MWALIMU MGENI ❤️ |02|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 320

  • @mgazahabibu1596
    @mgazahabibu1596 ปีที่แล้ว +13

    Uyu jamaa mweusi alitakiwa acheze uhusika wa jambazi angependeza sana

  • @jumaseif-hv7dc
    @jumaseif-hv7dc ปีที่แล้ว +7

    Mkaka anakipaji chakuimba uyo aseeh ashikwe mkono❤

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 ปีที่แล้ว +19

    Huyu kijana mweusi ni upcoming harmonize anaimba vizuri sanaaaa

  • @samwelmagodi753
    @samwelmagodi753 ปีที่แล้ว +20

    Sk zote ukiwa na wivu huwez toboa ndio maana mwl mgen wanafunzi wamefaulu coz hana wivu na ana utu congrats to himu chibonge punguza wivu

    • @NitaFroian
      @NitaFroian ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣

    • @samwelmagodi753
      @samwelmagodi753 ปีที่แล้ว +1

      @@NitaFroian ndio hivyo uhalisia wa mambo yalivyo watu wenye roho nzr ndio hufanikiwa zaidi ktk maisha lakn mtu mwenye wivu hata akifanikiwa bado ataishia kubaya coz inawezekana hata alicho nacho sio sahihi kwake

    • @winfridarebecca6246
      @winfridarebecca6246 ปีที่แล้ว

      Afu chibonge alimuuwa mwlm mgen

    • @NataliaK417
      @NataliaK417 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@winfridarebecca6246 we nawe kwanini utuharibie?

    • @PraygodMrero
      @PraygodMrero 2 หลายเดือนก่อน

      Coz maana yake nini

  • @user-Andrleayohana
    @user-Andrleayohana ปีที่แล้ว +11

    Ila huyo dada kiukwel kaimba vizur so amazing ❤❤❤❤

  • @Michel-r7q
    @Michel-r7q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Movie za bien sana nawafata sana nikiwa south africa munajuwa sana ku cheza movie mwendeleshe tuwe na fata kbx napenda sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @muhamedimdoe
    @muhamedimdoe ปีที่แล้ว +5

    Jmn hii movie ni nzuri kweli yaani sehemu ya tatu lini inatok

  • @LucyMwangi-n1l
    @LucyMwangi-n1l ปีที่แล้ว +2

    Usimwekelee sisi tumekuona haaalllooo Babu wee ila naipenda❤❤❤💪🙌🙌🙌

  • @NasriKurzawa-nt1bl
    @NasriKurzawa-nt1bl ปีที่แล้ว +15

    Nimefurahi kuona shule yangu ya saku na na ticha wangu magesa🥰🥰🥰🥰

  • @mazikumange9130
    @mazikumange9130 ปีที่แล้ว +2

    Daah oyaa watu syo wazuri hatuambian mambo ya moto kama hayaa daah! Kali sana bro content imetulia

  • @MunyaoJulius
    @MunyaoJulius ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂Mwalimu mweusi ana mivu kweli😅😅😅😅

  • @mathewmlala6290
    @mathewmlala6290 ปีที่แล้ว +8

    Nimependa sana kipaji Cha huyo kijana aliowimba

  • @Samirmarlovemustapha-kk9wo
    @Samirmarlovemustapha-kk9wo ปีที่แล้ว +21

    jamani kama munamukubali baba Joan gonga liké ❤❤

  • @athumanijabilimauya5117
    @athumanijabilimauya5117 ปีที่แล้ว +6

    Duuuu waalimu wanawalamb watoto 😂😂😂😂😂😂😂

  • @TinaMkojelwa
    @TinaMkojelwa ปีที่แล้ว +3

    uyo mwalim anafundixha vzuri San walimu ote wanae tazama wajifuze

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah ❤❤❤❤❤❤ utunzi wa hadithi yupoa sana

  • @umarmataka1857
    @umarmataka1857 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu mweusi noma sana.Big up kutoka Lilongwe

  • @HajiKitego
    @HajiKitego ปีที่แล้ว +12

    Mwalimu uko vizuri kwa kuibua vipaji vya watoto

  • @MaryNyakowa
    @MaryNyakowa 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera 🎉🎉🎉 mwalimu. Mungu akuzidishie, moyo.

