WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2014
  • HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwenye gazeti kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. (Ilikua ni Feb 2015)

ความคิดเห็น • 315

  • @annachuwa9610
    @annachuwa9610 7 ปีที่แล้ว +23

    Dhaaa, ungenialika Na mie mamy, wamezid hao. Kaz kuandika vitu ambavyo hazina maana.

  • @babadaniel364
    @babadaniel364 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndio alikuwa Wema Sepetunga lakini sasa hivi ni Dada yetu wa kweli na kimwili chake

  • @Mbakuli
    @Mbakuli 7 ปีที่แล้ว +11

    sasa umeirusha ya nini io video ilihali umeificha ficha!!?

  • @totohodundo5033
    @totohodundo5033 8 ปีที่แล้ว +1

    uv made my night wema roho juu kweli thaz my girl

  • @mnyaturumsingida6799
    @mnyaturumsingida6799 6 ปีที่แล้ว +26

    Safi sana wanafiki wakome Na uongo Na umbeya wa magazeti

    • @abdulqareemabdala2772
      @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว

      Wambeya sana ndio wajue sio kila kitu mitandaon kiko ok kaumiya ndio maannkaamua kufanya kweli wajue yupo ok wambea kibao waongee na hili

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 8 ปีที่แล้ว +13

    Mm sijaona alichokesea wema hapo kwani hata kama ingekuwa wew lazima kwani kusingiziwa mchezo

  • @zuwenaramadhani4298
    @zuwenaramadhani4298 7 ปีที่แล้ว +7

    pamoja wemaa tilisha adabu wasofuzwa na wazazi wao

  • @willbertyfribarty9771
    @willbertyfribarty9771 10 ปีที่แล้ว

    Just take it easy dear wema dat u will pass through being a celebrity all in all focus on ur lyfe don mind about anythng

  • @noelas6443
    @noelas6443 10 ปีที่แล้ว

    Yeah my dear wema you did well. Waambie hao mikundu wasenge wanaotafuta pesa kupitia jina lako. Kenge hao

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว

    Safi sanaa mitando mmezid mwanamke kujiamin mbona waziba sasa achan live waone kwenye makosanpajulikane sionkuongeya tuh nishidaaa mpen nafasi atende haki yake sio kuzuia mnaongeya snaa kuchafua mnajua kaumiya sanaa hajapenda

  • @zaharahabibu2253
    @zaharahabibu2253 6 ปีที่แล้ว

    Wema umetisha umewakmesha wamezidi kuandika taarifa zingine za kumdhalilisha mtu hiyo ndiyo dawa safi sana

  • @davidklm123
    @davidklm123 6 ปีที่แล้ว

    Ndivyo alivyo huyu sis Ahh niatari sana!

  • @florabuhendwa976
    @florabuhendwa976 5 ปีที่แล้ว

    Muacheni Wema jameni mimi sioni ubaya alifanya ku kiss mtu nikawaida. Si si wa Africa tunazidi jameni

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 6 ปีที่แล้ว +6

    Wema hukwenda kiugomvi ungemvalia kikaptura ukatafuta ufata uso wake nukamnyofoa pua yake na kumuwashia makonde yauso angekoma uongo uyo......

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 4 ปีที่แล้ว

    Even if something went wrong you should know the approach & not entering an office kama ww kamanda,au ulishazoea scandals. My brother,erick shingogo is ahumany being who understands pipo and very generous

  • @lynnensincia
    @lynnensincia 10 ปีที่แล้ว

    Heeeeheee safi sana wema kunguta wote hao mabwege wamezoea onea dogodogo ndo mana...piga vunja vunja kabisa hekhekhek...nimefurahi sana aisere

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 ปีที่แล้ว

    Watanzania kwa kupesti hamjambo story ya siku nyingi sana msimzidishie mwezenu machungu

