Karibuni wapendwa kwa tafakari kupitia wimbo huu uitwao "MWIMBIENI BWANA" utunzi wake John Mgandu, ulioimbwa na Marafiki wa Khaki Media ili kuendelea kushirikishana tafakari za kila Dominika na waamini wote kupitia Nyimbo. Karibuni nyote na usisahau kumshirikisha ndugu,jamaa na rafiki kiungo cha wimbo huu!
Kuna watu watasubili sana hakika Mungu wacha tumtukuze kwa kuimba. Mzee Mgandu hakuwahi kukosea aisee katika nyimbo zake zote nilizowahi imba sikuwahi kutana na nyimbo mbaya ikanichosha kuimba hapana. hongereni sana familia ya Khak Media Pro Tukojuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Karibuni wapendwa kwa tafakari kupitia wimbo huu uitwao "MWIMBIENI BWANA" utunzi wake John Mgandu, ulioimbwa na Marafiki wa Khaki Media ili kuendelea kushirikishana tafakari za kila Dominika na waamini wote kupitia Nyimbo.
Karibuni nyote na usisahau kumshirikisha ndugu,jamaa na rafiki kiungo cha wimbo huu!
Hongereni sana namuona Bwana mdg saimon 😍
wimbo haupoi wala hauboi
tumshukuru Mungu
So nice sichoki kusikiliza
Big saaaana Khak 100%
Barikiwa sanaaa
HALOOOO ......, niyamoto mnooooo
dah mmetenda haki sanaaa, dah
wimbo mzuri sana jamani!!!! nabarikwa tu kabla hata hamjaimba nawapenda mno
Imekaaaaaa hiyo
Alto altoooo aisee daah..
We una nini na alto 😁
@@sundayssmile2128 hahahahahaaa aisee altoo altoo ndo muziikii mtamu, ladha ya mzikii unapootookaa..sikilizaa altoo utanishuukuruu rafiki anguu
Kazi safi
Kazi nzuri mnooo
Sina chakusema Asante Mungu kwa vijana hawa wanao tumia vipaji vyao kukusifu na kuinjilisha
Amina
Moto aisee mbalikiwe sana
Kaka kazi inaonekana soon soon
Injili isonge mbele
AMINA mbariwe sana sauti nzuri
Wimbo mtamu sana.
Kuna watu watasubili sana hakika Mungu wacha tumtukuze kwa kuimba. Mzee Mgandu hakuwahi kukosea aisee katika nyimbo zake zote nilizowahi imba sikuwahi kutana na nyimbo mbaya ikanichosha kuimba hapana.
hongereni sana familia ya Khak Media Pro Tukojuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
By Sunzu Myahudi halisi
Wimbo mzuri, Hongereni Khaki Media Family
Khaki Media for life na hii ni yaaa motooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Congratulations 🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏👏👏👏 Kongole waimbaji na mtunzi.
Wow😍😍 mbarikiwe
Safiiiiiii
Aisee nafikiri director anasahaulika sana😁 big up director wa hili songi 🙌🏽
Kaz Nzr Mungu awabariki mfikie Marengo yenu
amina
Kazi njema mnoo mbarikiwe wote.
Amina
Wimbo huu mzr sn nammeimba vzr hongereni sn
Nawapenda Bure wanakhaki media Mungu azidi kuwatetea
Fam for life.....❤️
Great !!!
Waoooh! Kazi nzuri sana wapendwa, ❤ hongereni sana
Aiseeee🔥🔥 Wimbo Mzuri sana mmeimba vizuri pia..Mzee Mgandu🙌 apumzike Kwa Amani👏
Amina
🔥🔥🔥🔥My favorite song
Mpo vizul mnaimba kwa hisia!
Hongeren na Mungu awabariki 🙏
Amina
Kazi ni njemaa sana
great!!!!
Still enjoying this song a lot. Hii team mkitubariki na wimbo mwingine tutashukuru sana
❤ wimbo mzuri
Good as expected!
Congrats to:
#Khaki Media team
#MBJ. for being creative 👏
Good performance 👌
This is great 👍
I like it; it makes me almost shed tears of joy!!
Very nice
Very well done!!! Listening as I go to mass.
Glory be to God!
This Song is so obsessive. Good performance. Kongole kwenu
Asanteee
È un Lavoro grande! Che Dio vi benedica tutti I cantantori che hanno partecipato Nel questo proieto
Amen
Amen
Amen
Splendid.keep going guys!
Happy New Year. Looking forward to more songs.
Same to you! Songs will surely come
Mgandu bana😊
I love this song
Very amazing❤❤❤❤❤
Waaooh 🤗🤗🙏🏽❤️🙏🏽❤️❤️❤️
Be blessed by Jesus
Amen
🥰😍❤️
Good song🌹🥀🌷🌷
Love you people
💘
Q🎉😅❤😊😊❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