  • @ramadhanmbwana2603
    @ramadhanmbwana2603 ปีที่แล้ว +3

    Bro upo vizuri kwa kuimba. Mungu akufungulie nyota yako Insha'Allah

  • @AbasiNgande-w8p
    @AbasiNgande-w8p ปีที่แล้ว +3

    Nyie mbna mlikua hamsemi kama Kuna hii dude🎉🎉🎉🎉

    • @BabaJoani
      @BabaJoani  ปีที่แล้ว +2

      Karibu sana tuko pamoja

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 ปีที่แล้ว

      ​@@BabaJoani
      Kuna vipaji vingi kweli Mwisho wa Reli, Nakukubali sana Homeboy wangu.
      Imana igufashe chane🤝🙏

  • @MargretMakori
    @MargretMakori ปีที่แล้ว +12

    Laah Hawa wanafunzi warembo dash..❤

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 ปีที่แล้ว

      Nilitaka mtu Aseme 😅

    • @JovitaShauri
      @JovitaShauri 8 หลายเดือนก่อน

      Jmn huyu mmkaka ana kipajiiii kweliiii

    • @gabrielondabu5596
      @gabrielondabu5596 8 หลายเดือนก่อน

      ❤❤🎉😅​@@jamesmboneko2952

    • @gabrielondabu5596
      @gabrielondabu5596 8 หลายเดือนก่อน

      ​@Joviabigael
      Abigael
      taShauri

  • @benybenrique1224
    @benybenrique1224 ปีที่แล้ว +3

    Aloo hakika mmefanya mapinduzi katka tasnia hii keep it up

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 ปีที่แล้ว +11

    Mwalimu mashallah amejaliwa ana neema za allah ndio mahana wanafunzi wamechanganyikiwa.❤❤❤😂😂

  • @sylvanjosam3402
    @sylvanjosam3402 ปีที่แล้ว +10

    Mwalimu mweusi Mungu amulaze mahari pema peponi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @IsayaMtanda
    @IsayaMtanda ปีที่แล้ว +5

    Tunahitaji film zenye maudhui kama hivi ,proud of our talents of our own

  • @jeanettenashoni
    @jeanettenashoni ปีที่แล้ว +3

    Dogo ameimba vizuri saaana, Mungu amuinue

  • @mayawangui4353
    @mayawangui4353 ปีที่แล้ว +6

    He is very talented in singing 🎤 ❤❤❤❤I like his songs 😊😊

  • @proffesionalshublimited
    @proffesionalshublimited ปีที่แล้ว +6

    🎉🎉🎉 Kazi nzuri sana

    • @LiangGirle
      @LiangGirle ปีที่แล้ว

      Mwangalieni huyo kijana anakipaji

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia4603 ปีที่แล้ว +4

    Kazi safii .. kipaji Cha uimbaji kiko toop

  • @christinabenjamin6082
    @christinabenjamin6082 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwl mgen
    Huy mweny wivu ndo mchawi

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge ปีที่แล้ว +31

    Jamani Mwalimu Cheusi 😂😂ana wivu sana kweli😂 wanaongea wakicheka lakini Mwalimu mwenzake akifika kagunja sura😂😂

  • @JumaAbdallah-js4br
    @JumaAbdallah-js4br ปีที่แล้ว +10

    Dah! Uyu dogo Nyimbo Yake imeniliza asee😭😭

  • @rahuiyaswalehe2202
    @rahuiyaswalehe2202 8 หลายเดือนก่อน

    Jmn nimetoke a kumpend♥️❤️❣️💕💖

  • @ElizaMasai
    @ElizaMasai 29 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu mgeni Ako sawa xna shikilia hapo mwalimu

  • @BethMkweta
    @BethMkweta ปีที่แล้ว +2

    Mmmh huyu mwalimu cheusi ana balaa jomon wivu sio mzr

  • @EmilyKhaoya-tc2dd
    @EmilyKhaoya-tc2dd 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa amebarikiwa na kipaji🎉😊

  • @HepnessDaniel
    @HepnessDaniel ปีที่แล้ว +1

    Kunawatu wanalooho mbaya jaman huyu mwalim Cheus anakela❤

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 9 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mkuu anaonekana kuwa na BUSARA ya hali ya juu sana

