#Simulizi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Hii ni simulizi ya tukio la vijana watano wa Tanzania wenye umri wa kati ya miaka 21 na 25-Mussa Memba, Mohamed Ali Abdallah na nduguye Abdallah Ali Abdallah, Mohamed Tahir Ahmed na Yassin Memba-walioteka ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC) kisha wakailazimisha iende Nairobi, Kenya

ความคิดเห็น •