Bwana shamba asante kwa masomo mazury. Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku chotara au kienyeji
Inakuaje bro m na swali liko nje ya mada kidogo etii kama nataka nkanunue vfaranga broiler uzito gm ngap kwa kifaranga kimoja 1 na nitegeneze banda kubwa kiasigani kwa vfaranga 200 naomba mchanganuo Ahsante
Nitarudia tena na tena kaka nenda moja kwa moja kwenye mada,alafu jiandae vya kutosha kabla ya kuwasirisha mada,kuepuka makosa yasiyo ya lazima,but keep it IPO bro
Mimi niko Arusha, naanza ufugaji wa kuku wa mayai ya kisasa yaani layers. Naomba kuongezewa elimu juu ya hili kuanzia ujenzi wa banda mpaka kuanza kuweka kuku. Nitaanza na kuku 500
Habari bwana shamba, naomba kujua inasemekana kuku akinenepa sana anapunguza utagaji au kutotaga kabisa na akipungua uzito au kukonda sana ni tatizo kwenye utagaji!! Je nitajuaje uzito/unene sahihi kwa kupata utagaji mzuri?? Ahsante
Asante kwa swali zuri kiujumla ni kweli kuku atakiwi kuwa na uzito mkubwa kupitiliza lakini pia asiwe na uzito mdogo na vyote hivi vina endeshwa na kiasi cha chakula unachowapatia kuku anaetaga vizuri kwa wastani awe na 1.5kg ila sasa inaweza ikabadilika kulingana na aina ya kuku
HI.Nimefulahi kwa musada wako tafazari Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku 0046706778915
Habari bwana shamba tunaskuru kutupatia talimu na cc mimi kukuwangu aina ya leas wako na mizi mitano lakini mpaka leo hawaanza kutaga tatizo ni kitu gani
asante kwa swali zuri sasa hapa kuna njia mbili waweza zitumia kufanya, ya kwanza unaweza ukachukua yai moja ukalitoboa kisha weka kitu kichungu wakila hilo yai wataacha kula mayai tena ila pia unaweza ukawakata midomo yaan debeaking
Bwana shamba asante kwa masomo mazury.
Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku chotara au kienyeji
Asante Sana Kwa swali zuri nitaandaa kipindi kitakacho elezea hayo pia nataka nikutane na mtaalam wa huku Israel ili niwapatie mambo mazuri Zaid.
George Melkiad mim pia nahitaj hio formul
Hata mm nina kuku wa miezi 3
@@hoseatv9256 mimi pia nahitaji hiyo formula
Hongera sana kwa mafundisho mazuri yenye kuimarisha uchumi
Bwana shamba Abas,hongera sana kwa kazi nzuri
Naomba no yako
+972 552 726 444
ntafute kupitia whatsap, pia ni kwa ajili ya ushauri na maswali kuhusu ufugaji tu
Asante mwanangu nimejifunza kitu
Kazi nzuri ndugu yangu, hongera sana aisee
Asante Sana ndugu yangu
@@bwanashamba7497 Kuku wang anaonekana kuwa kama ana baridi na hata kula hali tatizo ni nn , na tiba yake ni ipi naomba msaada
Masomo mazuri Sana kaka yamenifungua
Bwana shamba uko vizuri, sasa naomba kujua mchanganyo wa chakula cha kuku kulingana na makundi husika
Nimelipenda somo lako Bwana shamba
Bwanashamb aaasant sanaa kwa elim yako .
LKN mm Ninaomb kujua namna ya kutengnez chakla cha kuku ngaz zoot 03
.vifaranga
.wanaokua na
.wanaotaga.
New subscriber ✔️ masomo yako n mazur sana cio mchoyo wa maarifa ✔️Naomba uandae video ya vipimo vya chakula kwa kuku chotara tafadhar
Asante kwa kunipa elimu
Kama we unapeleka mbele kuangalia emb sema tu gonga like hapa
Inakuaje bro m na swali liko nje ya mada kidogo etii kama nataka nkanunue vfaranga broiler uzito gm ngap kwa kifaranga kimoja 1 na nitegeneze banda kubwa kiasigani kwa vfaranga 200 naomba mchanganuo Ahsante
Shukrani sana
Mwanga ni kitu muhimu sana ukiondoa chakula bora
nimeipenda na kujifunza sana
Sawasawa
Nitarudia tena na tena kaka nenda moja kwa moja kwenye mada,alafu jiandae vya kutosha kabla ya kuwasirisha mada,kuepuka makosa yasiyo ya lazima,but keep it IPO bro
Nimekuelewa Sana Kaka ila hii video ni ya muda kidogo kabla hukanipa ushauri ila kuanzia sasa na kuendelea utaona mabadiliko
Thanks sana
Kila LA her mdogo wng mafanikio yetu yapo ktk juhud zetu baada ya kupewa baraka na mungu ktk hilo tunalolifanyia juhudi
Mimi niko Arusha, naanza ufugaji wa kuku wa mayai ya kisasa yaani layers. Naomba kuongezewa elimu juu ya hili kuanzia ujenzi wa banda mpaka kuanza kuweka kuku. Nitaanza na kuku 500
Kipindi kizuri sana kaka unatuelimisha mengi kuhusu ufuga.ji
Habari bwana shamba, naomba kujua inasemekana kuku akinenepa sana anapunguza utagaji au kutotaga kabisa na akipungua uzito au kukonda sana ni tatizo kwenye utagaji!! Je nitajuaje uzito/unene sahihi kwa kupata utagaji mzuri?? Ahsante
Asante kwa swali zuri kiujumla ni kweli kuku atakiwi kuwa na uzito mkubwa kupitiliza lakini pia asiwe na uzito mdogo na vyote hivi vina endeshwa na kiasi cha chakula unachowapatia
kuku anaetaga vizuri kwa wastani awe na 1.5kg ila sasa inaweza ikabadilika kulingana na aina ya kuku
@@bwanashamba7497 ok, thanx...