  • @YoungsHilary-xd2ml
    @YoungsHilary-xd2ml ปีที่แล้ว +2

    Hongereni jaman ujumbe mzur

  • @FaridaYohanaSindoya
    @FaridaYohanaSindoya ปีที่แล้ว

    Jaman patronize hongera zake kwa kpaj

  • @FaridaYohanaSindoya
    @FaridaYohanaSindoya ปีที่แล้ว +1

    Jaman mgesa aaache roho mbaya na wiv

  • @MuhsiniOmari
    @MuhsiniOmari ปีที่แล้ว +3

    Nakuona mwalim magesa from miburani secondary enzi hizo ❤

  • @RajavuOmarion
    @RajavuOmarion ปีที่แล้ว

    hongera kk babajoan una vi2 vizur mno

  • @yusufmbaga-b9e
    @yusufmbaga-b9e ปีที่แล้ว +2

    Sema huy mwalm cheusi ana roho mbaya jmn

    • @BabaJoani
      @BabaJoani  ปีที่แล้ว

      Nikuigiza usimchukie

  • @JanetLoko-q6u
    @JanetLoko-q6u ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu mweusi kitabi wivu xana kweda uko Dio maana somo yko inaguka ju y wivu yko

  • @exaverymakoye6026
    @exaverymakoye6026 ปีที่แล้ว +1

    inafundisha sana Hasa watu wenye wivu huwa hawafanikiwi ata kidogo

  • @emmanuelbusuti8800
    @emmanuelbusuti8800 ปีที่แล้ว +3

    Badilikeni tabia jamani uvaaji wa namna hii haufahi 😢

  • @MosesKisa
    @MosesKisa 3 หลายเดือนก่อน

    Pure message from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 twapenda filamu ,still watching

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 ปีที่แล้ว +4

    Muvi nzuri
    ❤🇹🇿

  • @zamratallly4191
    @zamratallly4191 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae mwalimu wa mathe amekubali kama utafika mbali kijana 😂😂😂😂

  • @NeemaCyprian
    @NeemaCyprian ปีที่แล้ว +1

    Umetisha kijana penda saana

  • @DeborahAlypipi
    @DeborahAlypipi ปีที่แล้ว

    shule yng iyo xafi xan mwalimu magesa

  • @noormoammed3116
    @noormoammed3116 ปีที่แล้ว +2

    Cheusi mnafik

  • @noorakoom1687
    @noorakoom1687 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂mwalimu mweusi ana wivu

  • @NyandutozzyMwambapa-qq1ql
    @NyandutozzyMwambapa-qq1ql 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yani huyu mwalimu mgeni anapigwa vita kwer kwr duu

  • @ChrisAndres-tm5kh
    @ChrisAndres-tm5kh ปีที่แล้ว +5

    That's Awesome Guys I Can See How Serious You Are!!!!! Chris Andres From Malawi Is Pleased With You Guys,Keep It Up

  • @AlexEvord-kx8hu
    @AlexEvord-kx8hu ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwalimu anavutia atamm mwenyew nimemkubali

  • @JeremiahNurbeth-bk8kk
    @JeremiahNurbeth-bk8kk ปีที่แล้ว +5

    Hahahahahaha well done

  • @ESTAPIUS-jc5qz
    @ESTAPIUS-jc5qz ปีที่แล้ว +3

    Welll done my young good talent

  • @AbdallahMtulya
    @AbdallahMtulya 8 หลายเดือนก่อน

    Kongoreeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ aseeee chukua mauwa yako

  • @jacobmbaru7909
    @jacobmbaru7909 ปีที่แล้ว +2

    muv nzur sana hii

  • @elenestemagesa2623
    @elenestemagesa2623 ปีที่แล้ว +3

    Jaman mnajua sana

  • @HILDAMCHUZA-xq5ke
    @HILDAMCHUZA-xq5ke ปีที่แล้ว +2

    Unajua kuimba kinoumaaaa

  • @CatherineGodfrey-h9r
    @CatherineGodfrey-h9r ปีที่แล้ว +4

    ❤ shule ya unaondoka yupo umepatika mengi kusamama baadey siku yatengemea

  • @SaidiFondo-h6c
    @SaidiFondo-h6c ปีที่แล้ว +1

    acha wivu utakufa wewe bonge😝😝😝

  • @lachellaphael9468
    @lachellaphael9468 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh ila cheusi na mwalimu wa jilani sijapenda jamani

  • @Rehemamwamumbo-si6ur
    @Rehemamwamumbo-si6ur ปีที่แล้ว

    Wanafunzi wanafeli hata mm tufeli daah😂😂😂

  • @shamilakanik7357
    @shamilakanik7357 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤲

  • @robinKigs254
    @robinKigs254 ปีที่แล้ว +1

    Am.the comedian... Nafazi upo

  • @josephatoireremeraba131
    @josephatoireremeraba131 ปีที่แล้ว

    Mwalimu mgeni is the best 👌

  • @Salimjumaamnazi
    @Salimjumaamnazi ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mwalimu

  • @lovenessayubu5655
    @lovenessayubu5655 ปีที่แล้ว +3

    Good job my broo

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu, mimi ni mwalimu Thank you.

