Poleni sana na msiba.. ushauri naomba mufatilie zaidi kuhusu sababu ya kifo chake..ubalozi wa tanzania wazidi kufanya uchunguzi ..kwanini boss aseme kaanguka kwenye chemba na Doctor andike kwa moyo..?
Allah amjaalie nuru ya kaburi amjaalie kher ya kubur na amjaalie kaburi lke liwe miongoni mwa bustani za peponi biidhnillah na Allah awape subra wazaz wke na watoto wke awajaalie faraja ya moyo ndio hali ya dunia hakuna hila ila billah كل نفس ذائقه الموت.
Inalilah wainaillahi rajioun,hatuna budi kuridhika na mole amrisho aliloliamrisha baada ya mja wake kutangulia, kma Kuna chochote kibaya kilikukuta mpambanaji mwenzetu ukipigania. Uhalali wa rizki na familia yko, Allah ndio mlipaji, na kama nikazi yke mola bc Haina makosa . Wapambanaji wenzako tunakuombea Dua Allah akupokee Hali ya kuwa amekuridhia kipenzi chetu😢😢😢😢😢
😢😢😢😭😭😭😭Allah akupe kaur thabit dada mwanamvua Allah ndo shahidi wa kifo chako na mungu atalipa tu team strong 💪 tuendelee kupambana omni ni pagumu sana Allah ndo kimbilio letu Allah atuludishe salama majumbani kwetu 🙏tukaone familia zetu
Innalillah wainna ilayh raji'un pole sana familia Subhana Allah hii inatuumiza sana team Strong Allah atupe nguvu subra na Uvumilivu Allahumma Aamiyn 😭😭
Inalilah wainalilah rajiuun mweny zimungu akupe kaul thabiti team strong mwenzetu 😭😭! Inauma sana hak ya mungu jmn kaaah mungu azidi kutu simamia wapambanaj wote
Tuache Lawama mungu ndiye mjuzi na ck ya Ukumu itafika ukweli utajulikana...mola wetu mlezi ndy mjuzi...tumwombe Aturudishe shalama sie ambao bado tuko huku
Inallilah Wainna illah rajiun M.Mungu ampe kauli dhabiti Mja wale Wazazi wamuachie Mungu ndio hakimu wetu kama wamemdhuru basi InshaAllah hukumu ya Allah haitawaacha InshaAllah
Imeniuma San dada yetu kumbe tulikua sehem Moja nami jamani tuombeeni eee mungu tujalie wanao tumeacha familia nawatoto tunatafuta maisha pumzika dada yetu😭😭😭😭😭🙏🙏😥
😢😢😢😢😢😢😢😢😢mwenyezi mungu atamlipa mpambanaji mwenzetu inauma sana kuondoka mzima unarudi kama mzigo inaumza sana mungu msimamoe mjawako wewe ni unajua kutenda haki kwakila jambo pia tunakushukuru mungu wetu kwakuwezesha mwili wa marehemu ndugu yetu mpambnaji mwenzetu kufika kwnye mikono ya familia yake
😢😢😢😢Yarrabi tunakuomba umsamehe ndugu yetu mwanavu mpambanaji mwenzetu alipokosea kipenzi cha uhai wake na umlaze pema peponi na Yarrabi tunajikabizi kwako sisi pekee yetu hat uwezo kujilinda na Mwisho Mwemaa tunakuomba uturuzuku yarrabi
Mlipe gharama alokulipia uone kama ataacha kukusafirisha mnatia hasara watu mnadhani wanaokota pesa hata wao makazini wanatoka jasho pesa yakukuleta mpk ufike sio ndogo ww mlipe uondoke
tatizo watanzania hata wateseke vipi huko uarabuni wameng'ang'ana tu kisa tanzania maisha magumu we mpka unafikia umri wa kuzaa hujazoe tu maisha ya kwenu😢 Ndio mana waarabu wanawaua kwakuendekeza dhiki😢😢
Marehem alikuwa anafanana na baba yake hadi urefu na mwil pole sana baba... hakika mwanao alikuwa anakupenda sana haipit siku bila kumpost baba yake 😢😢 Innalilah wainnaillah rajiuun
Nimeumia sana kwa kumpoteza mtanzania mwenzangu,ila namuomba Raisi wetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania atoe tamko kali watanzania wasingie tena Oman kwani huyu mwenzetu ameuliwa bila kupepesa macho,wenzetu wa Ethiopia hawaingii Oman kwa sababu aliuliwa mfanyakazi wa Ethiopia,Raisi wangu please toa tamko tuwachie nchi zao
Mungu atustiri nasisi tulio baki uku arabun turud salama yaan hawa raia tunaishi nao kimungu mungu tuu ila wanaroho kubwa mno dk mbil mbele mtu anakubadilikia rangi.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hilo karoo la choo linakaaga wazi, hao kuna kitu wamefanya mungu atalipa tu waarabu sio wazuri
Haliingiliki mbona group au limejaa😢
Mungu ndio anaye JUA yote ya gizani na Yanayokuwa kwenye uwazi njia nimoja2
Hatuna budi watafutaji wenzangu kusema alhamdulillah 😢😢😢kwa sababu hatuna la kufanya ktk inch za watu na tumekuja kutafuta halali😢😢😢
Poleni sana na msiba.. ushauri naomba mufatilie zaidi kuhusu sababu ya kifo chake..ubalozi wa tanzania wazidi kufanya uchunguzi ..kwanini boss aseme kaanguka kwenye chemba na Doctor andike kwa moyo..?
