VANESSA amwaga machozi akielezea mapenzi ya JUX, RAYVANNY aingilia kati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 190

  • @emilianamassawe2807
    @emilianamassawe2807 3 ปีที่แล้ว +5

    Aiseee dunia inaenda resi sana na asaiv nd ashamsahau aiseee anaenjoy maisha now big up Vanessa you are my idol

  • @mariammesso6020
    @mariammesso6020 5 ปีที่แล้ว +2

    V relax, everything has got a reason. Focus on your life, things gonna be alright soon, let them talk my dear ndivyo walivyo, as long as MUNGU yuko upande wako atakupa mtu mwingne mwema sana, forget about Jux. Mwache aende, nakupenda mm hata kama yy kaondoka. Anakupenda mama, MUNGU anakupenda sana hauko peke yako.

  • @barekesteve2422
    @barekesteve2422 5 ปีที่แล้ว +7

    I love the way you mix Swahili and English napenda sana na kwel umeongeley point kabis big up ve

    • @ramadhanimatewa9409
      @ramadhanimatewa9409 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana imekuchoma Big up kwa jux ndiyo dawa yawanawake wanaojiona pumbavu

    • @barekesteve2422
      @barekesteve2422 5 ปีที่แล้ว

      aaah zii mi nishabik wao wote na kila mtu ana uhuru wakupenda amtakay nakucukia pia so kuwa wameachana mbele yamashabik tunasema.mengi nayeny siyaukweli then hata wakiamua.kutudangany it's doesn't change a thing coz our life keeps going sisi.watupe burudani tu yayisalia hayatuhusuuuuuu hahahaa#stranger +257

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 ปีที่แล้ว +19

    Hakuna kitu kinauma uwachane na mtu then ex wako apate dem au boy inachoma km pasi pole vee mzur Sana utapata na wew Tena Zaid yake never give up

    • @eliasmaneno2795
      @eliasmaneno2795 5 ปีที่แล้ว

      nyie kaeni na mauciano mpaka kufa msije tengana

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 ปีที่แล้ว +3

    Achanaaa na na uyo juma vanesa uko mzuriiiii saaaana kuliko uyo mwanamkeeee wake wallah ilove you so mach 💋💋💋💋💋💋❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tiniymwacha1518
    @tiniymwacha1518 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila vanesa nikuambie kitu kwanza mmepotezaa washabikii wengii .pilii hata kati ya jux na wew .mkitoa nyimbo hauwez pata watu weng wa Ku like kama mwanzoni .kama unaamini hivy like hap

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 5 ปีที่แล้ว +28

    Well done Vanessa! It’s not the end of the world. There are plenty of fish out there😂. Focus na maisha yako, mahusiano kwisha na kitu cha kawaida na wanaokusema vby achana nao wasikuumize kichwa na wapuuzi tu! Next time usile matapishi tena, ukiachana na mwanamme hata alie chozi la damu ni usanii tu! Na fundisho kwa wasichana wote! Mungu anampango mzuri nawe, nakushauri usikimbile mahusiano be yourself, tafakari, enjoy maisha yako kama wewe kabla hujajiingiza kwenye mahusiano tena.

    • @ammarthiana3730
      @ammarthiana3730 3 ปีที่แล้ว +2

      Finally it came true

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 ปีที่แล้ว

      @@ammarthiana3730 God is good 🙏🏾

  • @danielmgonja9906
    @danielmgonja9906 5 ปีที่แล้ว +57

    never ushkaji hauwez kuwepo kwa mtu ambaye mlikuwa date afu yuko na mtu mwngne..karoho kanauma sista huwo ndo ukwel

  • @fatumaselfu890
    @fatumaselfu890 5 ปีที่แล้ว +12

    Ni kweli dada wapo walio oana wakawa na watoto wakaachana wew kuachana na jux wasikuandame yatapita ayo

  • @jaygraphfx4503
    @jaygraphfx4503 5 ปีที่แล้ว +5

    leo nina MBs zakuchezea ndy maana na watch huu Ubuyu...
    Gonga LIKE kama na ww Pia Upo the same

  • @millekamafa4110
    @millekamafa4110 5 ปีที่แล้ว

    nakupenda Sana Vanessa,,, never give up

  • @janenduta6409
    @janenduta6409 5 ปีที่แล้ว +2

    take heart girl be strong

  • @mwalamik
    @mwalamik 5 ปีที่แล้ว +3

    go on , make new more hits ,,, they always come and easy go..

