“NIMEMFUATA MTOTO WA MBOWE HAPA POLISI” WAKILI KIBATALA NJE POLISI OYSTERBAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 133

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Haya watoto wa mzee Makame na MZEE MAKAME😂😂

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    mabakaji hayo

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Ndio tumeona

  • @moipopstar5735
    @moipopstar5735 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kwan huy hajaandamana

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu nimwema yatapita,

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Aliyemshika kiuno kavaa nguo nyeusi na kofia ya chadema ni kada wa chadema. Tena kamshika vizuri ❤

    • @AllyYunus
      @AllyYunus 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kwahiyo uyo kada wa chadema baada ya kumkamata akamleta kituo cha polisi osterbay hivi ulichokiandika unakielewa kweli wewe

    • @NasriMohammed-yw7lp
      @NasriMohammed-yw7lp 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakirlewi ndo mafala wenyewe hao ili mradi to ngoja siku wadhurike ndugu zao ndo wataelewa​@@AllyYunus

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂
      Umekula kwl.??

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AllyYunus😂

    • @isaacjaphet1314
      @isaacjaphet1314 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili za kushikiwa akili za kisenge... so yeye ndo kampeleka central

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kama n wakina cc tukisikia fujo tumo tungeoza hhumo😅

  • @GabrielKalima
    @GabrielKalima 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huu ndiyo upuuzi ni sio utaka kabisa watu wanafanya upuuzi ilikutengeneza majina huu ni puuzi

  • @starlily07
    @starlily07 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumekucha, policcm mmeyatimba 😂😂😂 mtajuta kwa kibatala dadeeki

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndo tatizo la kuishia form .4 na kufeli! Akili inakuwa haipo

  • @TwahaShehe
    @TwahaShehe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu mkubwa

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Haya kama raia wangekamatwa nani angewatetea?

    • @Sakinaamani-o1t
      @Sakinaamani-o1t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Papo ssa ujinga wao n yale yakutakia manufaa yao

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Watafte Mawakili... Kwan nn

    • @MathiasMgimba-b6g
      @MathiasMgimba-b6g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Watanzania wazalendo

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unauliza ama unasema?

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Imekua sababu tena

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani tunauliza hao raia watatolewa na nani kwenye vita Kuna staa alienda kufanya Nini au kiki

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kiki

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na yule mwanamke aliyekuwa naye ni mwanaume?

  • @norobo205
    @norobo205 5 นาทีที่ผ่านมา

    Kwaiyo kumbe polis wameyatimba tena dooh!

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢

  • @overplantv21
    @overplantv21 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asahivi kuna lig kubwa saana Tanzania WANASHERIA Vs police then Rais Vs wananchi this is game....ni ngumu tuataelewana tu

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yeye umemfuata je hao wengine wanafuatwa na nani?😢

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Je kama ni wakili wke...
      Wambie na wengne watafte wa kuwafata asa

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndiomaana mwenyehakitimamu hawezikutumika nawasakatonge​@@Don.26Alien

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amewafuata wote wawili Nicole na Aisha hakuna wengine hapo. Pia Chadema hatuna upendeleo wwte.

    • @SamirPeter-t4u
      @SamirPeter-t4u 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaenda kuandamana huna wakili 😂 bro Bora ulale nyumban ule mihogo KWA ufup tu Leo sjatoka nje coz mwanasheria Wangu ndo kwanza hata shule hajaanza

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 41 นาทีที่ผ่านมา +1

    Sasa mtoto wa mbowe mna mkamata nn hii tanzania bwana mwisho wa siku tuta ambiwa na chama tawala tuwetunalipia pumzi

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naona mawakili wanafurah Ili wapate kazi

  • @YohanaMetely
    @YohanaMetely 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    MBONA MTOTO WA MBOWE NA HAO WENZANGU NA MIMI NANI.WAKUWATETEA NA KUWATOA LEO NDO WATALALA LUMANDE MPAKA HURUMA ZIWAFIKIE .WEWE MWANASHERIA JIBU HIZI HOJA AU KAZI YAKO KUTETEA WAKINA FLANI TU .