  • @EstherWanjiru-d6s
    @EstherWanjiru-d6s ปีที่แล้ว +3

    Waauh!Wana talenti kiukweli wanaenda mbali in Jesus name.Habbakuk 1:5

  • @MaendaEca-pz7lq
    @MaendaEca-pz7lq ปีที่แล้ว +4

    Mna jitahidi sana

  • @RonaldSamson-i1q
    @RonaldSamson-i1q 11 หลายเดือนก่อน

    Leo mwalim wa mathe kasem utafik mbali nan kasikia😂😂😂😂

  • @MwaniPh
    @MwaniPh ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri

  • @kapesatv5566
    @kapesatv5566 ปีที่แล้ว +2

    Bhileke bhigende bilozo asee baba Joni huyu dogo anaweza kuimba nampataje

  • @BenedictYanga-ix7gg
    @BenedictYanga-ix7gg ปีที่แล้ว +2

    Safi kazi nzuri

  • @AwadhMkoloni
    @AwadhMkoloni 8 หลายเดือนก่อน

    Hilo para jeusi senge Qmmmk Hadi nimelichukia na para lake japo nd movie

  • @DorkasAsha-ok8hj
    @DorkasAsha-ok8hj ปีที่แล้ว

    Jamani mwalimu mgeni unaweza sana

  • @msesejrraphaely9629
    @msesejrraphaely9629 11 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sanahiii❤❤❤❤

  • @lehayaabed7469
    @lehayaabed7469 ปีที่แล้ว +1

    Dogo mweus ww nimsanii hatar sana badae

  • @freemancomedyandentertainm3599
    @freemancomedyandentertainm3599 ปีที่แล้ว

    Waaah! vipaji kweli...nmependa

  • @Fatherjaybadmaan
    @Fatherjaybadmaan ปีที่แล้ว +2

    Huyo dogo kaimba vizuri

  • @MaryNyakowa
    @MaryNyakowa 9 หลายเดือนก่อน

    Wivu mbaya wanadamu 2tumuone 2 mungu, siku zone.

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 ปีที่แล้ว +2

    Cheusi mmm

  • @FilbertPeter-jy1kd
    @FilbertPeter-jy1kd ปีที่แล้ว +2

    Mko vizuli sana

  • @MonicaNicodemo-e7t
    @MonicaNicodemo-e7t 5 หลายเดือนก่อน

    huyo mvulana ana sauti nyororo👏

  • @HajaraAlly-f1v
    @HajaraAlly-f1v 4 หลายเดือนก่อน

    Daah huyu si big jamaan😂😂😂

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 ปีที่แล้ว +2

    Cheus bonge utaumbuka tu😂😂

  • @muhozastanslaus8402
    @muhozastanslaus8402 ปีที่แล้ว +3

    Baba Joan nakuomba leo Leta part 3

    • @BabaJoani
      @BabaJoani  ปีที่แล้ว +1

      Leo saa tisa naachia namba tatu

    • @CatherineGodfrey-h9r
      @CatherineGodfrey-h9r ปีที่แล้ว

      🎉🎉 mwambie je natakiwa hivyo tu pia umepatika mwalim ya wote kutengemea kwako hyo bwana

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 ปีที่แล้ว +1

    cheusi mangala nini lakin🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DanielMwilawa-ke8re
    @DanielMwilawa-ke8re ปีที่แล้ว +1

    mwalimu kibonge ana Romo mbaya

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 ปีที่แล้ว +2

    Nimeielewa hio wanafunzi wa feri na sisi pia tuferi 😂😂

  • @aylabeachhouse7717
    @aylabeachhouse7717 ปีที่แล้ว

    mwalimu mgeni umetisha nakupa maua yako

  • @kiswaswadu2132
    @kiswaswadu2132 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂nzuri ❤❤

  • @essaumedson5664
    @essaumedson5664 ปีที่แล้ว +2

    Muvi Kali sana

  • @sagendajames5054
    @sagendajames5054 ปีที่แล้ว +1

    Wanafunzi wanafer na sisi tufer😂😂😂