TABIA 9 ZA AJABU USIZOZIJUA KUHUSU WATU WAKIMYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 94

  • @winniemichael1292
    @winniemichael1292 2 ปีที่แล้ว +18

    Yaani umesema kweli kabisa😄 Mimi Niko na obimo wangu yaani ni mkimya tukitofautiana Mimi tu ndo huwa nazungumza hata nikimkosea huwa hataki mada utaskia tu yaishe😄😄 sasa hapo hutaelewa kakusamehe ama vipi

  • @imeldaalfred1156
    @imeldaalfred1156 2 ปีที่แล้ว +7

    Umetuweza sana

  • @SafiyaAbdallah-h9w
    @SafiyaAbdallah-h9w 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa wale wanohisi wakimya ni watu wabay nahisi kama mnakosea hatupendi kuongea kwa kuwa hatupendi kubishana na watu na wengi husema kuwa tunadharau jeuri kutokana na ukimya wetu thank you sir

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 8 หลายเดือนก่อน

    🙆 Upo Sahihi kabisa Shukran Tabia za Mpenz Wangu 💯 Yaan, Nilikuwa Namuona kama Anazarau 🙏🏼

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 ปีที่แล้ว +1

    APA unaniongelea Mimi wallah☑️☑️nanimtunzi wa mambo vizuri nakuaga na kumbukumbu mno

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 22 วันที่ผ่านมา

    Mim nilikuwa ninarafiki ambaye ninayempenda lakin tumeachana lakin bado nampendaga mpaka sasa..ila tulikoseana sana ikafikia hatua yeye akinikosea mim namsamehe ila yeye nikimkosea tu hanisameh..basi tumeachana mpaka leo hatuongei mpaka leo...najua hawez kunisamehe kwamana tumekoseana sana..japokuwa bado nampenda ila najuwa hawez kunisamehe na kunipa nafasi..basi imebidi nimwache tu japokuwa nampenda bado..najuwa hawezi kunisamehe kabisa..imebidi tu nimwache aende zake sitaki tena tuwe marafiki...kama nikimmisi basi nitaangalia picha zake tu alafu basi...sitampigia tena wala kumtafuta mana najuwa napoteza tu nguvu zangu...mana sina nguvu tena yakumtafuta wala kumuomba msamaha...kikubwa tu tuliwahi kupendana kwenye maisha yetu basi iyo inatosha

  • @ppemperweringpeople7183
    @ppemperweringpeople7183 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli Kabisa Ndugu.Wazee Walisema Kimya Kingi Kina Mshindo Mkuu

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 2 ปีที่แล้ว +6

    Nikweli kabisa. Mume wangu nimkimya yani hunichanganya kila mara kwasababu niki mkaribia tuongeye kawaida yeye hua hataki najikuta maranyingi najiongelesha mwenyewe kwanyumba hadi nashindwa chakufanya. niki mkosea kisha ni rudi kumuomba msamaa yeye huwa anajibutu ati yale yalipita. Unajiuliza ame kusamehe ama apana. Ila nilijifunza kuwa namuimba msamaa kila mara kwasababu sijuwaki ni kivipi kina mkasirikisha kwasababu haongeyi zaidi. Yaani ni shida tu. Tuombeane😀

  • @evansfwoti4321
    @evansfwoti4321 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli nimeelewa wakimya Ni watu wema wabaya, barikiwa ndugu napenda wakimya

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว +1

    Ni kwel kabisa ndo Mana wanasemaga watu wakimya ogopa Mimi mwenyewe zaman nilivyokuwaga mkimya mtu akiniuzi nilikuwa sisemi nilikuwa nawekea. Vitu moyoni paka mama akawa ananisemaga

  • @موناجابر-ت5ث
    @موناجابر-ت5ث 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani uyo ni mimi kabsa wallahi siwezi kuongea na uwa naumia sana wallahi

  • @baby_face_
    @baby_face_ 2 ปีที่แล้ว +2

    umetuweza sasa mungu akubariki

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana kwa ufafanuzi sifa zote ninazo yaan nafurahia sana kuwa hivi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว +3

