BAAASI WAMEKWISHA!! USAJILI WA KIUNGO MPYAA YANGA NI HATARI HUYU NAJIM MUSA NI "PURE TALENT"...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2024
- #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
- กีฬา
Mimi mwenyewe nimemkubali
endelea kujidanganya ivoivo
Na scudu alikuja kwa Mbwembwe sasa leo kiko wp Kusajili ni kamali bwana
😂😂😂 jobe fobia inakutesaa .... Scudu akija pale udundukani anachagua upande gani acheze either kulia au kushoto...
Lkn yanga walichukua ubingwa Sasa Simba kachukianin? Acha umama wewe
Ligi hii itakayo anza wata shindwa kuhujumu Simba. Ligi tuleio maliza hawo upande wa pili walihujumu sana Simba. Kupiteya kwa Magungu. Huyu Magungu zahiri ni yanga. Amini ama usipo ni Amini. Kunye uchaguzi alipita kwa hujuma. Huyu ha stali kwa mwenye kiti wa Simba. Kama wana chama mukiwa umoja inabidi kumsuseya huyu Magungu.
endelea kujidanganya
Nenda kwanza kasome ujue kuandika ndio utoe maoni hapo magungu hatuelewi ni nani😂😂😂😂😂
Hizi ni stori za kahawa ndugu amka toka ktk usingizi kitu bora tengeneza timu
Ukishindwa kubali na siyo kuleta visingizio visivyo na msingi.Kwa mtindo huo wa imani potofu mtaendelea kupigwa milele.