NENO LA KALVARI : AMBWENE MWASONGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 751

  • @boazdanken
    @boazdanken 3 ปีที่แล้ว +135

    Ninaibariki Sana Kazi ya Msalaba Ubalikiwe sana Kaka Yangu Ambwene Wewe ni Baraka Sana nchini kwetu Tanzania

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 ปีที่แล้ว +110

    Wakat waimbaji wengi wa GOSPEL wanaburudisha kupitia nyimbo zao,, THIS GUY IS PREACHING THROUGH HIS HEART TOUCHING SONGS.... Mungu akutunze sana

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu tunashukuru kwaajil ya Mtumishi wako Ambwene unaemtumia kwa njia ya nyimbo za kututafakarisha UKUU wako juu yetu yoyote atakaesikiliza huu wimbo mjaalie Moyo mnyenyekevu wa IBADA mbele zako wakati wote semezana nasi ndani ya Mioyo yote Libarikiwe jina lako milele na milele. Wimbo ukavuke katika viwango vya kutajariwa na Ukainue nafsi za waliovunjika moyo Tunakushukuru maana Umekuwa nasi kwa kipind chote asante kwa Kutuvusha katika vipind mbalimbali. 👏 #MOYOwaIBADA

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 3 ปีที่แล้ว +166

    Kama umebarikiwa na wimbo huu Kama Mimi sema Amen

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 3 ปีที่แล้ว +34

    Oooh!! Wimbo umeniliza 😰 wimbo huu umenibariki Sana na naimani itakuwa Faraja kwa watu wengi Sana Asante Kaka Ambwene nimeusubiri Sana huu wimbo🙏🙏🙏

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 3 ปีที่แล้ว +22

    Barikiwa saana Kaka mkubwa kwa nyimbo nzuri nimeisubiri mno toka saa nane mchana naamini huu wimbo utafanyika baraka kwa wengi@Ambwene obadia Mwasongwe 🙏🏻

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 3 ปีที่แล้ว +16

    Pale mdomo wangu unaposhindwa kuomba nasikiliza huu wimbo😭😭😭😭😭nina imani Mungu anausikikiza moyo wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @evelynwangai9385
    @evelynwangai9385 3 ปีที่แล้ว +44

    😭😭😭Asante Yesu,, Umekuwa wa Kutosha Yesu. Sitakuuliza maswali wala 🙏🙏.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +4

    Hizi ndizo nyimbo za injili hakuna udunia hata kidogo Yesu Kristo mbaliki Abwene kwa kazi hii nzuri anayokufanyia.

  • @adamsdaud9268
    @adamsdaud9268 3 ปีที่แล้ว +46

    Mungu nitende kitu kinacho onekana 2021 kupitia nyimbo hii...

  • @peraziamagesa5418
    @peraziamagesa5418 3 ปีที่แล้ว +30

    Roho ikifa ndani yangu, nikabaki Na mwili wa nyama, nitasubiri Neema yako kisha nitazaliwa upya 🙌🏽

  • @DrIpyana
    @DrIpyana 3 ปีที่แล้ว +34

    Enaa Enaa Enaa

  • @dianadaudi5535
    @dianadaudi5535 3 ปีที่แล้ว +7

    Nani yupo na mimi hapa leo wimbo huu umenibariki sana😙all the way from Uganda

  • @victoriajames6637
    @victoriajames6637 3 ปีที่แล้ว +4

    Naliaaa nikisikiliza wimbo huu nakumbuka mbali Yesu amenitoa na hapa nilipo na bado yuko nami hakika nakupenda Yesu rafiki angu wa kweli hata ndgu akiniacha angujha na nungwe hallelujah linga nakupalagha natighi jhougwe Mwajesu.....Kaka Ambwene Mungu akutunze

  • @daudmatane8892
    @daudmatane8892 3 ปีที่แล้ว +110

    Kama uasoma comert huku unaangalia wimbo tujuane kwa like !!

  • @StevenMunugwa
    @StevenMunugwa 3 ปีที่แล้ว +7

    Hakika WIMBO huu unagusa MOYO. Hongera mtumishi wa MUNGU . Ashukuliwe Mungu AMBAYE bado kajisazia manabii wa kweli katikati ya KIZAZI HIKI.

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 3 ปีที่แล้ว +9

    Hii nyimbo inanipa kufikiri mengi sanaa, kwan Inakuaje mtu anaandika maneno kama haya by his own
    Brother Bwana akutunze sana, nimebarikiwa sana🙏😊

  • @sophylinemwamboga7877
    @sophylinemwamboga7877 3 ปีที่แล้ว +17

    This song has heal my heart after losing my 32 year young brother through heart attack... He slept and never to wake up again. He is walking on the golden streets of heaven. God strengthen me. My morning Glory song. God bless you my brother. Your are a great vessel in the hands of God. From Kenya

  • @neemahamza1386
    @neemahamza1386 3 ปีที่แล้ว +2

    Oh sir God help us 2021 maji yakimwagika yasizoleke Tena nitakufata wewe uwezaye yazoa...upepo ukinivumia na nikabaki Sina kitu nitakukimbilia wewe alpha and Omega wewe uwezaye kuushika kwa konzi,..,.......oh my soul praise the Lord asante Kaka ......,..umenivusha sehemu......🙏nalibariki jina lako Yesu wewe uliye mtoshelevu....,..nalitoka kwa mama Sina kitu ....oh Yesu nitete/tutetee.

  • @RyaiNews
    @RyaiNews 3 ปีที่แล้ว +9

    Nahisi kuwa Uweponi mwa Bwana wimbo huu ukigonga ngoma za masikio na kupenya nafsini mwangu! Si wimbo wa Ambwene Mwasongwe huu! Huyu ni Roho Mtakatafu ananena na Wenyeji wa Dunia akiwakumbusha Mungu Aliye Hai. Barikiwa sana Mtumishi wa Baba

    • @alinanusweanyelwisye4682
      @alinanusweanyelwisye4682 3 ปีที่แล้ว

      Barikiwa mtumishi kwa wimbo huu

    • @justineriziki8835
      @justineriziki8835 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa. Asante Roho mtakatifu kwakunitembeleya leo.asante Yesu kwa kazi ya kalvari amen

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 3 ปีที่แล้ว +32

    Huu ni wimbo wangu...God bless you kaka

  • @gabbyomary5918
    @gabbyomary5918 3 ปีที่แล้ว +28

    nilikauwaa naisubili tokaasubuiiiiii team mwasongweee

  • @angolileasifiwe3920
    @angolileasifiwe3920 3 ปีที่แล้ว +13

    Nimekesha hapa , 🙏🙏
    Mma kwimba gwe nyankyusa ugwe mwee !
    Umebarikiwa , umebarikiwa kaka yangu .....Nitavuka na huu wimbo ...
    Asante kwa kunifanyia Daraja la kwendea 2021🙏

  • @gladnesssidiu4922
    @gladnesssidiu4922 3 ปีที่แล้ว +2

    Bwana nipitishe na mimi pia kwenye machozi haya nami nipate amani....nakutumainia wew toka kuzaliwa kwangu usiache niaibike plz Lord

  • @joelnanauka
    @joelnanauka 3 ปีที่แล้ว +18

    Mungu akubariki sana mtumishi🙏🏻

  • @debbykibona3813
    @debbykibona3813 3 ปีที่แล้ว +25

    Linga kwisa Gwendepo pamyangu Jesu gwe mmanyani gwangu 🙌🏽🙌🏽

  • @cralajackson8309
    @cralajackson8309 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kuchoka kuskiliza nyimbo zako. Barikiwa

  • @jagel9966
    @jagel9966 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi kwa wimbo nzuri.ambao anatutia nguvu neno la mlasaba

  • @katekoeddah6606
    @katekoeddah6606 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu,Nisaidie, kweli nimechoka kulia, nifanyie kitu cha tofauti 2021 kupitia wimbo huu, usinipite Bwana,Nakulilia Bwana umebaki peke yako.

  • @elizabethhange9638
    @elizabethhange9638 3 ปีที่แล้ว +23

    This is so powerful. Mungu anatuponya kupitia wimbo huu. Mungu alibariki Sana Mtumishi Ambwene

  • @mathayomkumbuchile1569
    @mathayomkumbuchile1569 3 ปีที่แล้ว +7

    I can't get the most of it kaka Ambwene. Ninapita katika mapito magumu sana kwa miaka saba sasa. Siku nilipoupata huu wimbo niliacha kuandika research yangu nikausikiliza nikabubujikwa na machozi mwisho nikasema lipo tumaini, na ni wimbo wangu wa kupokelea simu. Ubarikiwe sana mtumishi.

  • @hermanmakundi8792
    @hermanmakundi8792 3 ปีที่แล้ว +10

    Powerful song, aina ya tofauti na ya kipekee ya uimbaji, no one can copy ur style. Blessed 🙏😇

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana kupitia nyimbozako zote Mungu wambinguni akutunze mtumishi

  • @fikirinyanda6805
    @fikirinyanda6805 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni wimbo mzuri Sana mtumishi asante kwa kuendelea kutupa faraja kupitia nyimbo zako

  • @luganoemmanuel2780
    @luganoemmanuel2780 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akutunze wimbo huu nauona umeba USHINDI MKUBWA kutuvusha mwaka kwa USHINDI mwaka 2021

  • @pendigogo3448
    @pendigogo3448 3 ปีที่แล้ว +2

    Hujawah acha kunibariki kwa nyimbo zako mtumishi, Mungu akuinue zaidi.

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 ปีที่แล้ว +24

    Abwene I am Anne from kenya and my question is what were you going through when you come up with this song because it is not a just song it has deep message and especially being broken and rejected and no one seems to care because even the people who seems to care they give up on your situation and you were left with our solid rock Jesus Christ so deep it also leads me to prayer and more grace

  • @magrethmgaya5535
    @magrethmgaya5535 3 ปีที่แล้ว +2

    Ooooooooo thanks good yesu waweza mbarik ambwene skuzote

  • @zairathsaidyally2923
    @zairathsaidyally2923 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akuinue viwango vya juu sana 1

  • @cesiliasanjah4119
    @cesiliasanjah4119 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina Mwaka huo nilopitishwa Mimi kama sio Mungu kweli ningesha potea Mimi ubarikiwe sana.

  • @bahatimmependezamwanginda5202
    @bahatimmependezamwanginda5202 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwaga namapito nikisikilza Nyimbo zako, napataga Faraja, barikiwa Sana kakayangu, Ama kwahakika MBEYA tumebarikiwa, KYALA ATUGANILE FIJHO🙏

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana mtumishi kwa wimbo wako mzuri wa kunijenga hakika nimebarikiwa kupitia wimbo huu

  • @rahabugregory3172
    @rahabugregory3172 3 ปีที่แล้ว

    Ambwene mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na nyimbo zako zilizojaa jumbe za faraja na matumaini
    Ni vile tu Kila binadamu alipewa kalama tofauti na mwingine kiukweli natamani kuwa mmoja wa team yako Namuomba Mungu anijalie siku moja nikuone kwa macho

  • @marybange4919
    @marybange4919 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakosa maneno mazuri ya kusema,😭😭😭 jina la Bwana libarikiwe.

  • @meshackbenjamin667
    @meshackbenjamin667 3 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wana dislike hii nyimbo kwel da sijuh unapenda nin aisee brother Ambwene Mungu Azidi kukutumia nyimbo za siku hizi za injili zimebadilishwa Sana Hakuna tofauti na injili na miziki ya kidunia lkn ipo siku tutajua ukwel lkn mwasongwe nyimbo zako zina bariki Sana ASANTE MTUMISHI WA MUNGU WA MBINGUNI

  • @carolinejohn9201
    @carolinejohn9201 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunaposema Mungu anao watu anaowatumia kuponya watu acha niseme kaka wewe upo kwenye mstari wa mbele Mungu aendelee kukubariki ili sisi tupone kupitia nyimbo zako

  • @dailymindsetup
    @dailymindsetup 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki Sana Ambwene zaidi ya hapa, kiburudisho cha moyo

  • @jemimahongeri5799
    @jemimahongeri5799 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama Ayubu alivyosema Bwana amenipa na Bwana Ametwaa..Jina lake libarikiwe 🙌🙌🙌🙌

  • @bichaeldadi3173
    @bichaeldadi3173 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi Mungu akuinue kutoka viwango kwenda viwango vingine amen

  • @justineriziki8835
    @justineriziki8835 3 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu kwanitembeleya leo. Kweli nimekuona kupitia nyimbo mbili ukiwemo huu wimbo wa Ambwene. Jina lako kubarikiwa. Nitakuja tena hapa hapa kushuhudiya miujiza yako kwangu amen.

  • @rachelsammy
    @rachelsammy 3 ปีที่แล้ว +14

    MUNGU akuinue zaidi kaka yangu so powerful🙏

  • @emmanueledmund1918
    @emmanueledmund1918 3 ปีที่แล้ว +7

    Ujumbe mzuri siku zote mioyo yetu unaipa kitu sahihi🙏🙏🙏

  • @gloryabel99
    @gloryabel99 3 ปีที่แล้ว +1

    Katika mambo yote Ayubu hakutenda dhambi wala kumuwazia Mungu kwa upumbavu.Ubarikiwe sana mtumishi,Yesu akuinue viwango vya juu zaidi uzidi kuihubiri injili.

  • @georgestephen1596
    @georgestephen1596 3 ปีที่แล้ว +65

    Roho aliyekaaa Juu ya Wimbo huu ni Yule aliyekaa Juu ya Daud alipokuwa anaandika Kitabu cha zaburi.....

    • @amonphilip5902
      @amonphilip5902 3 ปีที่แล้ว +2

      How he writes songs sijui ..this man yuko connected na mbingu ...this can't be normal !!!haiwezi kuwa kawaida ...neemaa neema neema

    • @beatricekasanga7281
      @beatricekasanga7281 3 ปีที่แล้ว

      Asyele mwene kyala mmanyani ng'hwangu

    • @beatricekasanga7281
      @beatricekasanga7281 3 ปีที่แล้ว +1

      Neno la kalvari ndio nguzo kuuu mungu akubariki kaka ambwene

    • @tumpekadaga6013
      @tumpekadaga6013 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe kaka Ambwene kwa kutubari ,Mungu aendelee kukumiminia mafuta .

    • @yohanabtz7343
      @yohanabtz7343 3 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @evodiamakotha3607
    @evodiamakotha3607 3 ปีที่แล้ว +6

    Kama utapita njia hii Yesu pitia kwangu nikuoneshe panapouma, uwiiiii ni wimbo wangu wa mwaka barikiwa sana Ambwene

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 ปีที่แล้ว +23

    The BEST Gospel Song Writer ever

  • @irenenjeri6609
    @irenenjeri6609 3 ปีที่แล้ว +26

    OOH JESUS AM JUST CRYING, I DON'T KNOW HOW TO THANK YOU ENOUGH SERVANT OF THE MOST HIGH,GOD BLESS YOU MIGHTLY, I LOVE YOU SO MUCH LISTENING FROM THE NETHERLANDS 🇳🇱.

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe  3 ปีที่แล้ว +3

      My sister from Netherlands thank you so much

    • @mathayomkumbuchile1569
      @mathayomkumbuchile1569 3 ปีที่แล้ว +3

      @@ambweneobadiamwasongwe Mungu akupe maisha marefu kaka Ambwene, wewe ni tabibu wa wengi kupitia nyimbo zako. Ninafuatilia sana kazi zako nina folder la nyimbo zako tangu mwanzo hadi leo

  • @peterkasubi9209
    @peterkasubi9209 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana Ambwene , nafarijika sana ninaposikiliza nyimbo zako🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @williamnelson5127
    @williamnelson5127 3 ปีที่แล้ว +1

    Ninaibariki kazi ya msalaba,
    Ninaibariki kazi ya msalaba,
    Ninaibariki, nalibariki jina lako,,,Ameni

  • @Fingolee
    @Fingolee 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah nimeshiba
    Mungu anaishi kwenye huduma ya huyu jamaa

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli Bwana tunaomba upite njia hii ya 2021 utembee nasi,usipite kimya kimya..kwa Neno la KALVARI-yote ulimaliza..🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeipokea bro Abwene,fimbo ya neema na baraka izidi kuwa juu yako🙏🏻

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant kwa wimbo mzr kaka

  • @ruthmwaipopo2560
    @ruthmwaipopo2560 3 ปีที่แล้ว +4

    What a song Lord😭😭😭🙌🙌🙌.
    I will not lose heart🙇. Asante mtumishi wa Mungu,ubarikiwe huu wimbo ni baraka.🙏

  • @hyasintaveraeli9028
    @hyasintaveraeli9028 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hiii nyimbooo...uuuwiii ubarikiwe sana kaka ambwene

  • @itikaadam9756
    @itikaadam9756 3 ปีที่แล้ว +2

    Usiniache Yesu pekee yangu nitaabika amenii 🙏 kma umebarkiwa like hapa

  • @cecypatson5187
    @cecypatson5187 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendaga sababu unaimba ukiwa rohon snaaa nyimbo zako zote, Mungu akubarik Sanaaa brother🙌🙌🙌

  • @hellendeus7809
    @hellendeus7809 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekosa hata chakusema ila wimbo unabariki sana.... Barikiwa saana mtumishi🙏

  • @rdcnouveaudepart584
    @rdcnouveaudepart584 3 ปีที่แล้ว +1

    NENO LA KALVARI, NENO LA KALVARI LINA LETA USHINDI. AMEN! 🙏❤️😢😭KATIKA AYO YOTE AYUBU AKUTENDA ZAMBI. KWELI NIME SIKIA NYIMBO ZAKO KWA MARA YA KWANZA ILIKUA MUNAMO MWAKA 2015 (OMBI LANGU). KWELI, ZINA NI JENGA. I AM FROM DEMOCRATIC REPUBLIC FROM THE CONGO (DRC). I USED TO LISTERN TO TANZANIAN GOSPEL SINCE MY CHILDHOOD (CHOIR WALIANKULU BARABARA 13).

  • @deborahlyimo3735
    @deborahlyimo3735 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina nimebarikiwa sana wimbo huu umenitoà sehemu na mshuku
    .

  • @jescazablon7162
    @jescazablon7162 3 ปีที่แล้ว

    Jmn huu mshumaa umenishtua had sasaiv bdo mwil unasisimka kabla sjaua ni wimbo nimejiuliza nin kimekupata mungu akulinde sana mtumishi wake uendelee kuwa faraja kwetu kupitia nyimbo zako

  • @sponsorcletuss2846
    @sponsorcletuss2846 3 ปีที่แล้ว +1

    Dear lord mbariki sana huyu mtumishi wako tumia kinywa chake kuongoa wengi tunaosita wengi tuonaoona hkuna matumain wengi tunaokata tamaa tunao amini kupitia hawa waimbaji tubarikiwe🙏🙏🙏

  • @johnjoel4056
    @johnjoel4056 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa bro tunainuliwa na huduma yako

  • @elizabethdonald8875
    @elizabethdonald8875 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama utapita njia hii njoo unione nikuonyeshe mahali panapouma😭😭

  • @rahabdaniel6799
    @rahabdaniel6799 3 ปีที่แล้ว +10

    Uje unione nikuoneshe mahali panapouma 😭
    This song

    • @reginaringia7080
      @reginaringia7080 3 ปีที่แล้ว +1

      Deep touching blessings and faour we receive

  • @watsonally3195
    @watsonally3195 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndhagha fijo kaka.. naniloooli jo mmanyani Gwetu....👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 Mungu akuzidishe sanaaaa ....

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah God Bless

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameeeeeeeeeeeen mtumishi wa MUNGU . Naiheshimu sanaaaaaaa kazi ya msalaba
    Yesu wewe ni kila kitu kwangu

  • @blessingsfredi4666
    @blessingsfredi4666 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi nyimbo zako zinanibariki sana 🙏🙏🙏

  • @paulomlewa4575
    @paulomlewa4575 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ni Neno la Kalvari, Mungu azidi kukuinua Kaka Ambwene Mwasongwe

  • @aliceinnocent9976
    @aliceinnocent9976 3 ปีที่แล้ว +3

    Umenitoa machozi wimbo huu,Mungu atupe waimbaji wenye mafuta kama haya niyaonayo kaka ,asante Yesu kwa Neema hii ya ajabu.

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndagha Kalumbu. Guntufifye Malafyale! Kyala akubhatileghe.

  • @williammambo8958
    @williammambo8958 3 ปีที่แล้ว +2

    Yeye ambaye SIKIO LAKE SIO ZITO, MUNGU, asikie sauti na kilio kupitia wimbo huu. Naye Mungu apitiapo kwetu na kwao wamuitao kupitia wimbo huu, APITIE KWAKO KWANZA, KWA KADRI YA REHEMA NA NEEMA.
    MUNGU ABARIKIWE NAWE UBARIKIWE SANA mtumishi, ameni, amen, na ameni 🙏

  • @karenmacha2462
    @karenmacha2462 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu baba akubariki sana Mtimishi uzidi kuwa Na Moyo wa ushujaa pamoja Na mapito yote

  • @elizabethmichael9713
    @elizabethmichael9713 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Sana na nyimbo zako Mtumishi wa MUNGU Ambwene

  • @rebeccabrown8778
    @rebeccabrown8778 3 ปีที่แล้ว +3

    Powerful song barikiwa kaka Ambwene.

  • @albywamandalinho
    @albywamandalinho 3 ปีที่แล้ว +4

    🙏🙏🙏 nashukuru kwa wimbo mzuri kaka mkuu

  • @kingchavala
    @kingchavala 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ubarikiwe kwa kipawa hiki,Haleluya!! Na Neema yako imtunze Mtumishi wako! Asijaribu kuteleza wala kuzoea Utukufu wako! Amen!

  • @evodiamakotha3607
    @evodiamakotha3607 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzito

  • @shanielmasoud4130
    @shanielmasoud4130 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana kk ambwene kwa wimbo huu mzri sana..hakika nimekuwa nikisubiri kwa mda sasa wimbo wako mpya. Mungu akubariki sana

  • @corethasanga107
    @corethasanga107 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana wimbo umegusa maisha yangu na maisha ya wengi hasa kuwa nimechoka hata wanaoniuguza wamechoka 😚 na wamechoka kweli hata wakiambiwa naumwa hawashituki wala kujali. Barikiwia sana na Mungu akuinue zaidi na zaidi. I wish to see this music globally 🙏

  • @linahjailos358
    @linahjailos358 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Yesu wetu wa Kalvari usiyeacha miguu yetu isogezwe...... Mungu akubariki sana kaka Ambwene

    • @denismwalukunga8686
      @denismwalukunga8686 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen saana ubarikiwe mtumishi wa Mungu

    • @linahjailos358
      @linahjailos358 3 ปีที่แล้ว

      @@denismwalukunga8686 Mungu akubariki pia mtumishi...na ukafanyike baraka katika kila unachofanya

  • @filleliliane2090
    @filleliliane2090 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinanibarikisaana

  • @horizoncompany2192
    @horizoncompany2192 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa nyimbo nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🌴

  • @charlyrutare5897
    @charlyrutare5897 3 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah 👏🏻 🙌🏻 Ninaibaliki kazi ya msalaba! Urimana ibihe vyose!🙏🙏🙏

  • @bellewhizzy6548
    @bellewhizzy6548 3 ปีที่แล้ว +1

    Pekeako ndo naona upo na injili ya kwel Mungu akuzidishie hekima na maisha marefu

  • @jescaflorentine2313
    @jescaflorentine2313 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Wa Mbinguniii Akubarikii Kakaa 🙏 Ni Zaidi Ya Mafunuo Makuuu Mungu Mtoshelevu Wa Vyote Akubarikii Mnooo Asante Kwa Wimbo Boraa Wa Kutuponyaa

  • @jacklinebubelwa5127
    @jacklinebubelwa5127 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama utapita njia hii Yesu njoo nikuonyeshe panapouma Mungu wangu nakuhitaji asante mtumishi ni ujumbe wa wakati kwangu

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuuri Sanaa jamani umenibariki, ujumbe ni wangu kabisa

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka ambwene mungu akubariki Kwa nyimbo hii

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 3 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo zako ambwene mtu akiwa na shibe hawezi kuzielewa ila ni shule kbsa mungu azidi kukuinuwa