DIEGO: YACOUBA SONGNE NI GREEN AND YELLOW!! KWA USAJILI HUU YANGA NI BIG YES AU BIG NO? ...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2024
- #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
- กีฬา
Yacouba kama kweli ni vizuri
Kama kwel yacuoba karud yanga hii iko hivi mwamba huyu ndie aliemshawishi sana Aziz ki inawezekan kabisa ili Aziz abaki bas yacuoba arud apate nae keki ya mwananchi hii inaitwa nilinde nikulinde
Huyo hawezi kufit kwenye squad siyo quality
Kipingo ni mwisho wa matatizooo
💪💪💪
Inawezekana amepona na Yuko vizuri yaquba anafunga anakaa na boli anavitu vingi
Yacouba ni majeraha tu, lakini akipona ni mchezaji mkubwa wa timu ya taifa la Bokinafaso kabla ya majeraha.
Yacouba ni wa kimataifa akipona anafaa zaidi ya wengi humo Yanga.
Nooooo.
Na c kweliii.uzush
Mgema ukimsiifia tembo hulitia maji,kumsajili ni upumbavu wa viongoz au timu Sasa Ina njaa
Ni upupu huo ni kujaza vinywa..
No no no...Hana quality lbd Kama shukran fulani hivi😅😅😅😅
Tff waongeze idadi ya wachezaji wa kigeni toka kimi na mbili mpaka kimi natano au kumi na saba aksante
Yacuba no
Huyu ndie mchambuzi sasa.
Hizi stori tuu
Asante. Ssna. Kama. Kweli. Viongozi. Wetu. Wanamurudisha. Yakuba. Son. Basi. Viongozi. Wameichoka. YANGA. Hivi. Tujiulize. Kuna. Shida. Gani. Kumurudisha. Yakuba. YANGA? Huko. Ni. Kuishiwa. Hana. Sifa. Ya. Kurudi. YANGA. Huo. Ndo. Ukweli. Usiofichika
Lakini Yacouba ni zaidi ya Skudu na Okrah!! Alitupatia msimu bora pale no 10 akiwa na goal kama kumi hivi na assists kadhaa msimu ambao Nabi aliichukua timu hapo ni kabla majeraha hayajaja kumvuruga.
Yacouba tenaaaa duuuuuu
Ni upuuzi mtupu