Merci pour cette grâce, et rappelez-vous qu'en 1962, Jnohon Keneddy nous disait que l'art du pays n'est pas de la propagande, mais une vérité et un héritage, quel que soit le pays. est le pays qu'il y a sur cette planète ! À nous tous et courage à ces étudiants
We mwalimu nd kwanza umeanza lufundisha leo hat kuwauliza wanfunz wko wameishia mada gani sehem gani we waja anza na topic yko ya logarithms sjui hko apo unatulisha matango baba Joan sema fureshi tutaelewa tu mdogo mdogo
Aiseee hujamaa ni mbunifu sana muigizaji vizur sana Allah ampe elmu ya dunia na akhera pia na amjaalie mwisho mwema
Mbna anayeimba kama ana bonge la kipaji aisee em aangaliwe sana ,🔥🔥🎙️
Walimu kama hao ni matatizo❤❤❤😂🎉
Dah ni shi da
❤❤❤❤❤😂🎉🎉
wooooowww this boy is quiet cool in singing,,I think he has something in his mind kando na masomo..may God help him and others too.. congratulations
Dogo anakipaji kikubwa chakuimba wekeni mtaji kwahuyo dogo✌️🙏💪🔥🔥🔥
Mwalimu mgeni umekubalika kitaani sana mwamba hongera kaka unajua
💥💥💥 Dogo katsha Sanaa....Anajua kuimbaa....kafunika woteeee Yan 💥💥💥
Duuh kwery noma ao wanafunzi
jomn nianaimba kwa hisia sana
jomn anajua very nice
Uko vzr ktk kufundisha unaanza kupasha ubongo wawa nafunzi
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Ata mm kwa upande wangi nimeipenda hiyo, mwalimu
Mjomba wake kalobo huyoooo maua Yako pokea🎉🎉🎉
Mwalimu mgeni tunakupo hesima kwa kufundisha wanafunzi ziema sana mungu awe na wewe
Mwarimu muzur sana huo kibong anamuonea wivu kwasababu anafundisha vizuri
Ume focus vizuri San mwalim wa math wange kua ivo wote walim hatilisti hige kua vieema San..!!!
BN(MANAGER ASKA,U S.
Duh 🙄 kijana huyu apewe Maua yake 💐🌹💐🌹 kabisa yani ni anajua Kuimba 👌 Hongera sana kijana
🌹🌹🌹🌹🌹
❤❤kijana mgeni aimba vizuri sana aiseee🎉🎉🎉🎉
Huyo mwalimu bonge namfananisha na mwl wangu mwl Magesa
Wew km mm n wap ulisom❤
Ndo huyohuyo alifundisha miburani secondary school pale sudani
Uongo😊
Woow dogo katisha jamn he know to sing
❤❤❤❤❤mashallh kijana anaimba vizuri
Wapumbafu mnadhalilisha waalim mwakim gan anavaa kichangudoa
Wow!!!! Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏 msaniii wetu
🎉salut🎉 dogo anajua kuimba mashaalah❤
Sijui kwanini nilichelewa kufuatilia hii kitu , huyu jamaa sio mwalimu kabixa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂 tabia ya huyu mwalim kibonge inafrahisha sana
Hahahahaha mwalimu Makingi umetisha sanaaaa
Walim kam haw 👌
Kipalaaa anadayii mwalimu mchawiiii 👍
Achana na kingeleza Ina wenyewe😂😂
❤❤❤❤❤Nimependa kwel kijana umewezaa unaimba vizur kw kwel ❤❤❤❤❤❤❤
Mhhhhh ofcorse
Mwalimu mgeni upo cool sana,,,,sema hesabu unatudanganya😂😂😂💔💔💔
uyu mkaka aliyeimba nampennda sana anakipaji kizuri sana ilove
Huyo upara du kanikumbusha mbali kwa teacher wang wa sekondar mabara🎉🎉🎉
Khaa uyuu mbaba anajua kuwa muogo maaah sijapata ona ila mwalimu mgeni hongera zako Ticha ❤❤❤❤
😂😂
mwalimu hajui english❤🎉🎉
😂😂😂
Tcha nakukubali sana mgeni
Uyo mwalimu anamakalio sana naweza benda anifunze miye nione île makalio namupenda sana
Ekis
Wewe kijana, umetisha sana mwalimu wa biology na chemistry unawadangaya watoto aisee
kabisa huku english ugonjwa
Pole sana mwalim hats Hulu kwetu wapoo
Huyu hata ukiacha na kuigza huyu anakipaji🎉🎉
Uyo ana Talent mpelekeni studio
Kabisaa 😂😂😂hata kushinda wetu pozee❤❤❤😂😂😂
Hii ni nzuri sana. Wasanii bunini vitu vyenye manufaa kuigiza na kuelimisha jamii sio kukalia mapenzi tu. Asante.
