Kwenye mahali hapo hapana hata mil 5 kwa mwanaume wa kitz hatoi labda amependelewa sana ml 2,kama alikuwa anamhonga mwanaume mtoto na alikuwa kabwela tu iwaje aolewe kwa ml 100,aliona Hana hadhi ndo maana akawa analea mwanaume
Huyu dada Ana sura nzito hatar ukitaka kuona lisura lake angalia video yake na kiredio siku anamfumania frank amejichubua hatari hadi yule mwanamke aliyemkuta nae frank ni mzuri hatari kwanza natural colour ila ww mhhhh hzo ni Tambo za kifara
Nimuongo sana
Hicho kijora 10k kariakooo😊😊😊😊😊😊
Frank kakula bure wengine watie 100 k😅😅😅😅😅😅😅😅 pole
Sura yake sasa
Ndomaana frank ametafuta mengine haujielew
Uyu dada muongo sana jmn😅😅
Kwenye mahali hapo hapana hata mil 5 kwa mwanaume wa kitz hatoi labda amependelewa sana ml 2,kama alikuwa anamhonga mwanaume mtoto na alikuwa kabwela tu iwaje aolewe kwa ml 100,aliona Hana hadhi ndo maana akawa analea mwanaume
Ya omani yameishia wapi
Liongooo kiki tyuuu ety mara milion mojaa khaa kutumalizia bando
Kama frank alikua anapewa pesa ndo mdate je pesa ya nn tena na ulikua ukigharamikia kila kitu
Huyu dada Ana sura nzito hatar ukitaka kuona lisura lake angalia video yake na kiredio siku anamfumania frank amejichubua hatari hadi yule mwanamke aliyemkuta nae frank ni mzuri hatari kwanza natural colour ila ww mhhhh hzo ni Tambo za kifara
Na kijora je ovyoooo
Sandle25k ila wadada
Muongo sana mfyuuuu na hyo milioni 100 utakesha na uzeekeee hapo
kumbe ajielewi
Milioni 100 zeekea kwenu thamani gani ulonayo mwenyewe uko tupu eti wataka mahari 100😂😂😂😂 pole maa
Makubwa kumbe alikuwa anaigiza
Uyu dada muongo
Frenk alikupa kiasi gan
Mh ushangingi tu
Jamani uyo frek alimpa shingap
Mola muweza kwenye nia njia huwepo
Huyu binti ni mkubwa ila ajielewi Frank wewe ndiyo ulikuwa una mtunza Leo hii unataka m 100 kwa lipi
Huyo Frank alikupa million ngapi? Ndo akawa hawara ako?