@@mathnasaeed3806 wapumbavu tu hawa walisema wema mzuri sana wakasema zari kiboko kafunika mademu wote wakasema hamisa ndio mrembo na pia saizi yake leo wanasema tanasha😂😂😂
Kama msingi ni uzuri, basi msingi ukibomoka nyumba huanguka lakini kama msingi ni heshima, utu, upendo WA KWELI na maadili ya Mwenyezi Mungu, basi nyumba hudumu hata dhoruba haiwezi kuiangusha. Tunawatakia mema kama Mola naye anavyowatakia mema
best Ecco I like this,,,,diamond sharing staff with jux inapendeza
Watapinga Sana ila nasibu kapata size yake tanasha mrembo Sana jamani hebu tuache majungu dua2 pekeyake🙏
Hamed AL- shruiqi kesho akiwa na mwengine utasahau km alikuwa na tanasha binaadam bhana hahahaa
Sifia mkeo
@@mathnasaeed3806 wapumbavu tu hawa walisema wema mzuri sana wakasema zari kiboko kafunika mademu wote wakasema hamisa ndio mrembo na pia saizi yake leo wanasema tanasha😂😂😂
@@huseinaly5163 mwambie mpumbavu huyo
Domo Kamnunulia Natasha gari la Gharama ila kashindwa mkushonea Baba yake suti ya Gharama... Mmmmhh Dunia
Tanasha looks soo beautiful with her pregnancy!!
you are the best jux I appreciate your work love you boy ❤❤❤❤
Masha Allah wote wanapendeza,Jux kwa mbali kafanana na Legend 2 Pac
imeleta picha nzr sana wasanii kuchangamana hivi natman kuona hali hii kwa cmba na king
bt our in low are so beautiful
Nzuri sana
Hancy Maiko diamod
Napenda kuona hivi aisee wasanii wakielewana
Shafii Hakeem wangekuwa hivi siku zote wasanii wangefika mbali
Inapendeza sana na huu ni mfano wa kuigwa, hongera sana Jux Kwa kumuunga mkono Diamond, huko ndiko kukomaa.
@@kagoggoalfred2730 kabisa ndugu yangu, na wasingeonewa na mapromoter uchwara
We upo km mm wakielewana ni saf
@Lucas Bilago ni Mama yake Diamond n'a mumewe, mwingine aliyekuja ni Salamu SK meneja wa Diamond n'a mkewe
Mondi hujawaikosea kuchagua👍👍
Nakubali diamond kwa kulenga. Mashallah kheri lshaa allah tunasubiri huyo baby boy 😍😍😘
Cool vraiment
Du! Jux kumbe kweli mmeachana na vanesa dúuu!mapenz hayana mwenyewe
grace Tumain l
I still don't believe kama jux na Vanessa mmeachana I real don't believe aiseeee naomba iwe uongo plz.....😣😣
Mm leo ndo nmeamniii
janeth justin 😥😥😥sorry jamani lakini
Sjaamin jux nimeumia kama mm ndo nimeachwa
janeth justin
mmh acha ww m stki iee ivo
Tanzania,,,,,are truly musicians wanapendana nice too that
#SIMBAAA & #TANASHA were like Prince Charming and Cinderella!😍😍😍😍😍
Darling Tanash and Diamond 💎MashallAh u all look beautiful & I wish u all the best AllAh bless u All❤️love me Tara 🇳🇴
Aliyeona. M2 wa camera 📷 nmbeya like zake hapa maana cyo kwa kukizoooom. Ktumbo chawatu
I just love tanasha #254
She's so modest...😘😘😘+254
Tanisha Hana Habari, Zari alifanyiwa hayo yote,katemwa na wanawe mwishowe.
Alieona TANASHA Kashiba Pilau la 707 Mpaka anashindwa kucheza vzr Alike hapa
Sir J 😀😀😀😀😀😁
kashiba mbovu
kashiba tui la Nazi
Kashiba Sana,
Ustaa kazi! Mjamzito lakini bado ana vaa nguo ya kumbana. Mimba ya miezi 7 ni mtoto kabisa ndo nini kumbana hivyo hadi ushindwe kupumua?
Good NC nime frai sanaaaaa
So lovely 😊 wish you all the best Tanasha😍
Jux xuruali imebana adi pumbu 🤣na uyo demu kucheza hajui ila akuzalie bana
daaaaaah mara 100 jux arud kwa v money ndo wanaeendana
lovely moments people
happy wife happy life
Jaman aliyeona. Kuanzia dk4: 52 kuwa boss kubwa kaja na Samsung Galaxy egg10 iliyovshwa gaun refu nabado likivutwa kwachin like hapa
Tanasha she look beautiful with Diamond
Aaaai ivi ujinga wa kusoma coment uku naangalia vidio cjui nmelithi wapii 😂 jux bhana et dai cheza na mtoto
Anta Moody 😂😂😂aki
😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣
Wewe ndo kama mm yani siwezi kuangalia video bila kusoma comment naangalia huku nasoma comment sjui nani katuloga sisi
Tuko wengi wenye kusoma coment
🤣🤣🤣🤣hata mm
Kama msingi ni uzuri, basi msingi ukibomoka nyumba huanguka lakini kama msingi ni heshima, utu, upendo WA KWELI na maadili ya Mwenyezi Mungu, basi nyumba hudumu hata dhoruba haiwezi kuiangusha. Tunawatakia mema kama Mola naye anavyowatakia mema
e joseph
@@angelsango9083 z
Ukweli niati Mr D....amepata jiko sio vinyangarika mobetto Sijui boss lady....hahahaa Kenya hooiye.....
