🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 354

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mzee Suleiman ana imani na huruma sana. Mwenyezimungu atakulipa kheri kwa wema wako unaowatendea watu ❤

    • @DomitilaLorri
      @DomitilaLorri 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kufuatana alivyoeleza Ile hali ya maisha alivyokuwa akiisha masomo yasingeingia akilini iliyopo atafutiwe psychologist ili akili yake itulie. Sasa hivi ni vigumu.

  • @Zainabu-o9q
    @Zainabu-o9q 4 หลายเดือนก่อน +11

    Uyo mtoto mwenyew anamambo yake ilaa kusema mama yk alikuwa anajua alipo sikwel daah mtihani kweli Allah atujarie kizazi bora chenye usikivu🤲

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah jambo la kheir kabisa
    Allah akulipeni kheir Global

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu Sophia ana bwana Ndiyomaana ana kiburi. Yani anaonyesha kabisa km alikuwa kwa bwana.. Jamani Mungu wangu atunusuru na watoto wetu 😢

    • @zeyanaalgheithy6561
      @zeyanaalgheithy6561 4 หลายเดือนก่อน

      Anaonekana kama.mjuba mjuba hivi 😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni wana Global, Asante mungu🤲🤲

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 4 หลายเดือนก่อน +8

    Wazazi wake ndio wameharibu maisha yake

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allahmdulillah kurudi salama jeuli mtu anaipata maisha aliyopitia uyo sophi maisha aliyopitia anajua yy kikubwa da Zari msihihi arudi shule asipoteze haki yake

  • @HusnaMtitiko-yt4ru
    @HusnaMtitiko-yt4ru 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mtu alilia sana 😢haya alhamdulilah Allah amemuhifadh karudi salama watoto wetu hawa Allah atuwepesie katika malezi yao

  • @Bintmsanif
    @Bintmsanif 4 หลายเดือนก่อน

    Mama sofi nakuelewa sana Allah atufanyie wepes ktk malezi yetu

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana globo Mungu awazidishie na mzid kumushawish akasome

  • @Dafetty
    @Dafetty 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah kweli damu nzito kuliko maji Sophi copyright na mama yake mashaallah ❤❤❤

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ni mrembo sana hata mama ni maisha tu ndo mana anaonekana kazeeka

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 4 หลายเดือนก่อน +9

    NYIE MNAOMSEMA UYU MTOTO HAMJAWAHI KUPITIA CHANGAMOTO ZA WAZAZI WAKIGOMBANA ALAFU MTOTO AKAWA ANAHANGAIKA WAZAZI NDIO CHANGAMOTO HAPO WA KULAUMIWA NI WAZAZI MIMI HIZO CHANGAMOTO ZA UYU MTOTO NIMEZIPITIA SO WALA SIMUONI KAMA ANABAYA

  • @Dafetty
    @Dafetty 4 หลายเดือนก่อน +3

    Da zari ukweli nikwamba Sophi hakua kazini alikua kwa mwanaume 💯

  • @fatumadiwani4098
    @fatumadiwani4098 4 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulilah kwa Sophie kurudi nyumbani,lakini Sophie afikirie kurudi amalize kidato cha nne maana elimu ni muhimu sana ktk maisha yake,kama hukusoma wewe utakuja juta baadae usipoteze chance yako

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 4 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unaonesha sister unaroho nzuri sana ❤❤

  • @HusnaBwire
    @HusnaBwire 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik

  • @SharifaSharifa-e2y
    @SharifaSharifa-e2y 5 วันที่ผ่านมา

    Mtihani Kwa kweli

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 หลายเดือนก่อน +9

    Jamani wamama wa kambo wanapitia mengi lawama zote wanatupiwa ona hili gaidi kumbe alikuwa na mchumba hadi analala nje 😭

    • @joycesimon2124
      @joycesimon2124 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ety gaidi wallah nimechekaa

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 4 หลายเดือนก่อน

      @@joycesimon2124 Huyu anaweza hata kukuuwa akikuangalia kama ameweza kusema sitaki shule mbele ya watu wote hao unamchukuliaje tena ni ligaidi 🫵

  • @Zahrah11-xy2iy
    @Zahrah11-xy2iy 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu nimuaminifu sn mtoto kuonekana Mungu ashukuliwe

  • @joharikasuwi6973
    @joharikasuwi6973 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nilikuwaga nawashangaa wanaosema kuzaa si kazi. Kazi ni kule. Ila toka nimezaa na nimekuwa na watoto huu msemo nauheshimu sana aisee. Kulea watoto ni kibarua kigumu mno.