  • @agnesskabalika9728
    @agnesskabalika9728 5 ปีที่แล้ว +3

    we binti mi nakukubaligi sana jamani mpambanaji wangu songa mbele💪💪

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 ปีที่แล้ว +1

    Usijar my dear, Vuta Subra utapata mzr zaidi yake, Mi mwenyewe nimesikitika kutengana kwenu, Ila wasanii wa Bongo wanaigana kuoa nje ya Nchi, Ila Aminia nakujua we ni Shujaa Usiwaze momii

  • @linetnyawira1915
    @linetnyawira1915 5 ปีที่แล้ว

    Veee ur strong my crush ever usife moyoo ur strong girl move on to u got money u got all talent etc come oon girl be you honey show "them" u can do by your own oh come oon sweery usinibwage joh we ladies tuko strong ya kuachana sio deal as long u hv got life .life continues men

  • @ayshakhamis1415
    @ayshakhamis1415 5 ปีที่แล้ว +3

    Vannessa bwana wataka kulia wacha nichekea aseeeh 😂😂😂😂😍😍😍😍mpuzika dd wajichora

  • @jumakajoka8903
    @jumakajoka8903 3 ปีที่แล้ว

    Umezingua sana good luck

  • @elialucas6140
    @elialucas6140 5 ปีที่แล้ว +2

    copper ya jux na vee ilikuwa inspiration ya vijana wengi mno,, ni maamuzi yenu but kiukweli kwa mashabiki wenu hili suala halijakaa poa kabisa

  • @hindukassim8037
    @hindukassim8037 5 ปีที่แล้ว +5

    Enjoy your life darling
    i love so much

  • @getrudaabas6289
    @getrudaabas6289 5 ปีที่แล้ว

    Luv yuuu v.money

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +1

    Ungenyamaza kimya ingekuwa vizuri mm niliachana na mwanamke matatizo yalikuwa yake hakutaka kutulia mi nakaoa mwanamke mwengine hakuamini akabaki kunipakazia mambo mengi mm nilinyamaza kimya nakula raha na mke wangu sijamjibu mpaka leo

  • @briandidas2880
    @briandidas2880 3 ปีที่แล้ว

    Okay move lky Boxx

  • @gracedaudi6558
    @gracedaudi6558 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana vanesa mdee

  • @kulway4669
    @kulway4669 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @priscamasanga7038
    @priscamasanga7038 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu kakuletea kilicho bora mdogo wangu MTU akikupiga teke anakuongezea safari

  • @nusraissa3678
    @nusraissa3678 5 ปีที่แล้ว

    always ur loved here Vanessa

  • @aminashq1181
    @aminashq1181 5 ปีที่แล้ว +5

    nakupenda vannesa 💖❣️❣️❣️💖

  • @christopherlucas7404
    @christopherlucas7404 5 ปีที่แล้ว +1

    watasema sana Ila we pambana na life sister v money

    • @irenekaganga4659
      @irenekaganga4659 5 ปีที่แล้ว

      pole xn ulijuwa umefika kigoma mwixho w leri mwenzio anataka mtoto we unasema mda bado wacha wanaojuwa nn maana ya thamani y watot

  • @preciousjohnson5840
    @preciousjohnson5840 5 ปีที่แล้ว +2

    I really want to know what she is saying?? Can't understand someone please help me please🤔🤔

    • @davidmtajiha2102
      @davidmtajiha2102 5 ปีที่แล้ว

      Just she is lamenting about their broken relationship with her ex boyfriend by the name Juma A k A Jux she is now trying to explain the way people condemn her for that incident however she is asking people to stop attacking her shirtl its so"

  • @zuwenaadi3956
    @zuwenaadi3956 5 ปีที่แล้ว +13

    Utapata mwengine mpnz ucijali vuta subra my dear.

