MAJIBU YA MULIRO KUKAMATWA MTOTO WA MBOWE, "SIJAMKAMATA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwandishi big up umeulizwa swali zuri sana na kiweledi

  • @mlebesitv2628
    @mlebesitv2628 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ametekwa

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wangu isijekuwa wmeshamteka...

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wanaoichezea serekali wacha waone maana yasiri nkali.😂😂😂😂

  • @Jakgevdjf
    @Jakgevdjf 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi ipo kwakweli

  • @AnaniaMmari
    @AnaniaMmari 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwandishi wabari uko sw

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 10 นาทีที่ผ่านมา

    Yaaani hii sio poaa😊

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Alafu uyu baba ana loho mbaya sana uwa anajikuta mungu mtu ila tu ikumbukwe chadema sio wakimbizi wana haki nyingi tu apa nchini nimeumia sana kiukweli

    • @zengomikomangwa9264
      @zengomikomangwa9264 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Halafu nasiyo Alafu, roho nasi loho.

    • @zengomikomangwa9264
      @zengomikomangwa9264 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ...hapa nasi apa

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@zengomikomangwa9264 wapumbavu wengi huacha lengo na kusumbuka na vitu vyepesi!

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huwa sio uwa😂

    • @SamiraameirSamira-qt9yn
      @SamiraameirSamira-qt9yn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa ana roho mbaya na iyo sura tu alaf akiongea utasema atakaa maisha apo kwenye hicho cheo subhanallah anaongea kwa gogi na maringo akiingea anagalia mdomo na macho yake tu utapata jib 😊

  • @YusufKithi
    @YusufKithi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huu ni usalama kwa raia ama ni usalama kwa wanasiasa mulioko mamulakani mtaendelea kulalamika mpaka umauti uwafike

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sura zao zinanuka damu za watu

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEWE KUMBUKA MOJA KATI YAWATOTOWAKO TUNAMFAHAMU SN KUANZIA SHULENI

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fanyakazi Mulilo

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Piga kaz kamanda

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 39 นาทีที่ผ่านมา +1

    Polisi ivyo sana nyie eti mnatutishia mabunduki kwani waandamanaji wana silaha?? Kenge nyie na u chawa wenu! Nyie mnatuteka na kutuua na wengine mumewabaka halafu tukae kimya tuu??? Aibu zenu! mnalaaana na serikali yenu inayowatuma. Wananchi tumeumia sana na hatuwapendi!!!!

  • @Bahati-v4m
    @Bahati-v4m 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ndo maana watu wanajitoa muhaga tz inaboa sana haki hamna mnashindwa kutuliz amani za mauwaji mko bize kwa matembezi ya watu ovyo sana

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Damu damu damu

  • @SalumJuma-r8p
    @SalumJuma-r8p 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mhh miye ccm Apna

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwamba ametekwa

  • @JoyceMtandu
    @JoyceMtandu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii serikali ya Tanzania mna ubabe

  • @davkoofficial4179
    @davkoofficial4179 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anachekelea kama alichokifanya ni kizuri😢😢

  • @YusufKithi
    @YusufKithi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamtuingii ss wakenya hata kwa hatua moja kwenye swala zima la democrasia, polisi wenu pia hawajifahamu

  • @SaitaSanga
    @SaitaSanga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweri mnajua kujichoresha kuwa hamfai kuigwa hata na jamiii

  • @SamiraameirSamira-qt9yn
    @SamiraameirSamira-qt9yn 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya watwambie tu mtoto wa mboe yupo wp maana wakti wa amchukua baba ake alikua yupo hapo 😢

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmemteka?

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa afande tumekuelewa afande

  • @GasperRiwa
    @GasperRiwa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahahahahaha!

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hiyo kanitekaaa kwa nini jamani kwa nini mnatufanyia hivi

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 54 นาทีที่ผ่านมา

    Ajakwambia katekwa jibu swali kama ajakamatwa yuko wapi unaanza kusema habari za kutekwa kiukweli sijawai kupenda namna unajibu maswali yako unatofauti kubwa sana na mwenzio aliepita

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mulilo😅

  • @EvansKabandi
    @EvansKabandi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wote tutakufa afande na tutaoza

    • @Don.26Alien
      @Don.26Alien 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kinacho matter n kuishi
      Tunakufa mara1 af kuish ni kla cku

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona police wamemchukua

  • @AzizAlHatmi
    @AzizAlHatmi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAKAMATWE HAWO MAJAMBAZI POLISI WAKO KWANZA HUNA CHA KUJIBU CHA MAANA HUJUI HATA KUJIBU HUNA PERSONALITY YOYOTE NI UCHENZI MTUPU SHERIA ZIPO WAZI FREEDOM OF SPEECH

  • @Erique-p7r
    @Erique-p7r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polis muachieni mtoto wa mbowe na mke wake wanahusikaje sasa

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie mnawajua watekaji video zimeobyesha afu anakana bila aibu

  • @alexleo4863
    @alexleo4863 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa si ujibu moja kwa moja, kuwa sijamkamata??

  • @amandojonase2428
    @amandojonase2428 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polisi nyie ndio mnavunja amani mnawaogofya raia wenu wenyewe.
    Wanavunjaje amani angali hawatumia silaha yoyote ile wapeni haki yao.
    Tena nyie ndo mlibidi muwalinde katika maandamano yao ila mnawakamata hii nchi bana ukisema ukweli unaonekena mbaya.
    Sisi raia tunawaangalia tu ila kila lenye mwanzo hakikosi mwisho haki yao wataipata tu siku isiyojulikana.

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hajakamatwa Wala hajatekwa Yuko sehemu Salama walimchukua pale kusudi lisije tokea chochote kibaya kwake mkasema Ni jeshi la polisi

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe ndie msemaji wa jeshi la police?

    • @GetuShayo-oy9or
      @GetuShayo-oy9or 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @SalimAbdallah-mi1wc
      @SalimAbdallah-mi1wc 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@meshacknyandongo577 macho huna Basi ata Akili za kujiongeza huna huyo mtoto si ana familia yake mbona wenyewe wako kimya au wataka namba yake huyo bint ?wewe Je Ni msemaji Wa familia wacheni kuwa wanafiki mbona hamkuja Barbarabaran kama kweli mna uchungu

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SalimAbdallah-mi1wc wewe ndio mnafiki police alishindwa nini kusema hivyo mpaka wewe ndio umsemee wewe ndie unajikuta chawa wa serikali akili Yako ni ndogo sana

  • @AdamCheze
    @AdamCheze ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajichekesha Alaf Sisi Tupo Seriuous

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Police njo wamemukamata😂😂mimi ni wa burundi ila nafatilia maandamano ya leo na video ipo una aibu wewe baba

  • @EstherSamwel-vk4wb
    @EstherSamwel-vk4wb 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mlilo huna akili unafanya kila upuuzi kisa wakubwa wako kwa MUNGU utajibu peke ako

  • @JoyceMtandu
    @JoyceMtandu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii serikali ya Tanzania mna ubabe