  • @philipomalima333
    @philipomalima333 9 ปีที่แล้ว +4

    duuuuh ni shidaaaaa

  • @charlescornel8896
    @charlescornel8896 10 ปีที่แล้ว +3

    ndo inavyotakiwa big up wema

  • @logadsugarie5632
    @logadsugarie5632 5 ปีที่แล้ว

    NAFASI ZA MAOMBI, FURSA ZA KIBIASHARA DAR ES SALAAM
    ONLINE BUSINESS OPPORTUNITY
    Kampuni inatafuta watu walio makini na utayari watakaojiunga na online social network business platform, watakaofanya kazi full time ama part time na kulipwa Tsh 200,000 kwa siku, kutumia simu yako ya mkononi ama laptop kwa kuweka tu system ya kampuni.
    MAHITAJI
    1.Uwe na smart phone, ama laptop iliyounganishwa Internet.
    2. Uwe tayari kufanya kazi bila usimamizi wowote na ujitume.
    3. Uwe na maono yaliyo chanya ( positive).
    4. Uwe na umri wa miaka 18 na kuendelea.
    5.Uwe mkazi wa DAR ES SALAAM na VIUNGA VYAKE.
    6.Uwe tayari kufika ofisini siku na muda utakao hitajika.
    ✔kama unahitaji kuwa miongoni mwa fursa hii Tuma neno NAHITAJI
    Kwenda WHATSAPP namba:-
    0654004438,
    kwajili ya kujumuishwa ndani ya list ya kampuni na kupewa mafunzo na Siku,tarehe, na mahali utakapoitwa ofisini, DAR ES SALAAM
    WHATSAPP PEKEE

  • @angelmabibi433
    @angelmabibi433 7 ปีที่แล้ว +2

    good muvi one day i will do it

  • @neemamabiki6164
    @neemamabiki6164 5 ปีที่แล้ว +2

    Well done wema.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 2 ปีที่แล้ว

    Haaswaaaa ivyo ndivyo inavyotakiwa dada yangu sepetu

  • @blessingkizundu4626
    @blessingkizundu4626 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe na wew kiboka big up😄😄😘

  • @jacklinebrown4809
    @jacklinebrown4809 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana my big up

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว

    safi sana wema kanyaga

  • @charlesmwita341
    @charlesmwita341 6 ปีที่แล้ว

    kweliiii

  • @danielfrank303
    @danielfrank303 5 ปีที่แล้ว +2

    Shetan anaaibishwa kwa style hiyo uko na siku nyingne usirudie kutuma upofu wa namna hiyo

  • @felixngunda8584
    @felixngunda8584 6 ปีที่แล้ว +1

    hata kama umekosewa vipi huwez vamia ofis za watu kiasi hicho ,,,,,fuata utaratib wa kufile ur complains ...zaid amejichora tu

  • @angelleon6849
    @angelleon6849 5 ปีที่แล้ว

    Safi xana damn wema wamezidi xana umbea

  • @hawaiddy687
    @hawaiddy687 9 ปีที่แล้ว +8

    wanakosa habari wanaamuwa kuchafuwa majina yawatu

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว

    Mbona Mmeziba Tulitaka Kumuona Uyo Mmbwa Wa Kiume Anaebweka Bweka Kwasababu Uwezi Kumchafua Mtu Arafu Aje Kulalamika Wewe Unakuja Juu Inamana Unaitaji Umgeuze Mwenzio Kipato Cha Kukupa Pesa Uku Yeye Aenderee Kuzalilika Uyo Jamaa Aliebweka Ni Panya Kweli Asiejitambua Ata Kidogo

  • @teklamanase7088
    @teklamanase7088 5 ปีที่แล้ว

    Mbona picha Nzuri sana 😁😁

  • @mercywekesa7429
    @mercywekesa7429 5 ปีที่แล้ว +3

    Wema rduce azira na uelewe kwamba mti wenye matuta hulingwa mawe zoea io m2 wangu

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 6 ปีที่แล้ว

    Hatarii

  • @joycesevelin4566
    @joycesevelin4566 5 ปีที่แล้ว +3

    Wape wape haoooo

  • @stelambithe8331
    @stelambithe8331 6 ปีที่แล้ว +12

    Wanawake wanatakiwa wawe kama weww

  • @husseinramadhan8468
    @husseinramadhan8468 7 ปีที่แล้ว

    mmeamua kuweka video online why putting squareblur....

