Anglikana wamefanya ibada ya kutwaa Jimbo kutoka kwa Askofu Mokiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Dr Jacob Chimeledya amesema ibada iliyofanyika leo March 12 2017 ilikuwa ni ibada ya kutwaa Dayosisi ambayo ni kuhitimisha kile kilichotamkwa January 7 mwaka huu hivyo leo ilikuwa ni ibada ya kukamilisha kuwa askofu Mokiwa hana mamlaka tena katika dayosisi ya Dar es salaam.

ความคิดเห็น • 30

  • @gabrielshewio6599
    @gabrielshewio6599 7 ปีที่แล้ว +3

    I like anglican they are like Catholic strategic leadership

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 7 ปีที่แล้ว +3

    Mmetuaibisha Wakristo wote. Mmekuwa kama wanasiasa. Aibu tupu!

  • @jameskomba828
    @jameskomba828 2 ปีที่แล้ว

    Tamaa ya madaraka

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว

    Mnayumbisha kanisa

  • @meesipro6799
    @meesipro6799 6 ปีที่แล้ว

    daaaa sura inaongea eee Mungu pigana na wanao pigana na kanisa

  • @magdalenasirikwa6803
    @magdalenasirikwa6803 5 ปีที่แล้ว

    Migogoro kanisani c sehemu yake .ni shetani tu

  • @poppmusiciringakilolopoppm6519
    @poppmusiciringakilolopoppm6519 5 ปีที่แล้ว

    Kiukweli huyu mzee anapoteza kanisa kwakwel

  • @neemadaud691
    @neemadaud691 7 ปีที่แล้ว

    baba askofu chimrldya Una maamuzi yote,,,,na katiba inakuruhusu,,,,namuona namuona baba askofu wa shinyanga newala

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 2 ปีที่แล้ว

    Kwani uaskofu ni karama kutoka kwa Mungu?

  • @philippatrick8691
    @philippatrick8691 7 ปีที่แล้ว

    Duh!!!

    • @edimundelfazi5049
      @edimundelfazi5049 3 ปีที่แล้ว

      hahahaha hahahaha Pentecost tutakubali kutukanwa tu tuambiwa sisi hatujasoma lakn injili inasonga mbere Roho mtakatifu hapo hayupo kinachozungumza ni sheria za dhehebu tu poleni

  • @avitimushi1541
    @avitimushi1541 7 ปีที่แล้ว

    I love religious scuffles!!

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

    Wazigula weangu

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 6 ปีที่แล้ว +1

    Mazungumzo yako askofu mbona unaongea kama ni akili zako hivi umejichunguza vizuri kweli mbona kama upo pe yako mmemuacha wapi Roho Mtakatifu? Mwenendo huu utalitafuna kanisa kwa miaka mingi mbele. Tunawaombea mumalize migogoro hii.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      Hivi Roho Mtakatifu Hana ishara zozote akiwa kwa mtu

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว

      @@frankjohn8706 Unategemea na ilivyo jiandaa wewe.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      @@KADALAtv255 nilidhani inategrmea jinsi roho apendavyo kujidhihirisha kwazile ishara na miujiza, kama ktk Marko 16:15--- ambavyo ndio mwanzo wa mtu KUWA mKristo

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว

      @@frankjohn8706 Roho mtakatifu hakai mahali pachafu ndio maana nilisema maandalizi yako hata determine aingie kuishi na kutenda yampasayo

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      @@KADALAtv255 shida ni kwamba zipo Roho nyingi chafu ndio maana ikawa kwamba aitwa Roho MTAKATIFU, nami nimeuliza vile kwa maksudi kwamba wengi Leo hatakama wanamkataa YESU na kuupinga ubatizo aliobatizwa na kuagiza watu wabatizwe kwajinsi ile lkn nao wanasema wanapokea Roho MTAKATIFU, Sasa pale penye uthibitisho ndo wanakua wakali,maana zipo ishara zinazozidi kama fimbo ya Musa ilivozidi za wachawi

  • @johnkihiyo9742
    @johnkihiyo9742 6 ปีที่แล้ว

    Aibu tupu! mnataka madaraka nyie

  • @abbasmjatta3102
    @abbasmjatta3102 7 ปีที่แล้ว

    Mbona hukufuata taratibu askofu? Inaonekana unachuki binafsi

    • @michaelbigvai1199
      @michaelbigvai1199 7 ปีที่แล้ว

      Sangole Machungi chuki gani sasa hapo?yupo sahihi..kazi ya mungu ukiona mtu anaitaka kwa lazima ujue kuna kitu hapo

    • @abbasmjatta3102
      @abbasmjatta3102 7 ปีที่แล้ว

      Kwa lazma kvp wkt aliwekwa wakfu. Taratibu za kumuondoa hazikufuatwa

    • @michaelbigvai1199
      @michaelbigvai1199 7 ปีที่แล้ว

      Mikiwa hataki kuachia madaraka ila kilichotokea ni kuhitimisha nn katiba inasema

    • @michaelbigvai1199
      @michaelbigvai1199 7 ปีที่แล้ว

      Mikiwa hataki kuachia madaraka ila kilichotokea ni kuhitimisha nn katiba inasema

    • @abbasmjatta3102
      @abbasmjatta3102 7 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta clip ya askof wa zanzibar anaitwa Hafidh amefafanua vizur utaelewa. tafuta kwenye youtube