MAAFISA KUTOKA CSKA MOSCOW WAKIZUNGUMZA BAADA YA MAJARIBIO KWA VIJANA DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @bakarimdee8673
    @bakarimdee8673 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mwenyezi mungu awabariki kwahichi mlichokifanya

  • @raphaelerick838
    @raphaelerick838 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi njema kwa viongozi🎉

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shehan Rashid ni winger poa Sana.safi Sana ,watoto wa jangwani

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hakika naomba ibi bifahaa tubilete na sisi kwenye timu yetu kubwaa hakika kazi nzuri kwa viongozi wetu muna ona mbali kbs naimani kuko siku tuta kuja kula matunda ya awaa vijana wetu ilove you yanga Africans ❤inshallah 🙏 naiona mabali kesho yetu

  • @HamisiKapirima-uf8fx
    @HamisiKapirima-uf8fx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza jmn

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 หลายเดือนก่อน +2

    Moscow putin

  • @ChrissCalvin
    @ChrissCalvin 3 หลายเดือนก่อน

    Nani kama yanga na viongozi wake?!;;; 😄😃😆🏃⛹️❤❤❤

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga inamalengo makubwa na mipango mikubwa hii imeenda kama kunamtu anaumia kwa michakato hii basi makolo wanaumia sana

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania Kuna timu Moja tu inayoendana na zama za soka la kisasa zingine zipo ktk kipindi Cha zama za mawe za kale.Hongera Timu yangu ya Young African sports

    • @augustinomkongwa5444
      @augustinomkongwa5444 3 หลายเดือนก่อน

      Zingine zinaandaa timu zao kuifunga yanga tu hazina mwendelezo wa kisoka

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 3 หลายเดือนก่อน +1

      Zama za uwimbombo😂😂😂😂😂

  • @suleymanpongwa4588
    @suleymanpongwa4588 3 หลายเดือนก่อน +3

    Eng Hersi hongera sana kwa mwenendo wako wa uongozi i hope yanga itakuja kuwa team tishio ktk hili bara la Afrika big up my brother

  • @fadhilfathamula4224
    @fadhilfathamula4224 3 หลายเดือนก่อน +3

    Naiona timu yetu YANGA mbali saaana kisoka

  • @kizakizapetro6205
    @kizakizapetro6205 3 หลายเดือนก่อน +4

    Big up my team ,i want to advise Young Africa is international now everyone talk about Young Africa, the must have English too

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 3 หลายเดือนก่อน +1

      Oh start with your own English command first if that's the way forward

    • @GodfreyKirumbe
      @GodfreyKirumbe 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@clementiddi5708dah haya bana!

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 หลายเดือนก่อน

      Go to school first! Ur English is poor! Then come back here!

  • @ThomasColinel
    @ThomasColinel 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚💪

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiwa Mwanayanga Fulu Raha Klab ya Wasomi

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa wameenda mbali sana mpaka wa miaka 6 day care wanao ndio maana ulaya wenzetu wako mbalisana kisoka

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 หลายเดือนก่อน

      Watu wanaingia academies za mipira kuazia miaka minne bro! Wenzetu waache! Wanasaini mikataba kuchezea timu zao miaka kumi,akisha saini( wazazi) ,haendi kwingine!

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Raha tupu

  • @dicksonmzao8376
    @dicksonmzao8376 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanachi popote ulipo lazma ujivunie watu kama hawa huwez kuwapata kama tm yako mbovu

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 3 หลายเดือนก่อน

    Wkt PUTIN yupo Vietnam,Maafisa wa Kabumbu wapo TZ.Hadi Rahaaaaaaa

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 หลายเดือนก่อน +1

    Moscow putin

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 หลายเดือนก่อน +1

    Moscow putin

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa wa Yanga kweli ni mtaalam basing on kind of questions he asked

  • @rashidinyota8426
    @rashidinyota8426 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ubariki yanga Mungu wabariki viongozi

  • @izvibez6823
    @izvibez6823 3 หลายเดือนก่อน

    Kakzhilai how are you
    Pakkaa Goodbye
    😂😂

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 3 หลายเดือนก่อน

    Naiona Yanga ya kimataifa inafika mbali kwa mipango yake

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwa😂😂

  • @jbboy48tv49
    @jbboy48tv49 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 3 หลายเดือนก่อน

    💚💚💚💛💛💛

  • @mussambilinyi423
    @mussambilinyi423 3 หลายเดือนก่อน

    Great 🎉

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 3 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @khamisomar889
    @khamisomar889 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni aibu priva kushindwa kuhoji kwa kiingeraza, kipindi hiki cha mapimziko rudi darasani na ukiweza jifunze na kifaransa

    • @EdsonMartin-e3k
      @EdsonMartin-e3k 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nendaa wewe, maana unajiona umekamilika kila kitu na level zote kidunia,!!

    • @kurumwagodfrey7052
      @kurumwagodfrey7052 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wao ndio wanatakiwa waone aibu Kwa Nini hawajui kiswahili wakati wapo Tanzania acha utumwa huo ndugu yangu kingereza ni lugha tu hata wao wanapaswa kuona haya kushndwa kuongea kiswahili

    • @GAZARAZSPORTS2123
      @GAZARAZSPORTS2123 3 หลายเดือนก่อน

      @@kurumwagodfrey7052 km ulimsikia wakati anamkabidihi kumuhoji, hapo nitechnical questions tu..... kifupi ni summary ya kazi kwa siku ya leo na forecast ya project !

    • @EdsonMartin-e3k
      @EdsonMartin-e3k 3 หลายเดือนก่อน

      Mtu yupo nchi kwako, inatakiwa aishii chini ya misingi ya nchii yako, wachina saivii kiswahilii wakija kibiashara wanajua vizur tuu na wanafosii ili wapate soko,..mbona hawakomai na kichina chaoo,!? Funguka akili wewe ..utakua mtumwa mpaka vitukuu vyako ,..huyu mzungu kaja kibiashara au unafikili kaja kupiga umbea,ilitakiwa atumie lugha yetu ,tunamlipa pesa!!

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana mie nlichomwelewa Priva ni kwamba kuna maswali technical ambayo yawezekana asiwe na ujuzi wa kuuliza ndio maana akamwachia football analyst