa kwa yeye anayestahili kusifiwa. Kinanda ndo usiseme, mbarikiwe Wana wa mfalme wetu Yesu kristo .🙏🏿🙏🏿🇹🇿
HALELUYA ndiyo wimbo wetu. Yaani kama siyo ninyi, wimbo Mmeutendea haki kwa kweli Domi kwa kweli sijategemea. Hongereni sana kwa kazi nzuuri na ubunifu mkubwa. Mmeutendea haki wimbo kwa kweli
Wow amazing sweet voices,well articulate choir and nice song,congratulations an an incredible work,may God give you His graces,strength,gd health more and more years for serving Him,all the best for your endeavours,may God see you throughout,keep🔥burning kudos and big up to Sana🙏👏❤💕💝💞💓😍🥰🌹🤝💗👍👌💪
This is simply very beautiful. What a creative mind. Nimeshaucheza huu winning very many times na siuuchoki. Please Khaki media natamani kuona nyimbo zenu nyingine. Nimependa jinsi mlivyokuwa wabunifu kwa ufundi wa juu sana. Congratulations 🔥🔥🔥🔥👍👍👏🏾👏🏾🙏🏽🙏🏽
Karibuni kutazama na kusikiliza Wimbo huu uitwao "Mpigie Mungu Kelele za shangwe" utunzi wake John Mgandu tuendeleapo na kipindi hiki cha ufufko wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Umeimbwa na kuletwa kwenu na Timu ya Khaki Media.
Kazi nzuri
Naomba namba zako naitaji kufanya kazi na wewe
Melodious voices over there🔥. Patrick nakuona pale ukicheza kwa madaha.😊
🙌🙌😂😂😂🙌🙌🙌
Hongereni sanaaaa Kazi nzuri Sana..
Hatarihatariiiiiiik jamani wana family ya khaki media pro
Aah aaah aaah..... Ninyi wajamaa 😅🙌.... Mungu awabariki. Hahaha this is genius
Wahuni wakiokoka mambo yanakuwa bulbul😂😂😂😘😘😘😘😘😘
😂😂😂😂
😁
😂😂😂😂😂🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😂😂😂🙏❤🙏❤🙏❤❤️❤️😅😅
Some choreography!
Mko vizuri. Kazi nzur
Haya ndiyo mapinduzi ya kiubunifu... Kongole sana kwenu
Daaah yaan nimewapenda bure mmetisha kweli kweli, hongereni sanaa kwa kazi nzuri
Asante 🙏
Mmmetisha, siyo Siri
Sauti Zimetulia na zinatoa Sifa kwa yeye anayestahili kusifiwa.
Kinanda ndo usiseme, mbarikiwe Wana wa mfalme wetu Yesu kristo .🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Tumshukuru Mungu aliyewezesha haya 🙏
Inapendeza kweli hongereni sana
Kazi nzuri san hongereni kwa utume
Asaante Altoo..🔥🔥
Umejuaa kunifurahishaa😅😅
Alto
HALELUYA ndiyo wimbo wetu. Yaani kama siyo ninyi, wimbo Mmeutendea haki kwa kweli Domi kwa kweli sijategemea. Hongereni sana kwa kazi nzuuri na ubunifu mkubwa. Mmeutendea haki wimbo kwa kweli
Tumshukuru Mungu 🙏 (Domy)
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ya moto saaaanaaa..#irudiwe irudiweeew
👏👏👏👏👏 Hongereni sana
Nimewakubali more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Beti ya kwanza ya wimbo yanifulaissha sana maana mungu anawatee watu wake na kuwaabisha maadui maana yy no mkuu wabarikiwe sana walio imba
Me nimefurahi
Tumshukuru Mungu 😊🙏
Unyama ni mwingi sana
Khaki Media for life
Well done #my team. Kazi imekaa Yan 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana kina kaka. Kazi nzuri mnooo
Naamu. Mungu atukuzwe kwa karama yenu. Keep up
Perfecto❤️❤️
Siku ingine mnikaribishepoo mkija kama hivi😀😀
😄😄😄
hii idea nzuri sana brothers,😁😁 nimeipenda sana brothers kazi nzuri sanaaaaa
Asante kk
Super sanaa
Nakubali Max and the team
Dah!!!!
