Sema mie kwenye mahusiano nlikuwa nahangaika xana ila nlidumu na mdada mmoja maan yye alinipenda japokuw mie nlitaman kuwapata wazur zaid yake, lakn mda wa kuoa ulipofika nlichekecha nkamuoa kadada ka watu maan kalinpenda kwel❤❤❤
Nyie majaji ndo munaohaoharibu na mukikutana na vijana wa 2000 hawana koromero mtoto wa kiume maswali mengine siyo ya kujibu hapo umeende kutafuta mke siyo kuelezea mahusiano yaliyopita hata hao ma mrs ukiwauliza mahsiano yao ya nyuma huwezi kuoa
Kweli majaji wachochezi wanavyo mshambulia uy mr rht apo kwenye kiwanja utazan kinyago jaman ikiwezekana muache bint aliyemuwashia taa uyo bwana amuoji mwenye we kile anacho kijuwa kwa mwanaume anae mtaka kumbuka anachamba atari haliya akuwa ivo na yeye kaiga angalau. Ngara b anajitaidi kucheza na akili za awo warembo awakosoi kiivo awo wanaume.
Sema mie kwenye mahusiano nlikuwa nahangaika xana ila nlidumu na mdada mmoja maan yye alinipenda japokuw mie nlitaman kuwapata wazur zaid yake, lakn mda wa kuoa ulipofika nlichekecha nkamuoa kadada ka watu maan kalinpenda kwel❤❤❤
😅😅😅😅😅😂😂😂 Ila kumbuka nakupenda bure unanipaga raha saan 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤛🏽🤛🏽🤛🏽🤛🏽🤛🏽🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮😊❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹
Mm apa naruka natriss tu hakuna mwingine
Litul you are xo beauty
mara nyingi kauli nyingi za majaji zina waharibia mr right mara wawacheke mavazi haifai jirekebisheni msijione nyinyi ndio mmekamilika
😂😂😂Hata mimi ningecheka kaka
Kabisa ujasema uongo yan hao majaji sijui wako vipi
Hata mimi sipendi kwanini wasiwaseme hao wadada waliokuja kunadiwa hapo?
Hii haipendezi kuwasema Mr right sio vizuri bila hao ma Mr nyie msingekuwa hapo, kwann msiwaseme hao wadada waliokuja kunadiwa hapo? Wanavaa uchi tu
@@Blandina-w7j eti tena wanajidhalilisha sana hao madada ila usishangae ndugu mana huyo Aaaaliya mwenyew anavaa uchi sasa atamsema mwenzio kweli
Huyu binti amesema ukweli huyo kijana hafai kabisa. Wahenga wanaseama; Asiyeweza kutuumba hawezi kutuumbua".
Wasukuma hatujui kubembeleza,hatuna ufara huo big up mdogo wang hujatuangusha😂😂
Enheeh Mayunga buan Tuache😂😂
Jmn nawapenda bule ❤❤❤🎉🎉
Ni kweli mnawaaribia ingali mnawajuwa hao wadada wenu wanavyojishauwa
Mbona huyo masha akiongea mishipa ya shingo inasimama ivo, hlf chengine wadada wa hapo kwenye stage punguzeni maringo
Yaani dr kumbuka unaharibu kuwaumbua akina mr rivht yaani anaboa sana
Johari n mzuri sana sana
Always kumbuka n comedian kwenye hik kipind 😂😂
Kumbuka namkubali sana acha awachambe baadhi ya wadada wanajishauwa sana acha kumbuka awanyambeeedd
Kumbuka always ✌️
ila kumbuka ananyari juuu mpaka chini 😂😂😂😂😂uhisi tabu nyieeee huyu kaka nampenda bureeee kumbuka
Johari she so so so beautiful❤
😂😂😂ila hawa wa dada wanatafuta mtusahihi au wanatafuta madanga maan wanekazania hela tuu
Plz mm Naitwa Jose kutoka Nairobi...tracy mm ananibamba,je kuna utaratibu upi mtu anaeza mpata kwa ajili ya mawasiliano❤❤
Daaah amemkosa lituli mpk nimeumia
Masha mwenyewe sura ngumu na mishipa imemsumama kama miti pori😂
Endleeni kulinga nyie wadad n wabib kwenye hzo podiamu😂
Alafu kweli bhna maswali mengine ya mtego
Ila kumbuka shikamooo sijacheka siku nzima nmechela jion hiiii Duuu!! Wakurudishe na juakali tumekumiss 😂😂😂😂
Me mkenya lakini nshapenda warembo wa Tz .can I get one please 😊
Doct kumbuka we ni mkichaaa
@@nairakiboko mamb
Johari 😊
She so beautiful
Jaman hiki kipindi mngerusha kikiwa live on TH-cam ingekua poa sana
Yani hata sijui wanashindwaje kuturushia live on, hiki kipi ni bab kubwa
@@MissAnn-ey5ic kweli coz wakati wakuangalia unapata vipande nusu nusu
Majaji msianze kuwakosoa mr Right mnawakosesha bahati sijapenda kwakweli
Hamisa upo sahihi Hawa majaji ndo wanawafanya wakose kujiamini
Kwanin bwimbwi laliki😂😂😂😂
KAKA KUMBUKA WEWR MLUNGULU MAANA UPO VZR
😢 Duh hadi rafik angu jacq ameingia kwenye mnada nae
Doctor kumbuka ananichekrsha 😂😂😂😂😂
Bt kwa ukaribu sana uyo marsha naye wa kawaida saba😂
Majaji wamekuwa kama ndio wanataka waume, maana sio kwa kuwakosoa hao mr light, bora majaji waseme kama nao wanatafta kuolewa.
