Mwalimu elikana mungu Azdi kukubalika kila siku cjajua nn kilifanya ukwame kwenye huduma yakuimba ila natumaini mungu n mwema amekubaliki sauti yako ukihimba wanyonge wanafarika sana🙏🙏🙏 mim maombi yangu mungu akubariki siku zote mwalimu elikana
Kipindi hicho niko shule ya msingi Segerea mwaka 2006, nilikuwa nasoma na mmoja ya wadada wanaocheza kwenye video hii, aliitwa Elizabeth na ni mtoto wa huyu mzee anayeimbisha huu wimbo
First time I heard this song I was travelling in a matatu. I asked the driver if he knows the title of the song; He didn't know the song. A passenger sitting next to me told me the name of the song is Mungu niokoe. That's how I found this song.
When I listen to this song I feel as at the heaven today,be blessed by this song all as my classmates at kahunda sec school never give up in our life style.
2024 nimeingia na tabata mennonite mungu niokoe tupo wangap gonga like hapa
Tupo site!
tupo wote 2024
Kama unayo niwekee wsap naona boom play hawapo
Mungu wangu niokoe hata huu mwaka 2024..Ameeeen
JAMANI hivi kweli 2023 nipo pekeyangu?
Tupo kaka
Sijawahi kuuchoka Tangia naimba hii kwaya nikiwa mdogo
Wimbo huu umeimba moyoni mwangu wiki yote hii ❤
Hauko pekeako mungu Yuu na wewe
Tupo
Mungu niokoe🥰😇..
Amina Amina
Tunaouangalia huu mlwimbo 2024 like tafadhqli please 🙏
2023 niokoe mimi na uzao wangu we bwana
Mungu niokoe hata huu mwaka 2023
Zaburi 69,utunzi bora kutumia neno la Mungu pekee,hongera sana
Mwalimu elikana mungu Azdi kukubalika kila siku cjajua nn kilifanya ukwame kwenye huduma yakuimba ila natumaini mungu n mwema amekubaliki sauti yako ukihimba wanyonge wanafarika sana🙏🙏🙏 mim maombi yangu mungu akubariki siku zote mwalimu elikana
Hizi kwaya za kutazama so hizi za wakati hizi good gospel❤❤❤
2024 tuko hapa tena.Weka like tukizidi kumwambia Bwana atuokoe
Tunaoiangalia nyimbo hii ndani ya mwaka 2020 tujuwane
2023 Mungu niokoe
Kwa fadhili zako Bwana unijibu. 2024❤❤❤
HATA MIMI FUNDI MAPAA BENI NIPO GAIRO MOROGORO MUNGU AMENIOKOA SANA AMEN NTAKUTUKUZA MILELE
Hawa ndio walikuwa miamba ya injili be blessed
Kweli kabisa,hivi bado wapo???
Sanaaaa yani sio wa sikuhizi hawa
Mungu naomba uniokoe mwaka huu 2024
Mm ni muislam lkn kiukweli hii nyimbo Ina ujumbe mzuri sna mmbarikiwe Wana kwaya wote na wasikilizaji
Hongereni sana mpaka 2021 nyimbo zenu hazichuji!Choir hii bado ipo jamani???
Kwer zikovizul
Wimbo umetulia sana
2021 Mungu niokoe 🙏 Wimbo bora kabisa
MUNGU niokoe 17/4/2020 gonga like apa
H bwanaa 😢 ww ni ngome yangu nipiganie sana sana
Kipindi hicho niko shule ya msingi Segerea mwaka 2006, nilikuwa nasoma na mmoja ya wadada wanaocheza kwenye video hii, aliitwa Elizabeth na ni mtoto wa huyu mzee anayeimbisha huu wimbo
that s master him self the leading vocal elikana
Tupo pamoja
We mungu wangu mtenda miujiza niokoe na haya matatizo majibu mapepo yameweka kambi mwilin mwangu
Mmi 2024 january 25
Kwafadhili zako bwana uniponye,, nakupenda yesu
Wanao kungojea wasiabike eee Bwana ... 2022/2023
Mwalimu wao ni kiboko!! Hakika Mungu amtie moyo. Ameeen.....
Huyu mwl yupo. wapi ,ninamkubali sana!!
