"HATUHUSIKI NA MAANDAMANO, TUKO TAYARI KWA LOLOTE", POLISI KIGOMA WAFANYA DORIA KUIMARISHA USALAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 154

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Safi Kamand uko vizuri , sisi wa Nje ya Mji hatuna habari na hayo mambo ya maandamano

  • @ruyagilahagai1467
    @ruyagilahagai1467 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante sana my friend Ally Dreamz tza

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hapo sawa kabisa!!! Wacha watu waishi na Amani tuu

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @PererLukumay
      @PererLukumay 40 นาทีที่ผ่านมา +1

      Hii.ni.ujinga.ya.hali.ya.juu.kuwatia.watu.uoga.akuna.jpy

  • @Veronicahquithern
    @Veronicahquithern 51 นาทีที่ผ่านมา +5

    Tanxania 😢😢😢 poleni .... ingekuwa kenya wangependa

    • @febochannel4964
      @febochannel4964 18 นาทีที่ผ่านมา +1

      Hao sio askari wa kenya km wanafunzi bali hao ni wa tanzania sas fanya fujo uone kama mnajiamini wakenya hemu njoon km hamtarud maiti

  • @YohanaMussa-y5h
    @YohanaMussa-y5h ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    UTAWALA wa Rais ni wa Kindickteta!

  • @godyfreymsangi7852
    @godyfreymsangi7852 6 นาทีที่ผ่านมา

    Ulinzi uko vizuri sana nimeipenda

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Polisi wanatafuta vita kwa nguvu wenyewe wanakuja kutafuta rushwa barabarani. Tunawashukuru kwa kuendelea kuibrand chadema

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uyo police anacho kataha nn mbon sku za nyuma awajafanya doria km iri

  • @nkairforce5819
    @nkairforce5819 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hii serikali ya waoga sana

  • @AbdalallaBrahimam
    @AbdalallaBrahimam 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amani muhimu sana ndugu zangu watanzania

  • @adelikelivisadelikelivis9051
    @adelikelivisadelikelivis9051 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mtakufa vibaya chadema tulieni 😢tu

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      👍👍👍

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Iv Aya magari mngetumia kusaka ao wauwaji na warifu ingekuwa raha sana

    • @ryobanchagwa2499
      @ryobanchagwa2499 35 นาทีที่ผ่านมา

      Sasa mmeshindwa Nini KUTAFUTA wanaoua watu

  • @DullaMsanja-x9r
    @DullaMsanja-x9r 55 นาทีที่ผ่านมา +1

    Matumiz mabaya ya kodi za wananchi

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Nimependa Sana Yani kama ulaya kazinzuri jeshi la polisi

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @stateofart1089
      @stateofart1089 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakuna UFALA kama huu ULAYA, taja nchi moja unayofanya huu upumbavu Ulaya?

    • @dianaleo6067
      @dianaleo6067 46 นาทีที่ผ่านมา

      Ulaya wanapigana vita sio sisi Tanzania polisi wanakosa kazi wanavamia raia na kuwatishia. Namkae mkijua rais wenu hatumtaki na hatumpigii kura mpitisheni tuu kenge nyie!

  • @Cursedvisions-q4u
    @Cursedvisions-q4u 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na hao sio wanajeshi ni Police oaa so powa😅😅

  • @rashidalihamad7228
    @rashidalihamad7228 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Usalama kwanza, safi sana

  • @mussamontellijr2802
    @mussamontellijr2802 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Kazi ya rahana hii ndo maana mnakufa maskini kwa kutumikia mafisadi jeshi la ccm 😂

    • @jaffaralimakame1533
      @jaffaralimakame1533 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      WEWE KUFA TAJIRI MBWA WE

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe una kitu gani zaidi ya kutumiwa na kugeuzwa mtaji wa kisiasa na vibaka wa chadema

    • @mussamontellijr2802
      @mussamontellijr2802 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@walidmgonja3644 mm Sina chama na cjawah kupga kula 🤣🤣🤣 ashinde yoyote tu fresh ila jeshi liwe huru sio kuwa watumwa wa chama kimoja

    • @mussamontellijr2802
      @mussamontellijr2802 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@jaffaralimakame1533 wanaishia kuwalinda wezi wa mabilioni🤣🤣🤣🤣 adui wa Tanzania ni watanzania wenywwe

    • @allytv1714
      @allytv1714 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeongea vzr me sijawaii sikia police at mstahafu bilionea wengi ni walevi kinoma wakistahafu hii kazi tokea enzi za yesu ililaaniwa

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Watu wanapouliwa na kutekwa huwa rais haoni akaweka nguvu aliyomuwekea chadema..sasa wapiga kura kazi kwenu mi sipo

  • @ElishaMboje
    @ElishaMboje 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yaaan wanapambana na wapiga kura wao

    • @jaffaralimakame1533
      @jaffaralimakame1533 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      WEWE ELISHA MPIGA KURA AVUNJE SHERI ?NENDA KWENYE I8 ZAO MJIGA MOJA.