😂😂et mdomo mzto kam mbimbwi
Kumbuka utatuuwa jamani 😂😂 duu
Na jina akajiita jingine jmn 😢😅
😂😂😂😂😂Dr kumbuka
Mimi namtaka huyo aliya
jaman yeee wanawume wa ichi nyingine wana lusiwa au vip
Majaji mnaharibu sana kwanza hako kamsambaa kafupi kanaharibia sana ma Mr right
Sasa huyo mr kavaaje jamani? Au jeje
Uyo kumbuka muharibifu kama mwijaku hanawakatisha wadada tamaa
Luthul ni mwanamke smart sana
Ingia kichwa kichwa hpo utajua hujui 😅😅
Jamani majaji mnawakosesha wa mr right bahati
Mnawazodoa sanaaa mpk naona aibu mm😂
Hawa Mr right ni utopolo tu jinga alafu lulu kazeeka kazi yake ni kuchamba Mr right na yeye mama mkubwa anakulana na Dvoice 😂😂😂😂shenziiiijiii
Kwa hiyo mwanamke akiumwa na macho hatakama alikua sio mwaminifu bas akianza kuvaa miwani anakua mwaminifu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii kubwa kuliko
Majaji punguzeni kuwajaji mr right sio vzr mnawaharibia hasa huyo kaka mweupe huyo
FANYENI PIA ONLINE ALIYAAH UNAMUME UNAMTU???😂😂😂
Nyie majaji ndo munaohaoharibu na mukikutana na vijana wa 2000 hawana koromero mtoto wa kiume maswali mengine siyo ya kujibu hapo umeende kutafuta mke siyo kuelezea mahusiano yaliyopita hata hao ma mrs ukiwauliza mahsiano yao ya nyuma huwezi kuoa
acheni nafasi mr right ajieleze
Kumbuka Mungu anakuona
Kweli majaji wachochezi wanavyo mshambulia uy mr rht apo kwenye kiwanja utazan kinyago jaman ikiwezekana muache bint aliyemuwashia taa uyo bwana amuoji mwenye we kile anacho kijuwa kwa mwanaume anae mtaka kumbuka anachamba atari haliya akuwa ivo na yeye kaiga angalau. Ngara b anajitaidi kucheza na akili za awo warembo awakosoi kiivo awo wanaume.
Litul anajitambua sana
😢 mbona warembo n walewale tuu Kwan hawqolewi
duh hilo salawili ni noma
Utaratibu wa kuja hapo upoje?
❤❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbuka nisameh kwakweli maana unajuwa kunipa raha wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🌹❤️❤️🤣❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌹🌹🌹🌹🌹🇧🇮🌹🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
ila kumbuka atar Sana 😅😅😅😅😅😅😅
Weye docter kumbuka yani weye njoo unanifanya niwe navifuatiliya sn ebwana nawakubari sn kbs
Johari mungu amtunze kwaajili yangu
@@SamwelShao-l1o hii dua namimi naomba hyo hyo 🙏🏾
Ila dr kumbukaa😂😂😂😂
Wasenge nyie msiende na swaga za mtandao mnazingua
Ndio maana ya shoo kama walikuwa wanataka wasikoselewe waingie mtaa
MR RIGHT NI MAIGIZOO SIO KWELI KINACHO ENDELEA
km kawa
Admin naomba number Za yule mr.right anayefanya kazi ya delivery atanisaidia kunipa deals
Alipo taja ivo vitu tu nikajua tayari kakosa pisi
Of course yeah as a really man huwezi kusema mapungufu ya mtu uliye wahi ku share nae kitanda
Hawa msimseme ndivyo arivyo
Duh jamaa amekosa mwanamke mzur kihasara kabisa
Gara b plz maswali mengine mnayauliza msiulize cz huyo madam akazima taa mara ya mwisho alikuwa ameamua
Huwezi mzungumzia x wako vibaya mbele ya public kama hivo
Hii itakuwa kari saana
Lakini kumbuka mbavu zangu jamani
Hawa ma jaji hawafai wanazodoa saana hivo haifai kabisa wanawapa uwoga washiriki
Mhmm mwenda uchi kachukuliwa akatumiwe aachwe arudi mjengoni kulia tena
NAMPENDA KUMBUKA MANENO YAKR YUPO VZR
😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mahost wanaongea sana alafu inakuwa kama pumba waachieni macandidete waongee
Hivi hao ambao wanakataa wanaume wamefata nn hapo au ndio wanaochangamsha jukwaa ilimradi😂😂
Watu wanakuja kushiriki halafu mnawaita king'ang'a.pumbavu zenu wote majaji
Jitahidini Sana utatu mtakatifu wa gala B...dr.kumbuka na Dada ... jitahidini hata miaka3 idumu maana mnaua vzur Sana na show watu wamezid kuipenda
Mumeenda mbali saana na mpaka mnawaita watu bomu.!¡!hamfai wangese nyie
Ma MC wote ni wapumbavu hamtumii busara, mmefanya jamaa amekosa malaya hapo
Hiki kipindi kinanipa laha
Maswali yenu mna wahalibia Sana maswali yenu
Mbona hamuwasemi hao wadada wanavaa uchi?
Garabi umeharibu
Hao wadada waambie wajiulize wamefuata nini?? Je kuna aliyejua atakuja mtu wa aina gani
😂😂😂😂😂Dr kumbuka
Ila Dr kumbuka😂😂😂😂😂😂😂