  • @JMalanga0
    @JMalanga0 10 ปีที่แล้ว +13

    Mission imeharibika!! Walitaka kurekodi In My Shoes lakini bahati mbaya Global waligundua na kuharibu kamera na SD card!! Ha ha ha!

    • @saidsimba8586
      @saidsimba8586 6 ปีที่แล้ว +1

      mnaboa kwel kwenyeutam mnaficha Ss ndyo nn, BC msingeweka hyopicha kabisa tujuemoja kulikoni kufichaficha.

    • @sheimaaabdallahsheimaaabda8200
      @sheimaaabdallahsheimaaabda8200 6 ปีที่แล้ว

      j malanga hahaha

    • @linahsemindu9575
      @linahsemindu9575 4 ปีที่แล้ว

      @@saidsimba8586 😂😂😂😂

  • @sijaonabethuel8803
    @sijaonabethuel8803 6 ปีที่แล้ว +1

    wafundishe dada wawe ethical

  • @gabrielmichaelisingo158
    @gabrielmichaelisingo158 5 ปีที่แล้ว

    Uongo wenu mwishowe utaharibu kazi zenu

  • @petromwinyi4955
    @petromwinyi4955 6 ปีที่แล้ว

    waandashi wengi Wa tz yaani ni wavivu kweli kutafuta information zenye ukweli matokeo yake wanaandika pumba tuu kila siku.mnashindwa kutumia taaluma zenu vizur .

  • @reginaemmanuel8233
    @reginaemmanuel8233 5 ปีที่แล้ว

    tamaa ikishakukomaa huzaa dhambi na dhambi ikikomaa huzaa mauti. ndo hats hofu ya mungu hana huyu MTU, mwisho wake si mzuri asipobadilika.

  • @zuwenaramadhani4298
    @zuwenaramadhani4298 7 ปีที่แล้ว +16

    uzuri wandege manyoyaa uzuri wa mwanamke kujiaminiiii

    • @chazcharles7598
      @chazcharles7598 5 ปีที่แล้ว

      Mamb

    • @robertmaingi2194
      @robertmaingi2194 5 ปีที่แล้ว +2

      Wema wangu kujiamini n poa awo watu awana kazi wapewe jembe waende kwa shamba waache kuaribia wema sifa tafadhari

  • @gadafiissa683
    @gadafiissa683 7 ปีที่แล้ว +14

    wema kiboko aisee, mtoto, mkali hazeek haaa

  • @Chai2574
    @Chai2574 10 ปีที่แล้ว

    Why are they blocking the images? Did they try to fight a woman? Damn....!

  • @doricekasyupa5183
    @doricekasyupa5183 10 ปีที่แล้ว

    Yani nimejisikia vibaya sana Tanzania jamani sio vizuri. Shigongo acha kabisa tabia ya kumchafua mtoto wa mwenzio mwisho wa siku utajikuta segerea bila kutarajia. Wakina papa hawajawahi zania siku watakaaa jela. Habari nyingi sio lazima za kumzalilisha ...puuuuuuu

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 ปีที่แล้ว +1

    Pigaaa hao global ..... eti kampuniiii.... pigaaaa haoooo... wanaacha kutoa taarifa za msingi kwa wananchii wanaleta ushubwadaaa ... pigaaaa hao na hizo high heels 😂

  • @alphoncegeorge7382
    @alphoncegeorge7382 7 ปีที่แล้ว +9

    wema Hiyo movi Itakua Kari kwa mwaka zaidiya wimbo wa darasa

  • @muhsinikauthar9933
    @muhsinikauthar9933 7 ปีที่แล้ว +1

    noma xanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @judykmohammed2275
    @judykmohammed2275 8 ปีที่แล้ว

    wema moto!

