MAUAJI MENGINE DODOMA, MWALIMU AKUTWA AMEUWAWA "TUKIO LA HUZUNI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025
  • Mwalimu Albert Kaguli (43) wa shule ya Msingi Kisokwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa nan a kitu kizito kichwani

ความคิดเห็น • 70

  • @vailethmbise655
    @vailethmbise655 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama walifanya kumuua Magufuli hii hali itaendelea mpaka aliehuujumu atengue hicho kifungo walichokiweka huko juu.

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว +2

      Nakubaliana na wewe

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      MAGUFULI KAUWA RAIA SANA NDIO MAANA HIYO LAANA INAENDELEA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@thelonewolf4429 MAGU MWENYEWE MUUWAJI.

    • @faudhiaamerii6692
      @faudhiaamerii6692 2 ปีที่แล้ว

      Nakubarian na wew mpk waungame

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 2 ปีที่แล้ว +5

    Yani siku izi usalama ni mdogo jamani mwanadmu kawa zaidi ya mnyama
    Mauaji kila siku sijui Tanzania kuna pepo gani
    Mungu Tusidie

  • @neemambunda2004
    @neemambunda2004 2 ปีที่แล้ว +1

    Eh Mungu inatosha sasa. Ingilia kati hakuna gumu kwako mfalme wa amani

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +4

    Eeeh Yesu Kristo ikumbuke 🇹🇿🇹🇿

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      YESU MWENYEWE KAULIWA ATAKUTETEA WEWE????

  • @tumainikomba9008
    @tumainikomba9008 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mungu wa awamu hii sio yule wa kwetu wa kipindi Cha Corona na kimbunga Jobo ...wakristo kwa waislam embu turudi kwa Mungu wetu kabla hayajatufika uani kwetu😭😭😭😭

  • @evancemapunda9512
    @evancemapunda9512 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kiongozi mmoja alikuwa anashauri sana tumtangulize Mungu na kuwaomba viongozi wa dini kuliombea taifa kila mara. Nahofia kuanza tena mauaji ya vikongwe na albino.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      HUYO KIONGOZI UNAEMTAJA YEYE MWENYEWE MUUWAJI HAKUNA ASIEMJUWA JIHADHARI USIWE MNAFIKI KAMA YEYE.

    • @superioresthercharisma7780
      @superioresthercharisma7780 2 ปีที่แล้ว

      SAHIHI th-cam.com/video/g3EoT-Auxfo/w-d-xo.html

  • @felistarleonmk5261
    @felistarleonmk5261 2 ปีที่แล้ว +3

    Eee Mungu turehemu hii roho ya mauaji inakua kwa kasi sana

  • @janemutoma4309
    @janemutoma4309 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu uturehemu tu!

  • @esterjimmy7573
    @esterjimmy7573 2 ปีที่แล้ว

    Daah!, polen sana wafiwa

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿 TANZANIA KUNA NN TOKA JANUARY 2022 😭😭😭

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 2 ปีที่แล้ว

    Jamani hii hatali jamani mbona ivyoo.kaa mungu atusaidie

  • @tumainichua962
    @tumainichua962 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu tusaidie

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele 2 ปีที่แล้ว +6

    Inauma sana maana Walimu wanafanya kazi kubwa mno na wanakutana na vitisho vingi sana,ila kwa mauaji haya hapa serikali ichukue mkondo wake kwa sivyo maeneo kama haya yatakuwa na maendeleo duni ya kielimu .Hii inatisha na kukatisha tamaa .
    Walimu walindwe na wapendwe kwakuwa wao ni walezi wapili

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      Alichukuwa mwanamke wa mtu alikanywa sana lakini hakusikia aliendekeza sana umalaya kifupi kafa sababu ya umalaya

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aishachambo8663 KUMBE KILICHOMUUWA KUMA TAMU

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 😂😂😂😂

    • @asiaminja3556
      @asiaminja3556 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aishachambo8663 hata kama kafanya nini hakustahili kuuawa na hata aliemuua unawezakuta hata siyo mkewe ...kila mtu akijichukulia sheria mkononi itakuwa shida lkn atapatikana tu hlf na huyo mwanamke atakuwa na mwingine akiwa anaozea jela...Mungu atusaidie Watz

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      @@asiaminja3556 hapo nzi kafia kwenye kidonda

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +5

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl

  • @officialtaslima5409
    @officialtaslima5409 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kila sababu jamii kubadilika hasa ktk mbinu za kujilinda wenyewe..hii ni hatar sana! Na ni hatar sana! Nadhan Kuna haja ya kusimamisha Mambo mengine Kama taifa tujikite nini tatizo! Kila cku ukiingia On line matukio ni mengi ya kuogofya! Je yalikuwepo zama ni mitandao taarifa zinapatikana kirahisi?! Aisee..,unawaza mengi sana..! Mungu simama na nchi yetu!

