MANENO MAGUMU YA MBOWE MBELE YA BALOZI WA MAREKANI MKUTANO WA DEMOKRASIA,AWATAJA ALI KIBAO,SOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน +7

    Pole mbowe inaliza sana lkn sisi wakristo tunaamini mungu yupo

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji หลายเดือนก่อน +3

    Duuu inauma nainaumiza sana wanaotufanyia ivi mimi mtazamo wangu wamepewa veo lakini siowatanzania

  • @RusayaAweso
    @RusayaAweso หลายเดือนก่อน

    Inauma sana siasa za tanzania

  • @hamijeyhamijey-x5g
    @hamijeyhamijey-x5g หลายเดือนก่อน

    mbowe yuko sahihi kbs mungu akbaliki sana

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 หลายเดือนก่อน

    Wa afrika tujifunze kumaliza matatizo yetu wenyewe bila kuhusisha wazungu,hawa ndio chanzo cha machafuko barani africa zaidi marekani,leo mumesimama nao apo kwa maslahi yenu,afrika tuna safari ndefu sana

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky หลายเดือนก่อน +2

    Kabud yupo busy na smart

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

    Kaishi Matekani.katuachia nchi yetu wapenda amani.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naona unajidanganya mana uyo Diamond wwnyewe amemkuta Alikiba kwenye game ss we unaona Gogy kavujisha mwenyewe vdeo yke au kisa n D voice kujiunga WCB?

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u หลายเดือนก่อน

    Leo wanajifanya wasimamiaji wa demokrasi duniani wakati wao marekani ni wauaji wakubwa dunia nzima na wanataka kila nchi kuingilia mamlaka yake eti kwa sababu ya misaada yao ambayo ni ya masimango, ndo maana nyerere alikataa misaada yao kwa sababu inahatari misaada, bora ya umaskini wetu kuliko kudhalilishwa uhuru na utu wetu, wazungu wanafaya kila njia kuzitawala tena nchi zetu za Afrika lkn mwenyezimungu atatuhifadhi kwa uwezo wake😊

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 หลายเดือนก่อน +5

    Yanayoongelewa ni ya maana sana, lakini kwa kuwa sisi tuliowengi tumekulia pwani tunakomenti kimzahamzaha tu, mipashomipasho tu. Watu wanabaka watoto wao waliowazaa wamefundishwa na nani? Tusiombe misaada kwa mashoga. Baniani mbaya kiatu chake dawa? Inauma sana.😢😢😢

  • @hamijeyhamijey-x5g
    @hamijeyhamijey-x5g หลายเดือนก่อน

    kwenye ukwel n ukweli2 ata upake uchafu utaonakana2

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 หลายเดือนก่อน

    Mi mzee nakutia moyo na usijalibu kuludi nyuma tena awa ni kuwa washia moto tu ili kuwashikisha adabu na ukiludi nyuma apo bola ni bola ulud nyumbani ukaanze kulima maana utakua auna lolote apo cha msingi ni kupambambana na liwalo na liwe

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u หลายเดือนก่อน

    Askari wa marekani ni wauaji wakubwa duniani si polisi si jeshi

    • @JumaMkiji
      @JumaMkiji หลายเดือนก่อน

      @@AliAhmed-m1o2u wamalekani wanaua wauaji kama awa ccm

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 หลายเดือนก่อน

    Mnadanganywa,na,wazungu,kumbe.mmesoma,kula,viaztu

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 หลายเดือนก่อน

    Si uchunguzi unafanywa?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Ww unajua walipo mbowe acha kuuhadaa ulimwengu kuwa ww ni mtu mwema sana waķati ww ni mtekaji na muuaji tu. Acha kuhadaa watu. Cyo kazi ya serikal kutafuta watu ambao wenyewe mnajua mmewaua na kuwaficha kusikojulikana leo et serikali itafute acha uongo wa kuwafanya watz kama wajinga. Endelea kusemelea kwa hao watu wako upelekwe kwa P didy akakunyooshe