  • @mmake30
    @mmake30 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    bulll crap...

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kamateni wehu hao

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chadema watu wazito🎉🎉🎉

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 27 นาทีที่ผ่านมา

    Mji umepoa mpk rahaa safiiiiiiiii

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SAFI SANA KIGOMA MMETISHA, PIGA NGOKO VIBARAKA WA WAKOLONI, TANZANIA KWANZA , AMANI KWANZA!!!

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana jeshi la polisi

  • @gikadotv2148
    @gikadotv2148 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lazima tuwe tayari respect kamanda

  • @ticia950
    @ticia950 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KWANI KIGOMA NI TANZANIA 😢😢😢

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 51 นาทีที่ผ่านมา +1

    Ikiaza vita ya kuviziana mtaiweza,,??

  • @johnmasha7851
    @johnmasha7851 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    FFU Fanya fujo uone

  • @UkongaPictures
    @UkongaPictures 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Active friend am here 🙏

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema safi sana

  • @stevenmrumajr9057
    @stevenmrumajr9057 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mtu ajichanganye

    • @rahema1992
      @rahema1992 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Subutu unapigwa moja halafu unaambiwa waliyokupiga hawajulikan

    • @abdullipunjaje9603
      @abdullipunjaje9603 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hahaha

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

  • @matalo0551
    @matalo0551 38 นาทีที่ผ่านมา

    Kumbe CHADEMA inanguvu kiasi hiki....kauli tuu, inatikisa nchi...

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bunduki kama zote. We ni hatari kwelikweli!! Usijaribu mambo ya hovyo ya maandamano, utakula mmoja tu!!

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 56 นาทีที่ผ่านมา

    cku zote walikua wap😅😅😅 by the way FFU nawapenda sio washenz kama wale wa vituon📌📌📌

  • @HassanRubota
    @HassanRubota ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii muvi nimeipenda Hadi nimekumbuka Ile muvi ya Rambo

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU IBARIKI TANZANIA KWA HILI NALO LIPITE SALAMA

  • @paschalmanumbu572
    @paschalmanumbu572 42 นาทีที่ผ่านมา

    Mimi zamani nilikuwa nakariri tu darasani, sa hiv ndo naelewa maana ya AMIRI JESHI MKUU...

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haaaaaaaaa nimecheka sanaaaa Kama kunavitaaaaaa😅😅😅😅😅😅😅

  • @abdulqadriabdallah9332
    @abdulqadriabdallah9332 55 นาทีที่ผ่านมา

    Nimeamini jeshi letu waoga sana wallah maandamano tyu kama wanatafuta jambaz

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania eeeh!nchi yanguuu,Yani paka nacheka,wanambwembwe Hawa polisi,washukuru Mungu tu,nivile Watanzania waoga,sio watata.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muongo mkubwa hata mungu anawaona siku zote mlikiwa wapi mbona hamkufanya dolia kumbukeni mnafamilia na nyinyi mungu analipa hapa hapa duniani

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani mnatumia mali za wananchi kukandamiza haki za wananchi. Kweli KITIMOTO HUKAANGWA NA MAFUTA YAKE MWENYEWE

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaogopa, waoga

  • @Kelvinjoseph-jz7kq
    @Kelvinjoseph-jz7kq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nmefrah kuiona kigoma kumbe kuzur

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 42 นาทีที่ผ่านมา

    Maandamano yamefanyika maana wao ndo wamefanya Dunia imeona

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yaonekana bado police hawana uelewa na nguvu ya uma😮😮thibitini watekaji otherwise tukiandamana sisi wote mnaweza mkashangaa

    • @jaffaralimakame1533
      @jaffaralimakame1533 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      HUYO MTEKAJI MPELEKE WEWE KWANI LAZIMA POLISI ?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kilichokuzuia kuonyesha nguvu ya uma ni kitu gani?
      Wewe ni choko unayegeuzwa na wenzako kijingajinga