Hongereni sana Wapendwa 👏👏👏
Ase!! Mmetia swagaa nimewapenda😂😂😂
Aisee mmetisha
Amina Amina mmeutendea haki
Hongereni Kwa kazi nzuri aise🔥🔥🔥🎉
Tumshukuru Mungu
Kazi safi
Wow boys 👌👌👌👌💪💪💪
Hongereni sana kwa sauti nzuri
Tumshukuru Mungu
Mgandu all the way😇😇😇
Safii sana imependeza sana mubalikiwe
Mndeme mmevunja hatariiiiiiii
Nyie vijana wa kiume..... Mungu azidi kuwainua kwa kwl.... 🙏🙏🙏
Amina
Mkiwa dar hizi idea mnazizikaga wapi 😀😀😀🙌🏻🥰❤️ good job my fam
Na ilivyokuja, usiku usiku tu yaani. 😁
Baada ya kunywa mbegeee😂😂😂
@@Patrick_Mndeme 😀😀😀
We kaka uliyevaa sweta hongera nimekupenda♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️hongereni🙏🙏
Ngoja niScreenshot kabisa nimtumie asijesema hajasikia
Mngu azidi kuwapigania vijana mkue mkimtumikia mngu
Mwenyezi Mungu awabariki hawa vijana
Amina
Am proud of you guys mnatuwakilisha vyema na kufanya kweli kwa hayo mawimbi ya sauti ipaswavyo..
Hakika kuimba ni raha sana
I i really wish to join the khaki team
Wow amazing sweet voices,well articulate choir and nice song,congratulations an an incredible work,may God give you His graces,strength,gd health more and more years for serving Him,all the best for your endeavours,may God see you throughout,keep🔥burning kudos and big up to Sana🙏👏❤💕💝💞💓😍🥰🌹🤝💗👍👌💪
👌
Congrats #Khaki family
R. I. P Master #John Mgandu
Thanks be to God
Wow ....I like it 💖💖
This is simply very beautiful. What a creative mind. Nimeshaucheza huu winning very many times na siuuchoki. Please Khaki media natamani kuona nyimbo zenu nyingine. Nimependa jinsi mlivyokuwa wabunifu kwa ufundi wa juu sana. Congratulations 🔥🔥🔥🔥👍👍👏🏾👏🏾🙏🏽🙏🏽
Asante 🙏
Hongereni Sana 🥰🔥🔥👌
Asante. 😊
Ni hatari tupu😍💌💣🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi safi sana...
Tumshukuru Mungu 😊🙏
Yes! Hongereni sana❤❤❤
Congrats to you all🔥🔥, mmeimba vizur
Mmetisha sana wanangu
Hongereni nausikiliza wimbo wenu kila siku mmetisha sana
Asante sana Bibianna 😊
Safi sana
Kazi nzuri
tumshukuru Mungu
nice music God bless you guys
Hakika tumpigie MUNGU kelele za shangwe…. Kazi nzuri
Tumshukuru Mungu
nakubali
wow, I love the energy
😂😂wanangu Nna meseji Yenu Technical 😂🙌🏾
😂😂😂😂😂
Mungu ni mwema 🎉
Hakika hii ni wiki ya Wanume....
😂😂😂
Hongeren wakuu hamna baya Mungu awape tuzo❤😂
Amina
Mbarikiwe Sana .... Kazi nzuri
Amina
Jamani this is excellent collaboration na utunzi wa taaluma iliyotukuka. Hongera sana vijana. Keep it up 👍
Hongereni sana wapendwa,wimbo Mzuri na mmeutendea haki.👏👏👏👏
Tumshukuru Mungu 😊🙏
Am really mentored by this people,, melodious voices indeed,,,the lowest voice there is bringing shangwe kabisaa 💕you can do it,,👍👍
So..!! Talented be blessed team.🙌🏾🔥
Waaooh 🤗🤗🙏🏽❤️🙏🏽❤️❤️❤️🔥
🙌🙌
🔥🔥🔥
The lowest voice is total bliss✨
Bonge la style
Naombeni collabo ,🤣🤣🙆🦻
Wahi chap 😂😂😂
Homeplace at Karanga
Sawa mkuu 😁 tutengeneze gospel Moja remix kali
Really really beautiful
Making me happy
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi Nzur mno Mungu awabariki mfikie malengo
Mependa creativity. makini kabisa.... | Nitawanunulia mishipi next time😂😂😂
Haya baba 🤣🤣🤣🤣
@@mashambakapesa714 😹😹😹😝
😁
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Namala
Mko Sawa be blessed
Tumshukuru Mungu 😊🙏
Well done
Thanks be to God
😊😊😊😊❤❤❤
Sauti nzuri , mnacheza vizuri , good idea but next time improve picture muonekane vizuri jaman bila miwani huchomoki 😃😃😃😃au tatizo ni hii techno 🙌😃
Ilishutiwa kwa simu pia 😁, that could have been the reason! Next time will improve 😊
Baila🤣🤣
😁
Patrick
🎉😂
Amen
Kazi nzuri,
Mungu azidi kuwabariki.
Naomba contact zenu
0629498478
Wow kaz nzuri sanaa