  • @JosephatPeter-jb5bq
    @JosephatPeter-jb5bq หลายเดือนก่อน

    Akuna aman inayo potea wangesh kamatw

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 หลายเดือนก่อน

    Munaabudu,wamarekan,simuhamie,huko,mkaolewe,hatutaki,ushonga,wewe,mbowe,na,washilika,wako

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 หลายเดือนก่อน

    Mwendawazim kibaraka mkubwa utaishia kulalama

    • @JumaMkiji
      @JumaMkiji หลายเดือนก่อน

      Mmh mungu yupo

    • @ExaudMwakila
      @ExaudMwakila หลายเดือนก่อน

      Nina mashaka na ww huenda unahusika na hili swala la utekaji ktk hili taifa

    • @gangan4618
      @gangan4618 หลายเดือนก่อน

      Muuaji wa mzee Kibao huyo.

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 หลายเดือนก่อน

    Haya yanayotokea ni kwa manufaa ya watu wachache waliopo madarakani,

  • @AliAhmed-m1o2u
    @AliAhmed-m1o2u หลายเดือนก่อน

    Wewe mbowe huna demokrasi ndani ya chama chako mwenyewe unauwa wenzako kwa sababu ya uenyekiti wako hutaki kuondoka ni chama cha familia yako wewe mnafiq

    • @ChrisUromi
      @ChrisUromi หลายเดือนก่อน

      Sasa ulitaka mwenyekiti awe baba ako au msenge wewe

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan หลายเดือนก่อน

    HAO HAO MAREKANI MBONA WANAONDOA NAFSI ZA WATU WASIO NA HATIA HUKO PALESTINA?? SISI TANZANIA MBONA HATUJAWAINGILIA??

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi หลายเดือนก่อน +1

      siku akiuliwa ndugu yako ndo utajua kuwa Kuna Shida.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan หลายเดือนก่อน +1

    NYIE NI WAONGO NA WANAFIKI....MBONA ILE KAULI YA RAIS JUZI KUHUSU KIKAO CHENU CHA KUVURUGA AMANI YA NCHI HAMJAIJIBU??? MAANA AKE NI KWELI HAMNA NIA MBAYA NA NCHI YETU

    • @dribrahimmamboleo4435
      @dribrahimmamboleo4435 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna vitu vingine ni vya kijinga havipaswi kujibiwa.
      Rais hawezi kuona kikao kinavunja amani na sheria bila kuchukua hatua papo hapo.
      Mwenye busara huwa hajibu mipasho.

    • @ExaudMwakila
      @ExaudMwakila หลายเดือนก่อน

      Nina mashaka na ww huenda ukawa ni mmoja wapo kati ya wale watekaji ktk hili taifa.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan หลายเดือนก่อน

    Mbona mnawaendekeza hao Marekani waasisi wa USHOGA??? mnatutia mashaka nyie Chadema!!

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf หลายเดือนก่อน

    Hstutaki waamerika ni mashoga hao

    • @knight6757
      @knight6757 หลายเดือนก่อน

      Msaada yao tunapokea fasta😂

    • @gulalakitinya7615
      @gulalakitinya7615 หลายเดือนก่อน

      Unataka Waarabu? Fikiria.

    • @knight6757
      @knight6757 หลายเดือนก่อน

      @@gulalakitinya7615 si wameshafika na wapo Ngorongoro....au?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Toka kwenye Uwenyekiti wamekuchoka Nkurunzinza kila wenzio wakitaka hicho kiti unawafanyia firigisu hakuna anaekutaka

    • @dribrahimmamboleo4435
      @dribrahimmamboleo4435 หลายเดือนก่อน

      Look!
      Hata mada inayoongelewa huijui, unabwabwaja bila akili kujua na kupanga jambo sahihi la kuongea kulinga na na mada.
      Jitafakari

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

      @@dribrahimmamboleo4435 Wewe utaishiq neno la mada nyau wewe Chadema Hawapati dola kamwe wataishia kuuwa kisongizio Serikali Yona anawaumbua shenzi kabisa

    • @gangan4618
      @gangan4618 หลายเดือนก่อน

      Kenge wa kijani wewe CHADEMA HAIKUHUSU.