Apo umegonga ndipo
Hehe kabisaa
Nice mr jux na Simba Wa tandare
Dis moment iz enjoyable bt jux umeniangusha kwa v money
Pamoja sana jux umetisha mond kakubali
Namuona mama kija nampenda sana
Vanessa Ndo mkali
Safii sn baunsa wng tanasha masikini hajui kucheza
Leo ndyo nimeamin v money c WiFi yng tena duuuh jux we
Et na me ndo nimebak kushangaa tu
Aiseee inaleta picha zuru nimependa SNA kilichfanyika hapa @jux @diamond💥💥💥💥
Jey4 Tz
Tanasha mrembo zaidi
Fura Sana kwetu washabik Wasanii wakipendana
Jmn jux Ww cyo MTU mzuri Dada yetu umemuacha na kutuletea mchina
Wachina Wastaarabu sio wajuba na kujua sana kama wanawake wa Tanzania
😀😀😀😀
Mond umefika tz
Hahaha
jamaa arudiane na vanesa tu mana uyo mchina awaendani bado
Very beauty full man
Nilipenda sana hii sehemu jux alivyopafom.... Qeen yupo na furaha sana. Love u ss
Kama kuna mtu amependa mama dangote alivokuwa anacheza like hapa
Safi Sana Simba and jux
Jux na Dai wasIchana wenu wazuri sana
daimond platinums
I love this inatamanisha kiukwel
Our girl looks extremely gorgeous in her baby bump
Halima ujue mi Sina dictionary punguza ugumu wa maneno twende polepole maisha yenyewe magumu
Wakenya wabaguzi sana hata diamond ni your boy pia
Halima Mshami
I love that
Mashabiki wote wa simba naomba mushauri aowe Ayo siyomaisha
Manzi wa Jux ni mkali niache unafiki.
Like kama ni ukweli aiseiii
Kwanini baba angu alikua mzembe ona sasa mimi nimekua maskini nakua kama choko wengine wanakula bata me namaliza bando 😥😥
Baraka Sebastian hahahaha
Hahahahaaa
Ungemvisha💍 ingekua poa sna😘👌
Inapendeza sana wasanii wakielewana kama hivyo kama nawe umefurahishwa like hapa tujuwane
Jux we ni 🔥🔥🔥🔥🔥 kweli mzee baba mmmmh #nnayika ni dawa cha macho kabisa namkubali 💕💕💕💕
Hii breakup ya Vee na Jux bado inaniuna sana na hata haikuwa inanihusu
Mendeeeeez nazan kaisha uyo posh mzee baba 😃
Uzuri ya mwanamke sio urembo tuu ila kukua na hekima ya kumjua mume nzuri, huyu ataachwa tu kama zari😂😂
So good juma jux
Jux you killed it.
Kama umeona mimba ya tanasha like plz
Big up bro mond
Pendeza ata 😍😍😍😍
jux katisha yani kafunika na mamaaa mpya ndani ya part
Ila kademu cha jux kazurii jomonii wifi yetuu wa ukweeli😘😘😘
Hii mapenzi ya Kenya vs Tanzania ni Kali kweli
#Vanessa umelinga watu wamechukua hii #nyimbo ungeimbiwa wewe Leo kwenye b.day ya mama #Ngote daaah pole #Vanessa najua unaumiaa ulikuwa unapima maji
Mm nataka jua fundi tu hawa hizo gauni
safi jus changwe mwanzo mwisho
jux umehenda China kusoma. mzuri demu hira hawa kak zetu mmmh
Zari msenge kwa tanasha
Mondi apo sasa ndio saizi yako adi laaa kila mtu na wake ❤❤❤❤❤❤
Perfect
Nzuriiiii jamaniiiiii hatariiiiii
Nimekukubal jux noma sanaa
Meneja salaam shkamooo
so lovely
Jux wazungua angalia Diamond alivyo shine na mtoto 💋💋💘💘💘
Wakenya hatupendi manywele ya diamond!!! Anakaa toothbrush
Huyo salaa ndio kituko sasa ndio nini kila kitu hapo . hapo 💪👎miss kibonge
hapa imebaki collabo ya diamond na jux tuuu😁😁
Nakupenda jux
Masikini lukamba ata avae nini yeye na kameratuuu...! Daaah
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁una matani na jamaaa Gody
Waooo nice
i like it
Gud song inafundsha
Noma kabisa
Awesome
Jamani na mama etu nae anacheza kama binti hadi lahaaa
Wow amazing couple
Jamaani kuna watu wna kula franga vyao loooooo.
Tanasha it's your time jibambe mama...our very own 254
Tanasha mwenyewe mngogo utafikiri huwa anambeba mawe kila siku nibora ata angelivaa nguo yakufunika mngogo wake kabaya
Kofiolomide
Natasha anamimba tayari akizaa anapigwa teke
Imagined this guy is not ashamed he has kids all over but he is still marrying other ladies. And ladies its like you don't that Diamond is a player
We akikutaka leo unaweza kumkataa au wivu tu unakusumbua.
It looks so nlce
Wazinifuu
Tanasha anadeka ni balaa na haoni aibu mapenz hadharan htr
Nimeamin Jux hapendi mademu chibonge
noma sana jux
Ila nyimbo ya juzi haifai kucheza harusini
Daaaaaah iko pouwah san ila anaweza sanaaaaaaaaaaa jux
Namzimia Jux kinoma.! Hana Mbwembwe nyingi.
Wapi likes za Tanasha