MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA SPIKA TULIA, "Kwanini Alikaa Kimya Wakati wa Mkataba wa Bandari,.?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 101

  • @vicentlusana4550
    @vicentlusana4550 15 วันที่ผ่านมา +8

    Uko vizuri sana mhe tuko pamoja tunakuombea sana na mungu tunaamini atakurinda

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 15 วันที่ผ่านมา +10

    Muheshimiwa mpina sisi tunakuelewa Sasa tena sana

  • @mkudesimba9518
    @mkudesimba9518 15 วันที่ผ่านมา +5

    Mheshimiwa mpina Mwenyezi Mungu atakuzidishia nguvu endelea kupambana kwani huo ndio utawala bora hapa duniani mpaka akhera !

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 15 วันที่ผ่านมา +5

    Mpina"serikal hii ukijaribu tu kutetea wananchi ww ni adau waoo!

  • @SamwelShigemelo-e1y
    @SamwelShigemelo-e1y 15 วันที่ผ่านมา +4

    Kaka nakukubali sana njoo kisesa 2025 mitano tena yako. By shigemelo shigemelo

  • @kilimanjarostarlounge
    @kilimanjarostarlounge 15 วันที่ผ่านมา +9

    kwa mfano raisi awe MAKONDA makamu awe MPINA waziri mkuu mwambukusi pata picha 2025 hiyo serekali itakuaje please REPLY

    • @peterilimwa5754
      @peterilimwa5754 15 วันที่ผ่านมา

      tutaongoza kwa uchumi africa

    • @LinusAmanimbeye
      @LinusAmanimbeye 10 วันที่ผ่านมา

      Wataongoza Kwa uchumi upi wakati Kila sehemu yenye pesa tumewapa wa gen

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 15 วันที่ผ่านมา +6

    Spika wa mchongo huyooo"tuna kuelewa saaaaana mpinaaa

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 12 วันที่ผ่านมา

      SPIKA WA MCHONGO NI YULE ALIEKATAA KUMTIBU TUNNDU LISSU ALIPOPIGWA RISASI KWA MAONEVU BUNGENI NJE NA WAKAMFUKUZA UBUNGE NA HAWAKUMLIPA STAHIKI ZAKE ZAKE AKINA MPINA NA NDUGAI WALIBARIKI HUO USHENZI.HUYO NDIE ALIEKUWA SPIKA WA MCHONGO .

  • @user-it7ih1it3m
    @user-it7ih1it3m 15 วันที่ผ่านมา +8

    Mpina na makonda chukueni form za uraisi huyu mama samia na spika wake wazinguaji tu,,, nchi kubwa kama Tanzania badala ya kusambaza sukari eti tunasambaziwa sukari na nchi ndogo kabisa,
    Madini yetu yanasombwa tu sijaona yyte akikamatwa inamaana kwamba hakuna wizi kweli ebu tutafakari kwa kina
    Raisi samia anapwaya sana

    • @onelovetz7935
      @onelovetz7935 3 วันที่ผ่านมา

      Kura zangu nawapa na mimi

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hii nchi kazi sana. Kama mbunge anapigwa hivi. Mimi nifanyweje. 😢😢😢😢😢😢 Dah.

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 12 วันที่ผ่านมา +2

    Spika kageuza hii nchi ni ya mamaake

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hamia chadema baba"wew sio wa hukoo

  • @AmiriAmiri-x2z
    @AmiriAmiri-x2z 5 วันที่ผ่านมา

    wanainch wa mbeya kuwen makin 2025.luhaga mpina kaonewa hadharan.inaoyesha mheshimiwa bashe huo upigaji kwenye sukar hayupo peke ake.mungu tusaidie tanzania. munguulindeheshimiwa mpina mtetez wa wanyonge.

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hao siku zote wanakuwaga na mipango Yao, ya kutetea ufuisadi wao ndio maana siku zote bunge letu haliwapendi watu wakweli,na siku zote hupambana na watu wakweli kama mpina

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 15 วันที่ผ่านมา +8

    Hii awamu ya sita ni ufisadi tu, be blessed 🙏 mpina

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 12 วันที่ผ่านมา

      JEE AWAMU YA TANO ILIYOKUWA UKIWA MZALENDO NA MSEMA KWELI UNAULIWA,UNATEKWA,AU UMEKOSEKANA UNAPIGWA RISASI KARIBU YA KUFA TENA BUNGENI NJE HUKU CAMERA ZIKIWA ZIMEZIMWA NA WENYE MAMLAKA LISU HAKUTIBIWA WALA HAKULIPWA STAHIKI ZAKE.LAKINI KWAKO WEWE AWAMU YA 5 NDIO YA KISHENZI ZAIDI EEEE.UNA LAKO KAMA HUYO MPINA.MAANA USHENZI HUO WAKIFANYIWA WATU MPINA ALIKUWA WAZIRI WALA HAKUWAHI KUKEMEA UDICTATOR HUO.

