Siri ya Max nzegeli kuwafunga hawa jamaa ni kwa kuwa anamwamini Mungu mwenye nguvu zote, Mungu wa kweli, Mungu asiyeshindwa, BWANA wa Majeshi (JEHOVAH). Max ataendelea kuwafunga kwa sababu nguvu za giza haziwezi kufanya kazi kwa mtu anayemwamini. Hongera sana Ally kamwe kwa kumtambua "Church Boy" na kutamka Haleluya! Hii ni kumpa Utukufu Mungu anayemwamini Max! Yanga wahahakishe Max anadumu ktk kikosi kwani ndo anayewafanya waweze kuwashinda hawa jamaa wapenda makafara. Mpaka wasemeeeeeee
Siri ya Max nzegeli kuwafunga hawa jamaa ni kwa kuwa anamwamini Mungu mwenye nguvu, Mungu wa kweli, Mungu asiyeshindwa, BWANA wa Majeshi (JEHOVAH), hivyo hawa wategemea tunguli atawafunga sana. Hongera Ally kamwe kwa kumtambua "Church Boy'' na kutamka Haleluya. Kumkiri na kumtambua BWANA ni neema sana! Praise the Lord! Nampenda sana Max kwa kuionesha imani yake waziwazi, Yanga wahahakishe Max anadumu ktk kikosi!
Asante Eng Hersi/GSM/wachezaji vjn mahiri,hii sasa ni funga kalomo !,Hongereni sana mno,HAKUNA KAMA YANGA,hakuna kulala hadi mkamilishe UBINGWA AFRIKA,mnaweza/inawezekana aminia Yanga hii.
Kwa soka ya kisasa Kibo Denis will not impress referees by diving and falling down from time to time. Hata wakati tunashindana na DRC alijiangushajiangusha bila maganikio
Jmn wachezaji wetu wapunguze ubinafusi wakutaka kila mmoja afunge ndo tutaweza kurudisha yale magoli mengi mengi ila tukienda hivi hivi itakua tunaumia kuja kupata ushindi ila kijiri asante bhn make sijui tungepita wapi midomo za makolo😅
@@JUU-lw2je Max Mpia Nzengeli, anasali sana yule dogo...yaana kila kitu kwake ni Mungu kwanza.,...jana angalia mechi inaanza nyenye kapoga magoti kwenye position yake anasali tu,...goli lilipofungwa alipiga magoti akasali....mechi ilipoisha akasali tena kushukuru...( nadhani alinena kabisa kwa lugha)...Mungu ni mwaminifu sana anadhihirishwa ukuu wake kupitia Yeye....watu wabaya wakitakq kumdhuru hawamuoni kabisa.....unajua maana ya ule ujumbe kwenye vest anayo vaa siku iz ( The Osborne)....Inamaanisha (MUNGU WA USHINDI). na kila Yanga wakishinda kupitia Yeye lazima amtukuze Mungu kwa kuonesha ule ujumbe. Mtu wa maana sana...
Kwa mtazamo wangu hili goli alistahili kupewa MAX NZENGELI,kwani shuti lake lilishavuka goal line,KAPOMBE aliutolea ndani,ukabadilisha kidogo mwelekeo,ndipo ukagonga nguzo,ndipo KIJILI akajiweka mwenyewe --- kama KAPOMBE angaliucheza ukiwa haujavuka goal line, hiyo inamaana angelikuwa ameubadilisha mwelekeo ukiwa ndani,na usingegonga kabisa nguzo na mpira ungepita kuelekea kwenye kibendera cha kona,na KIJILI angeingia nyavuni bila mpira,kwani KIJILI aliukuta ule mpira baada ya kuwa umegonga nguzo ya goli na kuanhukia miguuni mwake,kwasababu alikuwa kwenye mwendo,akaugonga na kuujaza wavuni " kukosekana kwa VAR na GOAL LINE TEKNOLOUG,ni majanga sana,kunasababisha baadhi ya maamuzi kutokuwa sahihi "
😅😅😅😅😅😂😂😂kibu na kujigaragaza kama vile kaumia zaidi kumbe anataka penat mbwa yeye MSONDA BAADA UAMKE FASTA UPASIE NYAVU JMN UNAKAA MPAKA CAMARA ANAUSHIKA MPIRA DUU😢
Yanga mon équipe suis fière de vous depuis Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
Atar yanga
Man off the Mach ni diara kafanya kazi kubwa💚🖤💛
@@mwajumampokileomckapela7541 kweli kabisa, na alitoka safari kafika saa 8 mchana na kacheza vizuri. Tunajivunia yeye wana yanga
Siri ya Max nzegeli kuwafunga hawa jamaa ni kwa kuwa anamwamini Mungu mwenye nguvu zote, Mungu wa kweli, Mungu asiyeshindwa, BWANA wa Majeshi (JEHOVAH). Max ataendelea kuwafunga kwa sababu nguvu za giza haziwezi kufanya kazi kwa mtu anayemwamini. Hongera sana Ally kamwe kwa kumtambua "Church Boy" na kutamka Haleluya! Hii ni kumpa Utukufu Mungu anayemwamini Max! Yanga wahahakishe Max anadumu ktk kikosi kwani ndo anayewafanya waweze kuwashinda hawa jamaa wapenda makafara. Mpaka wasemeeeeeee
Diarra is something special 🎉🎉🎉
Hongeren sana wachezaj, wapenz, na washabik wa yanga kwa kazi nzuri ya jana
Siri ya Max nzegeli kuwafunga hawa jamaa ni kwa kuwa anamwamini Mungu mwenye nguvu, Mungu wa kweli, Mungu asiyeshindwa, BWANA wa Majeshi (JEHOVAH), hivyo hawa wategemea tunguli atawafunga sana. Hongera Ally kamwe kwa kumtambua "Church Boy'' na kutamka Haleluya. Kumkiri na kumtambua BWANA ni neema sana! Praise the Lord! Nampenda sana Max kwa kuionesha imani yake waziwazi, Yanga wahahakishe Max anadumu ktk kikosi!