  • @RaimeckMeshack
    @RaimeckMeshack ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hisi amani watazani tunadanganywa .kwan hatuna uhuru wakutoa isia zetu nakueleza

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona polisi wamesaidia kuandamana wanachekesha kweli hawa

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utadhani Burundi imevamia nchi 😅😅😅😅😅

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani kwa hii mikwara Yao,ninavyowafahamu Watanzania,kwisha utemi wao

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 35 นาทีที่ผ่านมา

    Hapo Ndo unaona kabisa hawa Jamaa wapogo Tu

  • @neykombe8831
    @neykombe8831 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aiseee taifa linapote hii nguvu wangetumia kuwatafuta wasijulikana wallah basi wangejulika

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Haaaaaaaaa jamaniii ingekuwa nakuwatafuta watekajii. Ndugu zetu wanauwawaaaa nawpoteaaa😢😢😢😢😢

    • @febochannel4964
      @febochannel4964 16 นาทีที่ผ่านมา

      Kawatafute ww

    • @AshaMwamba-i7g
      @AshaMwamba-i7g 10 นาทีที่ผ่านมา

      @@febochannel4964 au wew ndo mtekaji Mimi mbona huna huruma

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 28 นาทีที่ผ่านมา

    Polisi wakistaafu wanatiaga huruma kam uwongo niko pale nawasubiri.

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi imechangamka ase angalau wale Kodi zetu kwa jasho 🤣🤣 sio mpaka wanaoteana vitambi

  • @MichaelBahati-o8h
    @MichaelBahati-o8h ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio nini sasa wengine wamefunika mapua kama mbwa mwitu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kodi zetu zinatumika vibaya wakistafu wanatiaga huruma mtaani utasikia kiongozi vipi hata moja tu saizi mnatisha watu

  • @Pascaltz
    @Pascaltz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe huyo askari yupo huko kiukweli nampendq sana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 45 นาทีที่ผ่านมา

    Mamlaka iheshimike. Hii nmeipenda asitokee kunguru akasumbua

  • @sammohung1506
    @sammohung1506 45 นาทีที่ผ่านมา

    Izo siraha wanashikiwa raia

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk นาทีที่ผ่านมา

    Hofu nimbaya sn watu wanapewa hofu

  • @amanrashid7061
    @amanrashid7061 18 นาทีที่ผ่านมา

    Hiz doria Huwa wanafanya Kila siku

  • @MohamedKitenge-o9j
    @MohamedKitenge-o9j ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa ulinzi huu wiki hii tutalala fofifo

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lkn kutafta majambazi wanao tela watu na kuwauwa aaaaah mandamano ndio mnakuja adi na mbwa 😮 wapuzi wakubwa

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnao sifia police mnashida njaa na umaskini zimewajaa hamjui haki zenu maskini wa Akili nyinyi

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila chadema mmechangamsha sanaaa Leo vibaka wako kimyaaa

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usalama, kwanini Uwe Leo na usiwe siku zote

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 นาทีที่ผ่านมา

    Waende condo kama kweli wanajiweza kenge

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe Polisi wapo??! Hua cku zote wanakua wapi watu wakitekwa na kuuliwa?? Au wanakua wamelala majumbani?

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makonda alifanya vzur. Kunyanganya camera..😭😭🤣🤣😭😂😂😂...maana mnakua wasenge

  • @sampart2669
    @sampart2669 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazi anatetemeka mamamee

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kikubwa ni aman mambo mengine acha yapite,eti tuanze kupigana na kuuwana kisa watu wanataka kula vzr na familia zao.Leo hii unauliwa familia yako pendwa,watoto wako wanashenyetwa mapanga na marungu juu kwa ajili ya matumbo ya watu wao washibe,ni bora nife masikini tu.

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema wageuza maandamano kua ya police

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi wanakaaga wapi hawa sasa si wangesikia MTU katekwa katekwa wakaenda kama hivi kwani nani angepiga kelele?

