Rais Magufuli awapa 'kazi' waziri Biteko na Mpango kuhusu 'utitiri' wa kodi kwenye madini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Rais John MAgufuli amewataka mawaziri wa fedha na mipango, Philip Mpango na waziri wa madini Dotto Biteko kushughulikia kero za mlundikano wa kodi mbalimbali kwenye biashara ya madini ambao unapelekea wafanyabiashara wasio waaminifu kusafirisha madini hayo bila kulipiwa tozo za Serikali.

ความคิดเห็น • 2