MWIJAKU AWAVUA NGUO DOTTO, DIAMOND NA BABA LEVO BAADA YA KUZINDUA MJENGO WA KIFAHARI/ CHUMBA KIPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @directorballo9598
    @directorballo9598 9 หลายเดือนก่อน

    VIDEO GRAPHER WA BINA Tv .... Fanya kaz ki professional ...... umeshika camera nzuri picha mbaya

  • @NgusaNzala
    @NgusaNzala 9 หลายเดือนก่อน

    binti kigoma upo vzr

  • @Kambakambaonline
    @Kambakambaonline 9 หลายเดือนก่อน

    Dotto😂

  • @salminmshindo4344
    @salminmshindo4344 9 หลายเดือนก่อน

    Sas Kila anayejenga ghorofa aombe mswada wa wanafunz kwenda kujifunz si itakua hatar

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 9 หลายเดือนก่อน +1

    Umetuziba midomo babaaaaaaaa 😂😂😂😂😂 tutaweka wapi sura zetu sisi 😢

  • @aboudiga6381
    @aboudiga6381 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunamfollow mke wake

  • @samweli7985
    @samweli7985 9 หลายเดือนก่อน

    Kamauchawa ndiyo gorofa basi wengi watakuwa machawa wenyeakili na siyo walevi, umewafunga midomo

  • @samweli7985
    @samweli7985 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli unaakili, kelele zako siyo Bure, Wakati wengine wanakuita chawa kumbewewe unajuwa unachokifanya.

  • @dannylema3125
    @dannylema3125 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijakuu umeongea ukweli kuhusu pombe Na wanawake

  • @joycemaimu7265
    @joycemaimu7265 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lonaongea pumba tu hili jinga

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 9 หลายเดือนก่อน

    Wala mwijaku hana uwezo huo wakujenga nyumba hata vyumba2! Danganya watu wa dar, mi hamnidanganyi!

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 9 หลายเดือนก่อน

    Kwenye ngumi ukiona mtu mmoja anachangiwa na watu Wawili,jua kuwa huyo mmoja Ana uwezo kuwazidi ninyi mnaomchangia,Hivyo unapoongea kuwa Ali kiba,Na hamo Ni wadogo kuliko Daimondi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 9 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni kufuru Mwijaku usipende kudharau japo walio maadui zako. Kuwa mwema haikupunguzii chochote. Kujikweza haipendezi hata kwa Mungu.

  • @bakarimbwana5233
    @bakarimbwana5233 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani kaka huwezi kuonge mpaka utaje majina ya watu

  • @rahmadaniel5803
    @rahmadaniel5803 9 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu baba tpuuuuu na hawezi kuongea bila kuwataja wcb...hapo kwenye hiyo nyumba yake pesa ya mondi ipo alafu mbona nyumba yake niya kawaida mnoo anyamaze tuu watu wamejenga na wamekaa kimya

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwijaku ivi unani ulisha Fanya Nini bila armonaiz une jenga iyo nyumba au alikiba ungepata iyo nyumba wewe bado unakazi ya kutangaza majina ya wenzako ili uhishi au upapate kipato kisha unajilinga nisha n'a boss wa boss wako kihukweli mwijaku nimpumbavu sn

  • @AsheryAshery-id2zl
    @AsheryAshery-id2zl 9 หลายเดือนก่อน

    Mshukulu mungu kwa kila jambo usiwasema walio kosa

  • @GermiaSuala-u9t
    @GermiaSuala-u9t 9 หลายเดือนก่อน +4

    Umejenga mshukuru mungu wako sio kuwa taja wato sio vizuri wewe unasemaga sana daimond kwa nini brw? Daimond sio levo yako ata kama umejenga gorofa levo zako ni baba levo doto magari.

    • @alibachirofficial3939
      @alibachirofficial3939 9 หลายเดือนก่อน

      Anawataja kwa sababu wawo wanamtajaga...
      Mbona aja kumation wewe muache awechambe😂😂😂

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 9 หลายเดือนก่อน

      Acha wivu we fala😂😂

    • @philipmastory
      @philipmastory 9 หลายเดือนก่อน

      That's the game.

  • @chire4574
    @chire4574 9 หลายเดือนก่อน

    Ww diamond anajenga balaa ufukweni ngoja uone miaka ya hivi karibuni

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 9 หลายเดือนก่อน

      Wakati wake ukifika nae atapongezwa na kusemwa kuzuri ili uamke kiakili

  • @Nasibu.kiboko.yawarembo
    @Nasibu.kiboko.yawarembo 9 หลายเดือนก่อน

    Inamaana uwezi kuongea bila kutaja zombie au yeye ndo aliye kuzaa

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 9 หลายเดือนก่อน

    ukiongozan na mwizi na wewe utakuwa,,,,,,,,,ukiongozana na mwenye kusali na wewe utakuwa,,,,,,MWIJAA hapo umepiga msumari ktk utosi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 9 หลายเดือนก่อน

    Dahh rafiki yako yuko baba levo

  • @Nasibu.kiboko.yawarembo
    @Nasibu.kiboko.yawarembo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ww kuma tulia upara kama pumbu la baba yako