COUNTRY BOY : ALIKIBA , HAJUI KUVAA / BANGI NI DAWA -

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @joelbaadaeke
    @joelbaadaeke 5 ปีที่แล้ว +190

    Wauni sio watu wazuri Leo nimewahi nipeni like jamanii

  • @ramadhaniabdallah8021
    @ramadhaniabdallah8021 5 ปีที่แล้ว +125

    Bonge la kipindi umetisha country boy kama unamkubali Jonijooo gonga like twende sawa

  • @yasinjumanne9209
    @yasinjumanne9209 5 ปีที่แล้ว +22

    Jonijooo nakukubali na kipindi chako bt mnachelewasha Sana TH-cam ad tunakasilika

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 5 ปีที่แล้ว +6

    Jonijoo we unajua sanaaaaaa babaakooo keep it doing

  • @dianameshack2848
    @dianameshack2848 5 ปีที่แล้ว +15

    Jonijooo anaibia kwenye kurusha mpira kwel muhuni siyo mtu mzuri kama jonijooo

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 5 ปีที่แล้ว +18

    kisa umeajiriwa na mondi unamponda kiba kweli mhuni si mtu mzuri babaakoooo

  • @daudiwambura5214
    @daudiwambura5214 5 ปีที่แล้ว +46

    Yoooooooooo....Jonijooooo # WCB4 LIFE# Ngonga like twende sawaaaa

  • @breezy9398
    @breezy9398 5 ปีที่แล้ว +17

    Mlete idris sultan tuone ujinga wake😂

  • @kenallday1115
    @kenallday1115 5 ปีที่แล้ว +5

    Kutoka Kenya namkubali Sana jonijoo

  • @bernadvenas6844
    @bernadvenas6844 5 ปีที่แล้ว +4

    Country nakukubali sana yule boy

  • @stevekanemelakatembotz8829
    @stevekanemelakatembotz8829 5 ปีที่แล้ว +6

    Jonijoooo we ni mkali sana boy
    Baba akooo

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 5 ปีที่แล้ว +4

    Jonijo 👏👏👏👏👏👏👏kipindi kizuri sana from burundi tunakufatiriya sana

  • @zulfahhussein5879
    @zulfahhussein5879 5 ปีที่แล้ว +34

    Asee nikikosaga hii show sikuagi poa tangu juzi naitafuta

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 5 ปีที่แล้ว +28

    BabaAkooo sasa.......! Hii sifa maana wasafi Media mpo Creative Acha Tyuuu from #Refresh #Kwetu #TheBarTender #TheNextMVP #TheQueens #KubumKubam #WayBack bat I'm waiting For #TheRealLifeOfWasafi and Other Tv programs

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 ปีที่แล้ว +6

    Baba ako 😍😍😍 nakupenda we kaka

  • @madolovetanzani248
    @madolovetanzani248 5 ปีที่แล้ว +20

    Nmekuwa wa mwisho jaman au uku nliko mbali😂😂😂😂😂

  • @allyn2c649
    @allyn2c649 5 ปีที่แล้ว +64

    WCB moto mwingine inabidi mtazamwe kwa jicho la pili #WCB4LIFE 🙏🦁

    • @khadijaissaissa5824
      @khadijaissaissa5824 5 ปีที่แล้ว +2

      Safi San

    • @hamisisha
      @hamisisha 5 ปีที่แล้ว +1

      jicho la 3👌

    • @florianbeatus5682
      @florianbeatus5682 5 ปีที่แล้ว

      Wazo la mkasi ya ay na salama..so far salam ndo amedirect hi ktu coz nae ni supporter mkubwa wa wasafi

  • @idrisaomar6080
    @idrisaomar6080 5 ปีที่แล้ว +14

    Bonge moja la pindii 👍

  • @alibinali_
    @alibinali_ 5 ปีที่แล้ว +27

    COUNTRY BOY WE NOMA SANA UKO JUU MTU WANGU 🎲👊🏾

  • @samgenster3787
    @samgenster3787 5 ปีที่แล้ว +7

    Sasa leo ndio wa2 wajue kua diamond na ali kiba mondi yupo juuh tena sana

    • @dr.mgungo1429
      @dr.mgungo1429 5 ปีที่แล้ว

      Mondi hapo linatumik jina lake tu kama kwenye zile karanga ila mwenye tv yake ni joseph kusaga

