ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nimekupenda bureeeee kaka yangu duuh tena handsome kweli big up
Nikawaida hata mimi mke wangu yupo ivyo na ninampenda kuliko kitu chochote
Mimi pia naishi na mume mwenyew ukimwi kwa upendi kbs na amani
Hongera sana kaka Mungu akuinue zaidi na ubarikiwe sana
Kitu mipango tu siyo waliyokufa wote waliumwa ukimwi.
Yes gentleman hongereni Sana wewe na mke wako,hasa ww kwa ujasiri wako
Mungu awape umri mrefu kaka
Kaka ama wa jina hongera san kweli sisi ni wavumilivu sana kama Mimi hap
Ila huyo kama handsome balaaa 🤗🤗🤗
Kaka asante kwa majibu yako unaitaji kuishi wewe kama wewe sio watu wengine wanavyotaka
Kweli hapo inatakiwa upendo wa kweli,vinginevyo watu wanakimbiana kwenyemajibu hukohuko,ila bro Baraka nyingi za Mungu ziwe juu yako,ukojasiri sana hakika wewe ni mwanaumeeeeee!
👏👏👏
Jaman
Dah! Inataka moyo sana, hongereni sana
Hongera broo!!
Nimekupenda bure kakaangu
I don't wanna close my eyes and cross the tarmac highway of a speeding car. Fumba macho uvuke barabara ya Lami"
Duh no coment
Nmekubali ilo ni kweli
upendo wakweli.
Shayne wenye upendo huzali wachache sana
Hatar
Nimekutana na hiyo hali Mara tatu na pia wanangu hawana maambukizi
Commando
Somo gumu hili hatari ila tutaelewa pole pole
Big up brother
Asante brotherNimekuelewa
Dah hkk ht kumueleza mwnza wk unaogop maana hujui atakupokeaje
Mimi binafsi siwezi .
😜😊😌
Elizabeth Christopher Kilumbo hata mimi Aisee maana muda wowote unaweza na ww kupata maambukizi
Mhhh ndio maana huwezi
Siamin naona wanatoa elimu
Amini tu kwani haiwezekani
Nikweli ndugu yangu upendo tu

Asante brother
Nimekuelewa