  • @davidmwaura7661
    @davidmwaura7661 3 ปีที่แล้ว +1

    you will miss each other bcoz it woz love not publicity as you have both turned into..

  • @edisonallan78
    @edisonallan78 5 ปีที่แล้ว

    Love yah Vanessa

  • @elatskymcfarland6755
    @elatskymcfarland6755 2 ปีที่แล้ว

    Talk yo shit Ve!👍🏽👍🏽

  • @xhenjoseph9549
    @xhenjoseph9549 5 ปีที่แล้ว +10

    Haijapendeza kuachana kwenuuuuuu😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 5 ปีที่แล้ว +17

    mkipigwa chini mnajifanyaga vimotivation speakers kudadeki,,acha dogo ale mkoloni

    • @aidenqarson1251
      @aidenqarson1251 5 ปีที่แล้ว

      Naam ndio wacha ale mkoloni this should be a lesson ili watu watulizane sasa cause damn wanaringa

    • @omarinurdin261
      @omarinurdin261 5 ปีที่แล้ว

      hahahahaaaaa

    • @mikekileo1186
      @mikekileo1186 5 ปีที่แล้ว

      #kijanga peter.....hahahaha nimecheka balaaa

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaaa, dah "ati acha ale nini?" Kijanga, umenilipua mbavu ujue!

  • @yassafkondo8903
    @yassafkondo8903 5 ปีที่แล้ว

    Njooo pemba dada utapata mume wa ukwely na so wababaishajii😊😊 pole kwa kindi kigumu chote unachopitia tunakukubal sana @mpemba mmoja

  • @benardmanyama3415
    @benardmanyama3415 5 ปีที่แล้ว +1

    Hao akina jux wababaishaji tu Mama tuliaaaa utapata wa kukutuliza #Vanessa Mdee

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 5 ปีที่แล้ว +9

    Wabongo bana nimesoma comment apo eti katombwe ulale 😂😂😂❤🇹🇿

  • @ernestnzeyimana1486
    @ernestnzeyimana1486 5 ปีที่แล้ว

    Achana na jux kwasababu naona anapenda sana wanawake so be relax utapata wako

  • @jamsolajamsbzzle1987
    @jamsolajamsbzzle1987 5 ปีที่แล้ว

    Kooooooooh

  • @amanimwidowe653
    @amanimwidowe653 5 ปีที่แล้ว

    Jamani kuachana kwenu cyo jambo la ajabu ila nyinyi ni watu wa watu kioo chá jamii watu wanapenda kuona mazuli kutoka kwenu na wengi hawakupenda muachane wengine wameumia sana kulikoni mnavo dhani ila tutazoea na kuukubali ukweli kuwa mmeachana

  • @JohnMunyuiri
    @JohnMunyuiri 5 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo jameni...Hapo kwa live chat comment naona wengine wanasema 'katombwe ukalale'. hahahaha

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 ปีที่แล้ว +2

    usijal mamy hay ni maish..... nakupend ❤️bule

  • @سعادالشمري-ز9ز
    @سعادالشمري-ز9ز 5 ปีที่แล้ว +4

    Wejifariji tu dada utafanyaje tena ila kuachwa kunauma asikwambie mtu

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 ปีที่แล้ว

    Wew Vanessa unazingua hujamzalia hata katoto ndio maana

  • @kelvinpeter95
    @kelvinpeter95 5 ปีที่แล้ว +11

    We tulia usiwe na mawenge... C hautak kuwa na mke mwenza... Hayo ndio matokeo yake

