"Damu hii iliyomwagika alivyoteseka mwana wa Mungu, Ikawa ndio ukombozi wetu; Upendo wa namna gani huu..." Wimbo: Damu hii iliyomwagika II Gaspar Brothers & Friends Mtunzi: Frt. Lucas Kweka
Khakimedia... Wema wa Mungu ukae nanyi siku zote... kwa namna mlivo u_animate wimbo huu... May the Goodness-The Almighty God and King forever guide your ways and bless you... Amen.
Hakika nimebarikiwa Sana Na Chakula hiki Cha Roho.... MBARIKIWE Wote watunzi mpaka waimbaji na waandaji Niseme Nini Basi Ashukuriwe Mungu kwaajili Yenu
Hongera mnoooo wimbo unainua nyoyo za watu kuona ni kwa namna Gani wanaweza kumgeukia MUNGU kunufaika na nguvu adhimu zenye neema ya Kila namna itokanayo kwa damu azizi ya bwana wetu YESU,mbarikiwemno
HongeraBig Bro Lucas. Umenitoa machozi ya furaha kwa wimbo huu. Mwenyezi Mungu azidi kutukuzwa na wanadamu watakatifuzwe kwa kazi hii. Mungu awalinde na kuwabariki
"Damu hii iliyomwagika alivyoteseka mwana wa Mungu, Ikawa ndio ukombozi wetu; Upendo wa namna gani huu..."
Wimbo: Damu hii iliyomwagika II Gaspar Brothers & Friends
Mtunzi: Frt. Lucas Kweka
Khakimedia... Wema wa Mungu ukae nanyi siku zote... kwa namna mlivo u_animate wimbo huu... May the Goodness-The Almighty God and King forever guide your ways and bless you... Amen.
Kazi nzuri. Safi sana
Uimbaji wenye utondoti uliotukuka...... Congrats, Brothers & Friends Of Saint Gasper
😂😂😂
Kazi safi sana👏👏👏. Kweka🙌🙌🙌
Tumshukuru Mungu
Inanikinga na maovu
Hakika nimebarikiwa Sana Na Chakula hiki Cha Roho....
MBARIKIWE Wote watunzi mpaka waimbaji na waandaji
Niseme Nini Basi Ashukuriwe Mungu kwaajili Yenu
Daaah asantee sana kwa damu takatifu ya Yesu
Shukrani kuu kwa upendo wa Kristo
Nitaulipaje upendo huu ❤
Hongereni Sana kaka zangu wimbo Unagusa Sana🙏🙏
Hongera mnoooo wimbo unainua nyoyo za watu kuona ni kwa namna Gani wanaweza kumgeukia MUNGU kunufaika na nguvu adhimu zenye neema ya Kila namna itokanayo kwa damu azizi ya bwana wetu YESU,mbarikiwemno
Frt Lucas uzidi kubarikiwa sana na asante kwa kukubali kutumia kipawa chako alichokupa kwa ajili ya watu wake.Tafakari nzuri sana hii
Mungu azidi kuwabariki. Mimi ni mfwatiliaji wa kazi zenu Ferran Kweka, Maro na wengine. Hakika mnatumia talanta zenu vyema kuinjilisha
MUNGU ATUKUZWE, MWANADAMU ATAKATIFUZWE!
Congratulations very nice songs and mmeimba vizuri..😊
Mungu azidi kuwabariki.kazi nzuri❤🎉
amina
Lucas Lucas Lucas ❤💯✨🔥 aaah sauti yako aisee
asanten sana aseee kaz nzuriii
Blessed be God,asanteni sana kwa tafakari hii nzuri.Sichoki kuisikiliza
Hongera sana Frt. Kweka kwa tungo nzuri. Hongereni Sana Brothers Singers and Friends kwa production nzuri. Nimebarikiwa nayo kwa hakika
Niseme nini tenaaa?❤❤❤. Full kuutakatifuza ulimwengu.
Nmebarikiwah sana
Can't explain itthe feelings 😭
Wimbo unagusa sana moyoni huu, maneno ya wimbo, melody, sauti za waimbaji yani yote kwa yote Mungu awazidishie,
Another one.... hongera sana frt Kweka and all🎉
HongeraBig Bro Lucas. Umenitoa machozi ya furaha kwa wimbo huu. Mwenyezi Mungu azidi kutukuzwa na wanadamu watakatifuzwe kwa kazi hii. Mungu awalinde na kuwabariki
🔥🔥 Huu wimbo siwezi tosheka.
Everything about it is so good.
Good job
Hongereni saana kwa wimbo mzuri
Congratulation my son Tonny
Hatari hatarini👏👏👏🙏baraka za kutosha ndugu zanguni.
Katika Yote Mungu atukuzwe. Hongera sana Frt.Lucas Kweka na Wenzako. Mmeimba Theology Tamu Sanaa.😂❤❤❤
👏👏
Wimbo mzuri❤❤
Wonderful...... Good Brother
Natamani kuimba na ninyi st gaspa
❤❤❤❤
Nitaulipaje upendo huu 😭🥹🩵
My friend Lucas Feran ❤
Wow🤗🤗 This is amazing, Uimbaji mzuri 😊🙏🙏🙏
Thanks be to God
Mungu atukuzwe 🙏
Amina
👏🏼👏🏼👏🏼
🔥🔥🔥 so awesome 😇
No comment everything is on point my rate on this song is 10/10.
Mungu mtoa wa karama zote awazidishie katika utume wenu mwema ❤
Amina
Fuego brothers❤
Aloooh 🔥
Mungu azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia yeye siku zote za maisha yenu ,Kazi nzuri aiseee
amina
Damu hii
Awesome 💯
Beautiful composition;
Beautiful execution✨
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love it so much
🙏🙏👏👏👏
🔥🔥🔥🔥
💯💥
Wooow...nice piece❤❤❤
Safi
Antony eponda big up broo all the way from kasita
Amen
Aloooo
Always mko bora blessed brothers
Nice
It's a blessings 🙌 😊
Amen
🙏🙏
😊😊😊😊
❤
🙌🙌🙌🙌🙏
😋 ❤