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 45 นาทีที่ผ่านมา

    Matumizi yote hayo ya pesa shida chadema wasifanye maandamano . Huyo anasema ni Dolia tu ya Nini acheni uchawa wa chama furan

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii ndio ukisikia Serekali ndio mujue nini maana y Serekali

    • @PererLukumay
      @PererLukumay 27 นาทีที่ผ่านมา

      Jana.ingekuwa.kenya.wangepigwa.hadi.waache.hayo.magari.washukuru.tanzania.ni.waoga

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 16 นาทีที่ผ่านมา

      @@PererLukumay kwani Kenya wamefanya nini Rais Ruto si ndio Rais wa Kenya mpk muda huu acheni ushabiki wakimavi mavi nyie

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 25 นาทีที่ผ่านมา

    Mafutayagari, kodi zetu

  • @salcle9702
    @salcle9702 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa jamaa walinde hivi mwaka mzima itapendeza sana yani iwe ni kawaida yao.itawasaidia pia kupunguza hivyo vitambi kwa wenye navyo.mama samia oyeee

  • @issadassa6668
    @issadassa6668 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona sikunyingine hamzunguki acheni uboya

  • @Zenny89
    @Zenny89 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kenya alifanyaga hivi hivi...na bado kikawaka!!!

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Weeeeeee usituharibie!!!!! Sisi wa Kenya NI watu wa Amani

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      HII NI TANZANIA SIYO KENYA

  • @Cursedvisions-q4u
    @Cursedvisions-q4u 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuna imarishq usalama 😂😂😂😂😂 hii ndo Bongo ujanitoa mm ndani haki ya mungu sio kwa hao Wajuba😂😂

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 17 นาทีที่ผ่านมา

    Amani na mi bunduki,hawapendi ila watafanyaje boss ndo kashasema,chadema tu ndo vulugu hizi kweli chadema ni lidude likubwa

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 44 นาทีที่ผ่านมา

    Nchi hii tunatishiana bunduki sasa??? Mtuambie basi hao watekaji ni akina nani au uchunguzi bado? Mnachefua sana hatuwapendi na serikali lenu lakimabavu na kura hampati! Waonevu nyie!

  • @FredinandThobias
    @FredinandThobias 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 htr

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe waoga eee 😂😂

  • @Hgd-jk6lh
    @Hgd-jk6lh ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jichaganye hapo uonee

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe kuna uwezo Mkubwa wa doria kias hiki uwe mwisho wamauaji nautekaji kwa wasiojulkana doria iendelee usiwe nakikomo

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 31 นาทีที่ผ่านมา

    MAASKARI NAONA MNATAKA VITA KACHOKOZENI CONGO MUONE

  • @Ahmed-w4b1v
    @Ahmed-w4b1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅 fanya fujo uone

  • @philemonbenjamin4225
    @philemonbenjamin4225 54 นาทีที่ผ่านมา

    Si mwende Somalia? Kama mnatamani vita

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 50 นาทีที่ผ่านมา

    Mapumbavu watumwa wa ccm ipo siku mtajuta

  • @AlyPidas
    @AlyPidas 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kula Mali yauma wa bongo niwajinga

  • @nickally7413
    @nickally7413 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    FFu.. fanyafujo uwone! wananyuka ao 😅

    • @rahema1992
      @rahema1992 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dah htr inanikumbusha kuna mwanajeshi aliuliwa Arusha aise tulilabwa bakora ctomsahau hiyo

  • @Stephenmangera
    @Stephenmangera 56 นาทีที่ผ่านมา

    Siraha sito hizi nisakupigana na boko haramu au niyanini jeshi la 🚓🚨 kuwa na watanzania sio chama kimoja

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ffu wawe wanapewa kazi mara kwa mara nadhani hii kuwaachia wakae miguu juu ndio siku wakitumwa kazi wanaenda na kucha za miguu 😂😂😂😂

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂Nendeni mnaotaka ulemavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mie ngoja ninywe chai nikalale zangu

  • @omarry-x1z
    @omarry-x1z 51 นาทีที่ผ่านมา

    Hapo magari yamepigwa full tank popote yanaenda siku zote hawafanyi hivyo leo wameskia Kuna maandamano wametoa mpaka magari ambayo yalikua hata mala ya mwisho kua barabarani ni lini Yani leo mpaka porilisi waliokua hawapo zamu pia wameitwa acheni kutisha laia kila siku mfanye ivyo basi ili tujue usarama ni mkubwa kwenye nch yetu😅

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wanauawa Sasa dhibitin

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂YAANI HIZO BENDERA UTADHANI WANAJESHI WAMETEKA NCHI AAAAH MBOWE HUTOSHI TULIA BABA!!! YAANI MAMA AMEKUFANYIA U MAFYA AJABU