Simba SC ndani ya 'gym' baada ya suluhu dhidi ya Al Ahli Tripoli, CAF CC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • SIMBA LIBYA | Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi ya ‘gym’ katika hoteli ya Corinthia mjini Tripoli kwa ajili kurudisha miili katika hali yake baada ya mchezo wa jana dhidi ya Al Ahli Tripoli uliomalizika kwa suluhu.
    #CAFConfederationCup #CAFCC #CCC #KombeLaShirikishoAfrika #SimbaLibya #SimbaSC

ความคิดเห็น • 7

  • @amanizo96
    @amanizo96 2 วันที่ผ่านมา +2

    Amanizo apa boy from Tanga ina pendeza San ❤❤❤simba nguvu moja

  • @HadijaAbdalah-i9d
    @HadijaAbdalah-i9d วันที่ผ่านมา +1

    Ilove u 🦁🦁🦁🦁timu ya maisha yangu

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @DANIELSaini-w9w
    @DANIELSaini-w9w 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa ndo maana halisi ya vijana lazima waenende na malengo ya team

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sema jana wamepambana sana chama la wana waje kuwaonesha kuwa sisi ni timu kubwa hapo kww MKAPA

  • @EmmanuelMwakanyerenge
    @EmmanuelMwakanyerenge 2 วันที่ผ่านมา +1

    Haina kupoa guys

  • @user-ip8xh3uw2t
    @user-ip8xh3uw2t 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wapambanaji wetu wanapasha misuli