Moyo wa Ibada - Ni wewe Yesu Paul Mwangosi Feat Cassian Kambole

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Yesu ni wewe wa kuabudiwa Utukufu na Heshima zote ni zako
    Umezungukwa na Utukufu wako
    Heshima zote zina wewe uliye mwaminifu
    Enzi yako ni ya milele daima.
    Nipende Kumshukuru Mungu kwa Uaminifu wake wa kuachilia Neema hii ya kumuabudu.
    Pia nawashukuru wote walio tumika pamoja na Huduma hii ya Moyo wa Ibada kwa njia ya Uimbaji Sadaka Maombi na Kila kilichofanikisha Ibada hii
    NI WEWE YESU WA KUABUDIWA
    UTUKUF NA HESIMA ZINA WEWE YESU
    NI WEWE YESU WA KUABUDIWA..

ความคิดเห็น • 6

  • @barakamwangunda
    @barakamwangunda 23 วันที่ผ่านมา

    Utukufu ni kwa Mungu aliye hai.BARIKIWA SANA MTUMISHI

  • @user-ff9nw2tj1e
    @user-ff9nw2tj1e 2 วันที่ผ่านมา

    Ni Yesu tu wakuheshimiwa, hallelujah!

  • @MasiRose
    @MasiRose หลายเดือนก่อน

    Wimbo unabariki sana asante mtumishi Paul mungu akubsriki

  • @mlowejohn8481
    @mlowejohn8481 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mno Baba

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 26 วันที่ผ่านมา

    Haleluya

  • @neemakasambale2822
    @neemakasambale2822 3 หลายเดือนก่อน

    Glory to God