Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Tabaraka LLAHU. Napenda zaidi kukufuatilia mara nyingi kwenye mawaidha yako ,ama kwa kweli una kipaji cha kufikisha ujumbe na kueleweka zaidi na zaidi . Alhamdu lillahi rabbil a'lamiina. Naomba Allah akupe kila la kheri na baraka hapa duniani na akhera.
Ahsante dada jazaakallulkhayri my Dada.
Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Tabaraka LLAHU.
Napenda zaidi kukufuatilia mara nyingi kwenye mawaidha yako ,ama kwa kweli una kipaji cha kufikisha ujumbe na kueleweka zaidi na zaidi . Alhamdu lillahi rabbil a'lamiina. Naomba Allah akupe kila la kheri na baraka hapa duniani na akhera.
Jazakallah khayran
Shukran Jazeera allah akulipe kilalakher my ukhty nakupenda kwahajili ya allah. allah atuwezeshi kuleya subhana'allah
Here I'm again! A Christian listening to your lessons!. Asante Sana dadaangu kwa mafundisho mazuri nitaazingatiya sana
Karibu sana dada yetu mpendwa
Allah Subhaana akuzidishiye elimu yenye kheri na manufaa utufikishiye na siye tuamke Allah akupandishe darja
Mashallah tabaraka llah 🥰 Shukran sana 😘 Ukhty❤❤❤
Masha Allah tabark Allah dah Fatuma na mafunzo yako yamenifunza vzr sana na umenielimisha
Swadakta
MashaAllah 😢😢😢😢
Masha a Allah mafundi mazur
Maashaallah baarakallah mungu akujaze kheri dada etu na elimu unayo itoa ije iwe swadakatul jaaria kwako inshaallah
Allahummah ameen ya rabb 🤲
Allahumma aamin 🤲
Ameen yaa Rabbi😍
Mashaallah Allah akufanyiye wepesi katika kazinzito hii ya daawa Allah atuongoze
Asalam aleikum, nilikua naomba jina la mwandishi alieandika kitabu cha idle mother. Shukran
Shukran jaazakhallah kheir ❤
Masha ALLAH Tabarakallah shukran ukthy jazakallahu khair..❤
Nikweli umegusa penyewe, hizi bodii ni shida.
Hii ni mtihani mkubwa huo mungu tunusuru ishaalah hii mm natowa ikiwa nayo hata laki sina bass😮
Masha Allah shukran
MashaAllah jazzakallah❤
Salam aleykum ustzat ushaolewa
As alaykum warahmatullah wabarakatu kwakweli hii history ya Mtoto inamafundisho kwa wazazi, Wazazi inabidi tuangalie sana.
Mwenyezi mungu akuweke yarabra aramin
Ukhti MashaAllah Allah akubarik plz endelea kutoa dawa zaidi kuhusu malezi
Mashaallah ukhty,kwa Mara ya kwanza comment yangu u tube,umegusa penyewe haswa.
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Kayfa haal
Maaashallah than tunaomba link ya icho kitabu plz tudownload
Sisemi kitu umenigusaa ukhtii niko msa mie huku.
Ma shaa Allah shukran jazakumllah kheiyran ukhty alaziza
Mashaallah mashaallah
Aslm alkm naomba no ya ukti Fatma tafadhali
Asalm aleikum hali... N vpi naeza pata namba ya hyu ukhty Fatma,
Dah huyu ukhti wallah ana vitu hata viongozi wangazi zajuu wadini hawana
Masha ALLAH
😂😂 usiache sema Maashallah
MAN SHA ALLAH
Mashaaallah ❤️
From Burundi 🇧🇮 tuna kufata jee ume olewa ukhty
Niko msa ntakipatajee