unakwenda sawa! Mapendeleo ya rangi ni jambo la kibinafsi na hulinganishwa na mambo mengi yanayomuathiri mtu binafsi, kama vile tamaduni, historia ya kibinafsi, na uzoefu wa maisha. Kwa hivyo, ni muhimu kuheshimu na kuthamini mapendeleo ya rangi ya kila mtu kama sehemu ya utofauti na utajiri wa utamaduni wa kibinadamu.
Asante Dr, nauliza je!kiongozi huweza kuwa na hizo type za power zaidi ya Moja?kwani naona kama kiongozi wetu anaingia kweny legitimate, cohesive zote anazo

Nakukubali sanaa blo kutoka mozambiki
Congratulations nying sana kwak
Ahsante sana kwa maarifa
Pamojasana kaka
Safi sana brother joel nanauka
Mimi Sasa najikuta nakuwa wakala wa Joel nanauka bila kujitambua muda wote .Sasa nifanye kumfuata aliko nadhani Yuko dar, niiamishe akili
Ahsante brother Joel
Good job brother
Kaka mda umefika nasubiri darasa
Nina isubili kwa hamu sana
I love you so much mr Joel
Naenjoy mafunzo yako❤️ u
Mitaa ya New York😥😂😂😂.
Noted
Nikweli mwalimi kwa unachokisema
Ahsante kaka
Hakika tunasubiri
Kweli kabisa Asante sana
Asante
More video on this
Yes
How can l get Joel's phone number or business number????
Kweli kabis kaka
Habar kaka nilikuwa naulizia nawezaje kupata vitabu/ kitabu chako ???🙏🙏
Naaam kaka
It's true 👍
Nina shauku na kufahamu aina hii ya saikolojia
Thanks brother
Green(ccm)
Nisaidie, hizi rangi zinazotambulisha tabia za watu, kwani kunatofauti gani na tabia za sangwin, Melonkoli, Korolic na fregmatic?
Hee haya yote sikuya jua Nina kushuru Kwa elimu yako nzuri weka mawakala mkoa wa Rukwa
Saycology sense has got no culler is the capacity volume wich pasonol born with it in the brain