HALI TETE YANGA!! WAFUKUZWA AVIC TOWN WAJIBANZA TEMEKE UWANJA TRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu vingine ni ujinga tu,suala la madeni yanayohusiana na usajili hayapo Yanga tu,Yapo kwenye vilabu vingi Duniani,hivyo ni kitu cha kawaida tu ---- Kuhusu kujiendesha kihasara,mpaka baadhi ya vilabu vikubwa Duniani vinajiendesha kihasara --- Kuhusu Avick Town --- Timu iko likizo,kuwepo kwa deni,ni kitu cha kawaida,kwani wamewaambia hawawezi kulipa " acheni ushambenga "

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu friji bovu unapenda kuwaponda yanga ili maisha yako yaende

  • @hurumakaaya1150
    @hurumakaaya1150 3 หลายเดือนก่อน

    CHANNEL IPO KISIMBA SIMBA SANA

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 3 หลายเดือนก่อน

    Media za kwetu ni za kishamba sana. Yaani unamwona mtu mzima analio gelea jambo sio kwa faida bali kwa nia ya kuwakatisha tamaa watu wengine. Huwezi kuona wa hM uzi wetubwakitoa majibu ya tafiti bali wanavizia matukio na ndio mwisho wa kufikiri kwao. Jesho likibadilika na wao wanabadili kauli zao.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga wako likizo, ile ni timu ya safari larger.

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani Simba hwana madeni?

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wa viongozi wa Yanga hawakaribishi mtu kitu eti chai ya asubuhi, wao na msimamo tu, Yanga ni timu ya mpira, hamna kudekeza wapiga mawe miti yenye matunda.Mkitaka matunda na chai mtayqpata shambani.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 หลายเดือนก่อน

    Friji bovu ni mjinga tu na mchonganishi wa yanga. Ongelea litimu lako lililoshuka daraja. Pumbavuni.

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 หลายเดือนก่อน

    acha uchonganishi Mzee wa friji bovu sai wako likizo na avic town wapo vijana wa safari champion sa mazoezi ya wapi na wapi bila yanga hamuendi mjini mnapendaga madhaifu tu mazuri amyaoni ndo bongooo na wachambuzi wetu wa sai

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Mti wenye matunda mawe saizi yake. Hamna uchambuzi hapo.

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน

    Ww ni falaa hayakuhusu

  • @hurumakaaya1150
    @hurumakaaya1150 3 หลายเดือนก่อน

    HII NI CHANNEL YA SIMBA YAKE??
    NANI ANAWEZA KUNIFUNDISHA NAMNA YA KU UNSUBCRIBE?????????????

  • @fyitafaustine5758
    @fyitafaustine5758 3 หลายเดือนก่อน

    Mmeishindwa yangu kwenye mpira mnahamia kwenye fitna, mafala nyie, chezeni mpira

  • @hurumakaaya1150
    @hurumakaaya1150 3 หลายเดือนก่อน

    HII NI CHANNEL YA SIMBA.... AMBAO HII CHANNEL HAITUHUSU...TUAGE MAPEMA

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wa yanga timu yao ikisemwa wanakuja juu ingekuwa simba ingekuwa furaha

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 หลายเดือนก่อน

    Ngoma ikivuma sana ndio karibu na kupasuka Tutayasikia mengi sana ya utoporo

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna aibu hata kidogo, mnajitahidi kuiponda Yanga lakini hamuwezi

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Dar yote ina joto, cha ajabu nini? Dar wstu wanavaa suti mwaka mzima , unazungumzia joto? Yanga wakirudi avic mtasemaje?.

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu friji bovu unapenda kuwaponda yanga ili maisha yako yaende

  • @Aviwamwadin-so3vy
    @Aviwamwadin-so3vy 3 หลายเดือนก่อน

    Si muende mkawaulize wenyewe kama hamna uhakika wa mnayoongea chuki imekuandama mtangazaji itakuuwa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwenye nyeusi ni mchambuzi bora sana ila huyo njano aendelee kujifunza kwake maana uchambuzi si chuki.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Unafikiria nini? Huna uhakika? Kama huna uhakika kwanini utuletee hayo?.

  • @JacklinaJohn
    @JacklinaJohn 3 หลายเดือนก่อน

    uyo mwenye kijisuti cha kuazima anaumwa mavi ya bata

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe njano uchambuzi ni chuki? Yanga ipooooo bora sana.