Waziri Mpango: Mazungumzo ya Rais na Wafanyabiashara yamepelekea tozo 54 kuondolewa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango amesema Serikali inapendekeza kuondolewa kwa tozo mbalimbali zaidi ya 50 kwa wafanyabiashara ili kuwasaidia kuweza kuwekeza nchini na kusaidia katika kukuza uchumi.
    Hatua hiyo ya serikali imetajwa kwenye hotuba ya bajeti ya serikali iliyosomwa bungeni hii leo.

ความคิดเห็น • 2

  • @yahyasekievu7791
    @yahyasekievu7791 5 ปีที่แล้ว +1

    Tuombe mungu utekelezaji ufanyike maana sisi wa lala hoi tunazungushwa sana na tra

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 ปีที่แล้ว

    Ndio mutuondolee hizo kodi