Huyu jamaa alikuwa kiboko Cha shetani
Kila goti litapigwa kudhihirisha ukuu wako baba tunaomba utuokoe juu ya janga hili la corona
Menonait tarimr church
Much lov kwa hii kway hope ingekuepooo nakumbuk mbal mnoo
Hapana tpo weng yes kazliw
Mungu awabariki waimbaji kwa ujumbe mzuri saana
Tokea mdogo mbaka leo nazipenda sana nyimbo hizi ❤❤❤ asante mungu
Yaani naipenda sanaa,,bado naiangalia
Uniokoe 4/7/2020 nakupenda yesu nisaidie nisiaibike
Ombi langu nyimbo kama hizi ziwe zinarudiwa ili tupate video zenye HD tuzidi kubarikiwa pia kila tunapo zitazama🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2023 wimbo wangu bora❤❤❤
AMEEN, GOSPEL YA NGUVU SANA NABARIKIWA SANA KWA JINA LA YESU
Napenda Huu wimbo
wangapi 2024 ❤❤❤
Mungu niokoee mwaka 2024
ZAB 69...MUNGU AJITUKUZE DAIMA
Kila nikisikiliza napata faraja mmbarikiwe nyote mnaoisikiliza
nabalikiwa sana
Daa yani unanigusa sana
Sijui wapo wapi Hawa watu WA Mungu Alie hai.😢🙏🙏🙏nyimbo safi sana kweli Cha kale dhahabu kumbeee.dah
Eeh mungu naomba uniokoe na kunikumbuka kupitia wimbo huu
Powerful...more than 10 years and its still touching
AMENI MUNGU AWA BALIKI NYOTE MLIO IMBA NYIMBO HIZI MMEGUSA MOYO WANGU SANA NASEMA ASANTENI SANA 🙏
These songs reminds me long time ago when Iwas young
Ameee bwana
Nawapenda sn
Mungu aendelee kuwatumia
Bwana niokoe niponye amen
Moyo Wangu mmeuponya Mungu awainue zaidi ndungu zanguni
I love you Jesus.. Thanks
Hapana kaka yagu
2024 still singing
MUNGU niokoe maji yamenizidi. 2022 october
Kwa fadhili zako BWANA unijibu
Gog bless
Eeeh MUNGU niokoe maji yamenizid yamefka mpka nafsini mwangu.....nimezama ktk matope yasiyowezekana kusimama oooh
Kwa fadhili zako bwana unijibu 2024🙏
Ujumbe ya kweli
Jamn hawa watu mungu awatangulie kwenye maisha yoa mm wananikumbusha mbal
Amen
Mungu niokoe, Bwana wa majeshi
Uyu mtunzi Wa nyimbo hizi namtafuta Sana jamani
Kama unaweza kunitafuta kwaa namba 0627874846 naomba mtunzi Wa nyimbo tutafutane jamani
Jamni nitumieni number za huyu mwalimu 0755533904 number yangu
Wasonga upo wapi?
First time I heard this song I was travelling in a matatu. I asked the driver if he knows the title of the song; He didn't know the song. A passenger sitting next to me told me the name of the song is Mungu niokoe. That's how I found this song.
2023go to 2024 tupo pamoja
Mungu niokoe na haya majaribu ya wanadamu
Kwafadhiri zako uniponye na unijibu e yesu
When I listen to this song I feel as at the heaven today,be blessed by this song all as my classmates at kahunda sec school never give up in our life style.
Kolimba
Kuku l
Jmn endeleeni kuimba inanoga amen..
🙏🙏
2024 niokoe Mungu wangu
Mungu utaokoe
2022
I love this song❤🙏
Napenda sana izi nyimbo balikiweni sana 🙏🙏
May God's word last in His people
Mungu nioke
Mbalikiwe wimbo mzuri sana unagusa moyo wangu na sema Amina🙏
Ama kweli hazichuji kabisa miaka mingi lakini tunazielewa vilivyo
Mungu awabariki sana
Mungu awabaliki Sana hawa watumishi
Very wonderful
Bwana niokoe Ameen
❤
Naupenda huu wimbo,mbarikiwe 🙏
Wimbo mzuri sna mmbarikiwe sna
2023 still blessed❤❤
Huu wimbo ninapojaribu kuuwimba natokwa na machozi
Aminaa
Mubarikiwe na Bwana Yesu.
Awaongeze nguvu za kumutumikia.
Beautiful song
MUNGU awabariki sana
Yeesssuuuuu
Ameen
Amina mungu awabaliki sana
Powerful voice
This choirs are so wonderful
Apologies sawa
Amen be blessed thank
Amen amen