Uje mojakwamoja kwa Konde genk mistari mitam kama ya konde ukitoa konde unaweza ukaziba pengo lake❤❤❤❤❤❤❤
Mwanangu Roma kwa kweli wimbo huu umenigusa sana
Peace from USA 🇺🇸 bro chukua maua yako
Roma hujawah kuniangusha , amini kwamba we mwamba unapendwa na raia apa bongo land
Hiyo sio hatua huo ni msamba! Hiyo kauli angeisema Leonardo ingekuwa kichekesho kikubwa sana
Huu wimbo umesababisha najiandaa na safari, narudi kwa mpenzi wangu wa mkoani
Maisha ya Ndoa yamejaaa utamu na Uchungu Mungu awasimamie kwenye Maisha yenu Roma Viatu vyako havivaliki
Wow tunao ku support atujawai kuhumia
Hujawahi toa kitu kibovu brother namuomba sana Mungu akulinde na kukutunza 😭😭😭🙏🙏🙏
Viva Roma mkatoliki mwenye Asili ya kiyahudi ..tunaenda miliman kufunga siku Saba ..ginga like
Kaka Rudi mama wa kambo anauza Mari zetu we km kikao teari mwaka huu knaanza😂😂
Me nawaambia watu huyu Hamadai sio wa kawaida sijui kwa nn hawanielewi kenge hawa
Kumbe wanahiphop wanajua kuimba❤
Mwana hip-hop wanakuwanga na mapenz ya kweli sana ❤❤❤❤❤
Nilijua usingemaliza bila kuchana.
Fire 🔥 on 🔥 📛
I just love Roma and his family
Congratulations Roma,hapo nimeielewa nimetambua una miziz ya PCB
The way from mwanza,,, farther roma ngoma kali saaana Tamu mnoo Kuna uhamadai fulani afu Kuna uroma ndani yake ni moootoooooo 🔥
SMGFAMILY 🌏 nipeni 🎉yangu
Namimi like jamaniiii mnipeee
Unaimba vizuri ila kuoga aaaaaaah😅
Roma unajua ninavyo kukubali mwambaaaaa hongera sana
Nataka like zangu APA 🎉🎉🎉🎉 Loma anajua❤❤❤
Dah you are the best roma welcome back
Roma thank you for remembering to dedicate to our wives, good.
Nice song brother
Bongee 1 la Ngoma haki nikeirudia Zaid ya Mara 10
Jamani eeeehhh ndoa ina raha yake
Kumbe roma ukihimba unasauti nzuri sana❤❤
Nile ndo tule au tule ndo nikukande😊😊
Mad respect Roma 💪
Viva Roma ,km Euglena vile, unachane sn, bonge la wimbo
Noma sana
Namtumia mke wangu kichupa kilikua rumande😅😅😅😅😅😅👐👐👐👐👐
❤ hakika unajua rudi nnchini tumekumiss
Unamjua Hamadai wewe
@Hamadai
Rea of magic🎉
Nice song,,,big up Roma ft Hamadai
Dahhhh rudi mwamba
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
From kenya show love
Mke wa Roma na mke wangu Wana same story, mimi nmefanikiwa kukutana na mke wangu akiniletea mtoto baada ya miaka 3😢❤❤
Oooh God after 3year nw nina mwaka na nusu i hope nitapata visa nimpelekee mume wangu mtoto. Tumuone
@@lettyfaustine5654 usikate Tamaa utamuona tuu, yaani mimi hapa mtoto Ana furaha sana, naliliwa, mtoto hataki mama yake aniguse😀😀. Ule wimbo wa Roma Diaspora ni true story ya kwangu kabisa
Karibu broo🎉🎉🎉
Mpak Inatiy Hurum Fanya Urudi Mwamba Tumekumiss❤🎉
Nice bro tuna kukubari Burundi1
Peace and love
Aiseee na mm nimrudie sasa hme daah😢
Kichupa kime jaàa🎉🎉🎉
Home boy 👊💪
TUNARUDI WOTE ME NA ROMA TUPO NJIANI MAMA ATATUKOMA🎉🎉🎉🎉🎉 LIKE 👍 HAPA CHINI
Kizazi sana roma
Viva ROMA
Nice soong 👍🏾❤️❤️
Tunaomkubali Roma gonga like APA
Hamadai🔥🔥
Rud mwan kichup🎉
jamani like nyingi sana ma narudi ♥♥♥♥
❤❤❤❤ song
Hit only
Roma Rudi nyumbani
Ukiwa na manzi ako mbali ka hii song Inakupa mafeelings ya joto mbaya arifu😢
Wowo❤❤❤❤
Mmmh huyu Roma kashindikana aisee
🔥 🔥 🔥 🔥
💪🔥🔥🔥🔥
yes
🔥🔥🔥
Om boi cpngii chaff
❤ 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤😢😢😢😢
Kaka tumekukumbuka sana
❤
Olpha,We share the same story... In GOD'S time we will do Miracles like Jesus disciples and Jesus Christ HimSelf...Amen.
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
🙌🙌🙌🙌
❤❤❤❤❤
🔥
Kichupa kimefanyaje man😅😅😅
❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
💅💥💥
💪🏾💥💥💥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤🎉🎉
If you have a long-distance relationship give me a like here
Helooooooo
⭐
Vp roma
unauwezo mkubwa sana kk
Dah!! mkato wewe
🎉🎉🎉🎉
TUNAKUSEMA KWA MAMA UNA JISHIKA MAKAGALI
Burudani sana
Iko kichupa kilicho jaa sasa😂😂
Njoo uchukue jimbo letu
Ludi hom broo umke kakumic
Wa kwanza kigoma
Am the first to watch and too comment too
Kichupa is trying
Nakumbuka sana ninavyokatisha mbuga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara Mkomazi kumuona kipenzi changu kule Lushoto. Roma umetisha sana bro