  • @omarymwigura328
    @omarymwigura328 5 ปีที่แล้ว +4

    😀😀😀 demu wa jux wa sasa mkali Sana ndio Sababu karoho kanauma km angepata demu mbovu watu wangemponda jux ingia kwenye page ya dem huyo Uone balaa lake

  • @ddypogba5088
    @ddypogba5088 5 ปีที่แล้ว

    aahh ww alokwambia jux na vanessa wanaachana nanii na mnaanzaje??afu et mnafanya vtu vyenu pamojaa aaaah uo uongo kbisaa

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 5 ปีที่แล้ว

    Mhhhh ivi kweli babu tale ndio kaandika malayaaa hapo

  • @amriharuna4236
    @amriharuna4236 5 ปีที่แล้ว

    Ameumia sana

  • @wakabaritheentreprenuer
    @wakabaritheentreprenuer 5 ปีที่แล้ว +1

    Why aint you talking about babutale's comment😮😮

  • @nassrapatrickpatrick5545
    @nassrapatrickpatrick5545 5 ปีที่แล้ว

    ila unaonekana haupo happy mamy lkn usjali ndo maisha sunajuwa

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว +2

    kweli dada umeongea ukweli

  • @mirifatrama2632
    @mirifatrama2632 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimemfurahia wifi wa taifa mdhungu mdhurii jux akizima taaa anamuona mtoto kitandani

  • @muntasinhd1361
    @muntasinhd1361 5 ปีที่แล้ว +11

    We ulimkazia jux ukasahau kuwa wanawake ni wengi na mapenz yanabadilika 😷😷

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 5 ปีที่แล้ว

      Huy hana jipya jux alimpendaaaa sana huyu kobe bora wameachana tu

    • @muntasinhd1361
      @muntasinhd1361 5 ปีที่แล้ว

      @@faidhamyovela179 kwl vp ntumie namba yko bas tuchat inbox

    • @maryverytrueokech876
      @maryverytrueokech876 5 ปีที่แล้ว

      Usijali dr jus take your tym utapata mwingine its not the end of the world,, you a beautiful n still young wako atakuja.

    • @muntasinhd1361
      @muntasinhd1361 5 ปีที่แล้ว

      Mambo

  • @irinemacha2951
    @irinemacha2951 5 ปีที่แล้ว

    Nyoooo
    Jux kapata
    Kisu

  • @dainesykyando6171
    @dainesykyando6171 2 ปีที่แล้ว

    Dada nifundishe msiki

  • @josephmushai6108
    @josephmushai6108 5 ปีที่แล้ว +2

    Iyo lightskin ako sawa kwni wanawake wa tz mko aje huwa mnawachwa 2

  • @hotnelykyejo6387
    @hotnelykyejo6387 5 ปีที่แล้ว

    Ww haukumuweka mbele mwenzio inabidi ukipata mwanaume mwingine badilika ulikua bz na masela wa nchi jirani Hakuna mwana ume atavumilia

  • @jumajumma1930
    @jumajumma1930 5 ปีที่แล้ว

    Vanessa Ai free ples plus

  • @nuwiehamner7297
    @nuwiehamner7297 5 ปีที่แล้ว +1

    Some one tell me wats going on in english

  • @aboodsutre668
    @aboodsutre668 5 ปีที่แล้ว

    Bonga BANA mumelalanaa ehh mulipochoka ATI yule nikakangu ivi kweli unaeza lala nakakako ama dadako

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 5 ปีที่แล้ว

    Dah I know is not easy

  • @aminamwangile1047
    @aminamwangile1047 5 ปีที่แล้ว

    Pole ila mi nilikuwa napenda kuwaona mnaendelea

  • @rihammoosa9213
    @rihammoosa9213 5 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @margaretelamara2438
    @margaretelamara2438 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂sema ukweli Dada.bado wampenda lakini usimind life bado itamove on.but you jealous of lulu naaaa sema ukweli

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuch kuch hotahee! kwisha habari yake na ukiendelea kuji-stress sana utakuja angukia kwa mwehu akupige mimba ya nje uumie zaidi so, take care, pakacha ya matunda haitunzi maji.