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 ปีที่แล้ว

    Anaingiaje kwenye ofisi za watu namna hiyo huyo bwege..Hakuna polisi nini..Anatukana matusi machafu kwenye ofisi za watu .

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 4 ปีที่แล้ว

    My dear wema hasira zinaleta balaa,global niwaelewa ungetafuta mwafaka namkurugenzi besides that is an office for someone& pipo are at work my dear punguza presha yako utjikuta namengine that's not a solution

  • @nurudinnamtapika462
    @nurudinnamtapika462 5 ปีที่แล้ว +3

    hilo ni kesi sasa ambalo amefanya wema hawezi kufanya fujo osifini kwa watu

  • @mwanaidimussa2588
    @mwanaidimussa2588 4 ปีที่แล้ว

    Kazi kwerikweri

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Dada amechukia Sana , alitakiwa kushtaki polisi tu na wangesimama mahakamani angepata haki yke

  • @julianajulius4556
    @julianajulius4556 23 วันที่ผ่านมา

    Ivi huyo dada ni Imelda Mtema

  • @nuruomar1159
    @nuruomar1159 10 ปีที่แล้ว

    Safi sana wema,vitasa tu ndo dawa yao

  • @lucysanga8560
    @lucysanga8560 10 ปีที่แล้ว

    Duh!

  • @fahadthuwein7267
    @fahadthuwein7267 9 ปีที่แล้ว

    safi sana fck global

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 4 ปีที่แล้ว

    mnabiaa Sana vyombo vya habari vya tz kutoa habari za uwongo ndio madhar yakee haya

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli umevulugwa wema

  • @zainamwalukuta9177
    @zainamwalukuta9177 6 ปีที่แล้ว

    Tafuta haki yako na binaadamu yyte yule hawez kustahamili mambo machafu km ayo pamoja Dada vzr ulichokifanya

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 9 ปีที่แล้ว

    Wema Alikuwa sawa wamezidi kutunga ujinga. Mbona hii hajalalamika kuitwa chizi. Si kasdma kweli

  • @ramakiluwa2859
    @ramakiluwa2859 4 ปีที่แล้ว

    iyo movie inatoka lini jmn

  • @tumpemahali7821
    @tumpemahali7821 5 ปีที่แล้ว

    Safi dada ake 😘😘😘

  • @tilifonialutego8356
    @tilifonialutego8356 5 ปีที่แล้ว

    Safi wema wamezidi hao wangekua wananunua stories za watu ndo wanaziandika kilasiku we we tu wanakuharibia sembe hao

  • @mossesimessi3256
    @mossesimessi3256 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnazuia nn liwema linapigwa libib ilo

  • @oliverpendaeli4958
    @oliverpendaeli4958 5 ปีที่แล้ว

    good xana yani

  • @johnstaniley5532
    @johnstaniley5532 5 ปีที่แล้ว

    funza adabu hao wakosa haya wanapenda kuzua sana

  • @charltonfrank2828
    @charltonfrank2828 9 ปีที่แล้ว

    damn

  • @januaryfull4225
    @januaryfull4225 9 ปีที่แล้ว

    waandishi kanjanja hakuna vya muhimu kuandika kwa ajili ya mandeleona ustawi wa TZ yetu umefany poa WEMA

  • @pastorlilianjoseph1878
    @pastorlilianjoseph1878 10 ปีที่แล้ว +1

    Is this a movie or what??? Kinda crazy.

  • @elizamgaya7390
    @elizamgaya7390 8 ปีที่แล้ว

    Daaah wema hatari

  • @pollylazmartins9690
    @pollylazmartins9690 8 ปีที่แล้ว

    ahhaa akikosea ndo hivi likn it

  • @tjking7960
    @tjking7960 4 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 4 ปีที่แล้ว

    Remember ww ni kioo chawatu A miss Tanzania & mwenye jina ukupaswa kuchukua uwamz huo wema plse, ww siyo kicha unataka kua kicha ?plse wema change your behaviour ungemwambia auntie Ezekiel angekushauri