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Weacha upoyoyo watatetewa wote

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    mnateseka bure nyie

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    kumbe kuna ukamataj wakiume nawakike ee
    bado hamjasema mpaka msema

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Nikufundishe hakuna ruhusa Mwanamke kukamatwa na kupekuliwa na Askari wa kiumme muelewe nyinyi msiokuwa na uelewa wa haki zenu

    • @beatricejohn1659
      @beatricejohn1659 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ndio kisheria nchi zote duniani Askari wa kuime hawezi kumshika mwanamke ni kosa kubwa Ila hao wanywa gongo wa tz wanavunja sheria wakishakunywa gongo zao..

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@beatricejohn1659 Asante sana tatizo nchi yetu wengi hawana upeo ,na hawajui wala hawataki kujua haki zao ni nini?.Ndio maana kila kukicha zinapitishwa sheria kandamizi kazi yetu ni kubeti na kushabikia mipira, wengi ni mazuzu tu Mungu awafungue ufahamu wao wajitambue japo waone wao ni watumwa nchini na sio watu huru

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hadi waombe maji

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@leokamil6284katumwa na nani apeleke nyashi yake hapo

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 54 นาทีที่ผ่านมา

    Moja mwa jeshi la ovyo kabisa duniani...

  • @ArjuniKiwango
    @ArjuniKiwango ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunakuelewa mawanasheria

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatupendi machafuko mlimchafua magufuri saivi mnataka nchi imwage damu kweli tz hatuja zoea machafuko sisi niwamoja tusaidiane wote shida ipo wap toka kipindi cha kikwete hadi leo watu kupotea na sio kutaka machafuko no

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tahadhari zipo kila siku na NI mapema TU watu wanapewa tahadhari, Sasa Kama imeshiindikana watu kuchukua tahadhari acha wakutane na matokeo.

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo PGO

  • @BernadethaCharles-sv3oy
    @BernadethaCharles-sv3oy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wewe Kibatali acha kukuza upuuzi kwani hapo kuna udhalilishaji upi unaosema au una makengeza? Be realistic and speak within the boundaries of your profession and not your hunger. Acha kuropoka pumba. Mnaonesha wazi mnavyotumika. Amani ya Nchi italindwa kwa gharama yoyote na waliokabidhiwa wajibu huo na sheria. Prejudice cannot work to serve millions of Tanzanians. Stay aside we need a peaceful Tanzania.

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wew ni choko huna hakir kibatala ni wakiri msomi huwezi kumuongelea uchoko wako kwa namna yoyote kibatala ni mzalendo mtetea wanyonge wanaoumizwa nchi hii tena koma mbwa wew

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We nikuma ingekua Kuna amani soka yup wap kumawee

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Majinga na machawa hawaishi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@RomanMwinyikweli kabisa mwambie huyo mjinga wa ccm

  • @KhalidMbole-b7n
    @KhalidMbole-b7n ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ni nchi ya uvumilivuu Bali c aman

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunachotaka watangazwe kuwa wamekamatwa, sio wahuni wanateka na kuua tu kama kuku,

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wameshik makalio

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lanatulah kinga yao n silaha lkn hoja hawana,

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakili Haukuona Kakamatea na mwanake

    • @davidtz1320
      @davidtz1320 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      alianza polisi wa kiume alikuwa amevaa kilaia

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lakini si walikatazwa wasiandamane?