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kila jambo nawakati wake

  • @jayma1537
    @jayma1537 5 ปีที่แล้ว +2

    kwa kwel u look so confused ,but u will be strong soon

  • @babukang862
    @babukang862 5 ปีที่แล้ว

    vee wanaume ndo walivo chamsing ushajifuza kitu kwake najua unaumia chamsingi potezee wenda mungu kakuepusha na kitu sha msingi mshukuru mngu kwa kila jambo pia nakushauli usipende kumuongele kwenye midia unampa kichwa yye unaonekana km bd unampenda piga kazi dd hyo mmekutana meno 36 wote yasha ota fanya mambo yako pga kaz

  • @hancyluitz3546
    @hancyluitz3546 5 ปีที่แล้ว

    Hakika inauma sana kwani mapenzi ni kityu kibaya sana

  • @lyllianwakachunga1773
    @lyllianwakachunga1773 5 ปีที่แล้ว

    Woooii

  • @elizamwaigombe2457
    @elizamwaigombe2457 5 ปีที่แล้ว

    Kuachwa kawaidaa sana, hata Mimi niliachwaaa, jiandaye kisaikolojia ufanyee mengineyo,

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว +9

    Hahah Furaha Usoni Majonzi Rohoni.
    Mademu wa Kibongo bwana hahaha

    • @johnmadawa8686
      @johnmadawa8686 5 ปีที่แล้ว

      hiki kijeba kinasema je kimalaya tu hakina inshu kimetombwa na kimefilwa akina inshu na huyo juma kuma hajui kumaimba

  • @jeremiaharon7968
    @jeremiaharon7968 5 ปีที่แล้ว

    ivi Vanessa anamakengeza

  • @mirifatrama2632
    @mirifatrama2632 5 ปีที่แล้ว +3

    Labda ww ndohuendani mfuko mweusi hautakiwi bongo dada acha kelele very happy wapi???

    • @rishtonarmadon6998
      @rishtonarmadon6998 5 ปีที่แล้ว +1

      A wish u knew she is the richest female artist in Tz... Talk Wat u know

  • @ashaally3218
    @ashaally3218 5 ปีที่แล้ว +3

    Ongea yako tu inaonekena umeachwa naumeumia kuckia jux anamtu mwingine

  • @jasminadam6266
    @jasminadam6266 5 ปีที่แล้ว

    ILa wanaume wabongo mmezidi mnatuacha tunadoda huku mnaenda kudet na wathailand 🙄🙄ila Vanessa usijali atakuja kukukumbuka tu huyo sikio kijiko Mami fighting v wangu

    • @felixkip8346
      @felixkip8346 5 ปีที่แล้ว

      Wanaume wakenya tuko tayari kuwafurahisha...mkitupa nafasi

  • @swalehemohamed6746
    @swalehemohamed6746 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmenikela nilivyo achana

  • @lilatito2816
    @lilatito2816 5 ปีที่แล้ว

    Usiwaze fan wabongo hawana kazi

  • @socialtv9879
    @socialtv9879 5 ปีที่แล้ว

    Saf San jux Hawa wanawake huw wanatutesa San wakikuotea

  • @fatumabakari9499
    @fatumabakari9499 5 ปีที่แล้ว

    Do worry. Chibebeee utapat wa kukutooshea mung kashamwandaa

  • @salimbabz3070
    @salimbabz3070 5 ปีที่แล้ว

    Siku zote ukiongea kuhusu mtu mulie achana huwa bado una mpenda.dawa ya dem ni dem mwenzake

  • @epifaniamponda4491
    @epifaniamponda4491 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Wabongo hawajawahi kumwacha mtu salama hahahahahaha kauli tupunguze haahahahahahaha

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweri

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 5 ปีที่แล้ว

    Kuachana sio ajabu ila ni haki uswemwe kwa sababu mliamua kudanganya watu kama mko pamoja ili tu kazi zenu ziende vizuri...