  • @allyndabe2458
    @allyndabe2458 4 หลายเดือนก่อน +2

    binti jeuli sana huyo ila tuzidi kumuombea kwa m/mungu amuongoze🙏🏼

    • @EmmyMtila
      @EmmyMtila 4 หลายเดือนก่อน

      Mjeuri sana wamuache akatesekee mbele huko akizalishwa ndo atajua😂😂😂

    • @MaselePatrick
      @MaselePatrick วันที่ผ่านมา

      Ujeuri unatokana na ugumu WA maisha aliyopitia Kwa mama WA kufika usiombe yakukute

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 วันที่ผ่านมา

    Mtoto.mdogo,Mawazo ukose Shule ! Usio upate Ushauri

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuongoze

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 4 หลายเดือนก่อน

    Dada angu nimelia mtoto wangu ali ishia kidato cha nne 😭😭😭

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 หลายเดือนก่อน

    MZURIII. SANA UYO BINT

  • @siashayo8676
    @siashayo8676 4 หลายเดือนก่อน +4

    Daah, mtoto ana kiburi sijapata ona. Pole Kwa Mama WA lambo Kwa mtihani uliopitia. Kha!
    Mimi bado sikubali kuwa Mama Sophy alikuwa hajui mtoto yupo wapi.

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi2770 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana zari❤❤

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mtoto alikuwa kwa mwanaume hakika

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 4 หลายเดือนก่อน +3

    Acha nileee wanangu tu Allah anijaalie umri mrefu mrefu

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 4 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba namba ya huyu mzee Sulemani

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mama wakambo ulikuwa namtihani miubwa na huyu mtoto

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera global TV

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ila huyu mtoto anaonekana ana mdomo na jeur Allah tulindie watoto wetu.Huyu mtoto anaongea utazani mtu mzima

  • @Jenifajerad
    @Jenifajerad 3 หลายเดือนก่อน

    Ata fanya watt wakike wakipotea wasitafutwee😢😢😢 mshezi sana huyu

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh nimeifuta Ila Mtoto Wazazi wanamchanganya

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Bora tu umerudi

  • @agnesskaheshi1903
    @agnesskaheshi1903 4 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mtoto mtamsingizia mama wa kambo huyo mtoto jeuri tabia mbaya zimemjaa

    • @EmmyMtila
      @EmmyMtila 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani mimi ananitibua kwa majibu yake😂😂😂

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kasome ukipata na tuition upate elimu uwasaidie wazazi na wazazi acheni kumtesa MTOTO muwe mnamsikiliza

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja nayote Sofi aache ujeuri changamoto zipo tu maishani

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo binti ni jeuri atakua alikua anakaa kwa bwana Huyo 😢😢natama nimzabue mabao wallah

    • @حميده-ر4ظ
      @حميده-ر4ظ 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kanizibuliye nalakwangu Aki 😅

    • @SalmaSamiry
      @SalmaSamiry 4 หลายเดือนก่อน

      @@حميده-ر4ظ ndo niko kwenye bolt nawahi Global tv hapo nikamshughulikie maana naona mama ake amemshindwa 🤣🤣🤣

    • @neemamushi4476
      @neemamushi4476 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yaani hadi anatia hasira,jeuri sana huyo,eti aliongeleshwa shitshit,pumbavu zake

    • @SalmaSamiry
      @SalmaSamiry 4 หลายเดือนก่อน

      @@neemamushi4476 yani kiukweli anaboa sana sema alikua nao wanamuhoji hawana hasira mmi ningemkojoza bonge la mkofi yani

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana sikuwa mwalimu ningeisha fungwa jela mimi! Mtoto mjeuri sana huyu😢

  • @omariselemani6578
    @omariselemani6578 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambieni mzee Suleiman ampeleke Homan

    • @malila4582
      @malila4582 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @floranahashon4180
      @floranahashon4180 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa kiburi hicho oman hapawezi

  • @AzizaRajab-q7n
    @AzizaRajab-q7n 4 หลายเดือนก่อน

    Asalaam Alykum dada Zari huyo alikuwa anaishi na bwana kamchoka ndio maana karudi kwao.Allaah amlinde na vitu vibaya

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mtoto ni wa kumhurumia na ni jeuri sana!!!

  • @AhmedSeif-q6u
    @AhmedSeif-q6u 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni msela kweli uongeaji wake tuu ni yaani yaani kila kitu ni yaani

  • @ChristinaMlolere
    @ChristinaMlolere 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ila soph mngempeleka polisi angenyoosha maelezo vizuri

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mtoto ni muongo nataman asome tuu amsaidie mama ake😢

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน

    Pole xn Zari

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mtoto ni mkorofi kwanini haongei anaficha maovu yake ni jeuri tu watoto wa sahivi ni.mtihani sana hawambiliki wakimbiwa kitu ni shida kumbwa mimi watoto wa kaka zangu siwambii kitu wapo na wazee wake hasemi kitu ndiyo hivyo sina habari nao kila mtu na msisha yao siwezi jeuri za watoto wa wenzangu mimi😢

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe hio ni roho mbaya angekua mwanao ungemtupa au 😂😂😂😂😂😂 et siwezi mim unazani kulea ni kazi nyepes

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtoto ni jeuri siku zote watu wakunyamaza ni jeuri saingine wamama wa kambo wanakazi kulea watoto wakubwa mimi watoto wangu walimfukuza bwana wangu😂😂😂

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kama hujawahi kukaa na wazazi sio wako basi huwezi kumuelewa hyyu mtoto. Na hasa kama baba hakusikilizi ni mateso makubwa simuombei mtoto yoyote yamkute

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 4 หลายเดือนก่อน

      Hayo ni mawazo yako na wengineo mtoto anaweza kuwa na wazazi wote wawili na anapotoa mateso makubwa sana

  • @abdullahal-mahruqi9610
    @abdullahal-mahruqi9610 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii hali inasikitisha. Ingawa hatuwezi kuhukumu bila ya kusikia pande zote
    Lakini pia Mfarakano wa wazazi umefikia pahali huyu binti kaharibika kwa kujihisi au kupitia Mazingira mabovu matokeo yake ndiyo haya. InshaAllah yarekebike na huyu binti ajinufae na awe na manufaa kwa mama yake

    • @siashayo8676
      @siashayo8676 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nitamlaumu Mama Sophy mpk mwisho, yeye ndiye amepandikiza chuki Kwa mtoto.

  • @MariyamMohamedi
    @MariyamMohamedi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sofi noma

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sophi usijione jasiri kumbuka ww mwanamke utazaa yatakukuta unavyomsumbua mama yko htaki shule labda ana mimba hyo lkn hajue wanaume waongo. Jidanganye tu sophi

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 4 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @ChristinaMlolere
    @ChristinaMlolere 4 หลายเดือนก่อน +2

    Soph amefanana na mama yake

  • @khadija5761
    @khadija5761 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtihani

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sofi anaye ila kaachananaye😅😅😅😅

  • @ArafaMichael
    @ArafaMichael 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hata mm nimama nimezaa nanimelea kwa kili za utuuzima Huyo sofi anaonekana jeuri na kiburi hayo mahusiano aliyonayo ndiyo yamemharibu

  • @Maryam-s6e
    @Maryam-s6e 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah huyu mama kaniumiza sana alivyosema anabeba mchanga yaan kaka seleman mtafutieni kaz huyo mama awe sawa maana kama anamatatizo

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 4 หลายเดือนก่อน +4

    APELEKWE POLISI.

  • @SofiaSofia-qh9wh
    @SofiaSofia-qh9wh 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana da zari

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejikuta namtizama sophi anavyosema ataki shule nataka kazi kazi bila elimu nimeingiwa Na uluma sana mungu tusaidi na hivi vizazi vyetu

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama wa kambo kamchezea shere !! Akili ya sofia haipo sawa .anahitaji msaada wa ushauri nasaha.

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 4 หลายเดือนก่อน +1

      huyu mtu ana akili zake Sema Yuko kwenye stage ya ukuaji ukichangia ni mama wa kambo inakua tabu tupu anakosa kumuheshimu mama yake

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mpelekeni tu afanyee ujuzi kama kushona au Saloon

  • @raziahamisi8460
    @raziahamisi8460 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jeuri tu

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa jeuri hiyo Kwa mama wa Kambo angekunyoosha!!!!

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni pagumu !
      Kuna kiburi, na jeuri tele.

  • @maimunaahmed3477
    @maimunaahmed3477 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji anaongeea tu hujawahi kulelewa na mama wakambo sisi tulopitia huko tunajua sophi hana kiburi mwanzo nilidhani anakiburi ila nimemuelewa.

    • @FatmaJuma-mj1im
      @FatmaJuma-mj1im 4 หลายเดือนก่อน

      Ni jirani yangu lkn huyu mtt kaharibiwa na mama yake

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani sofi na mama ake yote matahila eti karud amenenepa na kawa mweupe sasa subilia mjukuu 😢😢😢

  • @aminajuma34
    @aminajuma34 4 หลายเดือนก่อน

    Hello

  • @abcdoman8739
    @abcdoman8739 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani musimlaumu huyu mtoto mazingara aliyo ishi ni magumu sana alipogwa danadana sana kwa wazazi wake

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 4 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa kwa.mme jamani uyo mtt mungu tusaidie na vizazi vyetu bila wewe atuwezi

  • @IrenewillyMwenda
    @IrenewillyMwenda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mdogo wangu soma sisi dada zako tupo mtaani tunataman chans kam hiy atupati

  • @vickylayda6336
    @vickylayda6336 2 หลายเดือนก่อน

    Ongea

  • @khadijamasele9005
    @khadijamasele9005 4 หลายเดือนก่อน

    Mmm,amelazimishwa

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sofi kashaujua utamu wa jicho anaona mnamsumbua tu na maswali yenu 😂😂unafanya mchezo nini watu washafungua jicho mtoto sasa hivi anapenda mwenyewe 😂😂😂

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 4 หลายเดือนก่อน

    Nimemuelewa vzuri mtoto kwa uzoefu wangu nimegundua mtoto ameathirika kisaikolojia kutokana na unyanyasaji wa mama kambo kwa mtoto anaejitambua kumlaumu kwa makosa hata asiyofanya au ya kawaida tu musimuone mtoto jeuri tatizo lipo kwa wamama binafsi nina mtoto kama huyo na anapitia changamoto nyingi kinachosaidia mwenyewe kama baba namlinda kwa nguvu zote inatokea hali hiyo kwa ajali za ndoa tunazozipata wasiopitia changamoto watakua wepesi sana kumlaumu au kulaumu wazazi bila kujua magumu yanavyokua TUOMBE MUNGU TU kutukaniwa mama yako mzazi ni unyanyasaji uliopitiliza

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo binti pelekeni polisi alikuwa kwa mwanaume amachanganywa na huyo mwanaume na àsimsingizie mama wa kàmbo pia huyo si mtoto tena

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman nimecheka nisamehen, eti unaongea macho meupeee, kitu ninachofkiria ktk nafs yang cjajua watoto wetu wa miaka hii tunaowazaa na tutakaowazaa itakuaje, nafkria had nachoka jaman mim

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto sio jeuri ameathirika kisaikolojia uwezo wake wa kuchanganua ni mdogo kakutana na mambo makubwa msaada wa lazima unahitajika kwa mtoto yote amesababisha Mama wa kambo maswali muliyomuuliza hayaendani na upeo wake msaada wa kisaikolojia ndio suluhisho kwa mtoto na vizuri kumtafuta msma wa kambo mumuhoji na aache kuwa mbinafsi kwenye malezi ya watoto

  • @stellahmichael7156
    @stellahmichael7156 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zari tunaomba ututafutie huyo anayesema alimpa kazi ya ndani

  • @MwanahamisMohammed-f7g
    @MwanahamisMohammed-f7g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mm naomb kuliza izo hofisi za kusafilisha watu zip wapi

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hajawahi kuchapwa anadekezwa huyu wangemramba bakora Akili ikamkaa sawa

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo jeuri mnazoziona kwa binti ndizo wanazotufanyia mashuleni! Ivi walimu tutashindwa kuwanyuka kweli???watoto jeuri mno wallah

  • @DottoJuma-k5j
    @DottoJuma-k5j 4 หลายเดือนก่อน

    Uyoo alifungiwa kwa bwan asee inaumaa sn watoto wety wakilewo 😢😢uyoo mwanaume akamatwe

  • @RahmaNassir-pc5ku
    @RahmaNassir-pc5ku 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo atatoroka tena maana kashindikana

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna mambo anawaza ongea naye vizuri

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zari kazi yako ni nzuri sana lakini huyu mtoto ameingia kwenye mazingira magumu sababu ya mama wa kambo na baba yake kutokujali mtoto toka lini mama wa kambo wa kuafrika akampenda mtoto wa mume,Na mbapomuhoji mnamtisha mpaka mtoto anaogopa,nendeni naye polepole please

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 4 หลายเดือนก่อน

      Bakisha akiba ya maneno kiumbe wa Mungu,

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa si mama mtt mwenyee anaonekana kabisa kwana mjuba hf muongo

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtt amekuwa jeuri kwa ajili ya wazazi
    Kama hakuna msimamo kwa mzazi mmoja wapo shida zinaanzia hapo
    Na mtu utakuwaje na mwanamke mwingine na ushindwe kumuhudumia mwanao?? Na hii dunia imejaa mambo ya hovyo wtt kuwa na tabia za ajabu ajabu hawasikii vinavyoendelea nchini humu?

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mtoto mjeuri sana

    • @Neema-m6s
      @Neema-m6s 4 หลายเดือนก่อน

      Tena mjeuri sana tu hata anavyoongea anaonekana

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 4 หลายเดือนก่อน

      Mama zari unafanya kazi mzuri sana, lakini utakutana na watu wa aina ya akina Sofi wengi ! 'Chonde' usikate tamaa.

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mtoto keshaonja maisha ya mtaa ndo maana naona ni sawa kuacha shule,bora apelekwe hata ufundi wowote

  • @Suburo767
    @Suburo767 4 หลายเดือนก่อน +2

    Da zariii ulivaa ushungii kipindi baba selemani anakuja apo studio ila ss umeona bola uonyeshe uhalisia wako tu 😂😂😂😂😂kwamba hivyo vitu so vyako 😂😂

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoboa pua au masikio mbona wengi wametiboa na wapo shule ya msingi , tarzo ni wale watoboaji hasa wale wanaozunguka mitaani kama wauza karanga.😅😅😅

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani hawa watoto wanatutesa jamani yamenikuta hayo

  • @HawaRamadhan-x5g
    @HawaRamadhan-x5g 8 วันที่ผ่านมา

    Mama jikaze muache kama nazi yashindana najiwe muache kama anakutaka nambiye asome kama ataki muachee aende

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sophia mjeuri sana alikuwa anakaa kwa bwana! Duuh Vijana waacheni wtt wasome

  • @reyzuumsafiri4818
    @reyzuumsafiri4818 4 หลายเดือนก่อน +2

    Da zali uyo biti nimuogo alikuwa kwa mwanaome

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 4 หลายเดือนก่อน +3

    HILO TOTO LINAWAPOTEZEA MUDA. PELEKENI POLISI. TAFUTENI TOPIKI NYINGINE MJADILI TUFURAHI.

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kutokana na mambo ya kifamilia namuelewa

  • @MariyamMohamedi
    @MariyamMohamedi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yn mm ningekuwa hapo ningepiga had camera mngezima

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto muongo hyu maneno anapanga Aseme t km alipata mwanamme kwanza ana kiburi sn