Kuwafuata na kuwatundika Amaleki wa maisha yetu | Day 1 | 15.12.2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 52

  • @lydiayothamu9902
    @lydiayothamu9902 2 ปีที่แล้ว +6

    Ameeen,,I love you Daddy you are real man of God 💪🏼 inteligentic preaching 😍😍

  • @ashatadauda5670
    @ashatadauda5670 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba nakufata toka DRC, namuomba Mungu anipe neema ya kukuona live Siku moja. 'Goal keeper" tena jasusi. 💪💯👍

  • @NancyNaomi-od6ng
    @NancyNaomi-od6ng 4 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa sana Kila ukiubiricho Nina wimbo kuusu inamaana kuwa ujumbe wako na wangu ni sawasawa Mungu anisaidie nipate fedha nizitoe ili nizidishe kuubiri injili ya Mungu muumba mbingu inch na vyote vilivyomo

  • @afamefunaokeke6966
    @afamefunaokeke6966 2 ปีที่แล้ว +1

    I connect namtundika amaleki aliye kwenye maisha yangu ,,,familia yangu,, baraka zangu..nantundika kwa jina la yesu

  • @samweliantoni7707
    @samweliantoni7707 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwajina la yesu kiristo nakupiga wewe amaleki unaezuia chochote kwenyemaisha yangu Mungu nitetee bwana wangu amen♥️♥️♥️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️Mungu awafutilie mbali watesiwangu ameni⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️

  • @daudcharles264
    @daudcharles264 2 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima nimekuelewa ujumbe umefika na iwe hivyo Amen.

  • @magnifiquekwizera5616
    @magnifiquekwizera5616 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawatundika juuu ya mti watesi wangu wote kwa jina la YESU

  • @anettekandole8335
    @anettekandole8335 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawatundika kwa ndamu ya Yesu

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini2044 5 หลายเดือนก่อน

    Amen.

  • @frenkmsembe1662
    @frenkmsembe1662 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen baba

  • @alexmuyebhe4828
    @alexmuyebhe4828 2 ปีที่แล้ว

    Bishop Gwajima barikiwa baba kwa zawadi ya huduma hiyo uliyoshushiwa toka mbinguni.

  • @idrissirankundayves976
    @idrissirankundayves976 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen... MUNGU aendelee kuwaongezea nguvu ...

  • @bhokeoffcial6340
    @bhokeoffcial6340 ปีที่แล้ว

    Amaleki wote washindwe ktk makusudi ya Mungu ktk maisha yangu ktk jina la Yesu Amen

  • @odethamutabazi3118
    @odethamutabazi3118 ปีที่แล้ว

    Nakutundika amaleki was maisha yangu unayezuia hatima yangu,, kwa jina la Yesu Amen

  • @yoabumahengeofficial9937
    @yoabumahengeofficial9937 2 ปีที่แล้ว +5

    Ninawafuta amaleki wa huduma yangu, kwajina la Yesu

  • @anithamuvurwaneza1621
    @anithamuvurwaneza1621 2 ปีที่แล้ว

    Ohooo Mungu niondolewe wa amalenki ndani yamaisha yangu asante mchungaji kwa Neno nzuri

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 2 ปีที่แล้ว

    Nawafuata amaleki waliochezea maisha yangu.

  • @jossyngumbi1916
    @jossyngumbi1916 2 ปีที่แล้ว

    Nawafuata Ameleki wangu kwa uhakika nitawapata na kuwamaliza kwa damu ya Yesu Kristo Halellujah Ameeeen asante Baba

  • @thehouseofprayerministry359
    @thehouseofprayerministry359 หลายเดือนก่อน

    Uyu baba mimi nampendaga bure

  • @godfreymsembe169
    @godfreymsembe169 2 ปีที่แล้ว

    Amina amina kubwa baba

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 2 ปีที่แล้ว

    Amen nimebarikiwa saana asante bishop

  • @tiffahjuma5323
    @tiffahjuma5323 9 หลายเดือนก่อน

    Emen

  • @happynessmsonde8339
    @happynessmsonde8339 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi was Bwana

