FULL VIDEO, DAMU IME BUBUJIKA, Tenzi no. 86, By Eliudi Msyani.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 2 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wako wa upambanaji najifunza sana, nami niko nyuma yako, niko kwenye mazoezi, nami nitamuimbia Mungu sana.

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 3 หลายเดือนก่อน

    Mmeimba vizuri sana yaani mpaka nasikiliza kwa kurudia rudai lkn huyo si mchungaji Mbarikiwa jaman au macho yangu yananidanganya???

  • @jofreymbembela9593
    @jofreymbembela9593 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen kamanda wa Mungu,najifunza sana ufurukutaji kupitia wewe.

  • @pastorsamsonsililo8629
    @pastorsamsonsililo8629 ปีที่แล้ว

    Eliudi kiukweli wimbo huu uliuimba katika roho, nimeuelewa Sana barikiwa,

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 2 ปีที่แล้ว +1

    Nahisi yesu ameshuka dunian anakaa nanyi kikosi kazi mungu anijalie wokovu Kama huu usiekuwa na doa oho yesu

  • @hopekaiza7500
    @hopekaiza7500 ปีที่แล้ว

    Eliudy, kweli hadi sauti yako ina neema sanaaaa. Songa Songa Songaaa mtu wa Mungu.

  • @eliahmhanzi6357
    @eliahmhanzi6357 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @sarahe9359
    @sarahe9359 4 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa natafuta watu wanaomuimbia Mungu na sio kwa kufanya mauzo mitandaoni na show off wanatoa maana na uzito wa nyimbo, nashukuru nimeipata hii. Mungu awabariki sana.

    • @eliudimsyani127
      @eliudimsyani127  4 หลายเดือนก่อน

      AMEN AMEN MTUMISHI WA MUNGU UBARIKIWE SANA SANA 🙏

  • @alicejery7880
    @alicejery7880 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏

  • @mr.silwanim1176
    @mr.silwanim1176 ปีที่แล้ว

    MUNGU awatumia kama yeye apendavyo