3q
Hakika uchawi haumfikii
Max ........Daima nyuma mwiko naipenda sana yanga 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥
Watafti wanasema washabiki wa simba walianza kunenepa kwahalihii watakonda achaa wanajagwan tuinjoy❤🎉
Daima mbele nyuma mwiko
Mashabiki was yanga mnapendeza na jezi zenu.🇹🇿🇹🇿💚💚💛💛
Asante Eng Hersi/GSM/wachezaji vjn mahiri,hii sasa ni funga kalomo !,Hongereni sana mno,HAKUNA KAMA YANGA,hakuna kulala hadi mkamilishe UBINGWA AFRIKA,mnaweza/inawezekana aminia Yanga hii.
Tunasema asante MUNGU kwa ushindi wa points 3muhimu 🙏
Mashabiki was yanga mnapendeza na jezi zenu.🇹🇿🇹🇿💚💚💛💛watani wetu simba , pamoja na kufungwa mchezo vizuri sana, mnakikosi mahindi sana kwa sasa❤️❤️❤️
Kikosi mahindi kwelikweli🤣
@@moneynevercomewithnohardwork Mahili correction not mahindi
Na msimu wa mvua umeanza mkapande izo mbegu
Mashabiki ❤❤❤❤❤ wachezaji ongeni sana
Allaah Akbar
Thank you yanga for wining match and for given me happy
Ila diara big up sana diara ni mmoja tu 💚💚💚🖤💛💛💛
Hata hivo nawashukuru Wachezaji wamejitahidi. Nilijua watafunga mengi. Hongera kocha na wachezaji.
Thank you yanga for good match and good happy
❤❤❤❤❤❤❤❤
Ongeni na yanga❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asant mkuuuu❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana jeshi letu kwa kutupa furaha llove you nyingi sana
Moyo wangu unamapenz makubwa na ya dhati kwa yanga 💛💚💚
Yanga bingwa inshaallah yanga ya 🔥🔥daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚💯
Point 3 tukishinda kiporo zinakua 5
Asantee sana chama.
Wananchiiiii8iiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤
Congrats sana Yanga AFRICANS
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Yanga wanaupiga.... Tanzania ligi yenu bora Sana. Kenya wanafaa kujifunza
Wananchiiii 👍👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆🏆
Naipenda yanga jmn
Naipenda San yang ni timu ya furah siku zote
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ i love yanga
Church boy alivyomwaga mombi sasa mpira ulivyoisha nyie hamuogopi yanga tamu yanga rahaa 💛💚💛💚💪😂😂
Yng African ❤❤❤❤
Mungu mwema kila wakati kwa yanga
Congratulations guys❤
Ap ref katubeb tumshkur kwakwel
Yanga ina jezi nzuli san
Always yanga yulu
Hii game watani wangetubahatisha na mvua yao ,refa kajaribu lakini game ilimshinda kubalance.
Just love Tz
❤❤❤❤ good 👍👍👍
Ila max anawaweka sna makolo😅😅😅 mara nne zote amewawekaaa😊
Inabidi,mumuogope,sana😂😂
Yanga ioo🎉🎉🎉
Asante kijiri kwakutuheshimishs bila wewe tusingetoboa
😂😂😂😂
Poor decisions from the referee
Obvious penalty for Simba
Young kafunga kwa uwizi 😮 2 penalty ya simba
Zile goli tatu za ngao ya jamii zilizofutwa sio wizi?