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtoto kautaka

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mie tafuatwa na balozi wa mtaa

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaonjeshw kidg tu mtot w mbowe zooooooogo wkt anaish ulaya 😂😂😂😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Acheni ujinga .ninyi ndiyo mnaochangia ujinga wa mbowe na familia yake

    • @EstherSamwel-vk4wb
      @EstherSamwel-vk4wb 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pumbavu ww

    • @reginajimson8133
      @reginajimson8133 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alafu unajiita binadamu

    • @gililwise
      @gililwise 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kafie huko we na familiar yako waliwe na kunguru.maana yanayoendelea ya watu kutekwa na kuuwawa huyaoni.sasa ngoja Mungu ashugulike na ndugu zako watoweke mmoja baada ya mmoja .ndio ombi langu kwa Mungu

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mkondya wewe ni zuzu na mjinga mpumbavu usiye jielewa halafu wewe mkondya ni mtu wa zambia ndo maana unamtetea adesina

    • @isaacjaphet1314
      @isaacjaphet1314 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jinga sana

  • @MussaSuleiman-g2n
    @MussaSuleiman-g2n 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Eti tumemfata mtoto wa mboe na wanzake wawili 😮? Serious ? Kwanini mnawatupia maboya watatu ba kuwaacha wengi wazamee hapa Nina mawazo upinzani kwa chama Cha upinzani😅

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Je kama n wakili wao...
      Hakna cha maboya Kila mtu atok kvyke

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We Musa una kichwa mgando kilakitu kinautaratibu wake usilete uchawa wa ccm

  • @LomituIpanga
    @LomituIpanga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani tunakoelekea ni wapi jamani

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kusini mashariki

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alijua kuwa lazima atafatwa na wakili polisi vipi watoto wa mama ntilie kama ndio wangekamaatwa!!! Lipo la kujifunza hapo

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Polen sana

  • @georgewilliam6001
    @georgewilliam6001 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bongo maandamano wanafanya baba na mtoto

  • @JosephKulwa-rc7en
    @JosephKulwa-rc7en 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mhuu mbona alikuwa mwanamke

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mbwa kwani kuna Sheria ya uvunjifu wa Amani?

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We shoga kwani Kuna Shelia ya kushushwa m2 kwenye galii aka uwauwa chokowee

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao wengine waachee tu maana hawakutumwa ikibidi wafungiwe kama hawana wanasheria

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      MUNGU miwa ajabu sana. Utashangaa hayo mahaya inayowataka wenzake yakipata wewe.

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    ASKARI NI FORM FOUR FELIA ASILIMIA 90. MSIWASHANGAE. HAO NDIO WABABAJI. UNAMSHIKAJE BINTI HOVYO HIVYO?

    • @JanethJaneth-l9i
      @JanethJaneth-l9i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yakikufuka unawafuata hao hao kwa unyenyekevu mbwa wewededdd

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi ni wa burundi ila Leo tuko tunafatilia😂 maandamano ya Tanzania tumeona mu video 😂

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wengine waliokamatwa sio binadamu ila mtoto wa mbowe!!!

  • @SelinaJuma-c7t
    @SelinaJuma-c7t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Wewe mbowe na familia yake wana ujinga gani wewe ndio mjinga watanzania wanauwawa wengine mnachangia ujinga mnaona hii nchi Iko sawa kweli ninyi kuweni na uelewa acheni kuongea ujinga

    • @ngusawales2039
      @ngusawales2039 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nikweli

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe selina huna akili. Tanzania ina amani kubwa sana kwa mwenye kuitaka amani. Tena funga bakuli lako

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama ulivyo mjinga wewe na wazazi wako

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila nyinyi mawakili ebu muwe na utetez ukiona tukuka kwasababu watu wanakamatwa na maaskar hamtetei ila mtoto wa mboe nimakosa daaah ebu hizo Sheria mfanyuen marekebisho mawakili sisikii watu wakikamatwa mnatetea Ivyo ila mtoto wa mboe kashikwa hivi daaah

    • @amanijm746
      @amanijm746 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe utakuwa una yako. Huyu wakili ndiye aliyewatetea wanawake waliokamatwa wakituhumiwa kujiuza. Aliwatetea bure. Sio wana chadema wala sio watoto wa viongozi.