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 12 วันที่ผ่านมา

      Mimi naona awamu ya tano ndio imeongoza zaidi ufisadi cag Proffesor Assad aliweka wazi wizi aliofanya Maggu Ikulu wa trillioni moja na nussu na Magu huuo huyo akawa anakwepesha mahesabu ya daraja la Kijazi,sgr na mradi wa bwawa wa Rufiji kila Assad alipokuwa anahitaji nyaraka za hesabu na matumizi ya miradi hiyo mikubwa 3 bwana Magu akawa anazungusha,Jee unajujua nini kuhusu hela za prebagaining ni aibu jee unajua nini kuhusu yale madini yaliyokwenda kujengewa ukuta kule Arusha na walinzi kuwekwa wanajeshi ni kichefuchefu.Kaa kimya wewe mfuata mkondo na bendera maana Wadanganyika wengi mko hivyo.Ujinga ignorance.😊

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 13 วันที่ผ่านมา +1

    Unaeleweka sana sana.

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 13 วันที่ผ่านมา

    Mh.Mpina 🤝👏💪🏽🙏🏼
    Piga kazi Mpina stand for the truth you mast stand alone 👍

  • @oliverwhite1676
    @oliverwhite1676 3 วันที่ผ่านมา

    Siyo bandari tu.! Wa masai loliondo huo wote upigaji lakini mungu yupo ahsante

  • @elinasilukumay3221
    @elinasilukumay3221 11 วันที่ผ่านมา +1

    Anzeni kukinywea kile kikombe alicho kinywea Hayati Edward Lowasa kwenye bunge hili hili

  • @Daniellekauro
    @Daniellekauro 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nani kama luaga mpina huyu mbuge ni siries kututetea karibu kututembelea mkoa wa manyara Niko na ngombe Yako Kwa ajili ya maendeleo unayotakia Tanzania

  • @w.j6088
    @w.j6088 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hata mimi mwananchi wa kawaida kabisa tena la saba D niligunduwa waziwazi kuwa umeonewa, sipika ni kama vile imepwaya eti!

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 4 วันที่ผ่านมา

    Congratulations

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 14 วันที่ผ่านมา

    Mpina mungu akulinde sana. Hawa watu ni wabaya sana. Nchi inahitaji serikali mpya hawa walio madarakani hawafai tena

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 15 วันที่ผ่านมา +3

    Tafuta mwanasheria waumene na Speaker wa bunge ,haki yako itajulikanatu

  • @user-hj5hh4zg4e
    @user-hj5hh4zg4e 8 วันที่ผ่านมา

    Wapenda haki wote niadui wawalarushwa

  • @NestoyChotta-wk8bl
    @NestoyChotta-wk8bl 12 วันที่ผ่านมา

    uko vizuri mpina

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 7 วันที่ผ่านมา

    Wapiga kura Mbeya Mjini nadhani mnamwelewa Mh!Moina na kamati ya chama changu CCM nadhani mmemsikia Mpina sasa kama tunalitaka jimbo la Mbeya mjini basi tumsikie vyema Mpina

  • @kwayugeneral2192
    @kwayugeneral2192 15 วันที่ผ่านมา +2

    ila hata wewe ulipokuwa waziri uliumiza watu sana, yaani mii na utu uzima huu sikuwahi kuona waziri aliyeumiza watu kama huyu mpini enzi zake jamani, haswa kufungia viwanda na kupiga faini kubwa zisizolipika yaani basi tuu, pambana tuu na hali yako maana hata wee ulikuwa zaidi ya dikteta na kujiona mungu mtu aisee

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 15 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU akusimamie Kaka, hakika wewe ni mtu wa maana sana Tanzania

  • @JoshuaBasil-gp5wz
    @JoshuaBasil-gp5wz 14 วันที่ผ่านมา

    A strong person is that who stands alone.

  • @user-cn2ol4gk4b
    @user-cn2ol4gk4b 11 วันที่ผ่านมา

    nchi yetu ina tolii sna ......sema poa.........twende tuishi....

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ni bunge la viongoziwenye akili kulikowananchi wanao zidi milioni60.

  • @user-ss7xx6rl3b
    @user-ss7xx6rl3b 14 วันที่ผ่านมา

    Tunakuelewa sana muheshimiwa hii nchi haiwataki wenye haki kabisa.

