Unibaliki na unitakase ee mungu kwa yote ufanyayo juu yangu ni mapenzi yako unipe roho ya uvumilivu na kushukulu kwa yote maana utendayo kwangu yote ni muujiza ,amina.
Pr barikiwa sana umenisaidia Sasa nabadilisha kuomba umesaidia maishangu kwa njia nyingi kupitia mafundisho yako kila siku uongezewe kibali katika jina la yesu, amina
Wote walitoa kwa ukarimu kwasababu ya mazingira na watu walio kutwa. Piya hawo watowaji ambao tumechagua kufanyia mfano hakuna hata mumoja liye toa yote wote walibaki na balance 😂😂😂😂😂😂😂 smasante kwamafundisho
Amen Amen. Inabidi kutowa kwa ukarimu. Mungu asifiwe sana. Mahubiri yako kabisa, hata nikiwa na njaa nashibishwa kwa mahubiri tu.
Pasta mbaga unanifundisha mambo mema yananifanya nibadilike kiloho nakimwili mungu akubaliki🙏🙏🙏
Mungu atukuzwe
Amina Mtumishi wa MUNGU nimejifunza kweli kweli kutoka Kenya
Amen mtumishi wa Mungu
Unibaliki na unitakase ee mungu kwa yote ufanyayo juu yangu ni mapenzi yako unipe roho ya uvumilivu na kushukulu kwa yote maana utendayo kwangu yote ni muujiza ,amina.
Pr barikiwa sana umenisaidia Sasa nabadilisha kuomba umesaidia maishangu kwa njia nyingi kupitia mafundisho yako kila siku uongezewe kibali katika jina la yesu, amina
ubarikiwe pastor
Barikiwa sana kwa mafundisho yenye baraka
nime barikiwa
Mungu nisaidie na uniondolee nafsi ndani yangu nikutukuze wewe kwa Jina la Yesu. AMEN 🙏🏻 🙏🏻.
Mungu awabariki nyote
MUNGU awabariki wote waliyo sima na kazi Yake,
BABA NIONDOLEE UBINAFSI👏👏
Aminaaaa
Pastor kwa somo hili nimejihisi nafsini mwangu kama sijawahi kutoa kabisaaaa, najihisi kwamba nahitaji kutoa zaidi
Mungu nisaidi
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU nawapata vizuli sana kutoka oman
Mungu akubariki nakuzidi pastor
Barikiwa,Yesu atusaidie tupone kiroho
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akubariki Sana Kwani tunabarikiwa Sana nimejikuta nikitowa machoz ulivyo soma bariwa ulo andikiwa na mama
BABA nisemehe nitengeneze
🙏🙏🙏
Amina
Past mungu akuangazie nuru yauso wake
Mungu atusaedie mm nilikuwa na saidia kiwete wala sio anayetembea Mungu atuhurumie 🙏🙏🙏🙏
Amen amen pastor ubarikiwe kwa mahubiri pamoja ushuhuda wakibekee
nimebarikiwa sana na fundisho la utoaji
Amen amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Amen
Baraka toka MUNGU wetu zikufunike
AMINA MUNGU nisaidie niweze. Kusaidia
Najaribu kusearch somo la jana silipati naomba link tafadhali
✌👊
Je? Naweza kudai ahadi zaidi ya moja kwa wakati mmoja?
Wote walitoa kwa ukarimu kwasababu ya mazingira na watu walio kutwa.
Piya hawo watowaji ambao tumechagua kufanyia mfano hakuna hata mumoja liye toa yote wote walibaki na balance 😂😂😂😂😂😂😂 smasante kwamafundisho
La ayubu
Jaribio, ni kumtoa Mtoto wako kuwa kafara