Mtanda ataka haki sakata la kutajwa kumkingia kifua Dk Nawanda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Siku moja baada ya Tumsime Ngemela kutoka hadharani akiziomba mamlaka za haki kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda akidai alimlawiti, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema anaviachia vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tuhuma za yeye kuhusika kwenye sakata hilo.
    Akizungumza jana na waandishi wa habari, Tumsime ambaye ni mwanafunzi wa chuo kimoja jijini Mwanza, amedai baada ya tukio la kulawitiwa lililotokea Juni 2, 2024 lililotokea kwenye gari dogo alilodai ni la Dk Nawanda, alitoa taarifa polisi.
    Hata hivyo, amesema kiongozi mmoja mkoani Mwanza alimtaka kufuta kesi hiyo ili suala hilo limalizwe kifamilia.
    Kufuatia madai hayo, Mtanda ameibuka leo Jumamosi Julai 6, 2024 kwenye hafla ya kutoa zawadi kwa wakaguzi na askari polisi waliofanya vizuri mwaka 2024, akidai amekuwa mvumilivu baada ya kusikia watu wakimsema vibaya mtandaoni.
    Huku, akiitaja falsafa ya Rais ya 4R, Mtanda amesema kwa kuwa yeye ni mstahimilivu wa kisiasa hana haja ya kumjibu kila mtu, kwa kuwa anajua tayari vyombo vya usalama vinafanya kazi yake, huku akitaka viachwe vitimize wajibu wake bila kuingiliwa.

ความคิดเห็น • 34

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 3 หลายเดือนก่อน +1

    The poor girl is fighting hard to be understood and to get justice against super sirikali bullies! Mungu amsaidie!

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 2 หลายเดือนก่อน

      Poor girl anaweza mpata mkuu wa mkoa kuwa mpenzi wake wewe ndio poor huna mtandao wowote serikalini.
      Wasichana maskini hata mtendaji wa kijiji wanamuogopa.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 3 หลายเดือนก่อน +1

    R4 ziendelee kutawala maisha na tabia za wanasiasa awamu hii 6. Bila viongozi kuziishi R4 kwa vitemdo hamumtendei haki Mh Rais wa URT kipindi chake cha uongozi.

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mkuu wa mkoa wa mwanza mbona hajiuzulu?? Hii ni kashfa😅

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nilishasema mungu hamfichi mnafiki ukweli utajulikana tu yule binti ukimsikiluza na kumtazama vizuri muonekano wake anapolielezea hili jambo huwezi muelewa nikama yupo na ukweli na pia nikama anaongea mambo ya kutengenezwa lakini mimi nasema kwanini haya sasa? lipo jambo mungu anataka liwe wazi utawala huu unaojiita wa awamu ya sita

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usijiteteee,,,,,,

  • @LaureenGodwin
    @LaureenGodwin 2 หลายเดือนก่อน

    Washenzi wote hawa,wasubiri wa kwao wakue

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 3 หลายเดือนก่อน +1

    aliamua kum support mbakaji badala ya victim huyu ni wa ajabu sana lazima awajibike. alikuwa anamlazimisha mzazi afute kesi polisi iili kumuokoa mwana Lindi mwenzie

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki huyu kichefuchefu asitaje jina la Samia ni kutumbuliwa tu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa anamtetea mfiraji mwenzake viongozi wapenda mavi 😅hii nchi ni ze ikulu comedy inabidi afunguliwe kesi na atumbuliwe ukuu wa mkoa!

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umevaa kanzu ya heshima kumbe ni majanga.Ngozi ngumu kweli,huoni kuwa unatakiwa kujiingiza kwenye matatizo? Kesi mbaya hiyo,muachie Yahaya. X mh..

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe uchaguzi una ongozwa na Maelekezo ya juu siyo katiba

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi ipo!!

  • @ludovickmutalemwa4915
    @ludovickmutalemwa4915 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa maelezo ya mlalamikaji mtendwa akiwa na TLS inastaili huyo mheshimiwa akae pembeni atumbuliwe kabisa ili apishe ivyo vyombo anavyovitaja vifanye kazi yake vzr na Kwa vile Kasi hii ipo mahakamani nafikiri Mama mzazi anafatria ni swara la mda tu yoyote atakaye bainika kashirik Kwa njia yoyote hile achukuliwe atua... Dah viongizi umma jamani turudi na ss Kwa Mungu

  • @MohamedSalum-d4t
    @MohamedSalum-d4t 2 หลายเดือนก่อน

    Mh Rais anaemtetea mhalifu huwa nimshiriki wa kosa tunajua uwongozi wako haupendi kuchafuliwa wasomi wapo marundo watengue

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wafiraji ni wanasiasa ila hii nchi

  • @TzTimes
    @TzTimes 3 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi huru kwa sababu ni maelekezo ya Rais!!!!!. Hilo ni takwa la kikatiba, ni vile viongozi wamekuwa wanakanyaga katiba tu.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mhaya ipo kazi

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi ipo kama alimpeleka ofceni kwake nikosa hilo

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน

    Wana tetea ujinga hawa watu hakuna kesi apo

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 2 หลายเดือนก่อน

    Mtoto huyu mjinga

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 3 หลายเดือนก่อน

    Mfiraji namba 2 samia timua hawa wanakutia aibu

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani huwezi kuamini. Jamaa yuko kwenye kanzu ya kiislamu utadhani ni mtu wa maana kumbe ni mfiraji!!;

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 หลายเดือนก่อน

      Haaa haaaa nakweli asee

    • @HUSSEINALLY-b7f
      @HUSSEINALLY-b7f 3 หลายเดือนก่อน

      Huku ndo kunaitwa kukurupuka.Amekufira wewe? .Hata hujaelewa maudhui inamhusu nani

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 3 หลายเดือนก่อน

    Maerezo ya huyo mwanafunzi ya kutaka kurawitiwa ni yamchongo

  • @yusufurhobi9678
    @yusufurhobi9678 3 หลายเดือนก่อน

    Mtaka amekidhi vigezo vya kutumnuliwa

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 3 หลายเดือนก่อน

      Unaelewa ulichoandika kwel au

    • @godymbanyi1878
      @godymbanyi1878 2 หลายเดือนก่อน

      Edit tafadhali! Usimhusishe huyo uliemuandika hapo

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaojidai niwaislamu wanapenda kufira sana

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 3 หลายเดือนก่อน

    ACHANA NAE HILO KAHABA ANATAFUTA CHAKA LA KUJIFICHIA TU

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน

      Hata makahaba wanahaki zao,,,

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee usishbikie nawe pi yatakukuta

    • @RamadhanMohamedi-j3d
      @RamadhanMohamedi-j3d 3 หลายเดือนก่อน

      Kwamaerezo yake anasema kwanza Alitalia kurawitiwa na mtanda je ilikuaje akaenda kwake tena?