@@carol-p5u nampenda kiutumishi jinsi YESU anovomtumia ananibariki Sana na mafundisho yake, ko nampenda Sana,alafu Tena ni agizo la YESU Kristo kwetu tupendane ktk Kristo! Bila shaka umenielewa
Nyie watu acheni ushamba mnaosema mnajikwaa kisa mama mchungaji kasuka. Najua mnaishi kwa kukariri ishi Kama roho mtakatifu anavokuongoza. Usiishi kwa sheria. Utateseka. Mungu hajakataa kusuka Ila anasema kujipamba kuanzie ndani ndo yafuate Mambo ya mwili. Muwen na akili msikimbilie kukwazwa.
Sikiliza neno acha kuhukumu.. mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu,ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine.[Yakobo 4 :12] mnatenda dhambi bila kujijua.
Mchugaji Mungu akubariki Sanaa
Mama mchungaji atowe heleni nakusuka mume ataendelea amen
Wow Mr katekela ur wife is beautiful
Niatari sana lakini ni salama 😀 😀 😀
Nahitaji maombi kwa msichana wangu
Amen
Asante kwa neno mtumishi. Ubarikiwe sana.🙏
ASANTE kwa ushuuda wako mke wa katekela katoe herewith na uache kusuka nywele roho wa MUNGU YY NI MTII ACHA UBISHI
Thanks for the upload, Napenda sana mafundisho ya huyu mchungaji.
Wakati wa mungu kumbadilisha mtu ukifika atambadilisha mke wa mchungaji unachotakiwa kufanya ni kumuombea
Tunashukuru mungu kwa ibada hii
Mama mchungaji ache kushuka nywele
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi, nakupenda Sana
Unampenda kivipi dada ,clarify😅
@@carol-p5u nampenda kiutumishi jinsi YESU anovomtumia ananibariki Sana na mafundisho yake, ko nampenda Sana,alafu Tena ni agizo la YESU Kristo kwetu tupendane ktk Kristo! Bila shaka umenielewa
Amina kubwa
AMINA AMINA
AMEN AMEN 🙏🙏
Ameeeeeeeeen
Jamani ndio naona leo na semina imeisha😭😭sijui bado anaendelea na semina dar au amesharudi..mwenye anajua msaada please
Nyie watu acheni ushamba mnaosema mnajikwaa kisa mama mchungaji kasuka. Najua mnaishi kwa kukariri ishi Kama roho mtakatifu anavokuongoza. Usiishi kwa sheria. Utateseka. Mungu hajakataa kusuka Ila anasema kujipamba kuanzie ndani ndo yafuate Mambo ya mwili. Muwen na akili msikimbilie kukwazwa.
Haina sauti
🤣🤣🤣Your Hunny, your kaputura, your baby, your lotion Barikiwa Sana Mchungaji
❤ mama wa watu anang’ara katika Kristo
❤ mama wa watu anang’ara katika Kristo
Mama mchumgaji mrembooo !!!
Saaaaaana
Mbona mtumishi ujaongelea mapambo
Ninabarikiwa sana,lakini mkewako mbona bado hajavua vitu vya urembo? Kupitia ushuhuda hapa promovertv hayo mahereni nichukizo mbelle za Mungu
Sikiliza neno acha kuhukumu.. mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu,ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine.[Yakobo 4 :12] mnatenda dhambi bila kujijua.
@@catherineangaufoo2530 madam acha kuwa na haraka hapo sijahukumu mtu dada,we huwezi saidia mwenzako akiwa Kwa shimo?
Tushike neno la Mungu jamani. Ukiwa na Roho mtakatifu atakuelekeza nini ufanye na nini usifanye. Tusihukumiane
@@marylinmsaki5216 wanadamu wanishangza mtu akirepkebisha mtu eti ni hukumu
Kwani hizi mafundisho tunapata hapa promovertv hatuweki Kwa matendo!? God have mercy on
Mtumishi wa MUNGU tunakupenda sana na injili yako inatujenga sana lakini mkeo anakuangusha
Nyamaza mpendwa usije ukapata ukoma kama Haruni na Miriamu kwa mke wa Musa,