Kuku Anataga kwa miaka mingapi ili tuseme kuku amezeeka na hatagi Tena?
Jamaa anawaza msosi Tu
Hahahahaha
Asante sana ila namba yako sijaiona kuna kitu nataka unifafanulie kuhusu ufigaji
Good job ,,mzee mpana na team Israel wote,,,
Thanks sana
Asantee sana
Samahani nilikuwa b aomba kujua chokaa zakuchanganya kwenye chakula Cha kuku niipi nainapatikana wapi
safi
Asante Sana mheshimiwa
Asante
Keep it up Broo
One love
Tumeelewa
Barikiwa mana kuku zangu zimesimama zilikuwa ndo zimeanza kutaga sasa zimesimama gafula
Good job
Nisaidie kuku wangu me hawatag kil siku shid nn ety
Kipindi kipo mkao ukumbuke na maswali yetu wengine
Je mlonge una weza kusaga ktk blenda na juice iyo VP km ukiweka ktk fliji itafaa kuendelea ku2mika
Kuku wangu wanataga mayai madogo
Kwann video zako ukirudisha nyuma haikubali?
litakua tatizo la kimtandao kwenye simu yako
@@bwanashamba7497 zingine zinakubali kiongozi eb jaribu kutafiti maana inatusaidia kurudia na kurudia mafundisho yako,ahsante sana
Usjali ndugu yangu ngoja nichunguze tujue shida
Kama ni tatizo la baridi unasemaje iwapo nitaweka joto ndani ya chumba?
Kuku kuingiliana kwenye kuatamia ,je utafanyaje
Je, chakula cha Black soldier fly larvae aka Mafindo mfindo yafaa kwa ina ipi ya kuku.
Naomb namb Zak tu
Bwana shamba tuambie kifaranga cha bata kinaitwaje
Kama kuku hawatagi VIZUR nafanyaje???
Tuma namba zako
kuku kuonana xana mpka kulana XHIDA ni nini??
Tunakuelewa na tunauzuria vipindi
Thanks sana
Nina kuku wa mayai, naweza kuwatoa nje?
nice
Tunaomba elimu ya Hydroponic
Sawasawa nalifanyia kaz
Kama kukuza vifaranga ningumu nini ufanye baada ya hao vifaranga kukototolewa, plz nisaidie kwa hili
Mayai yakilowa maji na kuku akahatamia anaweza kutonoa?
hapana
Ebwana nipo iringa Nina ng'ombe wa maziwa lakin Kila siku anapungua shida nn
Hao kuku weupe wanapatikana wapi
Kwa nini kuku anapumua kwa shida Sana . Hili Ni tatizo gani. na nini nifanye
Kwanini kuku mda mwingine anapenda kulala juani na kujimwagia michanga mwilini?
Anapata vitamin akiwa Juan
Menejaaa
Good
Ni dawa gani nzuri inayoweza kumaliza tatizo LA mafua na kuvimba macho?
HI.Nimefulahi kwa musada wako tafazari Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku 0046706778915
Habari bwana shamba tunaskuru kutupatia talimu na cc mimi kukuwangu aina ya leas wako na mizi mitano lakini mpaka leo hawaanza kutaga tatizo ni kitu gani
Khamis ali nipo pemba zanzibar
Mbinu za kayaking kuku na magojwa
Kipindi cha baridi
.habari bwana shamba, mimi nna kuku watano ,shida moja wakitamia mayai karibu kutotoa wanakula mayai je je nifanyeje, niko arusha
asante kwa swali zuri sasa hapa kuna njia mbili waweza zitumia kufanya, ya kwanza unaweza ukachukua yai moja ukalitoboa kisha weka kitu kichungu wakila hilo yai wataacha kula mayai tena ila pia unaweza ukawakata midomo yaan debeaking
Je kuku wa mayai lazima apewe majani
Tufanye nn ili kuku atotoe mayai yot
Je kama kuku wapo kwenye kejesi
samahani clara kejesi sijaelewa unamaanisha nini ili nikujibu vizuri
Asanteeeeeeeeeee kwa elimu nzuri bwana shambaa, mm naomba namba yako ya watsap
Bwana shamba has a farm........
Ia ia ooooooooo
Je kuku uwa anapata magonjwa wangap na ni yap
Masomo mazuri Sana kaka yamenifungua
Good