Upo vizuri kijana
Noma. Sana iyo shule duuh🎉
😂😂😂 mwanafunzi ni kichaa😅😅
Wanafunz wa sk hiz nao balaa sana
Wow kijana anaimba vizur kweli❤❤
Anakipaji uyo dogo mpelekeni wasafi bongo club🎉🎉
Hongera mwalim mgen
❤❤❤❤❤ Good
Uyu sir magesa uyuu kibongee 🤣🤣
Huyu mwalimu cheusi anawivu 😂😂❤
Mwibaji anaitaji support
😂. Kingereza c Yako jameni
Merci pour cette grâce, et rappelez-vous qu'en 1962, Jnohon Keneddy nous disait que l'art du pays n'est pas de la propagande, mais une vérité et un héritage, quel que soit le pays. est le pays qu'il y a sur cette planète ! À nous tous et courage à ces étudiants
Asante
Wivu mbaya jamani, roho mbaya haijengi💔💔💔
Amejichubua sana huyu mwanadada😅
Kongore wakuu❤️💕
Asante
Wachezaji wazuri sana
Kzmzr🎉🎉
We mwalimu nd kwanza umeanza lufundisha leo hat kuwauliza wanfunz wko wameishia mada gani sehem gani we waja anza na topic yko ya logarithms sjui hko apo unatulisha matango baba Joan sema fureshi tutaelewa tu mdogo mdogo
Hahhhhh😅😅😅
Waaaah Noma xana aky😂😂😂😂
Kizungu babu wachana nacho kabisa 😅🙌🏻
Jaman mwalim cheusi anawivu mbaya
Huyu mwalimu mwenyewe anakaa Tu mchawi 😂😂😂
Anajuwa sana kuimba
Uyo,msichana,apunguze,uhuni
Anajuwa.kufundisha.sana
Ukweli dogo anaweze bnafis nmependa alicho nacho
Anafanan na tin white uyu mwalmu mgen
Amersham bana waaah
😂😂😂😂😂uyu mwalimu so kwa majina hayo
Wanaakilisanawalimwaivommnizombe👠👗👓💏
Thadeo mwananguu from kitweee
Kigoma😂
Uyu mwarimu ni pumbafu
Bigger up sana
Sema Nini 😂😂Mwalimu Cheusi ana wivu sana😂😂
Kicheche
bs
Banking on the 📱 and
😂😂😂😂
Kuimba anaweza
Mwalimu mgeni ana muandiko mzuriii❤❤
Oya muimbaji yuko vizur anajua
Toanyingine❤❤❤❤❤❤❤😮🎉🎉🎉🎉🎉
Anae imba msimuache mpeni saport
Yan kwawimbo huu uyo aliemxhobokeamwalimu anger uwa na ufahamu angebadilika
Noma dogo anamzidi mondi
Iinimeipenda😂e😂❤😊
Ngoma kali
So talented boy❤❤😊
Dingi anamwqga fitina kila kona 😂😂😂 kumchafua mwalimu mwenzake
Baba Joan kwann usbadilishe hata maudhui ya Kaz yako isiwe kila SKU ni Mambo ya shule tu badili na vtu vingn utafka mbl zaid
That right
Umetishaaa sanaaa 4:53
Kuzingatiaringi😂😂😂😂😂
Jamani wivu uongo siyo sawa jaman
Ni nzuri Sana.....kazi njema💖💖💖💖💖
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mwl mweusi kama lami mnafiki kama nini🤣🤣🤣🤣🤣
anajua san
Uyu mwanafunz ajitambuhii😂😂😂😂😂
Mwalimu cheusi anawivu sana
Kweli
Kazi nzuri sana
Nom san nakubal kazi zqkoo😢😅😅😅😅
Huu nd ualimu unao takiwa na sio kuanza kutaman wanafunz mnawaludisha nyuma
daaaah
Jamani muenderezo