    Ndio wanakuwaga ni wema lakin Wana hasira wakikosewa

  • @yonam1479
    @yonam1479 2 ปีที่แล้ว +3

    Umenifahamisha broo

  • @moustaphandihokubwayo6921
    @moustaphandihokubwayo6921 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wabaya saana ,mke wangu pia yumo miongoni

  • @mansolomike7417
    @mansolomike7417 2 ปีที่แล้ว +3

    I like it 👍

  • @TrizzahWanjala
    @TrizzahWanjala 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Niko hivo❤❤❤❤❤❤

  • @morodackobadia3767
    @morodackobadia3767 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kabisa upo sahihi kabisa

  • @aishaayoub305
    @aishaayoub305 2 ปีที่แล้ว +5

    Mi mkimya jamani kk umejuaje yani sifa zote ninazo

  • @glorymaimu435
    @glorymaimu435 2 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa

  • @yuritherbyamungu3857
    @yuritherbyamungu3857 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn kaka unajua sana big up nko hvyo kabisa duh

  • @emmanuelbahati4765
    @emmanuelbahati4765 2 ปีที่แล้ว +5

    Tabia zote nikweli maana namimi niko ivo kbx

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 2 ปีที่แล้ว +9

    Inaonekana mtangazaji hata wewe ni mkimya maana umepatia sana

  • @happynesskizuri7948
    @happynesskizuri7948 8 หลายเดือนก่อน

    Unakili sana kulitambua hilo kamaunanijua hiv asante

  • @Kaka-nf4bo
    @Kaka-nf4bo 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani umenipatia sana , kunamda wananiambia Mimi waajabu ety sikasirikagi

    • @peninaismail9848
      @peninaismail9848 2 ปีที่แล้ว +1

      kama mimi😂...kuna watu nna 6 years npo nao kama rafk hawajawai kuona nakasirika😆

    • @annastaziakabupu-nq2ty
      @annastaziakabupu-nq2ty ปีที่แล้ว

      Kumbe unakasirika kimoyomoyo😅

  • @jojoskitchen1210
    @jojoskitchen1210 2 ปีที่แล้ว +4

    Najiona mm hapa, mpaka nyumban huwa wananifokea

  • @ashaamini8384
    @ashaamini8384 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm nimkimya mpk najiogopa.

  • @jakdanger3322
    @jakdanger3322 2 ปีที่แล้ว +3

    I like

  • @peninaismail9848
    @peninaismail9848 2 ปีที่แล้ว +1

    mule mule jamani🤣🤣🤣 hakuna ktu umekosea vyote umesema aiseee😂😂

  • @DjodjoJoshua
    @DjodjoJoshua 9 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kbx.. Yaani mimi mwenyew huyo kbx toka utotoni n'a nimejitahidi kubadilisha lakini kashindikan.. Sasa tena naona kazidi kweli🙏

  • @MkomboziKivamba-rk1hr
    @MkomboziKivamba-rk1hr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakimya tupo

  • @olenihappy109
    @olenihappy109 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @showshowtv1854
    @showshowtv1854 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa 😂😂

  • @hamisihagama6105
    @hamisihagama6105 2 ปีที่แล้ว

    Asante ndugu

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani umenigusa Mimi kabisaaaaa

  • @BeatriceMvunye
    @BeatriceMvunye ปีที่แล้ว

    Kweli yan

  • @omarymohamed3863
    @omarymohamed3863 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwli kabisa mm ndoniko ivo

  • @MedronundersonMkuyu
    @MedronundersonMkuyu 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi simkimya nisikudanganye ukinichokoza nimaneno nanguminyingi

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Napendaga sana unavyoongega kaka

  • @v_simon2677
    @v_simon2677 2 ปีที่แล้ว

    Kwel kaka ni sahh kabsa ulichokizungumza kuhusu mtu watu wakimya

  • @deborahshonza4590
    @deborahshonza4590 ปีที่แล้ว +2

    Walio coment humu kuwa ni wakinya ni waongo kabisa coz wakimya hawajubu ni wakimya tuu hawanacoment hawa

    • @davidprotace
      @davidprotace 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @moreenidaya1357
    @moreenidaya1357 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli izi tabia ni nazo

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa

  • @dorisbosibori8126
    @dorisbosibori8126 2 ปีที่แล้ว +1

    tuwaku benda bia wewe Thanks

  • @HappyAlbatross-us3bg
    @HappyAlbatross-us3bg 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika hujakosea mtangazaji binadamu wakimya huwa ni wapole sana