  • @sheriibrahim6753
    @sheriibrahim6753 2 ปีที่แล้ว

    Polen wafiwa wote.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Tanganyika

  • @bettykageza1964
    @bettykageza1964 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tusamehe

  • @mihayokakwimba9524
    @mihayokakwimba9524 2 ปีที่แล้ว +1

    daaa! inauma sana

  • @laurinfred2931
    @laurinfred2931 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanaofanya haya wakikamatwa inatakiwa waadhibiwe hadharani ili wengine waogope, tujitahi kila mtu kwa imani yake kumuomba Mungu

  • @shadrackfimbo1726
    @shadrackfimbo1726 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania tuna nni jaman hvi jeshi la police na nch tunafanyaje dhidi ya mauaji yaliyokithili tanzania ,,HAKUNA Aman tena

  • @MajaxiFx
    @MajaxiFx 2 ปีที่แล้ว

    Duh mtiani sanah mbona haya matukio kila kukicha

  • @samweliwilondja3248
    @samweliwilondja3248 2 ปีที่แล้ว +7

    Na jiuliza kuna wajinga fulani walikuwa wana sema ni magufuli ndo anaua watu vipi haya mauaji yana tokana na nini jamani au Samia naye ana kikundi cha watu wasio julikana

    • @aishahassani34
      @aishahassani34 2 ปีที่แล้ว +1

      Rip jpm

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 2 ปีที่แล้ว

      Una akili wewe!!!!!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@aishahassani34 MUUWAJI UNAMWAMBIA RIP HAYA KAKUSIKIA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@tumainikomba9008 HANA MSHENZI HUYO.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      YANATOKANA NALAANA ZA WALIOULIWA BILA YA SABABU NA MAGUFULI NA WEWE UKAFURAHIA NA BADO.

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭 Tanzania tunaenda wapi?????

  • @faridhassan5873
    @faridhassan5873 2 ปีที่แล้ว +5

    M nahic laana y magu

    • @monalisalebasoto2538
      @monalisalebasoto2538 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweliiii

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      WEWE UNAKUWA MPUMBAVU KIASI HICHO??? HIZO NI LAANA ZA ALIOWAUWA MAGU YEYE KATANGILIA BADO WEWE.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@monalisalebasoto2538 MAGU KALANIKA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@thelonewolf4429 MAGU MUUWAJI

  • @nadhirusaid2256
    @nadhirusaid2256 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani uko bara mbona mtihani

  • @ummuziana5723
    @ummuziana5723 2 ปีที่แล้ว

    Lailaha ila llah wat wanauwana kama kuk Allahu Akbar

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Dodoma mbona mnatisha hivyo watugani nyie au wanyama poli

  • @lennyalpha2656
    @lennyalpha2656 2 ปีที่แล้ว

    Diamond

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 2 ปีที่แล้ว +2

    BADO MAGUFULI ANAUWA WATU, CHADEMA?? BASI HUYO MAGUFULI ALIYEBAKI ANA NGUVU YA MALAIKA!! KATAENI SIASA ZA MAJA TAKA ZA CHADEMA!!!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      MIMI SIO CHADEMA WALA SISEMI KUNA MTU WA CHADEMA KAULIWA LAKINI USIKATAE MAGU KAPELEKA JESHI PEMBA WAKAUWA RAIA WASIOKUWA NA HATIA HAKUNA ASIEJUWA NA KIBITI PIA NA WENGINE WAMETUPWA KWENYE VIROBA ATI WANASEMA WATU WASIOJULIKANA MAGU KAUWA TENA SANA USIKATAE.

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 2 ปีที่แล้ว

      KWA HIYO ALIPELEKA JESHI KUUA ASKARI WAKE POLICE NA MAKADA WA CCM KULE KIBITI?? DUU!!!

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salimmalaka256 mpumbavu hujielewi wewe unamezeshwa ujinga unakubaliana nao, Pemba watu walikufa na wengine wakakimbilia Kenya Rais wa Tanzania akiwa Mkapa nyang'au wewe.
      Haya mauaji yanafanyika Sasa hivi hapa nchini wewe unaleta siasa zako majitaka hapa mbwa wa bluu wewe

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว

      @@godfreymbwambo4460 mpumbavu huyu hajielewi anachoongea

  • @godefroidniyonkuru7332
    @godefroidniyonkuru7332 2 ปีที่แล้ว

    Bongo inatakiwa mufanye ibada mtazam wapi munapo kosea to Hayati Magufuli aondoke kuna matokeo hayaeleweki kabisa inci yenu isije ikawa kama Somalia ao zingine inci zenye amani kidogo wakati ilikuwa ndo inci peke yenye amani africa mashariki

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      LAANA ZA WATU WALIOULIWA NA MAGU YEYE KALA ANIKA BADO WEWE.

  • @fatmamamlo7882
    @fatmamamlo7882 2 ปีที่แล้ว

    Hili nalo tatizo mtu kumtegenea mtu mwezie iwapo pale linatotokea lakutokea unajiuliza uraenda wapi na watoto kana kwamba dunia imemtenga baada ya kumlilia mwezetu alietangulia mbele .zahaki ndokwaza kuwaza kwakwenda jaman tuwe naiman

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 2 ปีที่แล้ว

    Hata polisi hawana dhamana sbb wao sasa hivi wanaongoza kutuuwa na raia hawaogopi kutoa tarifa sasa wewe jipeleke katoe tarifa kama kesi haikuwa yako na ukapotea

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 2 ปีที่แล้ว

    Kila cku nauaj

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 ปีที่แล้ว +1

    So bad