Allah amjaalie nuru ya kaburi amjaalie kher ya kubur na amjaalie kaburi lke liwe miongoni mwa bustani za peponi biidhnillah na Allah awape subra wazaz wke na watoto wke awajaalie faraja ya moyo ndio hali ya dunia hakuna hila ila billah كل نفس ذائقه الموت.
Amin
Amin thumma amin inshaallah
Tuliko oman tunazijua chemba za oman jinsi zilivyo jmn ngoja tuniyamaze allah akupe kauli thabit habibty mpambanaji mwenzetu
Kukaa kwangu kote Oman sijawah kuona chemba kama Ile 🙄😢
Hakuna chemba ya kuingia mpaka ufe
Allah amsamehe makosa yake
Naam allah amsamehe dadatu 😭😭😭
@aishajuma18 nikweli my iyochemba mm sijaiyo ila hatashimo lachoo huku oman wanachimba futi 5 tu kwenda chini naupana wake km chumba
Mwenyezi mungu awatie nguvu poleni sana pia msafiri salama
Mungu tusimamiee turudi home salama,, tunayopitia ni Mungu TU kimbilio letu😭
Mungu atutangulie mdogo wangu😢😢😢
Kweli
Amiin
Mungu atawarudisha salama
Amin 😢😢😢😢😢 my ni kweli ata cyo uwongo
Mwenzetu katuacha 😭😭😭😭😭mpambanaji mwenzetu kipenzi chetu kapumzike kwa amani supawomani 💪🏻💪🏻💪🏻kipenzi cheku sisi bado tunapambana uku oman
Allah atatulinda na kila baya na husda
Kazi gani wanafanya Oman maana tunasikia dah
@EmmanuelMlowe-u1v za ndani tuu my
@MonaEd-o4z nasikia unaweza kuhudumia watu hata mbwabkimapenzi
Inalilah wainaillahi rajioun,hatuna budi kuridhika na mole amrisho aliloliamrisha baada ya mja wake kutangulia, kma Kuna chochote kibaya kilikukuta mpambanaji mwenzetu ukipigania. Uhalali wa rizki na familia yko, Allah ndio mlipaji, na kama nikazi yke mola bc Haina makosa . Wapambanaji wenzako tunakuombea Dua Allah akupokee Hali ya kuwa amekuridhia kipenzi chetu😢😢😢😢😢
يا عبادي الذين امنوا ان ارضي واسعه فاياي فاعبدون كل نفس ذائقه الموت ثم الينا ترجعون.