  • @veronicapotas5706
    @veronicapotas5706 2 ปีที่แล้ว +3

    Wenye waume wakimya kazi kwenu

    • @aishaayoub305
      @aishaayoub305 2 ปีที่แล้ว

      Hata wanawake wakimya wapo ikiwemo mm

    • @veronicapotas5706
      @veronicapotas5706 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaayoub305 basi nampa pole mumeo

    • @aishaayoub305
      @aishaayoub305 2 ปีที่แล้ว

      @@veronicapotas5706 wala usimpe mpole nikiwa nje hua siongeagi hata nikute wat wanazungumza mada ambayo naijua hua stii neno ila nikiwa mamume nimcheshi mwanzo mwisho wala hajutii Allah kumpa mke kama mimi

    • @veronicapotas5706
      @veronicapotas5706 2 ปีที่แล้ว

      Mhhhh

    • @atoshamkingule7258
      @atoshamkingule7258 2 ปีที่แล้ว

      Haaaaaaa

  • @BahmanFarid
    @BahmanFarid 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeguswa kabisa jaman.

  • @zainabzasua6276
    @zainabzasua6276 ปีที่แล้ว

    Nikweli ndotabia yangu

  • @jeanneo473
    @jeanneo473 2 ปีที่แล้ว

    hahaaa!!! hatuna bahati, hakuna kitu unatuachiya

  • @joyceseme2088
    @joyceseme2088 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman hii ni kwel kabisa

  • @seifpembe5600
    @seifpembe5600 ปีที่แล้ว

    😊😊😊💯💯

  • @RiterNickson
    @RiterNickson ปีที่แล้ว +1

    Ndo Mimi jaman daaah

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Ata Mimi nakumbu kumbu nakumbuka paka Mambo ya utotoni sema siku hizi ndo nimekuwa muongeaji mama alikuwa anasemaga mtu asiyejuwa kuongea akijuwa

  • @kizratshenki8515
    @kizratshenki8515 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni watu wabaya sasa

  • @hamisihagama6105
    @hamisihagama6105 2 ปีที่แล้ว

    Tabia zangu kabisa

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kweli

    • @eddygolla3009
      @eddygolla3009 2 ปีที่แล้ว

      Asnte kwa kunipa nilichonacho

  • @agneskageni4638
    @agneskageni4638 11 หลายเดือนก่อน

    Hio ni kama roho baya,Uwa wanapea mtu hasira.Ni wanafiki

  • @misisalim7292
    @misisalim7292 2 ปีที่แล้ว

    Hujabakisha hata moja😂

  • @MariamuOboto-vc1sh
    @MariamuOboto-vc1sh ปีที่แล้ว

    Hiyo namba nane ninayo mm napenda sana kukaa mwenyewe

  • @jullymwaikenda564
    @jullymwaikenda564 9 หลายเดือนก่อน

    Nilijua ninamapungufu

  • @khalfansaid7711
    @khalfansaid7711 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikwel hiz tabia zote ninaz

  • @kizazijeur7518
    @kizazijeur7518 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo xur san kk

  • @iddmaftah
    @iddmaftah 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa apiga mulemule

  • @ShikzMaya
    @ShikzMaya ปีที่แล้ว

    Ndio mm

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni sahihi wako hivyo mh nimejifunza kitu sasa kupitia ili somo

  • @muddypote8377
    @muddypote8377 9 หลายเดือนก่อน

    Km ulinichunguza mimi vile

  • @NicksonDickson-g6o
    @NicksonDickson-g6o ปีที่แล้ว

    Live

  • @ErnestAyubu-n6n
    @ErnestAyubu-n6n ปีที่แล้ว

    😢

  • @ackimshibanda5542
    @ackimshibanda5542 2 ปีที่แล้ว +1

    Je hao ni watu wazuri au wabaya kwa jamii?

  • @careenallyally3668
    @careenallyally3668 2 ปีที่แล้ว

    Ujakosea

  • @KhamisNassor-tx1ef
    @KhamisNassor-tx1ef 9 หลายเดือนก่อน

    True🫴💯

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa