CHEKECHE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2024
- CHEKECHE | Mvutano wa Marekani na Israel juu ya Gaza
Gaza bado imeendelea kuwa gumzo katika siasa za kimataifa wakati huu Israel ikishikilia msimamo wa kushambulia eneo la Rafah huku ikikutana na kipingamizi kutoka jumuiya ya kimataifa akiwemo swahiba wake Marekani, hali ambayo inawafanya wengine kujiuliza, kulikoni?
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi
Rabi Uko vizuri Sana Kwa uchambuzi
Leo mm nimewahi mapema like zangu jamn 💪💪💪
Rabi anaongea facts
Huu utaratibu wa nchi zote ndio alafu moja tu inakuja inapinga uhu ni ujinga wakupitiliza
Vita wanaoangamia niwatoto nakinamama mungu walinde watu wagaza😭😭😭😭
pw
Niatari kabisa
Siasa ni mchezo mchafu
Mbona Mnachekewa kutuletea hizi habar
Kwani veto kwa veto haziwezi kuamua
FARAO ALIWACHUKIA ISRAEL, AKAJA HITLER, WAKAFATA WAZUNGU WENGI, AFU MKAJA NYIE, god bless israel❤️
Zama zimebadilika hizi ni zama za technology, propaganda za Kizayuni zinazidikufichuka kila ssiku , kwani unadhani Hyo Israel unayoijua ww ndio hii ?
Israel mashoga
Wakwanza leo tuko pamoja