Amiiin
😢😢😢😭😭😭😭Allah akupe kaur thabit dada mwanamvua Allah ndo shahidi wa kifo chako na mungu atalipa tu team strong 💪 tuendelee kupambana omni ni pagumu sana Allah ndo kimbilio letu
Allah atuludishe salama majumbani kwetu 🙏tukaone familia zetu
Da mwili unanisisimka mungu tujaalie turudi kwetu salama nawapenda wazazi wangu pamoja na ndugu zetu watanzani uku pagumu
Sana ata cyo uwongo kikubwa ni subra na dua tuuu Mungu atufanyiy wepesi inshaallah
Kweli kbs
Rudi nyumbani soon dear kama ushapata cha kupata
ALLAH Atuhifadhi wallah watanzania wote tuliopo Oman
😢😢😢Amen
Amen dear 🙏
Amiin inshallah
Amin thumma amin inshaallah na wewe piya
Amen
Sisi tunamuachia mungu alhamdulillah ndugu yetu kuwasilishwa nyumbani Tanzanian
😢😢🤲🤲🤲🤲
Innalillah wainna ilayh raji'un pole sana familia Subhana Allah hii inatuumiza sana team Strong Allah atupe nguvu subra na Uvumilivu Allahumma Aamiyn 😭😭
Inalilah wainalilah rajiuun mweny zimungu akupe kaul thabiti team strong mwenzetu 😭😭! Inauma sana hak ya mungu jmn kaaah mungu azidi kutu simamia wapambanaj wote
Waarabu nyinyi mungu hanawaona 😢😢😢😢😢 japo tupo kwenye inchi yenu ila nyie niwashezi sana waarabu hovyo sana
Kam ni dhulma Kesho mbel ya haki atasimama nao
Chunga kauli ya kutukana waarabu.
Daah Ina Lilah waina lilai raajun 😢
innalillah wainnaillah rajiun Allah akupe kauli thabiti dada yetu acha tumkabidhi allah japo inauma sana😢😢🤲🏼🤲🏼
Mwenyezimungu msamehe pale alipo kukosea muhurumia muhifadhi na wenzetu wote walotangulia wajaalie nuru makabry yao uwastry uwavue wafiwa chamuhimu kumuombea duaa rabii amjaalie janna rayabii laalamina
Innalillah wainna illah rajioun Allah ampe kaul thabit, Allah ndie hakim wa mahakim, hakuna atakae baki😢😢😢😢
Daaah! Inaumiza Mungu awasimamie ktk kipindi hiki kigumu 😭😭
EWE MUNGU wetu sisi waja wako tusisimie maana hii ni safali yetu wote lakini mungu kama kuna kinyume baasi tunaomba hukumu yako poleni sana ndugu zetu
Inalilah wainaillah rajiona Allah ampe kauli thabit 😢😢
Tuache Lawama mungu ndiye mjuzi na ck ya Ukumu itafika ukweli utajulikana...mola wetu mlezi ndy mjuzi...tumwombe Aturudishe shalama sie ambao bado tuko huku
Ni Mungu sio mungu capital letter plz
Allah awape subra njema hakuna anotaka kuwa dada wa kazi ni shida tu inasikitisha kwa kweli 😀😀
Inalinlah wainailah rajiun.M.Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi
Innaliallahii wainna ilihii rajiuon mbele yake nyuma ytu inshaallah allah amjalie jannt firdhus amuepushe na adhabu ya kabri
Wana trong wenzake tunamuombea Allah aipokee roho yake 🤲🤲
Duh moyo unaniuma sana ee mungu tulinde waja wako mana hatuna kimbilio lingine zaid yako mana huku ukilud salam ni kushukur mungu
Inallilah Wainna illah rajiun M.Mungu ampe kauli dhabiti Mja wale Wazazi wamuachie Mungu ndio hakimu wetu kama wamemdhuru basi InshaAllah hukumu ya Allah haitawaacha InshaAllah
Allah akupe kauli thabiti kipenzi mbele yetu nyuma yenu yarrab tujalie mwisho inshallah 😢😢🤲🤲
Inauma saana poleni saana mungu awepe nguvu musome duuua kwajiri yamungu atalipa
Mwenyez Mungu akurehem mwanamvua nashindwa Cha kuandika hila namuomba Allah atulinde na sisi tulio uku Oman 😢
Kazi izi umaxkini ,nikazi tunahangaika na maisha du pole xana kaluinalilah
Poleni sana mwanafamiliy Allah awape subra
Mwenyezi Mungu naomba atujaalie mwisho mwema, eee Mungu tusaidie turudi makwetu salama
Innalillaa wainna ilayhi rajiun polen sana ndugu zetu Kwa kipindi hiki kigumu
Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah Allah aweke roho yake Mahali Pema peponi Inshallah
Innalillahi wahinaillahi rajiun Allah amjaalie kauli thabit na atujaalie na sisi tuliobaki mwisho mwema kwani sote njia yetu ni moja
Poleni sana wana familia wote baba mama na ndugu wote mungu yupo nanyi waalh inaniuma sana lkni yote na yote tumuachie mungu
Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah Na dada yetu Allah akueke Pema peponi Inshallah
Mungu atujaaliye tuludi kwetu Salama innallilah wainnailahi rajiun mbele yake nyuma yetu
Mwanamvua alivyo mnene shimo lile anaweza kutoka kweli mmh ngoja tumeachie mungu
Mungu atusaidie jmn
Pole kwa familia 😢😢😢😢
Pumzika kwa amani ndugu yetu team strong tunakuombea 😭😭😭😭😭😭😭😭inauma sana
Duh inaumiza sana jamani MUNGU MWENYEZI amrehemu kuna kitu kilichojificha
Inauma xnaaaa poleni xnaaaa wanafamilia daah 😢😢😢
Duuh inauma sana jmn mungu tulinde sisi tuliokua uku
inalilah waina Lilah rajuun poleni sana famiria 😭
Inna lillah wainahyllah rajioun poleni sana Allah awape subra wafiwa ampe kauli thabit marehemu
Mbele yake nyuma yetu
Jaman nwenyenz mungu aturudishe salama kwetu.
Imeniuma San dada yetu kumbe tulikua sehem Moja nami jamani tuombeeni eee mungu tujalie wanao tumeacha familia nawatoto tunatafuta maisha pumzika dada yetu😭😭😭😭😭🙏🙏😥
Innallilah wainalilah rajiuni ! Tuna muachia Allah ! Na Allah ndio anajua yote tunakuombea xn mwna 😭😭😭😭😭😭
Allah amsamehe madhambi yake naatusaidie nasisi tulioko huku oman mpambanaji mwenzetu umetuumiza sana
😢😢😢😢😢😢😢😢😢mwenyezi mungu atamlipa mpambanaji mwenzetu inauma sana kuondoka mzima unarudi kama mzigo inaumza sana mungu msimamoe mjawako wewe ni unajua kutenda haki kwakila jambo pia tunakushukuru mungu wetu kwakuwezesha mwili wa marehemu ndugu yetu mpambnaji mwenzetu kufika kwnye mikono ya familia yake
Why writing Mungu kwa herufi ndogo?
Allah awape subira family na dada yetu allah ampe kauli sabit😢😢
Pole sana wanafamilia mungu awatieguvu
MWANA POLE MAMA,😢😢TUNAKUIMBEA
Dada zari kweny matukioo kama hyoo ya misiba jitahid kujistiri tunakupnd san tunkuombea kwa mungu atupe mwishoo mwema
Amin thumma amin kwa sote my
Kiukweli inauma sana jamani daah😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mm hata lakusema Sina Mungu atusaidie kwakweli hii hali inatisha
😢😢😢😢Yarrabi tunakuomba umsamehe ndugu yetu mwanavu mpambanaji mwenzetu alipokosea kipenzi cha uhai wake na umlaze pema peponi na Yarrabi tunajikabizi kwako sisi pekee yetu hat uwezo kujilinda na Mwisho Mwemaa tunakuomba uturuzuku yarrabi
Allah amrehemu mpamba naji nwenzetu mungu tulinde na sisi turudi salama
Pole ni
Mungu atusaidie tulio Oman turudi kwetu salama
INNALILLAH WAINNAILAIH RANJUUN 😢😢 ALLAH AKUSAMEHE MAKOSA YAKO MPAMBANAJI MWENZETU😢😢😢😢😢😢😢
Kiukweli wanatuweza sana hawa watu mwamvua watakutana kwa mwenyezi mungu
Inna lillah wainna ilah rajuun mwenyezi Mungu msamehe makosa yake Amrehemu 😢😢😢😢
😢😢😢😢😢mwenyezi mungu amsamehe zambi zake
Ww mtangazaji jihishim unakaa uchi wacha ujinga km ww ni muislam vaa nguo ya hishima
Mbele yake nyuma yetu 😢😢😢😢😢
Pole sana wafiwa
Mungu ampe mwisho mwema mmpambanaji mwenzetu wabikul qaul thabit
Innalillaah wainna ilayh rajiuun, Allah amrehemu na amsamehe makosa yake na sie tuliokuwa huku Allah atujaalie turudi salama
Pole wanafamilia
😢😢😢😢dahhh ndg,,yng kumbe,,anapelekwa mwakizaro siyo mwakizero,,,,af wanaenda mzika geza. Safar ndefu 😢😢😢😢 yaan nilijua tuu wamemuua. Siyo kwel aingie kwny chemba.