  • @mollelybarakaarusha9698
    @mollelybarakaarusha9698 6 ปีที่แล้ว +1

    kwendeen hukoooo,mbonaaa mnafchaaaa

  • @beatricelichoti1650
    @beatricelichoti1650 4 ปีที่แล้ว

    Kalikua karembo

  • @monday1278
    @monday1278 10 ปีที่แล้ว

    sasa kweli umekuwa wema na hautaki ujinga,umetoa kipigo ,watakuheshimu wasenge wote

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 6 ปีที่แล้ว +1

    nyie global TV wajeuli mbona mmeza pictures

  • @Laderatv1
    @Laderatv1 6 ปีที่แล้ว

    Wema.ajitambiwi.uyo.i.like.kipara.nafuta.umo.raha.tu

  • @samwelsirieli1624
    @samwelsirieli1624 5 ปีที่แล้ว

    Kiboko anaenda kupigana akiwa uchi,,,,kwanza afungwe tumechoka na magazeti yake ya kila ckuuu

  • @happyjulius8423
    @happyjulius8423 6 ปีที่แล้ว

    ivyo ivyooo

  • @pascalkamili6549
    @pascalkamili6549 7 ปีที่แล้ว

    Hahaahah it's wonderful issue actually

  • @salhahazaly8042
    @salhahazaly8042 10 ปีที่แล้ว

    aibu gani shiz ryt unamuandik mtu km han wazazi waandike watoto wao ndo they will fill wat dy fill piga hao tena funga..........

  • @ashakhamis5943
    @ashakhamis5943 5 ปีที่แล้ว

    Siku nyngn ucsahau kuniarika man np vzr kwny mamb hayo hatar

  • @seziholiness9921
    @seziholiness9921 8 ปีที่แล้ว

    mmmmh heshima ni mhimu

  • @partemeolo5776
    @partemeolo5776 9 ปีที่แล้ว

    tatizo na nyie wasanii mmezidi ombea kuletafuta nini? Cheki para kubwa heshima kwa waandishi na nyie waandishi mmezidi kutangaza kaeni kimya angalau kwa 1 saa please and my friends nita washukuru sana na very machoo

  • @gracekalinga5408
    @gracekalinga5408 7 ปีที่แล้ว

    hili timbwili la zaidi ya miaka 3

  • @monthermonther9232
    @monthermonther9232 8 ปีที่แล้ว

    aibu wema

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 ปีที่แล้ว

    hao global publishers ni hawana habari ni ujingaujinga tu

  • @asimaismail5559
    @asimaismail5559 8 ปีที่แล้ว

    khaaaaa

  • @danykissclassic6328
    @danykissclassic6328 6 ปีที่แล้ว +2

    uyo wema chiz mungemtia makofi awezi kutamba mbele ya wanaume mpigeni nyembe za USO VIP mabaaria

  • @jacksonmkumbo7183
    @jacksonmkumbo7183 5 ปีที่แล้ว

    Mtu mmoja anatoa matusi mibaba mizima mnamwangalia tu!! Nchi yetu haijafkia hatua hyo bhana

  • @leonardtarimo7976
    @leonardtarimo7976 8 ปีที่แล้ว +3

    maigizo tu hayo kick

  • @mtumishiwake4006
    @mtumishiwake4006 5 ปีที่แล้ว

    Dada wema ulishitakiwa kuvuta bangi leo nimeona faida yake wakomeshe wadaku.

  • @eugenenjarabi109
    @eugenenjarabi109 9 ปีที่แล้ว

    cjaelewa chochote coz global hawaeleweki wala wema mwenyewe,something different was going on here

  • @user-ri8iw3we7l
    @user-ri8iw3we7l 6 ปีที่แล้ว +1

    Hawa sanii watapata tabu sana lana za watu zinaaza kuwapat

  • @eddykaswa8935
    @eddykaswa8935 3 ปีที่แล้ว

    Wadada wengi wa kibongo ndio maana mnashindwa hata kuolewa coz akili maji tupu