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bla bla bla bla bla bla bla bla blaaaa tumewachoka CHADEMA upinde wa mvua

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchoke mumeo

  • @Herson-yw6cn
    @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mama samia kawadekeza sana hawa chadema. Magufuli aliwafinya ndio mana maendeleo yalikuja kwa kasi. Dawa yao kukifutq kabisa hiki chama cha wakorofi. Watu tunataka maendeleo hatutaki mavurugu kila siku wana mapya hawa jamaa. Mungu amjaalie makonda aje kuchukua hii nchi atunyooshee hawa wapenda migogoro

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duh hii nchi kuna watu ni mafala ila ww uko level ya peke yako😂😂😂

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hyo maguful baada ya kuwafinya yuko wap leo??alijiona Mungu mtu leo analiwa na funza shwain

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hili nalo jinga lawapi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@elinamilyatuu7337😂😂😂😂😂😂 asee huyo jamaa hajui hata inchi inaelekea wapi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@LindaMbilinyi-n3nTena anaungua na moto vibaya mno

  • @augustinoevarist6754
    @augustinoevarist6754 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha uongo basi Video tumeona wote.

  • @jacksonmakundi5956
    @jacksonmakundi5956 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio maana tunasema police Tanzania ni ile darasa la saba feria hawajui chochote kile kuhusu sheria huko kwenye jeshi la police kwenyewe wanaingizana kimagendo na kutokujua kwao sheria ndio maana nchi hii inatupata shida mno na Hawa mbumbu wasio kuwa na elimu

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waache askari wetu wafanye kazi yao . Usijifanye mjuaji. Mmeanza kutangaziwa lini msiandamane? Tena alitakiwa apigwe virungu vya kutosha

  • @revocatushindi7701
    @revocatushindi7701 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chomeka na huyo wajinga

  • @AbdallahMohammed-u2v
    @AbdallahMohammed-u2v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu wakili ni bomu ati anaitwa wakili msomi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani wewe unamonaje ? Huyo nimsomi kweli siyokama wewe uliejufunza maandishi kama unyayo wa kuku

  • @yahyaramadhan3673
    @yahyaramadhan3673 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi nyie mawakili mbona mnapenda sana kushabikia upinzani mbona sijawahi sikia hata mkitetea serikali juu ya mikataba mibovu inayofanywa na baadhi ya viongozi wasio waaminifu?

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanapenda kiki

  • @allykhamis-hf4jr
    @allykhamis-hf4jr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uwongo huo amekamatwa na asikar wa kike na wa kiume walimsindikiza

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Habab😂😂

  • @NoelKomba-s9d
    @NoelKomba-s9d ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mjinga wewe ambae uelew

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    AMANI YETU NI TUNU ILIYODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 50,,, ASITOKEE MPUMBAVU YOYOTE WA KUJA KUIVURUGA KWA ULAFI BINAFSI WA MADARAKA...
    HONGERENI SANA POLISI.
    HAYA NDIO TUNAYOYATAKA.

    • @happinessmosala2217
      @happinessmosala2217 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hanna Amani yeyote Wala msijidanganye!!!

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      UNAJIDANGANYA AMANI UNA MATAIFA YENYE UWEZO HAYATAWACHELEWESHA KWA HIZI KUJIONAONA MNA AMANI YA KUTESANA

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wavunjifu wa amani wangepigwa tu risasi kwa kweli. Nchi imejaa amani lakini vijitu vichache vinataka kutuharibia

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@yosephatMasanyiwa-oh1rlhata Libya walijitia ujuaji leo wanamaisha mabovu kuliko sisi. Kama mnaona nchi inawaboa mbona dunia kubwa sana nendeni mkatulize nyashi zenu sehemu nyingine. Tuachieni tanzania yetu. 🇹🇿

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@happinessmosala2217nenda kwenye maandamano unasemea bafuni mwehu wewe. Hapa sio kenya . Polisi wetu wanawapenda wajingawajinga kama wewe. Gubu tu limewajaa . Tuachieni tanzania yetu hamza Burundi huko uka enjoy mchawi we

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio tumeona