Mumuambie,kijilisawa😂😂😂
Kweli yanga tam
Dar Young Africans hakuna kama yanga Tanzania na bado tuta wafunga mno mpaka mkome kuchangia midomo yenu kichafu iyo
Ishallah
Good
Kweli wananchi nomaa kweli jaman
Kwa soka ya kisasa Kibo Denis will not impress referees by diving and falling down from time to time. Hata wakati tunashindana na DRC alijiangushajiangusha bila maganikio
💚💚💚🖤🖤🖤💛💛💛
💥💥💥
Mashaallah
Tunawashenyeta tu round hii had wapate akili😂
🇹🇿💛💚💛💚🔥
Jmn wachezaji wetu wapunguze ubinafusi wakutaka kila mmoja afunge ndo tutaweza kurudisha yale magoli mengi mengi ila tukienda hivi hivi itakua tunaumia kuja kupata ushindi ila kijiri asante bhn make sijui tungepita wapi midomo za makolo😅
Yanga hatun bay ss n furah tu
💛💚💛💚💛💚💛💚
yanga bingwa wew
Wao sivijana mbona wanasukuma kolo tuliasindano
Yanga tamu
🔰💪
Chama Asante aise tumbo lilikuwa linaniuma kutoka sale na Hawa Jamaa
💚💚💚💚💚💚💚💚💚😍
YANGA bingwa
Yanga ❤ tamu
W.
Yanga bingwa na tumeshinda mara 4 na tumemzidi points 4
5
Wananchiiiiii
mwamuzi ana lake jambo
Leo raha sana 😂😂makolo wamebana lakini ameachaia 😂😂yanga tunainjoi tuuu 😂mara 4 makolo hawaogopi😂😂
🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 nacheka kwa zarau
Yanga bingwa
Wa tz, mwa chekesha😅😅😅 , mechi hii mashabiki ndani yauwanja ni mara 1000 wale wa siku tf stars na leopards😢😢😢😂😂🎉
Unatakaje?
Max tupe siri yako na simba kila.mechi ya simba unawafunga
@@JUU-lw2je Max Mpia Nzengeli, anasali sana yule dogo...yaana kila kitu kwake ni Mungu kwanza.,...jana angalia mechi inaanza nyenye kapoga magoti kwenye position yake anasali tu,...goli lilipofungwa alipiga magoti akasali....mechi ilipoisha akasali tena kushukuru...( nadhani alinena kabisa kwa lugha)...Mungu ni mwaminifu sana anadhihirishwa ukuu wake kupitia Yeye....watu wabaya wakitakq kumdhuru hawamuoni kabisa.....unajua maana ya ule ujumbe kwenye vest anayo vaa siku iz ( The Osborne)....Inamaanisha (MUNGU WA USHINDI). na kila Yanga wakishinda kupitia Yeye lazima amtukuze Mungu kwa kuonesha ule ujumbe.
Mtu wa maana sana...
Bila kayoko, tungekula Hadi goli 3
mwamuzi kaipendelea sana yanga
Kojoa ukalale
Sicheki na wowot 😂😂😂
Wamepambambana sana
Na bado makolo watapat tab sana
Mchezo vulungu Tu hapo ndio maana mkicheza nje ya nchi hamfulukuti lady tupu
Hicho kiswahili au kihindi
Huyu kibu muhuni kweli mpira haujapingwa ashatka kwenye mstar kihuni kweli hichi kibu 😅😅😅
Sisi ndio yanga 😂😂😂
Ila Hawa Jamaa hawana Kipa 😂
Tusipo wafunga watajifunga wenyewe na midomo yaooo makolokoto
Kwani screen za uwanja wameshaziharibu mbn kama naona mabango amabayo hayaplay
Mzunguko wa pili wapigwe tena
@@modelteddy7393 Lazima....tusipo kuweka utajiweka mwenyewe...Azam na Simba wote wanatambua hili.
Kwan simba mna ugomvi gani na max?
Kwa mtazamo wangu hili goli alistahili kupewa MAX NZENGELI,kwani shuti lake lilishavuka goal line,KAPOMBE aliutolea ndani,ukabadilisha kidogo mwelekeo,ndipo ukagonga nguzo,ndipo KIJILI akajiweka mwenyewe --- kama KAPOMBE angaliucheza ukiwa haujavuka goal line, hiyo inamaana angelikuwa ameubadilisha mwelekeo ukiwa ndani,na usingegonga kabisa nguzo na mpira ungepita kuelekea kwenye kibendera cha kona,na KIJILI angeingia nyavuni bila mpira,kwani KIJILI aliukuta ule mpira baada ya kuwa umegonga nguzo ya goli na kuanhukia miguuni mwake,kwasababu alikuwa kwenye mwendo,akaugonga na kuujaza wavuni " kukosekana kwa VAR na GOAL LINE TEKNOLOUG,ni majanga sana,kunasababisha baadhi ya maamuzi kutokuwa sahihi "
Ubay ubwera😂😂😂😂
sio goli mpira
💚💛💚💛🫶gonna like apa
Hii ndio yanga ni mwendo wa kuchapa tu
Simba badomtapigwa mpaka mseme uwanjani siokukimbia nikucheza mpira
😅😅😅😅😅😂😂😂kibu na kujigaragaza kama vile kaumia zaidi kumbe anataka penat mbwa yeye MSONDA BAADA UAMKE FASTA UPASIE NYAVU JMN UNAKAA MPAKA CAMARA ANAUSHIKA MPIRA DUU😢
Siteka lakunguka anguka yupo kolo
Huyu james samwel hua ni kolo kabisaa
ewaaaaah nilijua nimegundua mwenyewe utangazaji wake ajitafakari sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉wanachiiiiiiiiiii💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Hiy ndy yanga ww