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 14 วันที่ผ่านมา

    Mpina ni kiongozi Bora Sana huyu anatufaa kuwa mkuu wa nchi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 วันที่ผ่านมา

    Kaka mpina hapa nchini Tanzania ukisema ukweli ni mwiko Kwa ccm utatengenenzewa uadui wa Hali ya juu hata msukuma ni mbaya sana hapendi wabunge wanaosema ukweli hapo ndani

  • @allyabdallah1183
    @allyabdallah1183 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina nazi huwa aishi ndani na jiwe,we kaa kimya jitasimini. Kuongea KTK media husaidia pole.

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 10 วันที่ผ่านมา

    Simama

  • @user-ps7kv7lp4m
    @user-ps7kv7lp4m 14 วันที่ผ่านมา

    Shida ya bunge kama kuna kitu ndani yakapeti,ukiwa mbele unatolewa kafara,mpina nimsema kwel,i mungu atakupigania

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 15 วันที่ผ่านมา +2

    Ni mbunge wa wote

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tz ni kama hatuna rais na kama upo hana uchungu wowote nanchi watu wake ndo maana kumeja ufizadi wa hali ya juu

  • @chazzkayoka9205
    @chazzkayoka9205 11 วันที่ผ่านมา

    Tulia ni ng'ombe na hastahili kuwa sp******

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 11 วันที่ผ่านมา

    Mpina Mungu awenawe daima upo ktk haki, bali Bunge limekaliwa na wapigaji tupu, Msukuma nae katoka ktk misimamo yake

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 15 วันที่ผ่านมา

    Kwa sasa rasmi Mpina,hutakiwi tn kujulikan km Mbunge,bali ww ni "Mwana harakati wa Taifa".Wanaodai ni Malipo ya Ulichokfny Wizara ya Uvuvi,nafkir bd Wapo usingizini,cku wakiamka watakuelewa

  • @kamandashupavu206
    @kamandashupavu206 12 วันที่ผ่านมา

    Ili uwe shujaa ni lazima ukutane na vizingiti🎉🎉

  • @hellenmarandu1787
    @hellenmarandu1787 14 วันที่ผ่านมา

    Unamfundisha boss kazi duuh

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 15 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana ulipewa mda wakuleta ushahidi wa kumtuhum Bashe

    • @GaspercomedyTv
      @GaspercomedyTv 12 วันที่ผ่านมา

      Acha ujunga sawa watu tuko seriously na haki za watanzania alafu unable comment ujinga

  • @wilsonmarco-n9w
    @wilsonmarco-n9w 13 วันที่ผ่านมา

    Inchi itasimama,umakini unahitajika, Mpina ana sifa ya SHUJAA

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 15 วันที่ผ่านมา

    Umeshakwisha mzee

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 11 วันที่ผ่านมา

    Mpena he lekanaga nabo ila umewakomesha bugota bulolo babongwaga bakwebaaa lekanaga nabo baba

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 14 วันที่ผ่านมา

    Unasema login kabisa Mh Mpina yaani uonevu mkubwa sana CCm

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu 10 วันที่ผ่านมา

    Tuna mahakimu wengi mkubwa ni tulia

  • @madreks253
    @madreks253 7 วันที่ผ่านมา

    Katiba lazima ibadilishwe na serikali livunjwe...Viongozi wengi na Raisi mafisadi wakubwa...ukiwa mchapa kazi wanakushitaki...hamna utendaji wa haki nchi hii...

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 13 วันที่ผ่านมา

    Duuu!! Yaan aliewekwa pale ktk bunge hakufaa kua pale kuongoza bunge ,aliwekwa tu ilimradi

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mko pekeenu lkin mmekuwa kama manyani

  • @GaspaMwamlima
    @GaspaMwamlima 15 วันที่ผ่านมา

    Mpina the giant

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mpina umekaa bungeni miaka 20 imeisha hiyo tafuta nyingine sisi unaotushitakia hatuna nguvu yoyote pambana na hali yako

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna spika hapo njaa tu anaitetea selekari sisi tumekuelewa sasa tunasubiri uchaguzi kama atarudi bungeni spika sijui

  • @CotridaKigwile-d6p
    @CotridaKigwile-d6p 6 วันที่ผ่านมา

    Kumeanza kuchangamka

  • @DominikiChristian
    @DominikiChristian 12 วันที่ผ่านมา

    Nimont ikowapi

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 15 วันที่ผ่านมา

    Mpina piga spana washenz hao waovu wasiolipenda taifa kwanza haya ndio madhala ya kuwa na viongoz wanawake taifa linaangamia kila upande

  • @emmanuelkamoli8215
    @emmanuelkamoli8215 15 วันที่ผ่านมา

    Mm sipo upande wwt ila Mpina mmmh?