  • @noelflavia9617
    @noelflavia9617 5 ปีที่แล้ว +21

    Mwambie boss aweke kwenye dstv atakua katisha sanaa

  • @ambitiousboy_____m3605
    @ambitiousboy_____m3605 5 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂1950...jonijo una story zako za kimazabe 😁😁

  • @ammyjay295
    @ammyjay295 5 ปีที่แล้ว +3

    Classiq show nakubali sana kizazi jeuri babaako

  • @benardzoya3572
    @benardzoya3572 5 ปีที่แล้ว +4

    hatarii sanaaa hili pindi

  • @shabanmagawa4465
    @shabanmagawa4465 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali baba yakooo mtu mbaya country wizzy mzee wa turn up 🤑🤑

  • @katanicarter0568
    @katanicarter0568 5 ปีที่แล้ว +6

    Show la kijanja
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Kitu juu ya kitu yaaan Kitukituuuu

  • @dadyshunaydah5802
    @dadyshunaydah5802 5 ปีที่แล้ว +6

    Bonge la kipindi liko HOT..... HOST Yuko HOT..... Kaa kitaalamu weweeeee.... Babaakoooooo JONIJOOOOOO

  • @kelbertkiza8233
    @kelbertkiza8233 5 ปีที่แล้ว +6

    Jonijooo na maswali yako bhana 😂😂😂😂

  • @braininc1195
    @braininc1195 5 ปีที่แล้ว

    uyu jamaa ni muhenga kwan mbona kila kitu anaju yeye duuu umetisha jonijoo

  • @fundimaloti6192
    @fundimaloti6192 5 ปีที่แล้ว +174

    kama umekuja hapa kwa kuona jina la alikiba

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha 5 ปีที่แล้ว +13

    Martha ❤️❤️....your dreams are persuading bloody ☺️☺️#The bartender 🔥🔥

  • @nzalalilajr6002
    @nzalalilajr6002 5 ปีที่แล้ว +18

    Sema mnachelewa kuweka youtube

  • @bernardmathias5881
    @bernardmathias5881 5 ปีที่แล้ว +15

    Woyoo Leo nimewahi kidogo.

  • @leonardmavele183
    @leonardmavele183 5 ปีที่แล้ว +26

    Wasaf tv naenda kununua king'amuz cha Star times kwaajil yenu

  • @livinArrow
    @livinArrow 5 ปีที่แล้ว +6

    Jonijoo Baba Akoo🙌 Yule boy

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu wako live namaisha
    Joni jooo Baba aako!

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 5 ปีที่แล้ว +4

    mzee misifa @countryboy

  • @howardally8330
    @howardally8330 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali dunia country boy na joni joo

  • @moreandmorejagant45
    @moreandmorejagant45 5 ปีที่แล้ว +10

    🔥🔥🎧👍 kipind makin sana i love the show is the most precious

  • @molovedaplatnumz9009
    @molovedaplatnumz9009 5 ปีที่แล้ว +1

    Country boi nomaaaa sanaaa

  • @mustafahaji7112
    @mustafahaji7112 5 ปีที่แล้ว

    Jonijo unaweza Hadi raha tutaona mengi mwaka huu hongera Sana kipindi kizuri sana

  • @alikibardc9229
    @alikibardc9229 3 ปีที่แล้ว

    Jonijooo nasisi wakongo tunakufata mon frère je t'aime beaucoup gonga like mambo iendelee🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @hamadabdallahsaidal-jabir4411
    @hamadabdallahsaidal-jabir4411 5 ปีที่แล้ว +4

    sure : first woman pilot in africa Asli Xasan Cabaade She soloed her first flight on 9 September 1976

  • @andelherrera5137
    @andelherrera5137 5 ปีที่แล้ว +5

    country hupo high

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +6

    Jonijoo ilo surual vip c litadondok jmn

  • @alibinali_
    @alibinali_ 5 ปีที่แล้ว +2

    Jonijooo The Bar Tender Mchezo usiuchezee wewee kipendi hiki nakipenda sana

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 5 ปีที่แล้ว +4

    Baba ako kipo powa sana hiki kipndi

  • @smith702
    @smith702 5 ปีที่แล้ว +30

    Kama umemuona drogba kwenye TV gonga like twende sawa

  • @truppdizz7330
    @truppdizz7330 5 ปีที่แล้ว +1

    noma sana hii pindi mazeee

  • @florianlpk7018
    @florianlpk7018 5 ปีที่แล้ว +4

    I think hiyo uloshika so Lamborghini ni Ferrari Spider 488.. But pindi kali nalielewa 🔥