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen🇰🇪🇰🇪

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeeeeen

  • @jema1232
    @jema1232 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @godisgood3590
    @godisgood3590 2 ปีที่แล้ว

    Amen daddy 🙏☺

  • @deborakasuva5009
    @deborakasuva5009 2 ปีที่แล้ว

    Amen dady

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 2 ปีที่แล้ว

    TUSISAHAU, TUSIBEZE NA/AU TUSIPUUZE:
    Yesu alitabiriwa na Nabii Isaya kuwa Mwana wa Amani wa Mfalme atakuja; Yesu kaja akafundisha kupenda jirani zetu; Yesu akatufundisha kupenda adui zetu... Paulo akaja akatufundisha kutolipa visasi kwa maadui wetu kwani hiyo ni kazi ya Mungu wetu peke yake.

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 ปีที่แล้ว +1

    Pia naamini kuwa hili simo leo linamkataa Haman lkn ipo siku litamhurumia Haman kwa maana maamuzi ya Mfalme ni somo juu ya udhaifu wa Mwanaume dhidi ya mwanamke. Yaani unaweza kugombana na Rafiki yako wa zamani au Ndugu yako kwaajili ya maslahi ya Binti uliyempenda pasipo kutambua nini anachowaza Ester. Ester asingetishwa asingepata maamuzi hayo. Mfalme aliamua kwakuwa anamuamini sana Rafiki yake aliyetoka naye mbali. Why now?!!

  • @ladyhellen77oti65
    @ladyhellen77oti65 10 หลายเดือนก่อน

    Alinda kwa ndito hehehe

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 ปีที่แล้ว

    Kwa Tafsiri nyingine tamu nmeiona hapo ni kwamba Ndugai hataki ww uwepo Bungeni wakati Mungu alishapanga uwe pale,sasa Ndugai ni Amaleki...Ua

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 2 ปีที่แล้ว

    Emen emen daddy

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 9 หลายเดือนก่อน

    Namba ya Askofu Gwajima mtu anaipataje??

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe hata Magufuli ameuliwa baada ya kutaka kumuua Lisu! Asante sana Askofu!

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 ปีที่แล้ว +1

    Ule mchongo wa korosho alipewa majaliwa na magu

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 2 ปีที่แล้ว

      @MalMavoice... Akili zako ziko kichwani kweli? Au nyuma ya nanii

    • @mwasamiladldm7557
      @mwasamiladldm7557 2 ปีที่แล้ว

      @@georgemassebu2083 😈😈😈😁😀😂

    • @mwasamiladldm7557
      @mwasamiladldm7557 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli hapa si mahali pake,tafuta jukwaa udai madai yako,hapa ni ibada tu.

  • @ashatadauda5670
    @ashatadauda5670 2 ปีที่แล้ว

    Amaleki=>XXL.

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 2 ปีที่แล้ว

    Hili somo pastor aliliimba Buku na liliishi kwa wengi mno ila watu walikariri tu,leo unawafundisha watu mana aisee tunaivana nalo kama njaa ya siku 3 kwa kidume!hahahaaa heyyyyy

    • @meroveebashizi7118
      @meroveebashizi7118 ปีที่แล้ว

      Pastor we are listening your predictions all from DRc but please I need your whatsap number.

    • @sarahkakuba8392
      @sarahkakuba8392 ปีที่แล้ว

      Nakupendaga bure mungu akutumze man of god

  • @jossyngumbi1916
    @jossyngumbi1916 2 ปีที่แล้ว

    Tumfuate

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini2044 5 หลายเดือนก่อน

    Amen.

  • @rukiarose8602
    @rukiarose8602 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏻

  • @LadouceurTony
    @LadouceurTony 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