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 15 วันที่ผ่านมา

    Mpn umekwisha feli kipind cha ngosha mwenzio kilikuwa chaukabila sana kavue samaki za makombora

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 15 วันที่ผ่านมา

    Ww unatatizo la kukosa uwaziri hulidhiki kuwa mbunge wa kawaida unataka uwaziri kwa nguvu kubwa nakushauri ujitulize kwani kulalamika kwako ktk medir haito kusaidia zaidi ya kuchukuliwa hatua na chama chako.

  • @IsackTumbo-uw3fe
    @IsackTumbo-uw3fe 14 วันที่ผ่านมา

    Kisesa oyeeee.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 12 วันที่ผ่านมา

    WAJINGA NDO WANAENDESHA NCHI KWAIO WEREVU WAMEGEUKA KUA TISHIO KWAO

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 15 วันที่ผ่านมา

    MWAMBA UNATIISHA...WEWE.MAKONDA.BASHE...NK...MNATISHA KAMA KIMBUNGA...PAMBANIENI WANYONGE PASINAKUCHOKA...HAWA VIONGOZI MADEMU....VICHOMIII

  • @user-wh4yx6iw8k
    @user-wh4yx6iw8k 15 วันที่ผ่านมา

    Kama una nia ya kuwasaidia wananchi nenda Chadema ndio watetezi wa wananchi

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 11 วันที่ผ่านมา

    Shetani havai kanzu ira ukweri

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 14 วันที่ผ่านมา

    Wizi umefichwa bashe jiuzulu

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 15 วันที่ผ่านมา

    Kaka tunakupa mitano tena

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 15 วันที่ผ่านมา

    Badilishana namsigwa

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 15 วันที่ผ่านมา

    Mwendo wa kuibia umma tu

  • @nicodems7984
    @nicodems7984 11 วันที่ผ่านมา

    Njoo chadema wewe ni m2 muhim

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 15 วันที่ผ่านมา

    Mwabukusi msaidia kijana huyu mzarendo

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hayana nafasi kwa sasa ungeyasema kwenye kwenyekamati

  • @AmosChege-n7u
    @AmosChege-n7u 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina wewe ni mzalendo tuko pamoja na usikate Tamaa gombeeni na makonda urais tutawapa kura
    ni

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 13 วันที่ผ่านมา

    Mpina wewe Tanzania imekuamini.kwann ushindane kama uko sawa wakusemee wengine ila saizi upendo.haupo nyie.shetani kishaivamia.dunia.yaan wabunge hawapendani.da

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c 15 วันที่ผ่านมา

    Tatzo uwaziri

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona vikao kumi kidogo sana

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nenda mahakamani kafiri wewe

  • @rashidabdallah5825
    @rashidabdallah5825 15 วันที่ผ่านมา

    Kwan hukumu imetolewa na spika au kamati ndo imeshauri hukumu yeye akaitangaza hukumu

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hana lolote anatafuta huruma wa wananchi. Kusahau alivyotia watu njaa akiwa waziri wa uvuvi na mifugo. Watu wamekuwa masikini mpaka leo.

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 15 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe ndo huna akili mpina anaakili

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kama ulivunja Sheria kwenye samaki wetu na manyavu yako haramu ulitaka uletewe mikate? Hao wenzio nao wameyakanyaga kwenye sukari kinyume Cha Sheria moto ule ule na hana time ya kutafuta huruma kwa wajinga

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 15 วันที่ผ่านมา

      Hakika ,,,jamaaa anatafuta huruma

    • @janejoel2465
      @janejoel2465 15 วันที่ผ่านมา

      Spika alikuaga vzr mwanzon sihiz anapuyanga myaki mwenzangu daah ila bas tumwachie MUNGU anaejua kuhukumu kwa haki,

    • @mtakamatv
      @mtakamatv 15 วันที่ผ่านมา

      Tusiwe waropokaji pasipo kupima hoja ya mtu,kama huelewi kaa kimya,hata kama mpina anamadhaifu mengine ila kwa hoja hizi Yuko sahihi,na anawatetea wananchi,au wengine hamkununua sukari kilo elfu sita?

  • @wilsonmarco-n9w
    @wilsonmarco-n9w 13 วันที่ผ่านมา

    Inchi itasimama,umakini unahitajika, Mpina ana sifa ya SHUJAA