  • @mariamjumaswalehe635
    @mariamjumaswalehe635 5 ปีที่แล้ว +5

    wahuni so watu wazur tunapiga lokc

  • @saraphinagodlisten1124
    @saraphinagodlisten1124 5 ปีที่แล้ว

    Favorite country boy....show kali sana

  • @bawilihuseni1279
    @bawilihuseni1279 5 ปีที่แล้ว +4

    Jonijooo utauwa watu kwa style zako

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 5 ปีที่แล้ว +3

    Tuko live na maisha baba akoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @raymondmboro7445
    @raymondmboro7445 5 ปีที่แล้ว +4

    Jonijo nimekuperemba kinoma kumbe ndo kipande hii.. og san

  • @sebastianfesto8777
    @sebastianfesto8777 5 ปีที่แล้ว +1

    💖💖💖💖 noma sanaaa

  • @kapishoyasini2220
    @kapishoyasini2220 5 ปีที่แล้ว +42

    Yani nasema iv dunia nzima hakuna kipindi cha kijanja kama hiki anaebisha ajifanye kama anajikuna mamaee mana wasafi TV wanavitu konk

    • @josephkelvin106
      @josephkelvin106 5 ปีที่แล้ว

      Kapisho Yasini

    • @royaldangoteboy2626
      @royaldangoteboy2626 5 ปีที่แล้ว

      amna kituuu hapooo

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว

      Haaahaaaaa..Vipindi vingi vya Tv za Bingo huwa tunaiga mbele utakuta tunajidai kubadlisha badilisha tuvitu kidogo,Alfu pia ubunifu wa Vipindi hakuna kabisa vingi ni kuhoji wasanii tuu yaanii🏃🏃🏃🏃

    • @azizikiduto5304
      @azizikiduto5304 5 ปีที่แล้ว

      Kapisho Yasini mmmhh sio p

    • @azizikiduto5304
      @azizikiduto5304 5 ปีที่แล้ว

      Kapisho Yasini p.

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana jonijoo

  • @bashirualimwikecafu6025
    @bashirualimwikecafu6025 5 ปีที่แล้ว +3

    Poa sana baba ako

  • @pirlojunior297
    @pirlojunior297 5 ปีที่แล้ว +24

    Kama unamkubali country boy gonga like

  • @fredykapinga8226
    @fredykapinga8226 5 ปีที่แล้ว

    We jamaa ungekuwa umevaa ki weiter ingitisha sanaaa

  • @Albartzmss
    @Albartzmss 5 ปีที่แล้ว +19

    Duuuh cjachelew
    Wa 11 kucoment🤣🤣🤣👍👍👍

    • @karatikipusa8445
      @karatikipusa8445 5 ปีที่แล้ว

      favdj_albartzmss the lovely kudalodi

  • @ibumdachitv3066
    @ibumdachitv3066 5 ปีที่แล้ว +3

    babaangu ni konki masta konki@jonijooo

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 5 ปีที่แล้ว +2

    sukuma ndani 😁😁😁😁

  • @haroonmdou2954
    @haroonmdou2954 5 ปีที่แล้ว +6

    BABA anko

  • @kengotv7024
    @kengotv7024 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo la wabongo mnapenda kumkosoa mtu kama kuna mchango unamchangia kwenye maisha yake we fanya yako hajui kuvaa ila maisha yake yanaenda

  • @mudykpjr7271
    @mudykpjr7271 5 ปีที่แล้ว +5

    Mnazinguwa naxhelewa kutowa

  • @frankcreme1898
    @frankcreme1898 5 ปีที่แล้ว

    Babaaaako wahuni sio watu wazuri, piga 🔓 like nobad busines

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 5 ปีที่แล้ว +1

    Game ilikuwa tough sana

  • @deogratiuskombe5789
    @deogratiuskombe5789 5 ปีที่แล้ว

    Umetishaaaa

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 5 ปีที่แล้ว +6

    👏👏👏

  • @popperkuch669
    @popperkuch669 5 ปีที่แล้ว

    Jonijoo asante sana kwa kuniingizia sehem ambayo haina kituuuu

  • @henjobwayzer3972
    @henjobwayzer3972 5 ปีที่แล้ว +1

    Jonijoooo umeua

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 5 ปีที่แล้ว +3

    JAMANI!!!!!!! Beer Pong rules.. uruhusiwi ku bounce the ball on the table. You have to throw the ball directly into the cups. Hawa jamaa kweli hawajawahi kucheza beer pong..hahahahaha

  • @matolazelafi7190
    @matolazelafi7190 4 ปีที่แล้ว

    Jonijoo nomaah kam unakubali ngoma like

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +6

    Nice

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 5 ปีที่แล้ว +1

    Show Kali babaako.