Inalilahi wainalilahi rajuna polen sana wanafamilia
Daaaaaaah jamani.😢😢😢😢
Mdogo etu juzi karudishwa akiwa chizi kafungwa kamba, Mungu awatie nguvu mnaofanya kazi Oman 🥹
Wanafanyiwa nini?
@ sijui hata sahv tunakesha kwenye maombi mtt hafai kama wamemchukua hivi
@@OliverOden-n2g taften njia sahihi ya kumtibu mapema atakaa sawa tu kwa uwezo wa mungu
Amina 🙏🙏 yan mwili wote una ssimka hak ya mungu 😭😭
Jamanimbona kila siku Ni matukio tu Tena wanafia huko omani 😢😢Ni huzuni kwa kweli 😭😭😭😭
Daaaah inauma lkn hakuna jins...
Inalilah wainailaih rajioon mng akupe pumziko nzur la milele
Polen sana wana familia mungu atatoa hukumu kama walichomtendea ni haki mara kwenye chemba tena moyo mungu watie nguvu wazazi wake
Inawezekana moyo ukapelekea kuanguka
Sasa tena ugonjwa wa moyo mbona mnatuogopesha jmn doh😢
polen sn ndugu jaman
Pole sana ndg jamaa na mafiki
😭😭😭😭da ameniumiza sana da mwana niliongea nae miezi michache da tukapeana moyo tupambane
Pole sn
Inauma jamn Mungu atusaidie sana inauma mimi juzi nimemwambia bos nirudishe kama umenichoka yuko kmy sjui anawaza nini mpka sasa jamn mhmh
Mlipe gharama alokulipia uone kama ataacha kukusafirisha mnatia hasara watu mnadhani wanaokota pesa hata wao makazini wanatoka jasho pesa yakukuleta mpk ufike sio ndogo ww mlipe uondoke
Allah akupe kauli thabiti 😢😢😢😢😢mpenzi
Yaa rabbi turudishe salam kweny nchi zetu😢
tatizo watanzania hata wateseke vipi huko uarabuni wameng'ang'ana tu kisa tanzania maisha magumu we mpka unafikia umri wa kuzaa hujazoe tu maisha ya kwenu😢 Ndio mana waarabu wanawaua kwakuendekeza dhiki😢😢
Ukiona huna chaku kometi nyamaza
Achana na ss tim strong 💪 maisha popote kifo popote Mungu nd ajue kifo cha kila mmoja wetu
@@Safinamfinangakweli may
Hamna chemba ni mdogo Sana hawez kuingiamo huyo dada maana alikuwaga munene😢😢😢😢
Marehem alikuwa anafanana na baba yake hadi urefu na mwil pole sana baba... hakika mwanao alikuwa anakupenda sana haipit siku bila kumpost baba yake 😢😢 Innalilah wainnaillah rajiuun
Inalilah inalilah rajirun mung mpokee moambanaj mwenzetu inaumiza san 😢😢
Inauma sana 😭😭😭😭😭😭😭
Nimeumia sana kwa kumpoteza mtanzania mwenzangu,ila namuomba Raisi wetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania atoe tamko kali watanzania wasingie tena Oman kwani huyu mwenzetu ameuliwa bila kupepesa macho,wenzetu wa Ethiopia hawaingii Oman kwa sababu aliuliwa mfanyakazi wa Ethiopia,Raisi wangu please toa tamko tuwachie nchi zao
Mwakizaro 😢😢😢
Mungu atustiri nasisi tulio baki uku arabun turud salama yaan hawa raia tunaishi nao kimungu mungu tuu ila wanaroho kubwa mno dk mbil mbele mtu anakubadilikia rangi.
Kama kuna mtu alihusika na kifo chake ALLAH asimuachi salama
😢😢😢 innalillah wainalillah raujun