  • @iambaizo
    @iambaizo 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂 mbongo raha sana

  • @christianchazinho4104
    @christianchazinho4104 5 ปีที่แล้ว

    Hahhahaha leo zinho 6ki mifupaa..jux kafata minofu

  • @arnoldmxahala2655
    @arnoldmxahala2655 5 ปีที่แล้ว

    Kaka hiyo vip

  • @fauahamisi1097
    @fauahamisi1097 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana kisu vibaya mno ttzo v money ulizingua jamaa alipokua chuo nchini china nadhani unakumbuka. Wanawake jeuri km nyie dawa yake ndio iyo dondosha mtto mkareeeeee. Kinachofata presha juuuuuuuuuuu mawinguni pumbavuu zako

  • @emmyjohn3192
    @emmyjohn3192 5 ปีที่แล้ว +1

    umemtesa sana weee

  • @othinielymfumyabahati2647
    @othinielymfumyabahati2647 5 ปีที่แล้ว

    mjibu na we upate

  • @estercharles7597
    @estercharles7597 5 ปีที่แล้ว

    Kawaida tu mwaya mapenzi ndivyo yalivyo kwan wangap wameachana mbona kawaida tu at a isikupe presha mwaya kawaidaa

  • @barakaswai7358
    @barakaswai7358 5 ปีที่แล้ว

    Ok mm sina mke olewa na mm

  • @billytwins5913
    @billytwins5913 5 ปีที่แล้ว

    Nani kackia iyo malaaya babu tale ?

  • @mamukelvin2520
    @mamukelvin2520 5 ปีที่แล้ว +6

    Ww vanesa ni msumbufu mbele ya jembe letu video nyingi tumekuona tena mbaya sana za aibu ucpende kujiona ni mwema kwa jux wakat mbabaishaji tu kwanza ni vzr mmeachana maana jamaa ulimliza kwa mengi sana umzika kwa aman juma jux umepata kitu kipya tulia mzeee baba vanesa mpotezeee tena ucwaze kabisa ww vannesa mnenguaji tu hapa mjin umalekan mwingi halafu unaish bongo sepa zako hufai kuwa shemala ni mwingi sana ww

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 ปีที่แล้ว +3

      Mamu Kelvin sioni kwa nn unamshutumu hivyo, kuna uhusiano gani kuvaa na kucheza kichafu na kuachana Kwao? Wame achana miezi 7, kama Jux ka move on, good for him! Na hiyo ya kuishi Bongo ndo kusema Jux ataenda kuishi China kwa huyo mdada? Vanessa kaishi America na France, she is very intelligent sioni kama anatishika. Lakini mahusiano kuisha ni kitu cha kawaida na kitu kizuri wamebaki kuwa marafiki, Vanessa amelizungumzia hilo. Mwacheni mtoto wa watu! Yasikukuta wewe basi ipo siku yatamkuta mtoto wako!

  • @norman4332
    @norman4332 5 ปีที่แล้ว

    💥💥NJOO UONE JINSI SURA ZA WATU 4 ZINAVYOU NGANISHWA NA KUA SURA MOJA. BONYEZA PROFILE PICHA YANGU HAPO KUSHOTO 👈 ITAKULETA KWENYE CHANNEL YANGU💥💥

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 ปีที่แล้ว +2

    Aii v. Money nakuombea unaonekana kua na machungu

  • @hemedabdallah8942
    @hemedabdallah8942 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee punguzen editing hivi hayo ni machozi kweli?Hata kama ni kuvuta viewers sio hivyo...Mnafeli