  • @joshuajohn8515
    @joshuajohn8515 5 ปีที่แล้ว

    jonijooo we mkali

  • @jennifermrope1577
    @jennifermrope1577 5 ปีที่แล้ว +4

    "Wasafi Tv"mnachelewa kutupostia hiki kpnd mtandanon bwana kiukwely imepta sikuh tatu bila kukipost wengine atuna mda wa kuangalia tv tunapotezea tukizan tutakuta mda ou ou online mnazingua serious😢😢😢😢😢😢😢

  • @isackip8468
    @isackip8468 5 ปีที่แล้ว +1

    Country Mtu mbayaaaaa

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 5 ปีที่แล้ว

    Nasubiria Kumuona Nikki Mbishi Kwenye bartender oee #jonijjo

  • @jacksonosama5159
    @jacksonosama5159 5 ปีที่แล้ว +4

    Babaaa akoooooooooo

  • @ghazalatiki3558
    @ghazalatiki3558 5 ปีที่แล้ว

    uyu jamaa itapendeza akifanya kazi na young d. sijui kama wamewahi

  • @nzalalilajr6002
    @nzalalilajr6002 5 ปีที่แล้ว +1

    Kali kinoma

  • @abnizplatnumz5520
    @abnizplatnumz5520 5 ปีที่แล้ว +1

    Jonjooh unajua broo

  • @abdulkhamis1194
    @abdulkhamis1194 5 ปีที่แล้ว +3

    Jonijoo uko vizr kwa hili pindi lakn jitaid kuziweka TH-cam mapm broo maana sisi tusio na ving'amuz tunalikosa pindi kwa mda muafaka

  • @khamissoud1305
    @khamissoud1305 5 ปีที่แล้ว +6

    haijawai chujaaa babakeee wahuni sio watu wazuri

  • @tiantopherinnocent
    @tiantopherinnocent 5 ปีที่แล้ว +17

    Kizazi saaaana bro jonijooo haujawahi kosea ase we mnoma jamaangu.

  • @mussajoseph7746
    @mussajoseph7746 5 ปีที่แล้ว +9

    Eti mkuu wa mkoa wa Tabora Mroto 😁😂😁😂 we ndezi kweli nimecheka kinyama

  • @ledasjosseph5558
    @ledasjosseph5558 5 ปีที่แล้ว

    Nimekubalii

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 5 ปีที่แล้ว +2

    JAMANI!!!! JAMANI!!! na hiyo electric toy ya gari sio Lamborghini ila ni toy ya FERRARI F450. hahaha

  • @damsafir2576
    @damsafir2576 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 jonijooo tutoe masikio taka

  • @manyaniinc3579
    @manyaniinc3579 5 ปีที่แล้ว

    Vipind hv ndo tunavyovitaka,kipind ata akichoshi,ongereni sana kwa idea nzuri

  • @victoriagodwin8756
    @victoriagodwin8756 5 ปีที่แล้ว +7

    💕

  • @hamisifuko4281
    @hamisifuko4281 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anisamehe tu,lakini huyu jamaa Country mi sijawahi kumuelewa.

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 5 ปีที่แล้ว +7

    nimekipenda mazima hichi kipindi no🔥🔥🔥

  • @graphitewassermann3348
    @graphitewassermann3348 5 ปีที่แล้ว +1

    Show noma sana

  • @adamchampion2778
    @adamchampion2778 5 ปีที่แล้ว

    Jonijoo nimeikubali hii .bonge la shooo

  • @nasibuyahya216
    @nasibuyahya216 4 ปีที่แล้ว

    Nakubal jonijoo

  • @jumanjanja555
    @jumanjanja555 5 ปีที่แล้ว

    Zeee la kukomesha nimekubaliiiiiiiii kinyamaaaaaa